MCHAMBUZI AMBOKILEE: TAIFA STARS HAKUNA KITU PALE/TIMU MBOVU KILA KONA/YANGA WALISAJILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 68

  • @Kaserekaombeni
    @Kaserekaombeni Місяць тому +6

    Naupenda sana Congo 🇨🇩

  • @amanyisyeoswald1613
    @amanyisyeoswald1613 Місяць тому +4

    Congo imetuzidi mbali sana! Tusilaumu hata hapo tumejitahidi mnoo! Max, Bocca hawaitwi timu ya Taifa wakti sisi tunawaona Wazuri! Hapo ndo utagundua kuwa tupo mbali saanaa kuwafikia Congo DRC

  • @emmafri175
    @emmafri175 Місяць тому +3

    DRC is one of the best team in Africa 🐆🐆🐆🇨🇩🇨🇩

  • @suleymandachi782
    @suleymandachi782 Місяць тому +4

    Nimefirahi sana taifa star kufungwa tena nitafurahi tuzidi kufungwa haiwezekani tukabwe kulipa kodi kisha pesa zinahongwa wacheza mpira wakati wanyonge wanakosa huduma,Laana ya mm

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 Місяць тому +9

    Taifa stars mbovu sana. Wenzetu wanawekeza kwenye academy's unakuta kila mkoa na wilaya zake azipungui academy's zaidi ya 20. Kila mkoa academy's azipungui 20. Ila sisi apa Tanzania akuna ilo watu wanawekeza matumboni mwao tu, Wenzetu wanawekeza, apa Tanzania vipaji vipo vingi sana tena vingi sana kila kona ya Tanzania vipaji vipo, ona Senegal wenzetu waliyumba zaidi ya miaka kazaa ila wakawekeza saii Senegal ni noma adi under 17 mabingwa wa Africa. Ila apa kwetu no atupo serious na mpira,Very sad sana😢my country Tanzania.

  • @someaafrika.3379
    @someaafrika.3379 Місяць тому +1

    ""Eti kwa wachezaji hawa tuliokuwa nao, mama yangu hata tumlete Pep Gadiola tutapigwa tu"" Chuma cha mjerumani.

  • @RealSenziaWarema
    @RealSenziaWarema Місяць тому

    Wachezaji wetu walikuwa hawana morali ya kucheza. Nafikria kuwepo kwa mechi ya Young African vs Simba.

  • @babaswaggaboy2442
    @babaswaggaboy2442 Місяць тому

    Brother unaona mbali sana brother nime kubali iyo 🫡🫡🫡

  • @ShabaniAbdul-bg4zf
    @ShabaniAbdul-bg4zf Місяць тому

    Mtasema mengi, lakini tatizo liko kwenye Sheria zetu, kitendo cha kukataa uraia Pacha, ndiyo tatizo,

  • @aminahussein4866
    @aminahussein4866 Місяць тому

    Nimemuelewa sanaa brother big up🤝upo sahihi team ya taifa hatunaaa 😢yani patupuuuu hivyo vilab tunachezewa na raia wa kigeni halafuu kelele nyingiiiiii 😢😢😢😢

    • @JemaMhagama-oz6me
      @JemaMhagama-oz6me Місяць тому

      Huyo mchambuzi Hana jipya! Kufungwa ni sehemu ya mchezo. Halafu alisema tuwekeze sawa. Ila GHANA WACHEZAJI WAKE WOTE WAPO ULAYA ILA WAMEFUNGWA NA SUDAN HOME AND AWAY NYUMBANI KWAKE KAPIGWA 1 SUDAN KAPIGWA 2 na yeye Ana tatizo GANIhao wachambuzi ni wachambuzi maandazi hawana jipya kufungwa sehemu ya mpira taifa star ilishinda ugenini dhidi ya g gine. Wachezaji waliocheza ni haohao aache kuponda na wakifuzu ataongea Nini Yale maji ya Leo yametuzidi FOOTBALL NAFASI YA KUFUZU BADO TUNAYO SWALA LA MAHESABU TU. TUMFUNGE GINUE NYUMBANI TUMFUNGE ETHIOPIA KWAKE BASI TUNAKUWA NA POINT 10HATUJAENDA? HAO WACHAMBUZI WANAFIKILI MPIRA NI KAZI LAISI SANA. HATA KUPIGA DANADANA MBILI HAWAWEZI.HALAFU NI VIGEUGEU TIMU IKISHINDA WATAKUJA NA SWAGA TOFAUTI

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 Місяць тому

    Hapa wachezaji awaelewani Uyanga na Usimba umechangia sana wachezaji na washabiki wanawaza dabi. Huyu samatta ni tatizo anapo kuwa ameitwa timu aifanyi vizuri. Kocha ni tatizo sana

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 Місяць тому +1

    Watu wanaangalia kulinda vyeo vyao,mbona uchumi wetu uko dhoofu Kwa sababu ya taratibu na Sheria zetu.hazituonyeshi MBELE.viongozi wanatumia gharama kubwa ya maisha Yao kuliko kuwekeza

