RIP Maestro Suprem Ndala kasheba,hii ni moja kati ya vibao bora kabisa ,ikikamilika kwa ubora wa kila Ala. Yaani ,kuna watu Mungu aliwaleta duniani kuja kutuburudisha,na ni kwa huruma yake tu Mungu dunia itawaona tena Watu wa aina hii
Sina LA kusema zaidi naangalia waliokuwa wakubwa wangu wakin'galisha viatu masaa mawili nguo itapigwa pasi massa matatu,,,,duh,,,,,nikikimbuka jioni,,,,watu wanatoka sio sasa watu wanaanza kuondoka saa nne kwenda ukumbini hapana enzi izo waliondoka mapema saa kumi namoja jioni AAA aah wote marehemu wachache sana wazima,,,,,kazi ilibeba hatama,,,,,,shukurani sana

Nashukuru kwa GITA la nyuzi kumi na mbili balaaaaaaa
Sina LA kusema zaidi naangalia waliokuwa wakubwa wangu wakin'galisha viatu masaa mawili nguo itapigwa pasi massa matatu,,,,duh,,,,,nikikimbuka jioni,,,,watu wanatoka sio sasa watu wanaanza kuondoka saa nne kwenda ukumbini hapana enzi izo waliondoka mapema saa kumi namoja jioni AAA aah wote marehemu wachache sana wazima,,,,,kazi ilibeba hatama,,,,,,shukurani sana
Wallahi inanikumbusha wakati ule wa UDA Bus transport. Nilikuwa nikiagizia santuri za OSS kutoka Dar. Siku za pita na zikipita hazirudi tena.
Enzi hizo nyimbo walitunga kwa umahiri,vyombo vilisikika vizuri
Yupo otrish hapo rhythm section alikua anajua sana oss
Safari Resort oyeeeeeeee~~~~~~
Huku OSS kule Marquiz ilikuwa raha tupu Vijana wazamani mpooo!!
tupoooo
Hii njiba mara ya kwanza kupigwa kwenye hall kama sikosei alikua solo anapiga marehemu tomaa kama nimekosea mnisawazishe
Njiba iligwa ikapigika saxophonist huwezi pata kama hawa
asante sheikh