DKT SLAA AZIDI KUWAPIGA UTOSINI CHADEMA/ATAJA KASORO ZOTE ZA CHADEMA/RANGI KUJULIKANA UCHAGUZI 2025

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 72

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa 3 години тому +2

    Kwa nini uliondoka chadema, uliona hapafai sasa watafanyaje miujuza wakati ni wanaharakatii. CCM ni chama sahihi.

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 4 години тому +3

    Dr slaaa yupo sawa

  • @KennedyKenato-j6y
    @KennedyKenato-j6y Годину тому

    Hongera sana Mheshimiwa daktari endelea kutufundisha asante sana

  • @jalaryababilasi1562
    @jalaryababilasi1562 7 годин тому +4

    Chadema kuwa imara mpaka hii Safu iachie ngazi wakaepo vijana hapo tutakiwasha hatar Hao wazee wameshatuchosha Kwa kweli

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 3 години тому +2

    Japokuwa mutamtukana, lakini huu ni ukweli mchungu

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 7 годин тому +3

    Chaeme ya Sasa imekufa imebaki kutapatapa tu nakuokoteza. Vioja. Ajabu sana

  • @malindimalindimerinyo1632
    @malindimalindimerinyo1632 4 години тому +2

    Ndumila kuwili anaweza kunuliwa huyu ni kinyonga.... Kanini asiwaelimishe watu kwanini analaumu

  • @mpendamema3694
    @mpendamema3694 4 години тому +1

    Twitter ni screening mechanism ya ccm kuwajua na kusoma stategies za CDM kupitia ishu kama maria Space Mnatoa mikakati yenu na siri za chama na complaining.

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 5 годин тому +2

    Mbowe na Tundu Lissu hawafai kabisa. Tanzania inahitaji uongozi na upinzani wa maana. Viongozi wa Chadema wanyatuke ili viongozi wengine wakiongoze chama. AMA katiba inadilishwe watanzania waweze kuanzisha vyama bila kuzuwiwa. Katiba ibadilishwe ili watanzania waweze kupigania uchaguzi bila vyama.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 години тому +1

    Uchaga na chadema ni damudamu?.

  • @HonorataMafala
    @HonorataMafala 4 години тому +1

    Wakina Soka wamesahaulika watoto wa watu. Jamani zile kelele zimeishia wapi.

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 4 години тому +2

    Dk Sala una akili nyingi sana,Nakuomba malizia kazi yako uliyoifanya ya kujenga chama,Mnyika ni mzuri Lakini hakufikii baba yetu,Chadema inatakiwa mbinu na uimara wa wanachama,

  • @phedsonmwambete7813
    @phedsonmwambete7813 7 годин тому +1

    Wananchi ni wagumu sana, Dr unajua

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 5 годин тому +4

    Dr Slaa, Chadema haina uongozi wa kweli. Tundu Lissu bado analilia kulipwa Pesa zake. Mbowe mawazo yake yote yako kwenye biashara na pesa. Hata CCM ikitoka ni nani atashika madaraka? Chadema hakuna chochote uongozi wake mbovu kabisa. Ndani ya chama hakuna demokrasia. Kiongozi ni Yule Yule miaka nenda miaka rudi

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 6 годин тому +1

    Umeeleweka Mzee kama mvua imenyesha wacha tuone wataziba wap maana SS wafuasi wao tunanyeshewa vibaya na somo umewapa wacha tuone watakuja na nini kwenye chumba cha mtihani

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 5 годин тому +1

    Mimi nadhani Mzee Slaa asiwashauri Chadema kuwaandalia WanaNchi kufanya fujo. Sio sawa! Hatutaki fujo Tanzania!

  • @EnockMwambola
    @EnockMwambola 3 години тому

    Matatzo ya nchi hii sio tu chadema kwani gharama za maisha kua magumu ni upande wa chadema tu umesoma nn ww ulikuja kwenye madamano

  • @mpendamema3694
    @mpendamema3694 5 годин тому +1

    Chadema wawe wabunifu public complain sio stage ya kugain public sympathy haina maana haipendezi kwa wanaume

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 7 годин тому +6

    CHADEMA CHA CHA WAHUNI TUU!!

    • @vincentjohn2041
      @vincentjohn2041 3 години тому

      Mungu akusamehe ndugu yangu

    • @w4058
      @w4058 52 хвилини тому

      Kama CCM chama cha udhalim utekaji na uuwaji

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 7 годин тому +2

    Slaaa ndo mwanasiasa Bora kabisaa. Yaani nakuhusudu mnoo

    • @csato9415
      @csato9415 5 годин тому

      Kama CDM hawafanyi inavyapaswa kwa nini yeye Slaa asitoke aongoze wananchi kwenye mapambano!?