  • @maase2023
    @maase2023 Місяць тому

    Wa kwanza mudathiru aondolewe tu kiwango kimekwisha

  • @Kaserekaombeni
    @Kaserekaombeni Місяць тому +2

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @GetrudaMasumbuko
    @GetrudaMasumbuko Місяць тому

    Tatizo kila leo timu Ina badilishwa sana. Mtu akifunga ligi kuu ana itwa. Timu iandaliwe

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 Місяць тому

    Waambieni viongozi,hata kwenye uchumi wetu hatuna mipango.badirisheni Sheria za uraia tuko nyuma sana

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Місяць тому

    Imani na mpira wapi na wapi ? Hakuna uzalishaji wa wachezaji. Mungu hayupo mpirani..!! Yaani watz bado tunaaminishwa na uchambuzi mitandaoni !! Hovyo kabisa. Guinea itatuchapa tu. Ushirki na ushindani huko CAF ni daima dumu isipokuwa ........

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 Місяць тому

    Bora Landrover festival kuliko haya yanayotokea. Mechi za Ushindani hatuiwezi!

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me Місяць тому +1

    Wakongo wapo juu wametuzidi tukubali tu. Halafu leo timu tano zote zimecheza ugenini zimeshinda

  • @RashidRashid-lh6xs
    @RashidRashid-lh6xs Місяць тому

    Taifa star hakuna timu hapo

  • @justinemaingu1460
    @justinemaingu1460 Місяць тому

    Broo binafsi nimekuelewa uo ndio ualisia wa wachezaji wetu kule kwenye vilabu wamezungukwa na wanaojua ndio maana wanaonekana

  • @jumamakonya2665
    @jumamakonya2665 Місяць тому

    Kwa nn wachezaji wanaocheza nje wasiitwe kwenye timu ya Taifa....?

  • @KASKOCHAWAPROMAX
    @KASKOCHAWAPROMAX Місяць тому

    Ni kweli brother

  • @StevenMakombola
    @StevenMakombola Місяць тому

    Sisi watanzania hatujiewi kabisa uchambuzi wa ovyo uzalendo hatuna tunatoka tushinde tu kumbuken kwamba tumeshinda mechi mbili ugenini je wale tuliowafunga wabovu achen ubabaishaji mpira ndiyo ulivyo

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 Місяць тому +1

    Matatizo ya Wachambuzi wa Ramli kama tungeshida Yote yasinge semwa . Wabongo ni Vigeugeu sana.

  • @benedictmtasiwa8155
    @benedictmtasiwa8155 Місяць тому

    Taifa Stars hasa benchi la ufundi Wana ubovu kwenye saikolojia ya mpira.
    Baada ya kufungwa 1, Stars walipoteana, kwa nini?

  • @PlamedieLukwele-wo5pj
    @PlamedieLukwele-wo5pj Місяць тому

    Ni kweli

  • @JamesJ-b2h
    @JamesJ-b2h Місяць тому

    🤣🤣😂😂😂 Safi Sana

  • @baenimuhimafabrice
    @baenimuhimafabrice Місяць тому

    Ila tuliwatarifu mapema sana kama hata mchezeje tutawafunga tu

  • @KuluMathieu
    @KuluMathieu Місяць тому

    Ninyi wa Tanzania Nina wa shauri mu zungumuze na coch wa Congo ili afanye nguvu iwezekanavio apate ushindi guine

  • @PineTree-n9y
    @PineTree-n9y Місяць тому

    Sema na sisi mashabiki kama hatuna akili badala ya kuwashangilia wachezaji wetu tunakuja na mabango ya akina mayele ni kuwadharau wachezaji wetu

  • @noekenny3771
    @noekenny3771 Місяць тому

    Nimesha sema, na sasa narudia, Morocco hana uwezo. Kama Tff hawana pesa za kocha wa kigeni, wamuweke Mkwasa na Mgunda.

  • @doulosjohngamba8985
    @doulosjohngamba8985 Місяць тому

    Hayo magoli hayatokani na ubovu wa timu ni quality imeamua Basi tumezidiwa.

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk Місяць тому

    Hii class na quality ndo itaamua mchezo wa tarehe 19

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me Місяць тому

    Tungeshinda ungeongea yote hayo hayo Mambo ya mpira .Ghana wapo vizuri kimpira wamekula na sudani home and away na wao vp? Nyinyi wachambuzi maandazi

  • @cornackel-i
    @cornackel-i Місяць тому +1

    Iyo kweli sana bwana mukubwa
    Sisi wa congo tulikuwa tu tuki waona vile ambavyo munavyo tupa mdomo naku naku lalamika sana muta shinda Congo ila mwisho mume funzwa 😅😊 nyinyi bado wa dogo ina bidi mule supu nyingi ili muongenzeke
    Tanzania punguzeni vinywa iyo tu 🤫

    • @BurhaniNjaly
      @BurhaniNjaly Місяць тому

      Mmmh aya bhana mtakutana na wajanja kuliko nyie

  • @richardpembe606
    @richardpembe606 Місяць тому

    KOCHA HAMNA HUMO BHANA USIMTETEE.

