Ndugu yangu mwaipopo dini yako islam lakini roho yako iko kikristo zaidi hakika ulilelewa vema kanisani, hutaki uchawi, hutaki kisasi, hutaki dhulma, nakuombea JEHOVA AKULINDE NA UMRUDIE KRISTO YESU, AMEN🙏
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh sheikh #saidmwaipopo wasema Saudia wamekosea kweli hakuna zaidi anaye jua ila ALLAH SUBHANA WA TA'ALA atusamehe na atuongoze tuwe Ummah bora Amiin ya Rabbil Allamin
Sheikh Mwaipopo ni kweli chenye umeongea kuhusu kutokupewa uraia huku Arabuni manake wanaona wakiwapa uraia wageni wao kuna mmbo watakosa n tutawazidi sana
Kweli kabisa mwaipopo mashallah wewe ni genius wa history tuko hapa Arab countries tunajionea mengi kwa kweli haswa ubinafsi hata mtu wa nje haruhusiwi kuvaa kanzu kama sio raia
Very true jamaa wanaroho MBAYA na wabaguzi Sana. Hata Farkhan wa USA amethibitisha bayana, tusijidharau kwao kwamba eti wao ndio waislam sana laahasha, mimi ninaamini watanzania ndio hatuna vita za wenyewe kwa wenyewe ndio mfano Bora duniani upande wa UISLAM, ni Tanzania pekee ndio wanaishi maisha ya kiumini bila ya mitafaruku na dini nyingine na mnafata utaratibu mzuri wa kuwaelimisha wasiyo waislam bila ya migogoro ya umwagaji wa damu ni sahihi kwa zama tulizonazo, MAANDIKO NA MIFANO BORA UKARIMU UTABORESHA UISLAM SIO ROHO MBAYA NA KUJIONA MBORA KULIKO WENGINE, Mungu atuzidishie UFAHAMU Aamin 🤲🏽
Assalam Alaykum Warahmatullahi Wa Barakatuh. Maneno yako ni kweli kabisa, mimi kila siku nasema hayo hayo, lakini sina uweza wakufanya kitu. Mimi natamani kukaa nchi za kiarabu nazipenda sana, lakini siwezi. Waarabu wamepata Neema sana lakini wazipoteza wenyewe. Allah atalipa kila mtu anaye tenda mabaya atalipwa mabaya na anae tenda mazuri atalipwa mazuri, Remember this always
Ni ukweli ukweli mtupu shekhe Allah akulinde na hasadi mm nipo omani uloyasema yoote ni ukweli warabu wanakubri kisa mtume alikuwa mwarabu basi wanaona hiyk ni tiketi ya kwenda peponi natamani izi vidio nipate kwa wasp
Munajidai munafata mafundisho ya yesu , yesu akawaambia ,nilikua na njaaa amukunipa. Chakula,nilikua uchi amukunilisha nilikua migongwa amukunitibu,nilikua kifungoni amukunitembelea ,Kisha wakauliza ni lini akasema mulivyo watendea hao ndugu zangu mulinitendea mm , matendo mema ndio yatatupeleka mbinguni sio dini ambayo munaishi mukiambia watu,I toke through expirience ,I have live in qatar,Dubai, waislamu niwanyama na izo sharia low
Hujanielewa sio uzur warangi kama ulivyo nielewe nikisema warabu waoman wazur kwanza wanauchamungu wahali yajuuu kingine wanapenda kukirimu watu wengine wanajitoa sana kwenye kutoa misaada kuwasaidia wengine hata ukiishi nao hawana ubaguzi pia Saudi sio wote wabaya au dubai ila wamezidiwa sn na waty from Oman
Hata warabu wenzao walio to ka nchi jirani hawapati uraia watu wamezuliwa na mfalme sio wafrica tu nchi zingine ukikaa miaka 10 anapata uraia huyo mfalme analeta mambo hayo
Mkuu Mwaipopo sasa nimefahamu kwanini uliamua kuingia huko. Naona ni dhahiri uliamua kuingia huko kuwasaidia waislam. Kwamafundisho hayo unawanufaisha waislam Sana Sana. Wewe umekuwa ukijikusanyia wafuasi wengi wengi waislam kwa wakristo. Piga kazi tuko nyuma yako.
