Misso Misondo - Yatapita tu (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 12 гру 2024
- Follow Misso Misondo On:
Twitter : / misso_misondo
Instagram : / misso_misondo
Tiktok: misso_misondo
For Bookings:
#MissoMisondo #yatapitatu #wazeewamakoti #new
Copyright ©2024 Misso Misondo. All rights reserved.
Mashabiki wa misso missondo ndo watapita tu kulike 🎉🎉❤❤❤ 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kweli
Hii ngoma imepenya sana. Huku Kenya 🇰🇪🇰🇪 ni moto. Watanzania mnajua sana miziki. Ubunifu mwingi.. All Kenyans 🇰🇪 let gather here to show how we love this sounds❤
💯🎉
Dah uyu dog acha nanae
Kweli sana tunajua mno🎉🎉
@@EmmaEliapendakabisa yaani
HUWENDA WEWE NDIO MKENYA MWENYE AKILI KULIKO WENGINE
Wambongo sijui wamerugwa yani mziki wa hasili yao awasapoti ila amapiano ndio wanasapoti ,😢😢😢😢😢😢😢 GOD BLESS YOU MISSO 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Duuuu hili goma hatali mapiano wanacheza utafikili wamefika kileleni
Afu mziki wetu una vibe 😅
Mziki matusi waasisi wake mpaka uvute bangi wanaimba mpaka wakaze mishipa ya shingo uchezaji wake hovyo
😂😂😂😂@@EnokAndrea
Uko sure ni watz au kenya
Sijategemea kama utafika level hii mdogo wangu Mungu azidi kukupandisha InshaAllah
Basi ukija ona hivo ulikuwa mwanga wake
Amin
Nona
Big up ,mungu si asumani
Kama umeludia zaidi ya mara3 gonga like
I like since Côte d'Ivoire !
Good song ! I love tanzian's singer ! Beautiful country !
Much love from Côte d'Ivoire 🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮
Kwa wale wapenda singeli zenye kuvutia na kufunza maisha naomba tukutani kwenye like 👇 mimi nimeikubali Ngoma Kama na wewe umeikubali gonga like 🇹🇿
Timu zetu kuishia robo,... maumiv ya kufungwa tano... yatapita kam ilivopita corona 😢😢😢😢😢
😂😂😂sanaaa
Lin xax mboni hayapitii 😅😅😅
@@JOSEPHJEREMIA-t4o swala la muda tuu
Kwa hili naunga mkona yapite kwa kweli
@@JOSEPHJEREMIA-t4o umejua kunichekesha😂😂
Nimependa hiki kipande
'Na umeme wa Mgaoo, kukata kata maji yaao yatapitaa...'
Safi sana @misso missondo
Wimbo upo kwenye uhalisia Sana na maisha yetu, umetisha ndugu big up, mungu akusimamie vyema.
Aki this song is really giving me hope in life,thanks to our brothers in Tanzania🇰🇪🇹🇿
Brother ✊
@@emanuelsamwel999 wassup broh
Kuna kale ka beat ka kakihind ka Titktok.. aisee kajua kutuweka attention na ujio wa ngoma yake... safi sana Misooo..
