Sasa Hivi (An Acoustic Christmas) - Vijana Barubaru sms SKIZA 6987854 to 811
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Sasa Hivi Acoustics, the second song off the “An Acoustic Christmas” EP by Vijana Barubaru, is a love song expressing love in its purest form for a young person of this generation that is managing with what they must give the best love possible. At the same time, it is a modern ode to love as it should be championing the need to love people and give them their flowers now and not tomorrow or any other day, for only today is promised. It is rooted in the realities of love that many experience or wish to experience. The song gives hope to those who seek to love and be loved and courage to those who love and are loved in a world filled with narcissistic hearts and souls. It infuses imaginary love with reality and sparks a sense of love being possible for all, which it is, in the hearts of all those who listen.
Written by: Vijana Barubaru
Performed by: Vijana Barubaru
Audio Produced, Mixed & Mastered by: Ihaji
Video by: Rahim The Filming King
Guitars by: Komora Evans
Stream more of V-Be's works on Spotify open.spotify.c...
Follow Vijana Barubaru on social media platforms
Instagram: / vijanabarubaru
Facebook: / vijanabarubaru
X: / vijanabarubaru
TikTok: / vijanabarubaru
LYRICS
Soon ntakusave na love emoji nitoe official name
PDA bila uwoga juu licence ni Pete
I'll buy some boxers you can share with me
Uwache kuvisit uishi na me
Kifunguu nkutolee copy usizubae kwa gate
Vitunguu tutoane ngozi uchi ujionyeshe
Si valentines nikueke archives pale Kwa TV
Lazma uolewe and it must be me
Kesho yetu usifananishe na Jana
Lami na reli hazitoshani upana
Uchumi mbaya but I'll spend my todays with you
Leo ikona guarantee
Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana
You are my rose but I'll still give you your flowers
Ntakupenda sahii, na ka si sahii, ni Sasa hivi
Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana
You are my rose but I'll still give you your flowers
Ntakupenda sahii, na ka si sahii, ni Sasa hivi
Sipendi your favorite artist but nakupenda nta compromise
Klabu date ya smocha, humind burger sifiki price
Kuona movie Kwa lapi ni intimate, hatuwezi shikana kwa theatre
Nikwandalie candle lit dinner, tokens kidogo vile meter inateta
Kuna tisho flani nimebuy baggy, si tuone vile itakuvaa
Ati games Gani, hapa labda kadi, I'll never play with your heart
Twende house hunting tupange nyumba bila intentions za kuikaa
Naeza kopa gari twende nayo nanyuki but hio ni trip ya njaa
Ugumu wa mkate huishia kwa chai, twende kibanda
Yetu ni simu Iko Kwa moto charge inaenda ikipanda
Buroti maguta maguta you are my fertile kiwanja
Ukipotea ntakutafuta I'm one half you are the other
Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana
You are my rose but I'll still give you your flowers
Ntakupenda sahii, na ka si sahii, ni Sasa hivi
Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana
You are my rose but I'll still give you your flowers
Ntakupenda sahii, na ka si sahii, ni Sasa hivi
Soon ntakusave na love emojiiii, (Soon ntakusave)
Soon ntakusave na love emojiiii, (Soon ntakusave)
Soon ntakusave na love emoji nitor official name,
Ukipotea ntakutafuta I'm one half you are the other (mh mh)
Soon ntakusave na love emoji yo yo oooooh, (Soon ntakusave)
Soon ntakusave na love emojiiii, (Soon ntakusave)
Soon ntakusave na love emoji nitor official name,
Ukipotea ntakutafuta I'm one half you are the other (Sasa hivi)
Twende house hunting tupange nyumba bila intentions za kuikaa...😮😮😮
Ukipotea nitakutafuta I'm 1 half you are the other... Noma sana
Ni Jana tu nimeona hii ninja Maisha Magic kwa Ka-Siri. Keep moving boys, you deserve success
Asante sana! Ninatamani sana nyumbani kwa Kenya. Inasaidia kusikiliza muziki.
Christmas ipo kwa beats ya sasa hivi hii iko very nice 🎉 like of vijana barubaru Kenya 🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤
True definition of pure talent much love kenya.....another reason to be a proud kenyan❤😊😊
Go vijana success all the way
Hapo sawaa🎉
👏👏👏 This is talent.
Mmeuaa❤️🔥🍾🙌🏼🙌🏼
Their songs keeps on vibe
Eeeeiiiyyyy❤❤ festive season 🎉
Iko swadakta❤🔥🙌
This group 💯🔥
I'm waiting for this like Heaven 😊😊😊
vijana barubaru na wewe ❤❤🔥
Be blessed 🎉
sasa hivi 👏👏
👏👏👏
this boys wlai wanjituma bna
I love ❤❤
❤🎉🎉
One of the best my g's #peacy026
Tamu Jamani
𝙑𝙞𝙟𝙖𝙣𝙖 𝙗𝙖𝙧𝙪𝙗𝙖𝙧𝙪 𝙗𝙞 𝙬𝙖𝙠𝙖𝙡𝙞 🔥🔥🔥
Merry Christmas
Nice band indeed
Muito boa música e vozes
💯✌️🔥🔥
Nice melody
❤❤❤
Hii mumeikamua ya kutosha bana
It's sad vile Kenyans mlikataa kusupport wasanii wetu kabisa. Kazi ni kuropokwa vile ati Kenya akuna wasanii wako na content
Just released another song hii imeeboo ....
😮
Wapi like ya @vijana barubaru tafadhali 🥳🥳