  • @papaasudi1627
    @papaasudi1627 Місяць тому

    Mimi namkubali sana huyu mwamba

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 Місяць тому +1

    Kiukwel staludia kuangalia taifa stars tena afu ata jina la taifa stars inabidi libadlishwe kabisa akuna mana ya kua na jina kaa ilo

  • @kilewonatemba7264
    @kilewonatemba7264 Місяць тому +1

    Wachezaji wetu wanapewa posho kiasi Gani au bado tunalia na uzalendo

  • @meshackkaje6439
    @meshackkaje6439 Місяць тому

    kikos kilichocheza dhidi ya Guinea kiko wap??, huyo samatta ustaa mwingi, wachezaji hawajitumi kama wakiwa kwenye vilabu vyao, viongoz wasimame

  • @sergiokibala5459
    @sergiokibala5459 Місяць тому

    Tanzania kwisha kabisa. Conga kazima historia mzima ya mpira wa Stars Tanzania. Wa Congo awana huruma kabisa.

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 Місяць тому

    Au tupunguze wachezaji wa kigeni😢

    • @jpmanotaofficial639
      @jpmanotaofficial639 Місяць тому

      Mkipunguza wachezaji wakigeni ligi ya Tz itashuka kwa sbb wageni ndo wanaitambulisha mpira wa Tz

  • @WaziriZakaria-d2x
    @WaziriZakaria-d2x Місяць тому

    Inatokea tu kufugwa ghana wachezaji bora lakn inafugwa mbna stars ikifugwa wachambuzi mnakuwa wengi alaf hkuna ligi ambyo haina mchezaji wa kimataifa

  • @saltechnologiesco.ltd.2377
    @saltechnologiesco.ltd.2377 Місяць тому

    Akili za mashabiki wengi wanajipa matumaini kuwa quality ya wachezaji wetu inafanana na DR Congo!! Hizo ni propaganda ambazo tumezoea mpira hauchezwi mdomoni mpira ni uwekezaji

  • @PerfectMassasi
    @PerfectMassasi Місяць тому +1

    Wachezaji ni wazuri sema tunaongea sana! Shida ni namna ya kuwatumia tunahitaji makocha wenye mbinu basi! Watu wasitafute umaarufu Kwa kuongea! Huyu jamaa ni hewa tu hakuna kitu anaongea sana! Samatta kajitoa sana! Kaniudhi sana! Hana lolote

  • @RamadhanWamzenga
    @RamadhanWamzenga Місяць тому

    Kocha kaka yako nini usipepese macho kocha hamna hapo npira kama tunaangua maembe puhpuh

  • @NurdinOzil
    @NurdinOzil Місяць тому

    Na wwe nunua maik ndio nini

  • @PeterambeliSendama
    @PeterambeliSendama Місяць тому

    Mfanye muingie nanyie so kupayukapayukatu ya one,

  • @JONASBINNÉ
    @JONASBINNÉ Місяць тому

    Poor stars you can't win DR Congo is a strong 💪

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 Місяць тому

    Mpira ni fitna, ndiyo maana viongozi wa TFF wanapaswa wajitafakari. Waondoke madarakani

  • @mbokanitaribo5106
    @mbokanitaribo5106 Місяць тому

    Nilifata interview yako yahawali ulivyo sema wakifunguka kwa congo 🇨🇩 watakula 3 wameponeya kabisa uliongeya kweli awali

  • @PerfectMassasi
    @PerfectMassasi Місяць тому

    Tungeshida angepongeza Tena!

  • @narcissusmakenge4710
    @narcissusmakenge4710 Місяць тому

    Kocha mbovu

  • @rodrickchonde
    @rodrickchonde Місяць тому

    Tatizo liko pale pale utitiri wa wachezaji wakigeni.

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 Місяць тому

      😂😂😂 halafu ndio iweje? Je hao wachezaji wetu unaotaka wapate nafasi badala ya wageni wamepitia academy gani? Je tumetengeneza wachezaji wangapi watanzania kucheza ligi kubwa nje ya nchi yetu? Mpira ni uwekezaji sio mpira wa mdomoni

  • @peterchande957
    @peterchande957 Місяць тому

    benchi la ifundi lote liondolewe

  • @maase2023
    @maase2023 Місяць тому

    Kachezeni nyie sio porojo tu! Uswahili mtupu

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me Місяць тому

    Nafasi sio ndogo- inabidi tumfunge Ethiopia na ginue tunafuzu. Halafu wewe wachezaji unataka tuwatoe mbinguni . Halafu kwani AFCON every cost wachezaji walioipeleka ni hao hao.

  • @MbangiziAlfred
    @MbangiziAlfred Місяць тому

    Wachezaji wanachezea kwao Kama vile washashinda wanazingiwa sana

  • @AbdulChakaar
    @AbdulChakaar Місяць тому

    Bora wajitoe tutatia aibu afcon