nautafuta sana
Andika tera misomiso utapata@@festohaule5243
Basi tupo wengi maana hata mimi nautafuta @@festohaule5243
Hii NGOMA sio tu kuwa namba 1 inastahili kuwa NGOMA ya taifa
Kama unajua mziki sikiliza beat iliobandikwa apo mamae yani imekaa unyama sana
Umeongea kwa hisia 😂
Dakika ya 1:40
Kabisa mkuu
Hahahha kweli kabisa really beat @@mangemathias7940
🎉🎉🇹🇿🇰🇪 mko wapi nipeni lik ata tano
Bro huna mpinzaniii Tanzania iko mikono salama GOD BLESS KWAKO
your top fan from Malawi we misso missond unahatali takupa dada
Haya ndio yanaitajika sana nyimbo nzuli yenye mafundisho asanteni sanaaaaaaaaaa team misso missondo
Big up Kwa huyu bwana mdogo coz anajua sanaaa .God bless him
Jaman jaman jaman wimbo umeniambia like zenu wazee❤❤❤
Best song aisee HII nyimbo inafaa kubwa ya taifa Dah ubunifu mkubwa sana
Kusini wote tupo hapa kwenye like 🤙
Tupo wasanii wa kusini tunatamba miso misondo juu ipo cku nitakuja kuwa juu kama wakumusi
madogo mnatoa burdani hadi ikulu yaani...hongereni
Duuuuh mwanangu mziki wako ni wapekee yako upo vizuri ssna kijana wakazi
Hii ngoma I nacheza kwa vilabu huku Kenya, kali sana
aidia nzuri Wimbo full ujumbe
take 👊 tim nzima ya misondo
Toa mipiano yote tupa kule weka singeli weweeeeeeeeee yatapita tu🎉🎉🎉🎉🎉miso miso misondo unahatali❤❤❤❤❤❤
Tumefanya balaaa umo God bless sana misso misondo unajua anko
Hakika wakati wa mungu ndy sahihi jmn misso misondo hongera zenu na wazee wa Makoti ila namm yatapita tu😅
Kweli sana
Yani naipenda Sana inanipa nguvu kwenye utafutaji huu wimbo
Kwa hakka ngoma iko poa sana kaka 💪💪 mwenyezi Mungu azidi jaalia zaidi
Hakika dg mwakajana ulikuja kivingine mwaka huu waja kivingine hongera aise
From Mozambique 🇲🇿 Team Misso Misondo 🎉🎉❤❤❤ Saluty sana ❤❤❤❤
Até você os treskizzy miss tuella kanda bando moto moto
Hii ngoma inakutoa mawazo inakupa ujasili sana chuma cha moto
Wanangu wa kubeti kupunwa na muhindi yatapita tu❤
We Miso misondo, umepigaje hapo??😂😂😂all the way from Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪,naiwakilisha taifa langu huku
Missondo unahaki upewe dada za watu mzeee we noma
Hii nyimbo inanipa raha sana nikiisikia hongereni sana group la missondo nawapenda sana
misomisondo unahatari uta tuuwa umeupiga mwinyi like 💓 kama umekubali YATAPITA TU
Oyaaaaaa Noma sana sema nini achia na beat tupu yatapita beat kama beat itakua kali zaid na iko kibiti kinacho anzaa uyo eee balaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Misondo hatujaona vumbi wana huwa wanapendeza sana kwa vumbi
Ubongo wenye thinking yake pekee bongo, oyaah eeh ni 🔥🔥.
Sasa hapa piga na remix, af mlete konde paleee, kama ni Wow 💥
Jiomon misso gang ahh
Mfanye kuwa mwendelezo kwa beat na kuimba
I love it the sounds good brow il y aura King of Noval génération🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🇨🇩
Kjana upo juu nakubal sana unaweza unaweza tena mungu azid kukubark
Daaaaah Wana mmeuwa sana umu ndani safi San 🙏🙏
tunaomba hili goma mfanye Remix na @Harmonize
MAIN Artist wawe Mond, Marioo au harmonize, na hawa sasa kwa pamoja Kontawa, darasa, na g nako , toxic fuvu, lunya, moni centrozone, yuzo mwamba wasikosekane pia, yani ipigwe kama ile ya da ya nandy remix sijui nini kile na msanii wa kike asikosekane, sa cjui itakuwa nani? Au mnasemaje wadau, tunataka kitu kizuri, na huo mchanganyio wa mwishoni unatakiwa uwepo ulete ile singeli iliyochangamka ya kuchezeka, yani si mmeelewa? Yani kama sebene linavyokuja kwenye muziki
Good umesema poa asee🔥🔥
Can't wait feat konde boy
@@cbegram6161 hapana yaani wasanii wote wa Nini yaani dogo aache kujipambania kuonyesha uweZo mnataka aweke watu hivi hivi mbona fresh acheni kuwaza ma remix rayvanny kawaharibu
Kwasasa harmonize hawezi imba kama hivi kwasababu anamajonzi ya kuachwa hivo lamda aimbe kimapenzi
Amina kweli kila kenge mwanzo huwa na mwisho
Brother umetishapo big tunatakapo mangoma makali Kama haya brother umetumiapo ubunifu mkubwa saa very bravo 💯💯💯💯💯🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️ toapo nyingine brother
Kuna kabuti Fran ivi kanapenya adi kwenye ngoma ya ckio. Umeuwa sanaaa
huu ndo ubinifu sasa japo najua wanakuiga ila nakukubali sana mwamba
Hata huu wimbo na team miso yatapita tu
Bonge la ngoma 🔥🔥🔥 big up misomisondo
Daaah miso misondo umeaminisha ule msemo kuwa unalala maskin unaamka tajiri. Hongera sana ww na wazee wa mikoti kupambania ndoto zenu
Tusapoti vya nyumbani...misso hii umetisha
Misso unajua baba, utaleta mapinduzi mziki wa bongo, stail yako ya pekeyako hakika unaburudisha yani naangalia sichoki
Asante misomisondo🎉🎉 mauwa yako
Daaaah Mwamba Bifu Za Wasanii Na P Diddy Ila Umeme Wa Mugao Yatapitatu Lkn
Vitu nilivyokuwa natamani ufanye siku zote ,big up!!