waarab ni makafir ndomana hawawez kuwa wema kwa wengine unajisumbua tu kuwaelimusha wao ndivyo walivyo wanna roho mbaya ndomana unakuta hata vita vinatokea kwao hata uongee vip hawataweza kubadilika
Waislamu someni historia , Qatar, Iraq,is the reachest country,we have in Africa Islamic country,akuna shule ,ama ata hospital imejengwa kwa musahada wa mataifa ya kiarabu, lakini mataifa ya ukristo wanapeleka udadhili mpaka kw hao waarabu
@@eunicewambui4645 Kwa kweli inaskitisha sana. Kuna Dada mmoja alienda kufanya kazi Oman basi ananambia hata ukiumwa wao hawajali wanajali kazi zao tuu. Niliskitika sana.
´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) ameeleza kuwa alimuuliza Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuhusu tauni ambapo akajibu: “Ni adhabu ambayo Allaah huiaigiza kwa Anayemtaka. Allaah akaifanya kuwa ni rehema kwa waumini. Hakuna mja yeyote ambaye kitatokea tauni ambapo akabaki katika mji wake hali ya kuwa ni mwenye kusubiri na akatambua kuwa hakuna kitachomfika isipokuwa kile ambacho Allaah alimwandikia, isipokuwa atakuwa na mfano ujira wa shahidi.”[2] Namuomba Allaah atuwafikishe sote katika yale anayoyapenda na kuyaridhia katika matendo mema - kwani hakika Yeye ndiye mwenye kusema kauli ya haki na ndiye mwenye kuongoa njia. Himdi zote njema ni za Allaah pekee. Swalah na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad, kizazi chake na Maswahabah zake. [1] 39:10 [2] al-Bukhaariy.
Niko Saudi Arabia, imagine hata ukiwa makkah ndani, lazima utalipia hiyo hajj, kuhijji ni pesa, na maskini atafanya nini? Wako watu wengi wanaona mlima wa Mwenyezi Mungu wa kuhijji lakini huwezi hijji mpaka ulipie na ni 3000 Riyal kwenda juu, na hiyo ilikuwa kabla ya corona, saa hii ni zaidi,
Uarabuni hata ukae miaka 100 haupewi uraia ng'oo waarabu wana roho ya kishetani hata uwafanyie kazi miaka 10 wanakulipa kifo siku ya kuondoka ukirudi salama uwadanganye kuwa naenda kisha nitawarudia ndo salama yako lakin ukisema haurudi tena malipo ni kifo hao ndo waarabu lakin wenzetu wazungu unarudi mpana pamoja hawajui dini
Tena ukifanya kazi kwa mzungu unafanya kwa masaa na una haki zako zote lkn uwarabuni unaamka saa kumi alfajir unalala saa tano usiku muda wote ni kazi tu na ukimaloza mkataba hawakupi chchte
Waalaykumu ssalam wrahma tullahi wabara katuh nikweli wara uni hata utumike miaka 10 ukirudi nyumba huna chochote Bali una rudi na maradhi tu ubovu WA myaka yote
Waarabu kaka wengi Wana kibri wanaroho mbaya. Wanatutesa ss mashaghala wafanyajaxi ww ndani kisa umasikini wetu wanatufanya Nisha na wadudu hawa Mungu anawa ona wanatugengasana
@@saidmohammad3346 Ugumuwa maisha na ndiyo maana nilienda kwani kutafuta liziki nchi ni siyo zaliwa zambi. Na ningekua na Maisha kidogo Hafadhali nisinge enda ila hi ni Kadari ya Allah kilammoja na lizikiyake na wapi ataitoa kama umesoma dini utajua na kama unaiman utomyanyasa mfanyakazi kwani Dunia MAPITO na kilammoja masuhura ataulizwa naswali kuhusu mwenzie ulikuaunakaanae. Nami bahaziya waarabu nawaonea huruma
