Mimi hapa nakushukuru sana dada loise nilitumia mkojo wangu kwa kuogea kwa kunywa Sasa hivi sioti ndoto mbaya naelewana na watoto wa boss wangu kazini nilikuwa natumia mkojo wangu na chunvi ya kupika na ndimu ssa hivi mambo yananinyokea nakubalika na kila mtu popote ninapoenda barikiwa sana dada loise
Assalamu alaikum samahani dada mimi shida ninayo siyajuwi magadi kawani mimi ni mwenyegi wa Rwanda dada taafadwali nawomba unambie jina lingine ili niweze kutafuta hayo hayo magadi kwenye super market. Nitashukuru Sana kabisa
Yaani maisha yangu yote ninashi na magadi na yakiisha ninaafgiza mengine nyumbaani natumia,na huwa natumia kudekia ndan na kuogea,hata ukiwa unaurusha nje unaondoa nuksi na mikosi,Haloooo bibi yangu aishi miaka mingi maana ndo alinifunza matumizi ya magadi🔥🔥🔥
Nipo Congo nipo na uchuuda nanatoa chukrani kwako nasema Asante mimi naoga mkojo nachumvi ya mawe itaji langu nimetimiza nusu kwaharaka atakama sya maliza ila nilipata pesa gafla 190$ kwasiku moja likapewa na boss yangu
Daaah umenigusa asante nimeanguaka mara nyingi kwenye biashara ufugaji na mume wangu huwa anafurahi sana sijui ni kwanini sasa nitapambana kwa juhudi zote nguvu za ulimwengu zinisaidie naamini ktk hizo maana kuna masomo unafundizha najikuta nipo hivuo hivyo lkn kufanikiwa inakuwa ngumu niko nyuma sana .Isaya 60: 1 natembea nao sasa
Mhhh da lois kuna vitu naona ,abadiliko nitakutafta kuna hii kubwa yao ikitiki sina business kutoashukrani sana kwa mungu na kwako pia niombee hilo dili likamilike
hizo hela zinazoingia inatoka wapi Mmmh mm kwa swala la hela kuingia tu cwez kuamini labda mtu kakosea labda Mungu anipe nguvu na abariki biashara yangu nipate hela ila cyo hyo ya kuingia tu
Tabibu lazima uoge na huo mkojo wenye magadi asubuhi tuu? na kama mpenzi wako alikublock bila sababu ataku uniblock na kurudisha mawasiliano kwa muda gani?
Dada asante sana leo nimetumia magadi wteja wote wliokua wananpita wote leo wmerudi dukni kwangu❤❤❤❤
Asili idumu milele❣️❣️
Ok, tabibu wetu barikiwa sana tunakupenda ❤❤❤
@@veronicamaganga8737 karibu❣️❣️
Pole dada unipejibu dada nifanyeje
@@urbainpalanguapalangua8788 utanipigia
Asante sana kwa mafundisho mazuri hakika Mungu akuzidishie umri mrefu.
Asante sana hizo zote zinafanya kazi,zinafunguwa kbisa
Nahitwa zabibu Niko Congo nimeshukuru Sana mkojowangu unamponyamwanangi ❤❤❤
@@ZabibuZabibu-te2js hongera sana aliugua nini?
Safiiiiiii SANA. Mungu akulinde
Ahsante kwa upendo Tabibu
Ubarikiwe dada miye Niko Congo DRC
@@AngeMulondani karibu
Mungu akubariki sana dadangu
Habari dada Mungu akuzidishie uko vizuri
Asante 🙏
Asante sana kwa ushaur mzuri mama, naulizia vipi kuhusu dawa ya chembe moyo wengne wanaita kajembe
Ipo Dozi ya Wiki mbili unapona utanipigia
@@tabibulois ahaa sasa mama ipo ya shingap arafu mimi nipo mkoa wa mwanza
@@VailethBaltazari namba Ipo hapo utanipigia
Asante sana,mungu akuwe nawe.niko na swali..unatibu mgongwa wa bladder ikiwa loose ,ambayo mtu akisikia haja ndogo ama kubwa,hawezi kujicontrol ,?
