Mi naona ni movie et ivi kweli muda mwingine unaambiwa bibi kafa oo Mara wameachana kesho tena wamefunga ndoa tena baba wa kijana amuoa bibi hii imekaaje?
Hao wandishi wa habar wajingq sana wanapenda kuwahoji watu ambao wanataka kiki za kijingq kiukweli nampenda sana milad ayo sababu taarifa zake zaukweli aletak abar za kijinga jinga
MITATUU YA NINI MTOTO WA KIKE WA KIISLAM JAMANI 🙆♂️🙆♂️🙆♂️🏃🏃🏃
umeongea vizur ndugu yangu😂😂❤❤🇪🇭
Yani nyinyi paka wakera wahusika WA hi movie wamesarenda lkn nyinyi mwayachochora tu
Mimi naangali hio tatoo baada ya miaka 10 mbele itakuwaje😂😂
Mama khairat ni mzuri lakini hizo nywele si ungeweka pini au usuke ?
Bibi Kaz ishakuwa ngumu😀😀😀
kabisa😀😀
Hata sie tunaomfuatilia hatumpendi huyo bibi kamloga huyo kijana wa watu.
Huyu Dada anachoongea inaonekana Ni kweli Ila Bibi Hana jinsi ya kukana matokeo
Hamna kazi kuhangaika na huyu tapeli ye na bwana ake wamepanga hawa
Uko vizur dada 💕💕💕💕💕💕
Huyu ana jua kila kitu ila yuko pamoja na shaini ni matapeli tu na hiyo tatuu imekuchusha kama uchafu shingoni kwako malipo duniani Algeria hesabu
Dada wew unajuwa kila kitu ju munachinda na chani TikTok naye ule mumewako muko naye vizuri 😢
😀😀😀
Haiwezekani kijana mdogo wa miaka 27 akatoka na bibi Mzee wa miaka 70 na zaidi Wala sio 60,huu ni uongo wanatudanganya
Mada kila siku ni hizo hizo mnatumalizia MB zetu tu🥲🥲🥲
Mm natumia wifi laiti ingekuwa natumia mb nisinge zikiliza
😂😂
Mamake hairati ni mzuri
Kujikoboa jee ukichubua sana. Unaondoa nuru ya ngozi
Huyu bint na Shein wote matapeli, ukweli wanaijua, lkn malipo no HP HP ahera ni hesabu, ukweli utabainika lwa dhuluma mliomfanyia bb
Huyu na sheyn wote matapel tumewastukia
Huyu bibi anamakosa hilooo
Huyu dada si mke wake halali shain aliona kiki tayari akampanga uyu dada aje avuruge iyo ndoa wakosane na bibi waongo
Dada muite mungu tu atakushindia tu huyo bibi ni shetani tu.
Unaakili dada.==!
ila mama kheyrat ni mrembo kweli
W Dada tumia busara kwani ww huoni kama kazi hiyo
Si km bibi alikufa wakati w harusi jamni ama n vp
Uongo mtupu pesa inawaponza
Ulivyo jichafua na izo tatoo. Jiandae na adhabu ya Allah sik ya siku
Mi naona ni movie et ivi kweli muda mwingine unaambiwa bibi kafa oo Mara wameachana kesho tena wamefunga ndoa tena baba wa kijana amuoa bibi hii imekaaje?
Apo chacha😂😂😂
Hao wandishi wa habar wajingq sana wanapenda kuwahoji watu ambao wanataka kiki za kijingq kiukweli nampenda sana milad ayo sababu taarifa zake zaukweli aletak abar za kijinga jinga
Story
beautiful women