@@saidmohammad3346 wangefikilia sana ilijualakwao je sikuya kiyama itakuaje , kwa mwenye akili lakini. Alawengiwao kibri namwenyekibri mfanowa ssimizitu moto halali yake , mwisho nikwambie ww kutafuta liziki ya halali ni ibada na ni malipo yapo sikuyakiyama lnshallah🤲👍👌
Ingekua bora utengeneze video kamahii kwalugha ya Arabic language ingekua bora tunge Shea ujumbe unge wafikia vyema lakini hii lugha ya swahihi hawaelewi shekh asallam aleikum
Mwaipopo very soon utafukuzua kw waislamu,Sheria ya iyo dini ni kuitetea ata kwa mabay wanao tendea watu, maubiri kamili is how ulive with people how utreat the inawafanya wanatamani mungu wako,unapata mtu anomba 7times aday eti anafunga bt ana chuki akulipi kwamataifa yao hakuna haki
Unaposema somalia wote ni waislam hapo hujasema ukweli kuna mpaka Somalia Christian TV hawa ni mume na mke walikua waislam wakabadilisha dini na kuwa wakristo na wamefungua tv yao, wanawabadilisha dini wasomali wengi ulaya. Wasikilize hawa hapo chino mmoja mmoja ili wakusaidie imani zaidi. 1. Abdul Sameer 2. Apostate prophet 3. David wood 4. Somalli Christian tv 5. Christian Prince 6. Sister khadija 7. Zara Kay 8. El fad 9. Sam shamoun 10. Hatun tashi
Sheikh Mwaipopo, kuna watu wanakuja kufanya kazi na mm pia ni dereva huku ila mtu kueka reselemali ni akili yako wengi wao wanakuja fanya stareh huku ndipo wengine wanarudi Africa bila kitu na pia haja jijenga kimaisha
Ndugu yangu mwaipopo dini yako islam lakini roho yako iko kikristo zaidi hakika ulilelewa vema kanisani, hutaki uchawi, hutaki kisasi, hutaki dhulma, nakuombea JEHOVA AKULINDE NA UMRUDIE KRISTO YESU, AMEN🙏
Kwa huu uislamu wa shekh mwaipopo natamani kuslimu
Tunakukaribisha
Silimu maana nyinyi mnaosilimu ndio mnaokuja kututoa tongotongp maana mnakua waislamu wa kweli..Kwan kwenye miti hakuna wajenzi.
Mwaipopo tuko pamoja
Yaarabby wote waliopanga waislam wasiingie hijjah yaarabby waonyeshe utukufu wako yaarabby 🤲🤲🤲🤲
Rehma na Amani za MWENYEZI MUNGU zimshukie Mtume wetu kipenzi Mohammad Swalallahu Alleyhi Wasallam
Aamin yaarab
@@mohameeddoaan2296 Allahummah Amiin ya Rabbil akhuy
Allahuma swali A'ala Muhammad wa aliyh Muhammad
@@pembemussa2804 maasha ALLAH tabaraka ALLAH
Mungu akupe umlimlefu sheh mwaipopo
Asante ndugu yangu kwa kujitolea kuongea ukweli ALLAH ukuhifadhi na akulipe bila hesabu
Allah aupe uislamu nguvu na awarehemu wote waliokufa
Mansha Allah 🤲🤲 unazumza ukweli Allah akuifazi
Sema kwl ata iyume msema kwl hupendwa na mungu allah anakuona pigana shekhe wangu wengine atuna sauti tunaumia majumbani
Allahuma swal wa Salim aala nabiinaa Muhammad
maashaaAllah jazaakallahu khaira 🙏
Amina yaa rabbi shekhe nakukubal
Jazakallah kheyra
Assallam aleykum mmi nipo na wewe nakupenda sana kwakusema ukweli
Uko vizuri mkuu
HAwana imani wengi wa waarabu, ndugu zetu wanakwenda tafuta maisha wanarudi maiti/vilema na kadhalika
Well said sheikh, may Allah bless Europe, 🇨🇦canada and the 🇺🇸
MASH ALLAH upo sahihi sheh wet
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
Kiukweli mimi nimkristo ila umeongeya mambo makubwa sana yamenigusa
InshaAllah Allah atuwezeshe
KWA HAKIKA UKWELI UNAUMA LAKINI INAHUZUNISHA KWA DINI ILIPOFIKA: SHUKRANI SHEKH ALLAH AKUPE UMRI MREFU ZAIDI WENYE MANUFAA.
