🛑FRIJI BOVU: ZANDAAANI SIMBA IMEFANYA UMAFYA KWA KIZUMBI, TRY AGAIN AMALIZA KILA KITU KUTUA JANUARI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024
  • FRIJI BOVU: ZANDAAANI SIMBA IMEFANYA UMAFYA KWA KIZUMBI, TRY AGAIN AMALIZA KILA KITU KUTUA JANUARI #azamfc #football #wasafi #yanga #footballclub #live #millardayo #simba #simbasc #globaltvonline

КОМЕНТАРІ • 12

  • @LovelyBoardGames-no6lw
    @LovelyBoardGames-no6lw 4 дні тому +6

    # msimu huu wa ligi ya NBC premier Ligue ni msimu ambao unakuja na changamoto kwenye matokea kwenye timu na mpira huu ndio tunaotaka tuone sio kila timu ikicheza na timu inakuwa Tyr imekuja na matokea mkononi nawaomba sana baadhi ya vilabu wakikutana na timu kubwa kubwa wasijiachie kisa wanapata udhamini mgd huu sio mpira na ndio maana vilabu vyengine munakuwa na udhaifu wa hali ya juu mno munafeli km ukimkazia Simba bc na yanga pia mkazie ndio soka letu litazd kugain laa ikiwa Simba ndio mnamkamia bc mtaishia tuy kusikia Kuna Simba day na tutawaalika muje uwanjani❤❤❤❤.....

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 4 дні тому

    Friji bovu we ni hatari sana kwa habari napenda habari zako🎉🎉

  • @ChidyRajabu-z2w
    @ChidyRajabu-z2w 4 хвилини тому

    ww mwamba unachambuaga vizuri

  • @mariammariam-m6k
    @mariammariam-m6k 3 дні тому

    Yanga haiwezi hawana pesa. Tabiya ya yanga .inakusajili .utalipiwa pesa zako mahakamani fifa

  • @samwelsimon7392
    @samwelsimon7392 4 дні тому

    Tajili mo ukitushushia kinzumbi na fei toto utakuwa umemaliza kiu yetu hatutokuwa na deni kwako kazi yetu itakuwa kuvaa jezi na kujaza uwanja

  • @magemjule8494
    @magemjule8494 4 дні тому

    Yaani huo ndo UBAYA UBWELA unaendelea

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 4 дні тому

    HUWA MNASEMA HVHV UTAONA AMEENDA UPANDE WA PILI. MO MO FANYA UBAY UBERA

    • @SangaliPower
      @SangaliPower 4 дні тому

      Mamaa usiwe na wasiwasi Mo amepoteza funguo ya begi la pesa 😂 yaani atachukua mpaka dhambi za mashabiki wa Simba SC akawape UTOPWAX 😂😂😂

  • @AlcherausMalinzi
    @AlcherausMalinzi 4 дні тому

    Mwongo huyu.Kizumbi alishamalizana na Africain kwa mkataba wa miaka 2.

    • @LauMagwaja
      @LauMagwaja 4 дні тому

      Bado ujasema utopolo viongoz wenu wajanja janja

    • @SangaliPower
      @SangaliPower 4 дні тому +1

      Kinzumbi amepewa nafasi ya kucheza kwa muda club african

    • @BeatriceSoka-c7c
      @BeatriceSoka-c7c 15 годин тому

      Sasa mnaokataa subiriin mwez wa kwanza ndo mtajua kama hamjui