VILLAZA ''Sehemu ya Kwanza''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • #MADEBE_LIDAI #NABIIMSWAHILI
    HII NI FILAMU INAYOUSIANA NA MASUALA YA KUKEMEA WIZI PAMOJA NA TAMAA YA MALI KUPITIA KITEGA UCHUMI CHA KUMUOZA MTOTO WA KIKE

КОМЕНТАРІ • 241

  • @zou7470
    @zou7470 3 роки тому +23

    Tujuwane tulokuwa tume miss madebe🤗🤗🤗

  • @kanaanimpya2340
    @kanaanimpya2340 3 роки тому +11

    Unakuja juu sana kaka lakini wakati mwingine ni muhimu pia kuwasikiliza mashabiki wako wanataka nini.
    Filamu zako nzuri sana na zinafaa kutazamwa na kila rika lakini pia zinafundisha wakubwa kwa wadogo tatizo kubwa ninaloliona na wanalolipigia kelele watu wengi ni mwendelezo wa movie.
    Hakuna sababu ya kutunga story nyingin kama ya kwanza haijaisha ni bora upige mwanzo mwisho then uanzishe nyingine, hivi vipandevipande vinaboa sometime manake mpk utoe mwendelezo wake tayari mtu ashasahau story yenyew ilianzia wapi na aliishia wapi kwahiyo inakuwa inatoa utamu wa movie.

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 2 роки тому

      🙏

    • @emmanuelpaul7646
      @emmanuelpaul7646 Рік тому

      fact

    • @HidayaHidaya-e8o
      @HidayaHidaya-e8o 2 дні тому

      Kweli kabisa kama mkwajuu ndio iliisha ivyo yani shida yake kumbwa amalizi move zake mali ya ndimu nayo pia iko nusu twakuomba bana maliza vipande ulivyo vibakisha plzzz coz sote ni tamu

  • @abdulhemedabdulhemed7110
    @abdulhemedabdulhemed7110 3 роки тому +14

    Ukisikia kustakiwa ndio huku madebe haki usipo tupa hii part 2 na matusi tunakushitaki bila uoga wangapi wanasopot hilo wanipe like hapo

  • @omanbarka2053
    @omanbarka2053 3 роки тому +10

    Leo wakwanza naiangalia live nikiwa omani ahsante madebe nikiangaliya move zako najifunza

  • @mcheshcomedy5809
    @mcheshcomedy5809 3 роки тому +49

    NIPENI likes ZA MTAALAMU WA SANAA TZ NA AFRICA MASHARIK

  • @mashauriwapwani
    @mashauriwapwani 3 роки тому +21

    Villaza..... Wakenya pitieni huku

  • @nooragana9668
    @nooragana9668 3 роки тому +6

    Safi sana madebe Hongera yko tunasubir mwendelzo tafadhali uko sawa Nakkubali

  • @abdulhemedabdulhemed7110
    @abdulhemedabdulhemed7110 3 роки тому +7

    Mm kazi yangu kuu kuangalia move za madebe nauhakika hua anatupa vile tunavyo vitaka ila hua yuatuumiza hatupi mpaka mwisho wangai wanamdai madebe wanipe like ....+254

  • @mukaplatnumz2313
    @mukaplatnumz2313 3 роки тому +11

    Daah! Hii muvie inamaana sana haswa kwa watu wenye kusaidiana, pole madebe kwakukabiliana namzigo usiyo kuhusu. Tusubiri part 2😢

  • @halifahemedi7776
    @halifahemedi7776 3 роки тому +4

    Kama umemuona mwizi amevaa kanzu..gonga like

  • @salehalmujaini7633
    @salehalmujaini7633 3 роки тому +53

    Wakusoma comment tujuane

  • @ladyyes4394
    @ladyyes4394 3 роки тому +5

    Japo nimechelewa naomba like za kichelewa njamani....huku tukisubiri matusi sehemu 6.sijuwi hitakuja lini😷

  • @aminasuleiman6867
    @aminasuleiman6867 3 роки тому +5

    Hongereni nyote no one like u madebe big up mwenye hajaangalia yuapitwa

  • @aminaissa8581
    @aminaissa8581 3 роки тому +4

    Nakukubali sana madebe aukoseagi kazi nzuli

  • @akimanasalim9063
    @akimanasalim9063 3 роки тому +7

    Ongera saana Kaka kazi nzuri saana Ila sio uchelewe kutupatia sehem inayo fwata🙏

  • @rockxiadacaptain6559
    @rockxiadacaptain6559 3 роки тому +2

    Madebe movie zako ni kali sana Ila cku ukitoa movie na Gabo itapendeza mnoooo

  • @musaathumani1545
    @musaathumani1545 3 роки тому +5

    Hiii move ya mdaaa sana tupee mwendelezoo wake

  • @omarikingo617
    @omarikingo617 3 роки тому +20

    Tatizo lako lipo kwenye mwendelezo unachelewa sana kutuma mpaka movie tunasahau tuliiishia wap Tuma kitu weka kitu hapo hapo