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh sheikh #saidmwaipopo wasema Saudia wamekosea kweli hakuna zaidi anaye jua ila ALLAH SUBHANA WA TA'ALA atusamehe na atuongoze tuwe Ummah bora Amiin ya Rabbil Allamin
MA SHA ALLAH
Maa-shaallah
Sheikh Mwaipopo ni kweli chenye umeongea kuhusu kutokupewa uraia huku Arabuni manake wanaona wakiwapa uraia wageni wao kuna mmbo watakosa n tutawazidi sana
Kweli kabisa mwaipopo mashallah wewe ni genius wa history tuko hapa Arab countries tunajionea mengi kwa kweli haswa ubinafsi hata mtu wa nje haruhusiwi kuvaa kanzu kama sio raia
Aww sheikh Asante hiyo kweli afadhali warabu wanateda watu ata wafanya kazi wanawatesa uwambie kweli
Sheikh kama unakiyoo wallah swadakta mambo hayo ndivyo yalivyo hujakosea mungu atatuongoza insha allah
Warabu wanaroho mbaya sana
Very true jamaa wanaroho MBAYA na wabaguzi Sana. Hata Farkhan wa USA amethibitisha bayana, tusijidharau kwao kwamba eti wao ndio waislam sana laahasha, mimi ninaamini watanzania ndio hatuna vita za wenyewe kwa wenyewe ndio mfano Bora duniani upande wa UISLAM, ni Tanzania pekee ndio wanaishi maisha ya kiumini bila ya mitafaruku na dini nyingine na mnafata utaratibu mzuri wa kuwaelimisha wasiyo waislam bila ya migogoro ya umwagaji wa damu ni sahihi kwa zama tulizonazo, MAANDIKO NA MIFANO BORA UKARIMU UTABORESHA UISLAM SIO ROHO MBAYA NA KUJIONA MBORA KULIKO WENGINE, Mungu atuzidishie UFAHAMU Aamin 🤲🏽
Mungu akulinde na akulipe yalio mzr na kauli thabiti
Wallaih unasema ukweli mtupu , sheikh mwaipopo , Mungu akulipe mema yote unayoyasema mm najionea niko Qatar Doha
Oya broo wewe ni kumala wa Kenya au tz mbona kaambae nakujua
@@kwaleboy6064 ni kumala wa Kenya broo , mimi
@@kwaleboy6064 ni kumala wa Kenya broo , mimi
asalam alaikum Juma
Allah akulipe their sheikh mwaipopo fikisha ujumbe Kwa waarabu Allah atakulipa their In Shaa Allah.
Assalam Alaykum Warahmatullahi Wa Barakatuh. Maneno yako ni kweli kabisa, mimi kila siku nasema hayo hayo, lakini sina uweza wakufanya kitu. Mimi natamani kukaa nchi za kiarabu nazipenda sana, lakini siwezi. Waarabu wamepata Neema sana lakini wazipoteza wenyewe. Allah atalipa kila mtu anaye tenda mabaya atalipwa mabaya na anae tenda mazuri atalipwa mazuri, Remember this always
Allah akulipe kila la kher sheikh wetu
Ni ukweli ukweli mtupu shekhe Allah akulinde na hasadi mm nipo omani uloyasema yoote ni ukweli warabu wanakubri kisa mtume alikuwa mwarabu basi wanaona hiyk ni tiketi ya kwenda peponi natamani izi vidio nipate kwa wasp
LLAHAULLAH wallakuattah illah billah adhiim
Waalaikum msalam Warahmatullah Wabarakatuh
Umesema kweli kabisaa nipo uwarabuni ndivyo walivyo hawana dini wachache mnoo
Hawa waarabu wanaroho mbayaa,mbayaa tena mbayaa
Munajidai munafata mafundisho ya yesu , yesu akawaambia ,nilikua na njaaa amukunipa. Chakula,nilikua uchi amukunilisha nilikua migongwa amukunitibu,nilikua kifungoni amukunitembelea ,Kisha wakauliza ni lini akasema mulivyo watendea hao ndugu zangu mulinitendea mm , matendo mema ndio yatatupeleka mbinguni sio dini ambayo munaishi mukiambia watu,I toke through expirience ,I have live in qatar,Dubai, waislamu niwanyama na izo sharia low
Huo ndio msimamo tunataka masheikh wetu.
Masha-allah
Tatizo waarabu wamemkataa Bwana Yesu Kiristo mwokazi wao, ambaye ni yote ndani ya yote,
We nae unaleta jambo lisilo elewa wangemkataa wasingemtaja adi katik vizazi vyao
As.alaykum maalim uko sahihi nimependa khutba yako
Fact!!!!!!