Mimi hapa nakushukuru sana dada loise nilitumia mkojo wangu kwa kuogea kwa kunywa Sasa hivi sioti ndoto mbaya naelewana na watoto wa boss wangu kazini nilikuwa natumia mkojo wangu na chunvi ya kupika na ndimu ssa hivi mambo yananinyokea nakubalika na kila mtu popote ninapoenda barikiwa sana dada loise
ila tu ni majipu yametokea mengi kwa mwili wangu. Namini Mungu ataniponya
Mm Mambo hayaend dada yaan nashindwa kufanya maamzi pia naota nikoshule jmn msaaada
Assalamu alaikum samahani dada mimi shida ninayo siyajuwi magadi kawani mimi ni mwenyegi wa Rwanda dada taafadwali nawomba unambie jina lingine ili niweze kutafuta hayo hayo magadi kwenye super market. Nitashukuru Sana kabisa
Yaani maisha yangu yote ninashi na magadi na yakiisha ninaafgiza mengine nyumbaani natumia,na huwa natumia kudekia ndan na kuogea,hata ukiwa unaurusha nje unaondoa nuksi na mikosi,Haloooo bibi yangu aishi miaka mingi maana ndo alinifunza matumizi ya magadi🔥🔥🔥
Hongera sana ❣️
@@tabibulois Asante mumy😊
Magadi ndo nini sister
OK Kwa hiyo yanakusaidia?? Matumizi yakoje na hayo magadi ya Moshi hapa dar yanapatikana wapi?
Magadi ni nini bro
Samahani hayo magad ya Moshi yakoje maana wengine tuko mbal
Dada mkojo tunaoga mwili mzima au usoni tu?? Na kama ni usoni tukimaliza kuoga tunamwaga? au
Mom mimi ni mkenya, naomba unielezee magadi ya moshi ni nini Kwa kizungu. Please mom🙏
Magadi ya kawaida tu
Nipo Congo nipo na uchuuda nanatoa chukrani kwako nasema Asante mimi naoga mkojo nachumvi ya mawe itaji langu nimetimiza nusu kwaharaka atakama sya maliza ila nilipata pesa gafla 190$ kwasiku moja likapewa na boss yangu
Ameen mpendwa ni nguvu za universe 🙏🙏
Dada naanza kufanya unverse najikuta naanza kuamin iz nguvu za yunverse
Asante
Mimi sijui made ya moto no majifu?
Mm silipwi pesa zangu nifanyeje
asante sana dadangu hiyo magadi ni yale tu ya kawaida ama
Dada yetu nakuombea mungu akupe umri murefu ju unasaidia watu wengi sanaaaa barikiwa sana sana
Ameen mpendwa Asante sana 🙏
Jambo maman mwalimu mimi n'a itwa omari Niko Congo drc naomba Kuni elewasha kuhusu vizuizi vya maisha
Utanipigia Wsp
Nimekutamani sana nakutafuta dada
Karibu ❣️❣️
Asante kwa elimu hiiii
Asante dada kupitia kwa mafunzo yako ndoa yangu ilipona nadekeswa kama mtoto. Nakushuru
Waooh Mungu ni mwema Asante sana
Ulitumia remedy ipi?
@@tabibulois nilitumia mkojo wa asubui.
