Tatizo uchambuzi ukiweka na ushabiki una haribu na ndicho ambacho kinaharibu. Kwa mpira wa leo ambao Refa na Kibendera ndio man of the match. Mpira ni mchezo wa wazi
Mwenye mpira wake nchi hii ni Yanga tu wengine ni maji kupwa maji kujaa subiri hiyo machi 8 ndio mtamtukana huyu jamaa ambaye leo amewafurahisha,sasa fanyeni subira
Super coach nakukubali sana my brother
Waambie Mkalaboko upo vizuri
Ahsante Sana mchambuz
Nice my brother
Nakukubali sanah super coach Zuberi mkalaboko kwa madinin na nondo unazotupa
Labour operation tena 😂😂😂
Team work
Jamaa anajua sana
Hiyo simba usipoangalia vizur hii point moja ni ngumu sana mpinzani wake anakaz
Nakukubari San kocua
Kaka upo vzr sanaaa...napenda coz unasimamia mpira kweli.
Sema ukweli najua kuna watu wanaumia
Simba. hatari
Ubaya ubwela
Hapa kuna watu dawa imewaingia.
Wazee wa Kanyaga twende
Tuna Jenga Tim thithi Jomen mkaraboka tafadhali🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂Mkalaboko 😂eti Simba ni kama mashine ya kutotoresha mayai
Mwakakundi😅😅😅😅😅
@Leonard, huu mchezo hauitaji hasira.
mkaraboko maneno hayo lazima utopolo wakutukane siku zote ni wagumu hawataki kuvaa balakoa wakati wapo kwenye nyumba isiyo na madirisha
😂😂😂😂 yaani wewe lijamaaa niatari😂❤❤
Mtasema yote mwaka huu.
Mtajinyonga mwaka huu
Daa wachambuzi wa kibongo noma😂😂😂😂😂😂😂
mbona anachambua vzr tu mfano hapo ishu ya ahoua na pacome yani kwamba ahoua hana sanaa kama pacome ila ahou ndo ana mchango kwa timu kuliko pacome
Jamaaa anaongea vizuri matusi ya natoka wap kisa simba
😂😂fieta kk soleba leba nikwakujifungulia😂😂
Upareshen maalim😂😂😂
Uko sahihi kaka safari hii kayoko hatakuwepo maji wataita mma
Ulichokisema kaka ndo kimetokea Dose
Uya jamaa anafact sana
Msifute hii clip
Watu wa yanga msipanic sindano ikiingia jikze.tu😅😅😅😅😂
Sie tunatunza risiti tu Mzee tarehe 8 sio mbali, watageuka hawa
Mpazu ni hatari sana.
Huu mwaka nanunua kiwanja najenga nyumba yangu Mbezi si kwa raha hizi za simba heeeeehh!!!!!....
SHIKAMOO KAKA WEWE NI MCHAMBUZI BORA KABISA
Tatizo uchambuzi ukiweka na ushabiki una haribu na ndicho ambacho kinaharibu. Kwa mpira wa leo ambao Refa na Kibendera ndio man of the match. Mpira ni mchezo wa wazi
Mtasema yote mwaka huu ubaya ubwela.
❤❤❤❤
Sisi tunatunza risiti tu baba😂😂kwamba Simba watamfukuzisha sead au sio😅😅😅😅 tarehe 8 sio mbali
😂😂 wakujidunga fc wamekimbia baridi kileleni😂😂😂
Msituharibie bado tunajenga team
Mkalaboko ni theater bana,siyo labour
Gusa achia twende imehamia Simba 😂😂😂
Ila Jamani kapombe huyu wasasa ni wamoto sio poa aisee
Yanga mpongezeni kaka yenu maana huyu tabora kapiga timu zote za dar kasoro Simba 😂😂
Unajuwa kuuchambuwa mpira jamaa,
Watu kama hawa M23 inawafaa xn ili uongo uishe
Kakanakukubali ukovizuri
Mbaka waseme wenyewe 😂😂😂😂
Tunajenga time mtuache
Na wewe mwandishi mrekebishe huyo siyo labour thieter
Cha msingi umeelewa izo nyengine mbwembwe tu😂😂😂
Kumbe huyu cio mchambuzi ni shabiki
Matusi ya natoka wap
Mnafiki ww huna lolote matako ww,wadanganye baba na mama yako ww kuma.
Mwenye mpira wake nchi hii ni Yanga tu wengine ni maji kupwa maji kujaa subiri hiyo machi 8 ndio mtamtukana huyu jamaa ambaye leo amewafurahisha,sasa fanyeni subira
Hujui mbinu kwenye mpira ww nimekusikiliza kumbe mropokaji 2 mfata upepo fala
Uyu nae enda na upepo
Unafki mwingi huna lolote kwani huwezi kuchambua mpira mpaka uzihaki team msenge wewe,,..ujui mpira mchambuzi fuata upepo
Mbona matusi sasa
Unaumia utakufa fala wew kama hujui mpira achana nao usiwazue watu wanapo toa mawazo yao
Huu ndio mpira kaka yaani sports,
Usichukie mafanikio ya timu mpinzani wako yanga bado wana ubora mkubwa tu,hayo ni maoni tu.
Punguza makasiriko kayoko fc 😂
Pole 😂 mbona makasiriko 😂😂😂