UTAPENDA ALIKIBA ALIVYOIMBA WIMBO WA DIAMOND LIVE AKIWA TIKTOK WENGI WAMEFURAHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 83

  • @elijahsaro6611
    @elijahsaro6611 22 дні тому +23

    Tanzania yote huyu jamaa amebarikiwa mimi ni vocalist bt huyu mwamba salute 🫡🫡🫡🫡

  • @sumaiyahmwinyiamani2862
    @sumaiyahmwinyiamani2862 17 днів тому +5

    Nawapenda waimbaj woote wanaoweza kuimba live siyo wale wakuminyiwa saut live utumbo big up kiba your namba one ta tanzania siyo wale wademu wapididi kazi kuimba matusi

  • @janjikilly1719
    @janjikilly1719 4 дні тому +1

    I wish Alikiba would give us an acoustic album of all his old songs cuz they slap

  • @meddixempire292
    @meddixempire292 17 днів тому +16

    Kwa wanaotaka kusikia ali akiimba wimbo wa mondi basi ondokeni hajaimba msipoteze mb zenu familia wasafi

  • @RajabuDaffah
    @RajabuDaffah 23 дні тому +8

    KIBA mbna unajua xana kaka
    Respect kwako

  • @isayakatuwa9482
    @isayakatuwa9482 23 дні тому +5

    Wife wa Dunia ni hatareeeee❤❤❤sijui kwa Huwa huitendei haki

  • @JacklinePeter-s4p
    @JacklinePeter-s4p 15 днів тому +2

    Unajua sana kuimba kuliko mond una sauti nzuri

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 17 днів тому +3

    Hizo nyimbo naźipenda sana hata nahiyo sauti yako tamu Ali kiba nakupenda sana ❤❤❤

  • @ahmedjobs6453
    @ahmedjobs6453 21 день тому +6

    Aah King kiba you're the best❤

  • @Asram-v3g
    @Asram-v3g 13 днів тому +2

    Akuna msanii mwenye sauti kama kiba

  • @biggieprime2793
    @biggieprime2793 19 днів тому +2

    lots of love from kenya my guy

  • @raphaelnyigo8740
    @raphaelnyigo8740 18 днів тому +5

    Itachukua miaka 100 kupata kichwa kama hiki..

  • @AbdulIsmail-ie4hp
    @AbdulIsmail-ie4hp 4 дні тому

    Huyu mwaambaaa anajuaaaaaaaaaa

  • @ApendekiItongwa
    @ApendekiItongwa 5 днів тому

    Kamwimbie harmoniz sio mondi

  • @DadiYanka
    @DadiYanka 4 дні тому

    Mpaka mumtaje mondi😂😂😂

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 23 дні тому +4

    Huyu jamaa kwann asiwe anaimba tu bila beat kisha atutupie tu😂😂😂😂

  • @khadija5761
    @khadija5761 20 днів тому +4

    ❤❤❤❤🎉Mashaallah

  • @Msindomedia
    @Msindomedia 23 дні тому +4

    King of voice in tz

  • @edwinoduor2421
    @edwinoduor2421 23 дні тому +1

    The king himself,yani hakuna ata wakukuiga

  • @deniskarina6540
    @deniskarina6540 6 днів тому

    Wimbo wa diamond gani??😂😂😂

  • @allysiasa5970
    @allysiasa5970 16 днів тому

    Nasisi hatuna shobo na mfuasi wa pididi

  • @JacklinePeter-s4p
    @JacklinePeter-s4p 15 днів тому

    Big Up

  • @DezideryIturagiza
    @DezideryIturagiza 23 дні тому +2

    Sikia sauti ya king

  • @issamaingu3521
    @issamaingu3521 18 днів тому

    ❤❤🇹🇿🔥🔥 TANZANIA one

  • @AshaJuma-dz6hq
    @AshaJuma-dz6hq 18 днів тому

    Mashaallah ❤

  • @careymariahhhh
    @careymariahhhh 16 днів тому +1

    Ameimba wapi ww mshamba mtoa post kiba hawezi imba nyimbo ya mtu amefumuliwa na pi didi

  • @abduljalilu5453
    @abduljalilu5453 23 дні тому +1

    ❤sikupingi kaka

  • @jbothman
    @jbothman 20 днів тому

    Wife wa dunia❤

  • @Dj2nyi
    @Dj2nyi 15 днів тому

    Kaimba katika dakika ya ngap ?

  • @meddixempire292
    @meddixempire292 17 днів тому

    Msenge sana ulieeka heading

  • @PreciousKitike
    @PreciousKitike 17 днів тому

    ❤🎉❤❤❤

  • @AbdalanasoloNasolo
    @AbdalanasoloNasolo 21 день тому

    Yaaàaaaaaaaaaa yesi

  • @JaksonNgor
    @JaksonNgor 17 днів тому

    Sanna

  • @JeanRafiki-g1s
    @JeanRafiki-g1s 23 дні тому

    ❤❤❤aly🇨🇩🇨🇩

  • @LamekiLugala
    @LamekiLugala 23 дні тому

    ❤🎉

  • @BenMahende
    @BenMahende 22 дні тому +3

    Wala sijawahi kuvutiwa na Alikiba even single day, ka wimbo kamoko TU ka Mahaba ndo nakapenda tu. Huyu Mimi naona hata kwa mbosso akasome tu, anamzidi umri kwenye game...!

    • @WomenVoiceAgrovet
      @WomenVoiceAgrovet 22 дні тому

      Unajua maana ya sanaa?

    • @GodsonJohnson-h4h
      @GodsonJohnson-h4h 20 днів тому +2

      Umekuja kutafta nini kama si unafki

    • @riziwan9709
      @riziwan9709 19 днів тому +3

      Ibraah mmoja wa konde gang ni sawa na mbosso khan 15....kwa kiba ndo usiguse kbs

    • @fbtrades_001
      @fbtrades_001 19 днів тому +3

      We jamaa tukikutana kariakoo nakuitia Mwizi wakuue😂

    • @yogwesaid7435
      @yogwesaid7435 19 днів тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂Kweli kabisa​@@fbtrades_001

  • @agripamusic
    @agripamusic 16 днів тому

    Wabongo awaangalii ata ukweli wa content,kazi kuSASKRAIB tu😅

  • @JafariMohamed-d1n
    @JafariMohamed-d1n 23 дні тому

    🎉

  • @MohamedLimbuni
    @MohamedLimbuni 23 дні тому +14

    hatutaki shobo WCB..

  • @ramadhansalim9431
    @ramadhansalim9431 23 дні тому

    Mkundu wako bongo east nyimbo gani ya mke wa piddy ameiimba