DOTTO MAGARI APAGAWA NA SHAPE LA ALIYEKUWA MKE WA RICARDOMOMO MALAIKA AKUBALI NIMUOE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 вер 2024
  • Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
    Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
    Na kulike facebook page Bongo trendy online

КОМЕНТАРІ • 34

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Місяць тому +5

    Dotto kamsifiya hadi anapoteza fahamu asikudanganyi mtu wanawake wanapenda watu waongowaongo Alafu watanashati

  • @Naju645
    @Naju645 27 днів тому +4

    Allah awape ufaham waakili namoyo saf nan amuonee donge kwakukaa uchi uchi jaman

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r Місяць тому +4

    Mike mbovu mikwaruzo ka koo la chidi benz

  • @atomphoton5000
    @atomphoton5000 Місяць тому +4

    Huyo kamera wako afukuzwe kazi anatakiwa kutuonyesha vitu vizuri zuri lishape lionekane.

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab Місяць тому +1

    Jamani Doto Kitambi Mimba Mwanamke Fulati Wanaume Tupunguze Vyakula Vya Mwendo Kasi Watu Wanapenda Makalio Makubwa Lakini Wenye Mawowo Wazuli Kutembea Nao Inje Njiani Lakini Kwa Kitanda Akuna Isipokua Apo Doto Kapangwa Amsemee Yani Amtangaze Mdada

  • @MbongoBoy-yg9tq
    @MbongoBoy-yg9tq Місяць тому +3

    Doto bwaaana

  • @BibieMakame
    @BibieMakame Місяць тому +1

    Mtihani mrudieni mungu

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 7 днів тому

    😂😂😂😂the most talked

  • @HakizimanaFiston
    @HakizimanaFiston 29 днів тому

    Doto noma ❤😂

  • @user-dk6zr9ed6m
    @user-dk6zr9ed6m 28 днів тому

    Unaaibu unatembea uchi mtihani Sana Allah atuongoze

  • @frankmlinda1181
    @frankmlinda1181 Місяць тому +1

    Eti toka na kichogo chako😂😂😂😂😂

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed Місяць тому

    Hiii nchi ina mambo kweli kweli 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😅

  • @JibrilBanga
    @JibrilBanga 14 днів тому

    Bonjour

  • @maziku330
    @maziku330 13 днів тому +1

    Cameraman rud shule lol 😢😢

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 6 днів тому

    Dotto magar kameza CD nn maneno tuu hata hachoki

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk Місяць тому +1

    Dotto kavamia interview ya mtu kahojiwa yeye

  • @user-nf1tg3kt3y
    @user-nf1tg3kt3y 29 днів тому +1

    Kuna mbavu kama zote

  • @mkalimala3564
    @mkalimala3564 19 днів тому

    CAMERA ANGLER KAKALIA WAP

  • @rashidsaid1092
    @rashidsaid1092 Місяць тому +1

    Ana aibu kitovu nje eti Nina aibu sana

  • @claudineali3561
    @claudineali3561 14 днів тому

    Angelikuwa murembo angelibaki kwamumewe.

  • @jacksonfungo9613
    @jacksonfungo9613 11 днів тому

    We katengeneze maiki zako kwanza izo sauti haiskiki

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 Місяць тому +1

    Kama uyu Kenya tunaitaga msosi ya wadozi

  • @zephaniazacharia519
    @zephaniazacharia519 25 днів тому

    Mwsho wa sku anaenda chooni

  • @joshuamlolwa2469
    @joshuamlolwa2469 29 днів тому +1

    Mic 🎤 🎙 mbovu ..acheni aibu zenu karne hii ya technology. Mic mikwaruzo ndio jina lenu jipya la channel

    • @bongotrendytv
      @bongotrendytv  29 днів тому +3

      @@joshuamlolwa2469 tumekuelewa Mkuu tutalifanyia kazi

  • @VendaMedia
    @VendaMedia 6 днів тому

    😂😂😂😂😂

  • @somoesomoe8490
    @somoesomoe8490 22 дні тому

    Mnafki uyu eti anaona aibu 😂Arafu a natembea uchi mfyuuu

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz Місяць тому

    Ila dotto😂😂😂😂

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj Місяць тому +1

      😂😂😂 Ila jamaa msenge sana aisee, kimasihara mwisho mzigo anakula.

  • @mohamedmagongo9348
    @mohamedmagongo9348 28 днів тому

    Kweli Wanawake wazuri wameolewa na Wanawake warembo wana zurura hovyo mitaani!😂

    • @spreadlove5300
      @spreadlove5300 21 годину тому

      Jamani kuolewa ni choice kama zingine huyu talaka aliitaka yeye 😮😮😮