    • @danielmkama24
      @danielmkama24 3 роки тому +1

      Ndiomaana zinauzwa kaka!
      Kwaiyo ni vizur ukamchangia

  • @mariamahmad1716
    @mariamahmad1716 3 роки тому +3

    Madebe allahubarik wajua kutufurahisha

  • @xyz0156
    @xyz0156 3 роки тому +1

    Madebe hubaatishi hongera sana... Usitucheleweshee muendelezo

  • @sirnyongesa7455
    @sirnyongesa7455 3 роки тому +7

    Daah, hii nayo kali mkuu, imenisisimua hisia sana.
    Huyu jamaa wa kipekee kwenye sanaa. Mola azidi kukurehemu Bw. Madebe.

    • @chamastorch
      @chamastorch 3 роки тому +1

      Anazingua huyu jamaaakwa mwendelezo

    • @sirnyongesa7455
      @sirnyongesa7455 3 роки тому

      @@chamastorch tena sana, wa kipekee tena sana

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 3 роки тому +1

    Ebana hiii ni noma kweli bint afie chumbani kwako allah atuepushe na hiii kitu hapo ni jela tu

  • @r.kassimtoutautre3432
    @r.kassimtoutautre3432 3 роки тому +2

    Kitu bomba 🇧🇮Who lives 🇹🇷

  • @Mwl_Swalo
    @Mwl_Swalo 3 роки тому +22

    Mkuu tunaomba utukumbukemo na sisi wafuasi wa series ya Matusi

  • @egoistdelikertz6607
    @egoistdelikertz6607 3 роки тому +2

    Hongera kwa kaz nzuri unayo ifanya kaka

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 2 роки тому

    Classic movie madebe nakukubali bro big up kazi nzuri

  • @mcheshcomedy5809
    @mcheshcomedy5809 3 роки тому +5

    Movie Kali Sana MY KING BROTHER .@JOHN MARCELLO 🎬📧

  • @cetus7885
    @cetus7885 3 роки тому +3

    Madebe dah uko vizuri sana aisee big up sana kaka

  • @allymazige985
    @allymazige985 3 роки тому +5

    Amazing dialogue, Madebe una deserve Crown

  • @safarisilas4999
    @safarisilas4999 3 роки тому +2

    Madevu kutoka Mombasani hii film iko majuu

  • @asmatabdallah1368
    @asmatabdallah1368 3 роки тому +1

    Na kukubali sana jembe langu

  • @Atb300
    @Atb300 3 роки тому +1

    Niliwahi kuangalia bongo movie story IPO ivi ivi😀😀wabongo bahn cjui tunafeli wapi Ila nakukubali bro 👍

    • @salhatphidelis8884
      @salhatphidelis8884 3 роки тому

      Kweli tena alikuwepo na riyama ally ndio Alikuwa dada mtu wa marehemu

  • @aziboyleonard434
    @aziboyleonard434 3 роки тому +3

    Big up Sana hii ni more than pain
    Isikie tyuu usiombe ikakukuta mzeee

  • @stephenstephen5586
    @stephenstephen5586 3 роки тому +3

    Madebe una feli sana malizaga movie

  • @resas_nation210
    @resas_nation210 3 роки тому +4

    10:45 naombeni munisaidie jina la huyo msanii n nyimbo

  • @fatumasalumu9086
    @fatumasalumu9086 3 роки тому +1

    Kazi nzuri sana

  • @supaboytz2729
    @supaboytz2729 3 роки тому

    Daaahh Yaan Huwaga Nawaza Sana Unapoandaa Filamu Zako Unatumia Muda Gani Kukamilisha..!! Maana Unatumia Akili Nyingi Sana..