MashaAllah
Ndio mwaipopo usiludi nyuma endelea kusema kweli
sheikh mwaipopo uko sahihi
Ukweli waambiwe Wasuudia wametukosea sanaaaaaa
Warabu wazur mashaallah Oman ila Saudi Arabia /dubai wanamtihani sana
Waarabu ni wale wale tu oman uzuri wao ni.upi
Hujanielewa sio uzur warangi kama ulivyo nielewe nikisema warabu waoman wazur kwanza wanauchamungu wahali yajuuu kingine wanapenda kukirimu watu wengine wanajitoa sana kwenye kutoa misaada kuwasaidia wengine hata ukiishi nao hawana ubaguzi pia Saudi sio wote wabaya au dubai ila wamezidiwa sn na waty from Oman
Yaani sheikh #said ungefanya vizuri kama ungeongea #Arabic ndio message iwe direct delivered maanake hii ni indirect delivered
Wape ukweli watufanya km maumbwa ss waislam wenzao😭😭😭😭watajibu kesho kwa Allah thumma wallahi kesho watakua watumwa nikikumbuka bilal walivo mfanyia siwapendi kbs 😭😭😭nahawafati qur'an kareem inavo sema wallahi inaniuma😭😭😭😭
Mimi ni mkristo, Mimi kibinafsi nakubaliana na mwaipopo anavyoubiri.leo amesema Mambo ya ukweli
Mambo yapi yakweli
Hilo nikweli asilimia 100 , wazungu ni wabaya lkn awanyanyasi watu , huku kwa waarabu wanatesa sn watu , mm niko uarabuni nayaona hayo sheikh mwaipopo
Wana roho zao chafu sana
Hata warabu wenzao walio to ka nchi jirani hawapati uraia watu wamezuliwa na mfalme sio wafrica tu nchi zingine ukikaa miaka 10 anapata uraia huyo mfalme analeta mambo hayo
🙏🙏🙏
Sema kweli japo kuwa chungu sheikh wngu
Mkuu Mwaipopo sasa nimefahamu kwanini uliamua kuingia huko. Naona ni dhahiri uliamua kuingia huko kuwasaidia waislam. Kwamafundisho hayo unawanufaisha waislam Sana Sana.
Wewe umekuwa ukijikusanyia wafuasi wengi wengi waislam kwa wakristo. Piga kazi tuko nyuma yako.
Kweli kabisa
Inna lillah wainna ilayh rajiuuun.
waarab ni makafir ndomana hawawez kuwa wema kwa wengine unajisumbua tu kuwaelimusha wao ndivyo walivyo wanna roho mbaya ndomana unakuta hata vita vinatokea kwao hata uongee vip hawataweza kubadilika
Waislamu someni historia , Qatar, Iraq,is the reachest country,we have in Africa Islamic country,akuna shule ,ama ata hospital imejengwa kwa musahada wa mataifa ya kiarabu, lakini mataifa ya ukristo wanapeleka udadhili mpaka kw hao waarabu
Kweli Kabisaaa naukiza uku arabuni mtoto unamlipia kila mwezi
Ongea haki unayoyasema ni sahihi tunawaona
Hii itengenezewe subtitles isambazwe ifike hata kwa waarabu wengi
ndio
Umeongea ukweli mie nipo huku makkah jazakaallahu fiikuun inshaallah
Walai unasema ukweli nko iraq but hawa waarabu wanatunyanyasha sana nko karibu na msikiti wa karbala
Waarabu niwakorofi tokea zamani. Sasaivi wamezidi.
@@meekman654 yaani wee wacha sida ndio inatufanya tunje kutafuta pesa wapi na kila siku mtu anaomba swala tano sasa sijui mwanaomba mungu gani
@@eunicewambui4645 Kwa kweli inaskitisha sana.
Kuna Dada mmoja alienda kufanya kazi Oman basi ananambia hata ukiumwa wao hawajali wanajali kazi zao tuu. Niliskitika sana.