Dada mimi ndotto bado sioti nilitumia malimao
Asante.dada.ninaushuuda.kupitiya.mukojo
@@NdayishimiyeFrançoise-f3f hongera mpendwa nipe Ushuhuda 🙏
Nina amini katika nguvu za ulimwengu mimi ni tajiri Amina
Na imekuwa 🙏
Mungu akubariki mama
@@WalimbeAlimbe Ameen ❣️
Dada magadi hayahaya yakuweka kwenye mlenda au kunamagadi tofauti tofauti
Hayo hayo mpenzi
Daaah umenigusa asante nimeanguaka mara nyingi kwenye biashara ufugaji na mume wangu huwa anafurahi sana sijui ni kwanini sasa nitapambana kwa juhudi zote nguvu za ulimwengu zinisaidie naamini ktk hizo maana kuna masomo unafundizha najikuta nipo hivuo hivyo lkn kufanikiwa inakuwa ngumu niko nyuma sana .Isaya 60: 1 natembea nao sasa
Uko sawa ❣️
Asante dada kwa SoMo zuri
Jambo maman, naulza magadi njo nini?? Mungu akubariki sana ❤
Dada darasa hili limenisaidia saana katika maisha yangu mungu akubaliki
Umefanyaje
Samahan dada ivi nikichanganya mkojo na magadi na hiyo karatasi ikiwa kwenye glass baada ya hapo naifanyaje
Thnks kes ushauri wako,,,,,😃
Ubarikiwe saana dadangu 🙏🙏🙏
Asante sana❣️
Plzz wengine tusayidiye kutujib kwenye wasaph sisi hatuna lakukuliph ila mungu atakuliph
DAda mm nilitoa mimba naomba dawa ya kuondoa mikosi maan nachofany chote ni zero ila na elfu kum na tan tu mama
Jambo Dada mungu akubariki kwa mafundisho mimi niko Burundi ningependa kujua magadi nini?
@@IsaïeBisekere kwa Kirundi sijui, tumia Chumvi Ya Mawe badala ya magadi
Ok merci beaucoup mère Boss 🤝
Bei ya uvimbe wa mwanamke, dozi, bei Gani,
Itategemea na ukubwa yaani sentimeta utanipigia
Niko marakani mkojo na weza kuongeya nayo kila siku nishachoka na maisha 😢😢
@@MamiKashindi-p4z ndiyo kwa situation 40
Uwo mkojo tunachhanganya namaji am
Asante dada je kama Sina magadi...ya moshi au magadi.yoyote?
Nisaidie.mama.ninapopata.febha.inaishahatamipango.haikamiliki.
Utanipigia
Tabibu kwani ukikata kopo la maji na ukafanyia hiyo remedies ya mkojo na magadi haiwezekani au mpaka glass tuu?
Asante sana
Karibu
Mhhh da lois kuna vitu naona ,abadiliko nitakutafta kuna hii kubwa yao ikitiki sina business kutoashukrani sana kwa mungu na kwako pia niombee hilo dili likamilike
Je magad mengine niyamawe et
Ndio hayo hayo sema kayasaga tu
Nimejifunza.mama.ubalikiwe.nipokigoma.nitapataje.magadi?
Magadi utapata sokoni, au maduka ya dawa za asili
Ni kwel dada naona mafanikio❤❤❤❤🎉😅😂
@@GRACELIMA-l1l hongera sana
Dada yangu nimeanza kutumia naona hata uchumi wangu umebadilika
@@HusnaRichard-l2b hongera sana 🙏
Asante ndg yangu mungu akubariki
Karibu sana 🙏🙏
Asante dada
Please help me Magadi ndo nini???
Unalipia.shillingi.ngapi?
Yani nafanya mana nilikuwa naona kinyaaa buana 🤣🤣🙌 nafanya kabisaaaa
JAMBo dada. Yangu na itaji. Video. Yamukojo. Nasukari. Nacumvi. Yamawe
Tabibu je unaruhusiwa kuogea kwenye bafu lililounganika na Choo?
Ndiyo
Anaweza kukutumiya Hera kivipi dada
Ivyo vitapatikanaje?hapakwetu Uganda hatunavyo kwa upandenginenapiga shukran
Nauza magadi ya Moshi natuma popote
@@babyshinetv8107fursa hiyo😂😂😂wachaga tuko vizuri kweli
Naomba namba yako nikupigie nataka unieleze kuna somo sijalielewa
Asante 🙏🙏🙏🙏
Karibu Sana 🙏
Je,kama hauna grass
Dada nikikosa hayo magad ya moshi naweza kutumia magadi ya kawaida?
