Hata kama unatenda mema sana lkn bd unalipwa mabaya twendeeeeeeeee Mungu bariki Josephine Mwasulamaaa kila siku naangalia wimbo huu, Mwenye haki atasimama Hata akidondoka atainuka tenaaa
Aseee nipo bagamoyo huu wimbo naona uritumia muda mwingi sana kuutunga tukipata waimbaji Kama Hawa Safi sana mtumishi wamungu najikuta naishiwa maneno ya kuongea kutokana wimbo mzur sana
Kidogo kidogo twende,tusihishie njiani
Naupenda sana wimbo nahakikisha nauangalia na kusikiliza kila siku Barikiwa sana Mama kwa ujumbe mzuri
Mbalikiwe sana mmefanya kazi nzuri 🙏🙏🙏🙏
who's here 2020......what a nice song
Mungu.ni.mwaminifu.ni.mungu.wa.agano
Hata kama unatenda mema sana lkn bd unalipwa mabaya twendeeeeeeeee Mungu bariki Josephine Mwasulamaaa kila siku naangalia wimbo huu, Mwenye haki atasimama Hata akidondoka atainuka tenaaa
Kweli pia unanibariki sana ukweli huu wimbo .mungu akubariki amefanya vema
I love this song too much..... 🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU
Wimbo unanipa nguvu sana huu🎉🎉🎉
Mungu akubari sana mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe mchungaji Josephine napenda sana wimbo huu
f
Aseee nipo bagamoyo huu wimbo naona uritumia muda mwingi sana kuutunga tukipata waimbaji Kama Hawa Safi sana mtumishi wamungu najikuta naishiwa maneno ya kuongea kutokana wimbo mzur sana
Mungu akubariki na tena akuinuwe yani nairudi rudi natoka kenya
Mwny haki akianguka atasimama tena napapenda hpo
mimi siendi kidogo naenda mbio🙋🙋🙋
ubalikiwe mama nice inanibaliki mno
Ubarikiwe. Kwawimbo. Huu.
a very nice song hongera mama kwa kazi njema. kweli mwenye haki atainuka hata akianguka
The girl is gorgeous ain't tripping..
mwenye haki atasimamamaaaaaa🙋hata akidondoka atainuka tenaaaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌kidogo kidogo twendeeeeeeeee wewe twendeeeeeee🙋
Kazi nzuri saaaaaaaan
songa mbele mchungaji kazi yako ni njema sana ubarikiwe
nice sana ubarikiwe kaza buti mama
Hongera mtumishi kazi yako night njema sanaaaa
gari langu nalipeleka speed Ile ya mbinguni 🙋🙋🙋.
naipenda sana hii nyimbo
kidogo kidogo twendeeeeee wewe twendeeeeee🙋🙋🙋🙋🙋🙋
I like the song so much,bless you my pastor
nyimbo nzuli
Uko vzr sana mch barkiwa unatia moyo sana
Nabarikiwa sawa na huu wimbo
Today was the first time i listened to the song and loved the song.
Mungu awabaliki sana wimbo huu unanitia moyo
Aim so blessing
Mungu akubariki sana ni wimbo ambao ulinitia moyo sana
Mubalikiwe sana nime balikiwa nauimbo
Jamani mbarikiwe sana mnaimba vizur
I love this song
Jmn twendeni tusiishie njian
wow!so fantastic
I like it...........so much blessing
Eeeeh Mungu nisaidie kwa hixi changa moto ninazo zipitia
Barikiwa sana mpendwa
Nice song
Amazing song . I'm blessed 🙏🇰🇪🇺🇲
Kazi.nzuri
Mungu.nimwaminifu.ashikaye.gano.lake.👍
kidogo kidogo twendeeeeeeeeeee wewe twendeeeeeee🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌kidogo kidogo twendeeeeeeeeeee👉👉👉👉👉👉👉👉
Haleluya
Haleluyaaa.mpaka.mwisho.(ukamilifu.wa.dahari👍
❤❤❤
that perfect encouragement gospel message
Good
hongera mama.
Wowyougogood😍😍😍👍
Nice
mm nilikuwa naomba uweke video kwenye youtube wimbo wa mateso ya mwenye haki,ule wimbo huwa unanibariki sana.
Naomba uweke na ile albamu ya yako ya mateso ya mwenye haki
So inspiring
Kiboko yawo .
nice
Ubarikiwe. Kwawimbo. Huu
naipenda sana hii nyimbo
that perfect encouragement gospel message
So inspiring