  • @pendomacha3355
    @pendomacha3355 3 роки тому

    Mwenelezo madebe ufanye mapema bro ni nzuri inafunza mie misaad kumpea mtu no

  • @asmatabdallah1368
    @asmatabdallah1368 3 роки тому +7

    Kama ume muona mwizi ame vaa kanzu gonga like 🤣🤣🤣

  • @travellerjohn1169
    @travellerjohn1169 3 роки тому

    Big up sana kwa movie nzuri kaka madebe like zake please wazee💯💯💯💯

  • @jamilaingu7922
    @jamilaingu7922 3 роки тому

    Villaza yaelekea kuwa moto ,lkn tamthilia za madebe zaishia namba 5 mlijue ilo wadau ,anayenikubal naomba like yake 👍

  • @vicentpaul5814
    @vicentpaul5814 3 роки тому +1

    Nakubali hii Kali kinoma

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 3 роки тому +2

    Hii nyumba aliyopanga lidai pambe🤗🤗 ipo changalamu

  • @mikyfosikama8752
    @mikyfosikama8752 3 роки тому

    Move nzuri sana nangalia nikiwa saudi.arabia

  • @kilungule
    @kilungule 3 роки тому

    Bwana harakisha nyingine mkuu mambo ni fire

  • @Thebking
    @Thebking 3 роки тому +2

    series nzuri saaana.

  • @mashawarioba5388
    @mashawarioba5388 3 роки тому +1

    Upo vizuri kaka napenda kazi yako......🙏🙏🙏

  • @othmanraphael7517
    @othmanraphael7517 3 роки тому +2

    Love you madebe

  • @hamisirajabu8872
    @hamisirajabu8872 3 роки тому

    Hii song iliyoimbwa humu ndani nzuri sanaa

  • @khaliddesire0084
    @khaliddesire0084 3 роки тому +2

    Sure Madebe👍

  • @aminasaid7657
    @aminasaid7657 3 роки тому +1

    Hyo nyimbo ni moto

  • @mariammussa4593
    @mariammussa4593 3 роки тому +2

    Nzuriii xana ❤️❤️❤️😘😘

  • @georgethomy1212
    @georgethomy1212 3 роки тому +3

    Keep it up broe,

  • @ozagreatestvideoever943
    @ozagreatestvideoever943 3 роки тому +5

    Filamu Nzuri Ila kosa la kwanza nililoliona ni huyo dada wakati ameingia ndani anakuelezea hali ya nje kosa alilofanya ni kumuangalia camera Man

  • @gracesikalion9486
    @gracesikalion9486 3 роки тому

    duh pole sana madebe

  • @PH10735
    @PH10735 2 роки тому

    Of course madebe unajua brother 🙏🙏

  • @rahmaomar9646
    @rahmaomar9646 3 роки тому

    nimeipenda sana tena sana ila sjui mwisho itakuaje

  • @ramadhanimrina3968
    @ramadhanimrina3968 3 роки тому +3

    Upo vizur ww mkali madebe

  • @hajielmi7518
    @hajielmi7518 3 роки тому +7

    Matusi imefikia wapi

  • @yasminali6195
    @yasminali6195 3 роки тому

    Nakubali movies za bwana madebe kwa kweli elimu tosha

  • @zahariasongolo9362
    @zahariasongolo9362 2 роки тому

    Bonge moja la idea mzee baba

  • @kasigwaiddy9045
    @kasigwaiddy9045 3 роки тому +1

    Nice bro

  • @kaliuaonlinetv5166
    @kaliuaonlinetv5166 3 роки тому +1

    Nice movie

  • @magrethmaganga1983
    @magrethmaganga1983 3 роки тому +1

    Bro madebe upo vzr xn bc tunaomba muendelezo wa matusi jmn

  • @Collinscj
    @Collinscj 3 роки тому

    Madebe Lidai mtaalamu wa sanaa Afrika.

  • @abubakarsalim1505
    @abubakarsalim1505 3 роки тому

    Binge la jicho mzee madebe

  • @congofizi25K
    @congofizi25K 3 роки тому +2

    Nice

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 3 роки тому

    Madebe punguzeni muzic nimukubwa sana jamani 👂🙏

  • @geewara6385
    @geewara6385 3 роки тому +3

    Oyaaaa hili ni bonge moja LA msala 😂😂😂😂

  • @abokeasukulu7608
    @abokeasukulu7608 3 роки тому

    😯😝😝😀😀😀😀sasa hapo itakuwa aje jamani naona bwana madebe macho kodo nyuma kwa nyuma😀😀😀 jamani niatari sana mazee ilakwautaratibu bado tunasubiria seem ya pili 2 sawasawa