@@JasminSaid-l2c Tumia Chumvi Ya Mawe
Na Hy pesa ya usharudi ni bei Gani dada yangu?
Asante dada ninaimani mmi nitajiri naamini kwa nguvu za ulimwengu
@@fadhilieshaismail9923 Ameen fanya remedy na Kazi utakuwa milionea
Mimi niko navinyama ndani yamacho unaeza nisaidia aje?
Nitakutibu utanipigia
Niko kenya
Uku kenya hio magadi ya arusha nitatoa wapi dada?
Swali je kama hauko mahali unaeza pata hio glass je waeza tumia chupa??
Dada nipo tayari kukupa hiyo pesa ambayo unataka nikuchangie ili unipe ushauri zaidi ila nakupataje sasa
Unashida gani
Hello ?mimi niko nairobi naniko nashinda sina job nawesa fanya aji please ni zaidie
hizo hela zinazoingia inatoka wapi Mmmh mm kwa swala la hela kuingia tu cwez kuamini labda mtu kakosea labda Mungu anipe nguvu na abariki biashara yangu nipate hela ila cyo hyo ya kuingia tu
Naamini kwenye sheria za ulimwengu wa roho na mwili mm ni tajiri mkubwa sana
@@UserUser-fj9eu Ameen na imekuwa
Je inafaa kuweka kwenye bombonya
@@Mihigoraina angalia video nimeelekeza
Asati sana. Dada
Tabibu lazima uoge na huo mkojo wenye magadi asubuhi tuu? na kama mpenzi wako alikublock bila sababu ataku uniblock na kurudisha mawasiliano kwa muda gani?
Utanipigia
Nipo apa Congo
Dada sisi tuna nyumba ya uridhi tunauza imegoma kuuzwa naweza kutumia mkojo??
Angalia video iliyoandikwa unauza matajiri hawanunui
Je nikitumia magadi na chumvi ya mawe?
Sasa sisi mkojo ni janaba na nikosa mtu kutembea na janaba itakua aje🇧🇮🇧🇮 burundi tunakufata
@@alexbencov9182 angalia video nyingine
Magadi njo nini??
Dadaang msaada
Magadi nini wandugu? Nataka muyinambiye kwa ingine luga
Asante kwa maelezo ila nimetamanikujuwa nini maana ya magadi kwa swaili ya congo
Asww,dadangu naomba nijuwe magadi ni nini plz dada
Kwa mfano mikilipia elfu kumi na tano auwezi kunifundisha au mpak elfu ushilin
Naomba namba yako
+255 622 074 085
Niambieni dada Magadi ni nini kwa kiswahili ya congo
Bicarbonate
Namimi sierewi magadi nini
Madam Lois vp kuhusu iz chale wanazotuchanja ucku unamka unakutwa umechanjwa
Samani mpenzi uku magadi hamna sijui naweza tumia nini mbadala
Chumvi ya mawe
Dada magdi yanapatikana wapi au yanaitwaje kwa jina lengine?
Sokoni
Shikamo.dada.sasa.burundi.hatujui.hayo.magadi.sasa.tufaje!?
Mimi kila ninacho fanya hakiwi😭
Dada mbona mie nimetumiaa mkojo yafika hata mieZi 3 mfululizo sijafanikia chochote nifanyaje dada angu
Utanipigia
Jamani sisi tulio ulaya atujuwi magadi ndo nini
Du
Bicarbonate
Jambo dada yangu hujambo assante kwaushauri wako navideo zako zinatusaidiyasana ila iyo magadi mm si ijuwe tuoneshe vizur 👈🤲❤❤
Nauza magadi ya Moshi bei poa
Number yako plz niliimbiwa Kuku nitanjua aje mwenye ako nazo
+255622074085
Ubarikiwe sana dada
Asante sana 🙏
dada naomba unisaidie mim nisingel mother kiranikifanyabiashara haiend