Tufanyieni izi za kiarabu na za kizungu tuingie bila vza. Mana paspot yetu wanaiona haina maana. Mungu ibariki tz. Idumu amani na Upendo wa watu wa tz amin
Naomba usalama pia wa watanzania uzingatiwe ktk nchi hizo na hao wageni watakapofika hapa,na tusije tukatoa mwanya kwa wageni kukiuka vibali vyao kama walivyoomba na kuja kufanya kazi nyingine,
Congo ni uongo mkuu maeneo ya bukavu watanzania wanalipishwa visa dolla 50 fanyeni uchunguzi mkuu bukavu na ivola tunalipishwa viza mkuu wanatuonea wale
“Nchi yetu ikisha jijenga na kukua ki uchumi, hapo ndio mataifa makubwa yatakapo fungua milango yao bila visas, ila kwa sasa wana wasi wasi kuwa uki enda kwao ni kama ume kwenda kuomba omba na kuitia serikali yao mzigo”!
Hamad Shein “Nchi yetu ikisha jijenga na kukua ki uchumi, hapo ndio mataifa makubwa yatakapo fungua milango yao bila visas, ila kwa sasa wana wasi wasi kuwa uki enda kwao ni kama ume kwenda kuomba omba na kuitia serikali yao mzigo”!
🤣😅😅🤣🤣🤣hahaha jamaa angu HV uko wapi Ata unywe soda yaani wanatuona sisis ni maboya Sana wanatuekea nchi za ajabu Sasa Ata ukienda hzo nchi unaenda kufanya😂😆 Nini mungu angu.ni kweli Wangetuekea tu Ata Canada jamaa angu🙏🧡💛
Safi sana serikal yetu sema kuna nchi sijawh sikia ndio kwnz kwa kamand
Tufanyieni izi za kiarabu na za kizungu tuingie bila vza. Mana paspot yetu wanaiona haina maana. Mungu ibariki tz. Idumu amani na Upendo wa watu wa tz amin
Saaafi sanaaa! Mchawi nauli tuuuu! Unakwea mwewe shaaaah!
Alhamdulillah asante MUNGU wetu
Asantee mungu
That's good coz I chance to go everywhere without the visa
Congo uvira
.asante
well sir
Kalibia zote mbovu. 😠
Ahsante Sana nimepata mawazo
Naomba usalama pia wa watanzania uzingatiwe ktk nchi hizo na hao wageni watakapofika hapa,na tusije tukatoa mwanya kwa wageni kukiuka vibali vyao kama walivyoomba na kuja kufanya kazi nyingine,
Afande mzuri huyoo. Shikamoo afande
Bila kuchanja et uwe na pasport tu
Congo ni uongo mkuu maeneo ya bukavu watanzania wanalipishwa visa dolla 50 fanyeni uchunguzi mkuu bukavu na ivola tunalipishwa viza mkuu wanatuonea wale
“Nchi yetu ikisha jijenga na kukua ki uchumi, hapo ndio mataifa makubwa yatakapo fungua milango yao bila visas, ila kwa sasa wana wasi wasi kuwa uki enda kwao ni kama ume kwenda kuomba omba na kuitia serikali yao mzigo”!
Point kubwa
Burunei hapo sawa
Ello
🇹🇿💪🏻😍😍😍😍😍😍😍
Jamen na unyamwezni wekeni hta kumi na ughaibuni.5.
Uko vizuri sana ughaibuni ndio kunatabu sana🤔
Hamad Shein “Nchi yetu ikisha jijenga na kukua ki uchumi, hapo ndio mataifa makubwa yatakapo fungua milango yao bila visas, ila kwa sasa wana wasi wasi kuwa uki enda kwao ni kama ume kwenda kuomba omba na kuitia serikali yao mzigo”!
waarabu wana roho mbaya hawatotaka
Naitaji kwenda kenya🥺🥺🥺😱🎁
Naomba kuuliza colombia vipi unaweza kuingia bila visa au naomba mnijuze
Cyprus hiyo nayo kumbe ipo
Drs congo vp
uyu jamaa aliniongelesha kipare siku nimeenda kuchukua passport 😂😂😂
Vigezo vya passport
A fande nchi mbovu hata kuzitaja unashindwa nawahoo
Mbona UK wanalipa visa
Papua ata unipeleke bure aku siwez
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Labda za Afrika sio ukaya na asia
macao..big deal
Natamani kwenda lakini wanasema sometimes hua wanawarudisha
Mm npo singapore nakula bagia tyu hkuu
Singapore Ni nch gn
Ishu gani huko kaka
Mambo nataka kuja Singapore je kunatetesi kwamba ukifika Airport wanakurudisha nikweli
Nchi mbovu 🤣🤣🤣🤣
Tupange mipango
Duhh mbn nchi za ulaya haxipo Apo tuekeeni japo Canada tu tukale Bata sio nchi ambazo hazina majina
🤣😅😅🤣🤣🤣hahaha jamaa angu HV uko wapi Ata unywe soda yaani wanatuona sisis ni maboya Sana wanatuekea nchi za ajabu Sasa Ata ukienda hzo nchi unaenda kufanya😂😆 Nini mungu angu.ni kweli Wangetuekea tu Ata Canada jamaa angu🙏🧡💛
Singapore na macao ni nchi za ajabu 😭 aisee hatari sana
Passport inagharimu sh.ngapi kuipata?
150,000
@@akbaslismh9874nenda nahio hela km utapat passport
Je unaweza kutumia kitambulisho cha Taifa bila passport kwa nchi za Africa Mashairiki?
HAPANA
Haiwezekan Ni Kenya tu
Hizo nchi zinanuka shida na njaa unafanywa nini
Singapore inanuka shida 😭
Nchi kama boswana sisi atuwafikii
Nchi mbovu mbovu zote hizo za nini sasa?nchi hata hazijulikani 😆
😆😆😆😆
ataukienda www.visahq.com inakuambia
Sema nchi karibia nyingi zaajabu ambazo watu wengi hawana mzuka wakwenda tufanyieni uko ma uk, canada, denmak
inchi zenyewe mbona fuckin countries
Hahahahaaa niwajanja kweli watekee at sweeden napatamani balaa
Yeah wangeweka hizo nchi za uk ,Canada hata ukiwa mfanyakazi wa ndani unakuwa na life nzur tyu
@@racheldauson9471 vip mzee
wataenda vitukuu vyako