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 роки тому

    Madebe kiboko unalala ndani na MTU anakufia hiyo kesi utaipeleka wapi ndugu yangu sijui wacha🏃🏃 nikufuatilie Zaidi

  • @suleimanjembe3493
    @suleimanjembe3493 2 роки тому +1

    Wonderful 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @nderindichu8754
    @nderindichu8754 3 роки тому +1

    Wa kwanza kutoka kenya +254

  • @shabanisaidi6294
    @shabanisaidi6294 3 роки тому +1

    Wimbo unaitwaje jaman

  • @boscoyagga5199
    @boscoyagga5199 3 роки тому

    Madebe ww number 1 Tanzania

  • @3kings63
    @3kings63 3 роки тому +3

    Nime penda hii cheni
    Dada wa marehemu ni danga tena jirani+dereva baba wa mtoto
    Kaka wa mwalifu ni anaye dai

  • @othmanshaib9089
    @othmanshaib9089 3 роки тому +1

    Mzee baba madebe lidai wanao haututendei haki matusi wapi sasa imeishia

  • @salimsaleh6423
    @salimsaleh6423 3 роки тому +1

    P tunasubir muendelez

  • @emmanueldrawerhq7526
    @emmanueldrawerhq7526 3 роки тому +1

    Hussein Machozi uko wapi huku mambo yamejirudia. Njoo utupe mbinu ulifanya vipi kile kipindi asee!

  • @issamchocho98
    @issamchocho98 3 роки тому +1

    Good work

  • @amlanniamimuafricatz5745
    @amlanniamimuafricatz5745 3 роки тому

    kwastairi hiii bongo movie yakwako2 bira kupingwa kaka

  • @radi902
    @radi902 3 роки тому +1

    Hyo wimbo inaimba background ni ya Nani jamani

  • @samsonbaruani865
    @samsonbaruani865 2 роки тому

    is good god bless you

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 3 роки тому

    Nzuri sana kabisa

  • @sultansoule2571
    @sultansoule2571 3 роки тому +1

    Matusi imeishia njiyani vipi?

  • @mussahsaidy37
    @mussahsaidy37 3 роки тому

    Madebe wewe ni fundi sana, kazi nzur

  • @kasigwaiddy9045
    @kasigwaiddy9045 3 роки тому +2

    Dah ! Usiombe ikukute hii hali

    • @yotehapatv7705
      @yotehapatv7705 3 роки тому

      Acha BROOO Atari sana

    • @musakanyundo2127
      @musakanyundo2127 3 роки тому

      Duuuu unaweza kuhisi umemkosea mungu kias kwamba huna thaman dunian nixhda

  • @munirachangawa2776
    @munirachangawa2776 3 роки тому

    Wah hii movie Kali.ndio inaanza lkn motooo

  • @charlssimon228
    @charlssimon228 3 роки тому +1

    Iko pow

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 3 роки тому +3

    Kabla cjamaliza nianze na 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @samratsuleiman2066
    @samratsuleiman2066 3 роки тому

    Like zinaburudisha waduu .kama vipi tujuane

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    Huyudada kuongea hajui jamani siujibu mtu kistaraabu haya kafia geto🤣🤣dada mtu huyo koma namajibu yako🤣🤣🤣🤣🤣Hussein machoxi kasema hahaha ila madebe anaakili vilaza nao wako mdomo wazi kama papa wanaosubiria vywakula kwenye meli

  • @babakey5395
    @babakey5395 3 роки тому

    Madebe is unstoppable

  • @fatumaomar2542
    @fatumaomar2542 3 роки тому +1

    Matusi umekatisha umetuletea hii nayo sijui vipi km tutaletewa mpk iiishe mwisho au ni ayo ayo.....

    • @brain_ujazo
      @brain_ujazo 3 роки тому

      Matusi IPO hadi namba 5 imeisha vizuri tu

  • @fordraymondjohnson2380
    @fordraymondjohnson2380 3 роки тому +1

    Nyie mnao deslike mafunzo mazuri kama haya mna akili zipi na mnawaza nn?
    Mnapungukiwa nn?

  • @lennyally5526
    @lennyally5526 3 роки тому

    Daah...!

  • @mariamshaban7555
    @mariamshaban7555 2 роки тому

    Mwendelezo napataje

  • @ambrocmosses9380
    @ambrocmosses9380 3 роки тому

    Iko vizur mtaalam

  • @Bk-jd1im
    @Bk-jd1im 3 роки тому

    Nmeilewa vilaza

  • @azwedymursal9397
    @azwedymursal9397 3 роки тому

    Kali