#live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 10

  • @timamulituto
    @timamulituto 2 дні тому +1

    😂😂😂imeisha iyo

  • @MariaMnthax
    @MariaMnthax 2 дні тому +1

    Panya Road mbona limekaa vinzuri

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 дні тому +1

    sema Tu Mwanao Malezi yake hatakuwa mazuri mfano Ahmed Ali ni lini kaita yanga majina mabaya?

  • @Shemahonge-ku7xx
    @Shemahonge-ku7xx 2 дні тому +2

    Huyu mwanao hanaadabu Bado unammudu muambie ajirekebishe kama hiyo fani kaikurupukia ajifunze

    • @michaelmasalago8068
      @michaelmasalago8068 2 дні тому

      😂😂tulieni dawa iwaingie, mbona Sisi huwa mnasema pale Kwa Wananchi kuna watu wenye akili 2?

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 2 дні тому +1

    Wanaongoza kwa kutukana wenzao ni mashabiki wa Simba. Hivi Manara alivyokuwa anasema wenye akili Yanga ni wawili tu mbona mlishabikia sana?

  • @boscomwanisongole9173
    @boscomwanisongole9173 2 дні тому +1

    Mzee umepanic ahmed ally alisema yanga ni maiti mbona hukusema na vip kuhusu manara wakati yupo kwenu

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 2 дні тому +1

    kale ka msemo wanaanchi 2 ndio wenye akili kametoka wapiiii