@@meekman654 wanatupatianga panadol peke yake
Hawa ni wanyama kama watalidhi ufarume wa binguni basi wote tutaenda binguni
huu ni ukweli tupu shekhe
Mimi nakufuatilia nakupendasana 2
Nimeona mashehe na wasomi wakubwa wanaishi maisha ya umaskini na kwamisikiti wanao ogoza Kuna matajiri wakubwa ,those are jehenam material
Waongo walevi huku Oman wapo
´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) ameeleza kuwa alimuuliza Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuhusu tauni ambapo akajibu:
“Ni adhabu ambayo Allaah huiaigiza kwa Anayemtaka. Allaah akaifanya kuwa ni rehema kwa waumini. Hakuna mja yeyote ambaye kitatokea tauni ambapo akabaki katika mji wake hali ya kuwa ni mwenye kusubiri na akatambua kuwa hakuna kitachomfika isipokuwa kile ambacho Allaah alimwandikia, isipokuwa atakuwa na mfano ujira wa shahidi.”[2]
Namuomba Allaah atuwafikishe sote katika yale anayoyapenda na kuyaridhia katika matendo mema - kwani hakika Yeye ndiye mwenye kusema kauli ya haki na ndiye mwenye kuongoa njia. Himdi zote njema ni za Allaah pekee. Swalah na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad, kizazi chake na Maswahabah zake.
[1] 39:10
[2] al-Bukhaariy.
Saudia si ndiyo inapiga Yemen mabomu
wanawauwa ndugu zao waislamu
ai shiekh (ALLAH) akupe nehema sikuzote,ante kwakututoa vumbi kwamacho.
Niko Saudi Arabia, imagine hata ukiwa makkah ndani, lazima utalipia hiyo hajj, kuhijji ni pesa, na maskini atafanya nini? Wako watu wengi wanaona mlima wa Mwenyezi Mungu wa kuhijji lakini huwezi hijji mpaka ulipie na ni 3000 Riyal kwenda juu, na hiyo ilikuwa kabla ya corona, saa hii ni zaidi,
Masikini hijja haimuhusu ila akipata wa kumpeleka na amuhudumie ni kheri hiyo INSHAALLAAH
Duh! Kumbe hatakama upo ndani ya viunga vya makka?
Rial 3000 sawa na shilingi ngapi ya Tz
100% wana roo mbayaaa sanaaaa
Mm nipo saudia arabia sai miaka 10 anacho kiongea shekh nikweli kabisa.
Kwann sasa huondoki ???
@@issabinmaryam7450 swali zuri sanaa, kiufupi navumilia ili nitimize malengo yangu siunajuwa subrah ni muhimu
@@abdulrahmanhassan9254 nimeipenda kauli yako good
@@mramsayo1025 shukran sana
Aaww_mwaka_wa_kumi_nataka_kuja_,huko_nifanyie_taratibu
nikweli kabisa
Mwarabu haamini Mwafrika hata uwe muislam kivipi! Anakuona hufai tu!
Hiyo ni kweni sheikh said mwaipopo , sasa tuone km hiyo World Cup 2022 nchi ya Qatar haitachezwa kwa sbb kuna corona
Walichezesha ligi ya club bingwa na corona ikiwepo, uwe na uhakika hata world cup 2022 itachezwa hapohapo
Fundisha hao waislamu wao uishi tu kusema dini ,lakini akuna matendo ya haki, ni watu wabinafsi, dini bila matendo ya haki aikupeleki popote
Uarabuni hata ukae miaka 100 haupewi uraia ng'oo waarabu wana roho ya kishetani hata uwafanyie kazi miaka 10 wanakulipa kifo siku ya kuondoka ukirudi salama uwadanganye kuwa naenda kisha nitawarudia ndo salama yako lakin ukisema haurudi tena malipo ni kifo hao ndo waarabu lakin wenzetu wazungu unarudi mpana pamoja hawajui dini
Kweli ndugu zangu wanaroho mbaya waarabu kikubwa kuomba mungu tu.
Unataka uraia ili ukae na kuishi na watu wabaya??
Wewe vipi?
Mzima lakini
Wasomali hivi sasa wanakimbia huko Ulaya kwa kuuliwa ovyo wanarudi kwao na nchi nyengine za Afrika.
