Pole sana kaka ... Hebu jaribu kwanza hatua hizi uninstall na Kisha install upya na hapo Fungua WhatsApp na jaribu kuingia tena kwa kutumia nambari yako ya simu. Utapokea nambari ya uthibitisho kupitia SMS. Ingiza nambari hiyo ili kurudisha akaunti yako. Na ukiwa huwezi kuingia, unaweza kuwasiliana na huduma ya msaada ya WhatsApp. Tafuta sehemu ya "Contact Us" kwenye tovuti yao na ufuate maelekezo. Ikishindikana tuchek tena
Yaan dah nimefanya adi nimechok nisaidiee kil nikifanya inajiandik km Gmail requires one or more google Play service that are not currently available please contact the developer for assistance
Hapo ulitakiwa ufute app zote zinazohusiana n Whatsapp. Kisha ufute history zole za WhatsApp (clear cache) ndo uninstall WhatsApp nyingne uendelee n review Kam video inavyoeleza
Huenda ikawa kuna changamoto za kiufundi upande wa WhatsApp au miundombinu yao ya kusambaza code maana watu weng walioomba review wamekutana na hio changamoto
WhatsApp wanachukuw masaa 24 had siku 3 kuachia account ambayo imefungwa kwa mda(temporary banned). Ikiwa Bado haijaachiliwa subir siku 7 zipite Kisha uombe tena.
Ahsant bro imekubali nashukur
Thanks bro u saved my life
Karibu tena
@@mohvisiononlinetv7282 kaka sm yangu inashida iyo aifunguki wasapp ina Wiki 3 sasa kaka nisaidie
Sijaona ndani
Hujaona nn tena
Dah wengine ina miezi sita now hata tukifanya hvyo bado tu
It does not bring the option of support?
Mm yngu haijakubali kk
Ewana namie nivo kbx isha katala unisaindie
Huwa inakubali halaf wanaifunga Tena bro
Same case to me
Mim nimefuta failure la WhatsApp kwenye simu nalilidhaj Jana ndoimenitokea iyo
Naomba unielekeze nipo nje ya tanzani but natak nifungue whatsapp kwanamb
Yang ya tanzani ...shida spat code
Mambo vipi mtalam whatsapps busness yangu imehakiwa leo sa10 naomba msaada wenu tafadhali
Pole sana kaka ... Hebu jaribu kwanza hatua hizi uninstall na Kisha install upya na hapo Fungua WhatsApp na jaribu kuingia tena kwa kutumia nambari yako ya simu. Utapokea nambari ya uthibitisho kupitia SMS. Ingiza nambari hiyo ili kurudisha akaunti yako.
Na ukiwa huwezi kuingia, unaweza kuwasiliana na huduma ya msaada ya WhatsApp. Tafuta sehemu ya "Contact Us" kwenye tovuti yao na ufuate maelekezo. Ikishindikana tuchek tena
Bro kwa mtu ambae yupo njee alafu namba alio ungia WhatsApp hatumiki kule kwa sababu yupo njee
@@YaqoubSeif Hapo lazima utafute tu account nyingine
@@YaqoubSeif usajili lain ya nchi uliokuwepo.
