😂😂😂😂😂😂😂. Makokha usichukue hio kuku bila imondo kimila ya kiluhya inakataa wewe ndio kichwa ya nyumba lazima ukule imondo kifua ni ya Kawera na bado hakuna makanyagio na matumbo Tevi kijana yako atakula nini kwa sababu waluhya tunafunganga matumbo kwa miguu ya kuku tunapika pamoja Tevi atakulia hio ugali...😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Confirmed By Fun No1 Vihiga Finest Official 👑
Imondo wee😂😂😂😂 only luhya will understand makokha wee😂😂😂
Even kisii will understand 😂😂😂 infact all western Bantu share some same words
😂😂😂 bila imondo sio kuku
Eti makhoa kifaranga ni helicopter 😅😅
Umeingisa vidole mara ngapi😂😂
Enyewe makokha ndio mwenye nyumba, iko wapi emondo😂😂😂
😂😅😂😂
My best comedian.🔥🔥🔥
Emondo😂😂😂😂
😂😂😂 eti ata makanyagio akuna
Hiyo ni ukweli 😂😂😂😂😂
Makokha ulihamakwa nyumba expensive😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂. Makokha usichukue hio kuku bila imondo kimila ya kiluhya inakataa wewe ndio kichwa ya nyumba lazima ukule imondo kifua ni ya Kawera na bado hakuna makanyagio na matumbo Tevi kijana yako atakula nini kwa sababu waluhya tunafunganga matumbo kwa miguu ya kuku tunapika pamoja Tevi atakulia hio ugali...😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 imondo, mtu anaita nyundoo😂😂
Io kuingiza mkono hatari sana
Nice one
😂😂😂😂makoha
😂😂😂
Firigisi emondo ya kuku sio matumbo ni utumbo
Na nyinyi waluhya niambien imondo n nini
Gizard
Hata wakisii tunajua we are all western Bantu 😂😂😂
😂😅😂😅
💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
😂😂😂
😂😂😂😂