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 2 години тому

    Hili la Slaa na Chadema mtaliandika kweli kweli mwezi mzima Iliradi tu mnajifariji Ili kutimiza. azma ya kujipa moyo, msitumie Dola kama 20% itafika.

  • @w4058
    @w4058 53 хвилини тому

    Hilo Dr slater sio slaa mtu kafika kuvuliwa ubalozi hana ila undumi la kuwili

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 години тому

    Acheni na uchaga na uchadema, enzi za nccr mageuzi wachaga mlipiga sana wananchi waliokuwa wanapinga nccr,

  • @hashimuuhehwa4252
    @hashimuuhehwa4252 3 години тому

    Namkumbuka Heche Bavicha namkumbuka Dr Slaa! Dr tupige tuamke maana nikulala tu watu watekwa harafu Chadema ipo kimya tu muda wote kuitisha vyombo vya habari tu kulalamika kama mdunya! Yani hata kumshitaki IGP KWENYE MAHAKAMA ZA KIMATAIFA!!
    Ukweli Chadema tumelala sanaa tusijidanganye kama tupo imara kuna sehemu kuna tatizo aliyoyasema Dr yafanyiwe kazi sisi sio wakuwapigia magoti Police tumeanza lini hiyo tabia!!

  • @EnockMwambola
    @EnockMwambola 3 години тому

    Ww mzee si upo kazin achana na chadema

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 4 години тому

    Haya mambo ya maria space chadema iachane nayo ndio inaharibu mipango

  • @Jerryrawlingschaula
    @Jerryrawlingschaula 4 години тому

    Mzee achana nao hao sio wa kweli

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 4 години тому

    Huyu Mzee nae hivyo tu, haeleweki

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp 3 години тому

    Ndo maana wananchi wamezila.

  • @TallTallmysha-v3u
    @TallTallmysha-v3u 7 годин тому +1

    Hkuna mwanasiasa mnafki kam slaa

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 4 години тому

    Najiuliza silaa anatumwa au anaongerewa na mtu kwanza chadema wanajitaidi sana na wanawekeza sana ata yeye alipo gonbea uraisi alikua na ini kama sio viongozi kumpambania na kumlipia kila kitu chadema imepita katika kipindi kigumu tangu 2019 /2024 lakini kama ungekua na busala ungekua unawashauri ata kwa kuwafuata viongozi

  • @benardkinde8496
    @benardkinde8496 7 годин тому +2

    Huyu mzee hafai hakuna sababu yakulaumu chadema wamefanya kazi kubwa kuwaelimisha wanainchi wewe umefanya nini acha kulalamika fanya kazi sisi wanainchi tutaona tena acha kabisa kutuludisha nyuma kwa kuwalaumu chadema fanya pale unapoweza kufanya acha kulaumu chadema ebu jiulize kuwalaumu chadema wewe kunatusaidia nini sisi wanainchi sisi wanainchi tunalalamikia ccm tuu kwa sababu ndio waundaji wa selikali kwanza chadema wamekuwa Wapole sana juu yako

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 3 години тому

      @@benardkinde8496 huyu mzee anasema kweli kabisa. Ubaya watanzania elimu yeti ni ndogo sana. Akiri zetu ziko kwenye mpira, yanga na simba huku viongozi wetu wanaitafua nchi. wala hawana haraka ya kutuelemisha kwasababu ni lahisi kuongoza WAJINGA

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 3 години тому

      @@benardkinde8496 hufai wewe usio elewa. Chadema haina uongozi. Tundu Lissu ni puppets yeye nikusifu wazungu na kuwania kukamata mali za watanzania kama mjinga. Mbowe ni kujisifia utajiri usiojulikana kaupata wapi. Kama kuna mtu anategemea Chadema kuleta mabadiliko atangoja sana. Watanzania wana Kiu cha manadiliko, hayataletwa na Chadema

    • @GraceNaftal-x3j
      @GraceNaftal-x3j Годину тому

      Yataletwa na baba Yako?​@@gracemima5234

  • @leonardlomayanigideon2060
    @leonardlomayanigideon2060 4 години тому

    Wewe Slaa,umewajengea uwezo gani wakati.wote ukiwa mbunge na kiongozi wa Chadema miaka yote?Na bado miaka ukiwa balozi?

  • @deuskamugisha3627
    @deuskamugisha3627 5 годин тому

    Kwann usiseme kuondoa vikosi vya kihun vinavyotena

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 4 години тому

    Huyu anatuvuruga, achana na chadema Mzee,, bac waandae wewe, umesahahu Ushakimbiaga siasa tuache bana

  • @mpendamema3694
    @mpendamema3694 4 години тому

    CDM ya sasa unakuta mtu anasema "Ndege za serikali zikamatwe alipwe " wtf
    Mbowe naye analalamika unattractive na kuyumbishwa
    CDM ya M4C 🔥

  • @moddy8744
    @moddy8744 5 годин тому

    Hamna chama ni zogo tu vijana fanyeni kazi musipoteze time yenu

  • @josephwilliammnyune5464
    @josephwilliammnyune5464 4 години тому

    Dr. Slaa, kwa nini na wewe huanzishi chama, ili kuziba hizo nyufa zilizopo Chadema?