Me whats app yangu haikubali kuposti na pia baadhi yawatu haikubali kutuma video wala voce😢 sjui shida nini
Tunafanyaje jaaman mm mwenyew imekataa
Je kama failure la WhatsApp nililifuta naludishaje
Yaan dah nimefanya adi nimechok nisaidiee kil nikifanya inajiandik km Gmail requires one or more google Play service that are not currently available please contact the developer for assistance
Hapo ulitakiwa uninstall Google play services kwenye simu yako kabla ya kutumia Gmail
Kaka mi piya inagoma toka juz najaribu
Kuludisha whtssap iliyo potea
Mbn hazikubali
Hazikubali nn tena
Kak dondosha no yko maan nmejarbu lkn imegoma kufunguka krb mara 4
Namba hio hapo kiongozi Karibu tuwasiliane
Hello@@mohvisiononlinetv7282
Namim pia nasumbuliwa naiyo shida
Jamani nisadie wsp yangu hawaniletei ile sms yanamba ambayo anatakiwa niweke zile namba
Pia mm zote zenye na download zinasema hivo tu
Jaribu kufuta program zote za WhatsApp kweny simu yako clear na previous data if possible
Mi nimejalibu inagoma
Naomba namba yako unielekeze Maan miez Sita Sasa situmii wasp jmn
Me yangu inazingua pia
Ikiwa flagged account unaweza kufunguaje
mimi pia yangu ni same tuu
Sisi wengine hatukufahmu hata kidg
0719689911 namba yangu hio unaweza ukanitafuta
Kaka yangu imekataa kwa muda mirefu tafadhali nisaidie
Natumaini umefuatisha maelezo na ushapata suluhisho
Mm insema you need officials watsup
Mimi zote zimekua hivyo hata hiyo whatsap bessness
Hapo ulitakiwa ufute app zote zinazohusiana n Whatsapp. Kisha ufute history zole za WhatsApp (clear cache) ndo uninstall WhatsApp nyingne uendelee n review Kam video inavyoeleza
0719689911 unaweza kunitafuta kwa msaada zaidi
Jambo
Mie kaka kila kitu tayari ila bdo code hawaniletei mbona
Huenda ikawa kuna changamoto za kiufundi upande wa WhatsApp au miundombinu yao ya kusambaza code maana watu weng walioomba review wamekutana na hio changamoto
nAmimi nimeshindwa kuludisha
Kod haitumwi kaka
@@JosephinaCharles-r6z angalia internet connection ya sehemu uliokuwepo
broo sory wakikuletea txt unakaa kwamdagan iliifunguke
WhatsApp wanachukuw masaa 24 had siku 3 kuachia account ambayo imefungwa kwa mda(temporary banned). Ikiwa Bado haijaachiliwa subir siku 7 zipite Kisha uombe tena.
Mnisaidie na mm nimejarib kwl lkn inagom na ni muda sasa
0743167552 namba yangu hio nitafute nikusaidie sehem uliyokwama
hata mm wamegoma kabisa
Whatsapp yako uliomba mara ngap
mara nyingi tyu wamegoma kabisa
@@mohvisiononlinetv7282 mara kibao tyu lakini amna tyu unanisaidiaje broo
Pia yangu
Na je ukibadiri line haitafunguka
Ukibadili lain itakubali lakin pia itabid ufute mafile yote yanayohusiana na Whatsapp au possible reset simu
Alhamndulillah nimebafiri line nimedawload tena imekubari WhatsApp na wara sijafuta mafairi yeyote yare
Imegom
Nisaidie nifanyaje
Natumaini ulishapata msaada ndugu yangu
@@mohvisiononlinetv7282 sikupata kaka mpaka leo
@@mohvisiononlinetv7282mimi pia whatsapp yangu hai takı kufunguka ime kua parmanently banned
Namba yako
0719689911 ila nahisi tushawasiliana
Hello
Mambo
Habari ya uzima
Kaka mm nishajalbu sana lkn imegoma
0719689911 nicheki tuzungumze
At mimi jamn
Umefanikiwa kufata maelezo yote tuliyotoa
@@mohvisiononlinetv7282 inagoma nakama niki weka namba nyingine baada yamasaa kadhaa wanafuga
Jmn na mm nisaidieni nimejaribu mara kibao haitak
0719689911 namba yangu hio nicheki
Bro
@@latikakitonga1745 vipi ndugu habari ya uzima
@@mohvisiononlinetv7282 ipo WhatsApp hii number ako
@@mohvisiononlinetv7282mimi pia nime jaribu sana haikubali
Nina miezi mitatu whatsapp yangu inazingua
@@mamaafrica-kq6ni umetumia njia zipi kuweza kujaribu kurudisha account yako
Kodi haitumwi kaka
It does not bring the option of support?
Just uninstall the app and then install again. Put your mobile number as usual, finally you will see the request approval button from the bottom.
Kaka naomb unisaidie na mim imegoma kufunguka