ZANZIBAR KWISHA WAPEMBA WABATIZWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 14

  • @marionoti5760
    @marionoti5760 Рік тому +2

    Kumbe unajishitukia mara mwislamu abatizwapo. Njoo mkesha wa pasaka uhesabu idadi ya waislamu wanaobatizwa ktk parokia za DSM, utazimia au la utapigana kama ilivyo desturi yenu.

  • @JacoboMajaliwa
    @JacoboMajaliwa Рік тому +1

    Kumjua Mungu sio elimu bali ni ufunuo unaweza ukawa na elimu usimjue Mungu maana alimu ipo kwenye ubongo na Mungu moyoni hivyo usikomee kujua elimu tu bali ona moyoni mwako kile kinachopatikana ndani ya neno la Mungu bila hivyo utabaki kuhubiri elimu na usimhubiri Mungu.

  • @Kanyawela
    @Kanyawela Рік тому +1

    Uislamu sio dini ya kuingia kama ukielewa mwongozo wa Uisramu

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Рік тому +1

    Wewe mwenyewe umepotea kumuacha Yesu, ulienda kuuza dawa za kienyeji kwa Waislamu kwasababu ulijua na ushirikina watia pia

  • @JosephChai-u1h
    @JosephChai-u1h 4 місяці тому

    Ulitoka ukristo kumbe kumbe haukua unajua chochote umepotea rudi kwa yesu plz

  • @Hshshsueue
    @Hshshsueue Рік тому +1

    Mbona wakimbilia huyo dada pekee badala ya umtafute ismail ambaye wamuita timotheo??

  • @davidmghanga8502
    @davidmghanga8502 Рік тому

    Huyo dada kashajua ukweli kwamba bila YESU hana uzma amebaki mwaipopo hivyo hata mumfuate mwajisumbua YESU yuko hai na anaokoa wasomi na wasiosoma amesoma qrq 4:79 akajua Muhammad katumwa nasi na MUNGU shahidi akarudi kwa BIBLIA akaona mathayo 11:28 akaona YESU akisema njoni mnaoteseka na mizigo nami nitawapumzisha huyo ameona nuru ya ajabu sasa hawezi rudi gizani nami nawaomba kwa heshima mlango wenu uko wazi,kwa YESU kuna uzma

  • @Hshshsueue
    @Hshshsueue Рік тому +1

    Wewe ni chuki tu zimejaa kwa kichwa chako Huna hoja kabisa

  • @deusNjimba
    @deusNjimba 2 місяці тому

    Aliekuja. na qulan ni adui. Wa jiblili huyo ni nani sasa huyo. Tupe majibu

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 2 місяці тому

    Asome quran 2:97 ndo ajue haikuja na MUNGU Bali adui shetani Kwa hivyo mwaipopo uliacha nuru ukaenda gizani unaongea ukiwa gizani ila bado MUNGU amekupa nafasi ya kurudi kwa nuru

  • @PiusiVistusindasiki
    @PiusiVistusindasiki Місяць тому

    Shekhe wewe ulikuwa unahitaji nani atoke upande mmoja na kubadili upande mwingine? Waache watu waupate uzima wa kweli.

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 Рік тому +1

    Dini gani unayoijua wewe?

  • @JacoboMajaliwa
    @JacoboMajaliwa Рік тому

    Waacheni watu wawe na uhuru wa kiimani mtu yeyote anatakiwa kuwa huru kwani wewe ulitoka kwenye ukristo ninani alikufuatilia kiasi hicho unachokitumia kwa huyu dada mwache maana ni mtu mwenye akili zake timamu katika maamuzi yake

  • @NewtonKepha
    @NewtonKepha Рік тому +1

    Acha unafiki wwe mzee ujui unachokiabudu jahanam inakukodele macho sio dini alikua umma moja na hakuna mtume mwislamu hyo ni maneno ya Mohammed