Wanajidai na ngozi ya mtumi. Shetani atawafata na ngozi ya mtumi haitasaidia
Mwaipopo zungumza moja tu chagua dini au siasa usijichangañye
Sheikh ako Sawa kabisa ww ndio unaona yako ya siasa hajasema mpigie Kura nani anaongea hio dini namna warabu wafanyavyo ww ndio huoni
Mahmoud akili yako haipo sawa zezeta la kiarbu ww
Hamood hujielewi ndondocha ww
Tena ukifanya kazi kwa mzungu unafanya kwa masaa na una haki zako zote lkn uwarabuni unaamka saa kumi alfajir unalala saa tano usiku muda wote ni kazi tu na ukimaloza mkataba hawakupi chchte
Waalaykumu ssalam wrahma tullahi wabara katuh nikweli wara uni hata utumike miaka 10 ukirudi nyumba huna chochote Bali una rudi na maradhi tu ubovu WA myaka yote
😀😀
WApo waarabu wazuri na tunao hapa bongo wengi wanatafuna mirungi ndio tatizo lao
Kaka jamani umenichekesha eti wanatafuna mirungi ahaha
Wakola waitu
Kwatarifa yenu waisilamu inaweza ikawa mwisho wa hija mana huu ni mwanzo kisizingizio Corona
Wewe mbona mgomvi jamani unawachokoza wenzio🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@seebs1156 hapana inawezekana
Waarabu kaka wengi Wana kibri wanaroho mbaya. Wanatutesa ss mashaghala wafanyajaxi ww ndani kisa umasikini wetu wanatufanya Nisha na wadudu hawa Mungu anawa ona wanatugengasana
Kwani nani kakulazimisha kufanya kazi kwao,
Si na ukae tu hapo ulipozaliwa
@@saidmohammad3346 Ugumuwa maisha na ndiyo maana nilienda kwani kutafuta liziki nchi ni siyo zaliwa zambi. Na ningekua na Maisha kidogo Hafadhali nisinge enda ila hi ni Kadari ya Allah kilammoja na lizikiyake na wapi ataitoa kama umesoma dini utajua na kama unaiman utomyanyasa mfanyakazi kwani Dunia MAPITO na kilammoja masuhura ataulizwa naswali kuhusu mwenzie ulikuaunakaanae. Nami bahaziya waarabu nawaonea huruma
@@saidmohammad3346 wangefikilia sana ilijualakwao je sikuya kiyama itakuaje , kwa mwenye akili lakini. Alawengiwao kibri namwenyekibri mfanowa ssimizitu moto halali yake , mwisho nikwambie ww kutafuta liziki ya halali ni ibada na ni malipo yapo sikuyakiyama lnshallah🤲👍👌
Ingekua bora utengeneze video kamahii kwalugha ya Arabic language ingekua bora tunge Shea ujumbe unge wafikia vyema lakini hii lugha ya swahihi hawaelewi shekh asallam aleikum
Hata subtitles zinafaa
Ata mm imeniuma ongea baba hii dini si ya waarabu
Mwaipopo very soon utafukuzua kw waislamu,Sheria ya iyo dini ni kuitetea ata kwa mabay wanao tendea watu, maubiri kamili is how ulive with people how utreat the inawafanya wanatamani mungu wako,unapata mtu anomba 7times aday eti anafunga bt ana chuki akulipi kwamataifa yao hakuna haki
Umeongea maneno matamu saaaaana
Unaposema somalia wote ni waislam hapo hujasema ukweli kuna mpaka Somalia Christian TV hawa ni mume na mke walikua waislam wakabadilisha dini na kuwa wakristo na wamefungua tv yao, wanawabadilisha dini wasomali wengi ulaya.
Wasikilize hawa hapo chino mmoja mmoja ili wakusaidie imani zaidi.
1. Abdul Sameer
2. Apostate prophet
3. David wood
4. Somalli Christian tv
5. Christian Prince
6. Sister khadija
7. Zara Kay
8. El fad
9. Sam shamoun
10. Hatun tashi
Ujumbe mzuri ila asilimia kubwa waarabu hawataupata
Sheikh Mwaipopo, kuna watu wanakuja kufanya kazi na mm pia ni dereva huku ila mtu kueka reselemali ni akili yako wengi wao wanakuja fanya stareh huku ndipo wengine wanarudi Africa bila kitu na pia haja jijenga kimaisha
We jipendekeze to
Na kwatarifa yenu waisilamu nyumba ya mtume ina pangwa kuvungwa
Hakuna nyumba ya mtume s.a.w Bali baytul Allah nyumba ya mwenyeenzimungu..!
Unapuyanga England ni taifa la kikristu Sasa Kama unakataa basi umejikita ktk udini
Hao waarab TATIZO lau wanafuga majini wengi wao washirikina na ndio imani hawana . Sio waislam wanafik to hasa OMAN.
Niritamaani nimuowe muarabu ispokua .........