Bila CHANZO HALISI hutoboi. Uliza ueleweshwe Yesu tunampenda Sana lkn Majira yake ilishaisha yupo CHANZO HALISI ndio maana bila CHANZO HALISI hutoboi yaani Babake na Yesu
@@dianaphilbert7913 ni wewe hujielewi. Muombe Mungu akueezeshe kuelewa YESU ni nani. Na mbona hamtaki kumtaja MUNGU kwa jina lake. Chanzo ni nani sasa.
Wakisema chanzo maana yake chemichemi ya kwanza kwahiyo wakisema chanzo halisi wanamaanisha MUUMBA ambaye ndiye chanzo Cha mambo yote ikiwa pamoja na uumbaji wote
Heri nimependa nyimbo zenu ni nzuri sana na zimenigusa Moyo na nikuwa naumwa na wimbi la mawazo kusikiliza tu nikapokea uponyaji❤
Imekuwa hongera sanaa
Tafuta hili kanisa sweetheart hutajutia
Hongera mno.ukikutana na muumba wako lazima upokee uponyaji
An kila kitu kinachotoka kanisa hili ni uponyaji
Karibu kanisani tegeta
Namanga upate Armani ya aliyekuumba
Kazi Nzuri sana, Utukufu kwa CHANZO HALISI, MUNGU MWENYE NGUVU.
Utukufu kwa CHANZO HALISI. Mbarikiwe sana waimbaji wote.
HAKIKA waimbaji wameutendea vema huu wimbo,ni kweli BILA chanzo halisi hutoboi HIJA KIGOMA TANZANIA TUNAKWENDA
Bila chanzo halis hutoboi ......inanifaliji sana hii nyimbo raha sana kuwa ndani ya kanisa halis
Chanzo halisii azidi kuwa inua Kwa sifa hizii hakika tumebarikiwa 🙌
Imekuwa tumetoboa Kwa dam safi nyeupe
Imekaa vizuri
Imekuwa kubwa hiii nyimbo ni nzuli mno chanzo halisi ndani yenu Ameonekana
CHANZO HALISI AMESIFIWA RASMI JUU YA NCHI!! Lazima ataachilia mambo makubwaaaa sanaaaaa maana yeye ndiye MUUMBAJI WA KILA KITU KIZURI 🎉🎉🎉🎉
❤habar imefika❤❤❤❤❤❤❤❤
Ni halisi kabisaa vidio ipo so mmmwaaaaaah
Bila Chanzo Halisi hutoboi imewaka saana hyo nyimbo Ni hatari🔥🔥
UTUKUFU KWA chanzo halisi!! Na Imekuwa kubwa ..
Mood, Well done🎉🎉
Bila chanzo halisi hutoboi kweli
Hongera mno kwa sifa za chanzo
Nawapenda sana
hiyo imekaaa sawaaaaaa
HABARI NJEMA NZURI SANA HII. MMETISHA WAIMBAJI. ❤️❤️
Imekuwa kubwa mnooo 😅😅😅❤❤
Vipi nyimbo nyingne
Zinapatikana
Nice song
Amaizing ....you real made it ,praises and thanks to the real source
Wimbo mzuri sana waimbaji wote mmetulia na video nzuri ..hongeren sana
#bilachanzohalisihutoboi
mwambaaa🔥🔥🔥
Chanzo halisi ni wakati wako,hakuna zaidi yako,
Noma sana 🔥🔥
Hongereni sana utukufu kwa chanzo
Sifa na utukufu ni kwa chanzo halisi❤❤❤❤❤❤❤❤
Jaman mambo nimot kwachanz hali❤❤❤❤
Imekuwa kubwa
Her mlio barikiw nawapenda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💕💕💕💕💕💕💕mnao ng,anga, endeleen lakin ayyy😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
SASA NI TIME YA CHANZO HALISI KUSIFIWA WAZI WAZI.
Nipo Arusha technically college jaman hongereni na wale ambao mpo Arusha technically college tujuane
Iko vizuri hii ni 🔥
The SOURCE mwenyewe
mambo ni mazuri
Ni majira halisi imefika chanzo halisi anatukuzwa sasa😅😅
Chanzo halisi amepata sifa bila chanzo halisi hautoboi
CHANZO HALISI AMETUVUSHA NAKUTUWEKA JUU YA UMBO.
Imekuwaaa🎉
I love this song
Sifa zimurudie alie Tuumba!! Chanzo Halisi
Bila chanzo halisi hutoboi🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Kanisa halisi tunamshukuru mnoo aliyeumba maana sifa zimerudi kwake.
UTUKUFU KWA CHANZO HALISI HONGETENI MNO MNO
Super
🎹Super
Imekuwa
The SOURCE him self
🔥🔥 🔥🔥
Imekuaaaaaa
IMEKUWAAAAA
Sasa huu wimbo tunauomba muuweke na kule ticktok ili tuucheze mana umechangamka sana
Ni HALISI bila CHANZO HALISI Hutoboii
Perfect
❤❤❤
🔥🔥🔥
Amezing
imekuwa
🎉🎉🎉😊
💥💥💥💥
❤
IMEKUWA KUBWA UMILELE WOTE
🙏❤️❤️❤️❤️❤️
💌
❤❤❤❤❤❤
😅
YESU CHANZO HALISI. BILA YESU HUTOBOI.
Yesu ni yesu. Na chanzo ni chanz usichanganye apo tafadhali
Hongereni mno nyimbo nzuri sana.
Bila CHANZO HALISI hutoboi. Uliza ueleweshwe Yesu tunampenda Sana lkn Majira yake ilishaisha yupo CHANZO HALISI ndio maana bila CHANZO HALISI hutoboi yaani Babake na Yesu
@@dianaphilbert7913 ni wewe hujielewi. Muombe Mungu akueezeshe kuelewa YESU ni nani. Na mbona hamtaki kumtaja MUNGU kwa jina lake. Chanzo ni nani sasa.
Wakisema chanzo maana yake chemichemi ya kwanza kwahiyo wakisema chanzo halisi wanamaanisha MUUMBA ambaye ndiye chanzo Cha mambo yote ikiwa pamoja na uumbaji wote
Iko vizuri hii ni 🔥
❤❤❤❤❤❤
Imekuwa kubwa
Her mlio barikiw nawapenda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💕💕💕💕💕💕💕mnao ng,anga, endeleen lakin ayyy😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Imekuwa
❤❤❤❤
❤