Wallah hii ni nuur fawcka nuur hapo malindi kuwa na sheikh kama huyu ALLAH amzidishie katika hasanat zake na INSHAALLAH ambadilishie na kama kuna mabaya ayafanye yawe mema Na INSHAALLAH ALLAH Atukutanishe na kipenzi cha umma mtume wetu MUHAMMAD S A A W.
Mashallh mungu akuzidishie duniani na ahera
Shukran shekhe mungu akujalie kwa mafundisho mazuri nakupenda sana kwaajili ya allaah ❤❤❤❤❤
allah akulipe pepo ya juu yaarab
Allah akuhifadhi tumefurahi Allah kutupa shk masha Allah
Wallah hii ni nuur fawcka nuur hapo malindi kuwa na sheikh kama huyu ALLAH amzidishie katika hasanat zake na INSHAALLAH ambadilishie na kama kuna mabaya ayafanye yawe mema Na INSHAALLAH ALLAH Atukutanishe na kipenzi cha umma mtume wetu MUHAMMAD S A A W.
shukran Yaarabi tupe mwisho mwema
Mashaalla
Barakalafiq Allah akupe Afia Na umri yarab
Maashallah mawaitha mazuri sana
Allah atujaalie mazingatio
Huy sheikh na wawapi TZ au Kenya??
Ni wa Kenya malindi
Hakika umetupatia mawaidha yenye mazingatio
Kwamana hiyo mzinifu ataingia peponi mtu mdhalim anadhurum watu mpaka uingie uslam moja kwa moja
Allah akuhifadhi Sheikh Hassan