  • @MalkiadiNaano
    @MalkiadiNaano 4 години тому

    Usijiumize rudi ccm,si unajua 2015 hao walikutelekeza wakamchukua mwana ccm agombee urais, nawe ukasaidiwa ukazawadi ubalozi ,hivyo sasa ni wajibu wako kuitetea ccm kama unavyofanya sasa

  • @ishengomanelson
    @ishengomanelson 4 години тому

    Anaongea nini huyu Mzee!! Mimi sihitaji eti kujengewa uwezo, kwani unanichukuliaje? Wanasiasa mnahisi nyie ndio mnaotuendesha sisi ili tuchukue hatua, hovyo sana nyie. Sihitaji kuandaliwa wala kujengea eti uwezo. Wakati wangu/wetu bado! Siku ikifika utashuhudia mwenyewe!

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 4 години тому

    Katibu mkuu awe heche msaidizi mwaipaya mbona kitamyooka

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 3 години тому

    Dr slaa wewe mbaya sana kigeugeu sana hutufai kabisa unaongea huna msimamo hata kidogo

  • @mpendamema3694
    @mpendamema3694 4 години тому

    CDM hamjafanya mikakati yeyote ya kuwatoa wananchi uoga wa kuchukua fomu wanaogopa ccm wamesharusha political weapon ya threat CDM wanatoa taarifa tu mtu kakamatwa na kupigwa wtf and then what

  • @edgarmbegu1974
    @edgarmbegu1974 Годину тому

    Huyu mzee naye kumbe ni mpumbavu! Badala ya kuilaumu Serikali anailaumu CHADEMA. Anataka wapindue nchi? Kenge kweli.

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 4 години тому

    Huyu mzee mimi simwaamini hata kidogo huyu ni msaliti tu hana ushawishi tena

  • @Jerryrawlingschaula
    @Jerryrawlingschaula 4 години тому

    Nchi walizo pindua kwa maandamo wamefaidika nini mfano SUDAN Nchi ineangamia kabisa

  • @mpendamema3694
    @mpendamema3694 5 годин тому +1

    Tatizo saiv CDM kuna pande mbili mbowe anataka muingie ofisini mupangane Lissu Anataka kususia Pressure maandamano watu wako mtandaoni hawatokei Au wakitokea no Impacts hawapo Lazima hapo mmoja akabaki tuende na lenye faida

  • @deuskamugisha3627
    @deuskamugisha3627 5 годин тому

    Kwanini usemehe kutawala???

  • @mpendamema3694
    @mpendamema3694 4 години тому +1

    Chadema ya M4C ni kali kuliko 255 drop down makundi hayo panga strategies achaneni na watu wa twitter

  • @carlosmsigwa9516
    @carlosmsigwa9516 7 годин тому

    Dr. Mzee wa propaganda sana huyu hapa yupo kwenye kazi yake halisi.

  • @jamesrobare522
    @jamesrobare522 5 годин тому

    Huyu mzee ni mupumbavu mkubwa,huyu ni ccm anatafuta uteuzi.

  • @CharlesMulaki-j8h
    @CharlesMulaki-j8h 6 годин тому

    Wewe Mzee ni mnafiki wewe umefanya nini? Wewe ni ccm

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 3 години тому

      Huyu mzee ni kiongozi bora kabisa. Wajinga ndiyo hatuelewi

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 3 години тому

      Hana unafiki wowote. Yote anayosema ni kweli tupu

  • @InnocentEdward-h6v
    @InnocentEdward-h6v 7 годин тому

    wewe slaa wewe

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 7 годин тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @moddy8744
    @moddy8744 5 годин тому

    Hichi ni chama cha ugomvi na kulaumu wao ni kulalamika hamna jipya wala hawana sera wala maendeleo hatutaki maneno tunataka maendeleo nyie mnapiga kelele Mh Samia Anatuletea maendeleo

  • @VeryMnyakiwele-j1p
    @VeryMnyakiwele-j1p 6 годин тому

    Umebaki wewe tuu

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 7 годин тому

    Unalalamika Nini silaa

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 3 години тому

      Hslalamiki bali anatete wananchi

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 5 годин тому

    Dr Slaa, Chadema haina uongozi wa kweli. Tundu Lissu bado analilia kulipwa Pesa zake. Mbowe mawazo yake yote yako kwenye biashara na pesa. Hata CCM ikitoka ni nani atashika madaraka? Chadema hakuna chochote uongozi wake mbovu kabisa. Ndani ya chama hakuna demokrasia. Kiongozi ni Yule Yule miaka nenda miaka rudi