Hili goma lina ma feelings sana🎉🎉🎉
Yale maumivu ya kufungwa tano yata pita tu 5_1😢😢😢😢😢😢😢
😂😂
Ngoma kali kinooma hii mpaka Xio Powah
mwanang yatapita 2 ❤
🎉🎉🎉yes unaweza dogo yatapita
Bonge la ngoma na hakuna matusi ndani! Safiii
Wabongo ni og bana penda sana nchiyangu eemungu twaomba uzidi kubariki amani ya nchi uyetu👐
Umenifanya nirudie jeje nimuone yule demu nilimuelewa kinoma nampenda sana ni mwembamba ila alitisha ❤
Ety wasanii saizi mnh ila mumetisha kazi mzuri ❤
Kila siku maandamano kisa kufungwa tano YATAPITA tu 🔥
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Dah 😢😢😢mmeimba ukwelii wanangu sema mnajua balaaaaa❤
Nime ipenda hiii love this song aaaqh❤🎉
Clip vidéo kali, Directer big up, afu message ya wimbo njo fimbo nakubali toka Congo Bukavu
Kijana hii kazi ni halali yako,,, naipenda sana
Dogo noma Sana, ngoma zako kuna kinanda mtu atulize bichwa kukigundua, Ila hazifai kuskiliza ukiwa na mahusiano kama maji na umeme wa dar😂
Dah goma liko poa sana❤ mauwa yenu miso misondo
Congrt sana unapambna sanaaa🙏🙏🙏
Yatapita tu 💪💪
Ime simama mwanangu kaza na amini unacho fanya mungu ata kishka mkono
❤🎉big up miaka yakobe mwanangu sana🎉🎉🎉❤❤
Big up brother Good work ❤❤❤❤❤
Kila cku maandamano yatapita tuu
Yale maumivu ya kufungwa Tano yatapita tu
Imebaki history your so talented 🎉
Lord Jesus upon you
Daaah kweli misso misondo unaweza kaka nakukubali noma San hilo goma
Huu ndoo mziki wetu naomba tuusapot jaman ama ninyi mnasemaje wadau ama tunyimbo zetu tofaut na singeli
Misoooooooo❤❤❤❤ from Kyela-Ipinda-Talatala😂😂😂😂😂
Yote yatapita tu kama lilivo pita janga la bongo la mbotoo😢😂yatapita
Tunaoshukuru ni sisi walala hoi umetupa moyo wenzangu na mimi tukutune hapa kwa like😅😅
Sema uwe unatupia Magoma mengi sana tunayakubali sana
Genius misso misondo 🔥🔥👑
Mungu afariji familia waliopatwa kwa Hilo majanga lilofanyika kariakoo😢😢
Good song misso lets go on the real success
Hatari sana bonge la ngoma😂😂😂😂😂
Big Up Sana Mwanetu,, Keep Up My Bro good work..
Tz paka mombasa from 🇹🇿
Misso misondo uko vizuri kaka napenda kazi zako sana natokea bariadi simiyu naitwa jaji samoja
Kazi kazi babake!!!! Lechizo son
Mimi naongea kutoka moyoni hii ndo asili ya mtanzani hivyo vigoma yaani Kuna mtu jasho zinamtoka furaha imepitiliza miso misondo usibadirishe miondoko nakuhakikishia utafanya collabo na msanii mkubwa nje utaamini maneno yangu Tena wao wenyewe watakutafuta❤❤❤
Kwenye hii ngoma nimeikuli so kidogo
Umetisha bro apo nimekuelewa sana hongera sanaaaaa❤