KUMEKUCHA ASKOF MWANAMAPINDUZI AMVAA MAKONDA"SEMA ULIKUWA WAPI WE NI MTUMISHI WA UMMA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • KUMEKUCHA ASKOF MWANAMAPINDUZI AMVAA MAKONDA"SEMA ULIKUWA WAPI WE NI MTUMISHI WA UMMA"
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 692 318213)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

КОМЕНТАРІ • 223

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 25 днів тому +12

    Uko sahihi kabisa Mchungaji ukuzingatia maneno yaliyokuwa mitandaoni pia yy mwenyewe aliwahi kusema kuna 8 wamelipwa pesa wammalize.

  • @AllanLyombile
    @AllanLyombile 25 днів тому +12

    Mchungaji yuko sahihi kulingana na kauli za mara kwa mara za makonda mwenyewe kuwa kuna watu wanamtakia mabaya, siku nyingine anaweza akapotezwa kweli Watanzania watanyamaza kimya wakidhani ni kawaida yake, kwani hajuwi kuwa anamaadui wengi?

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 24 дні тому

      Huyu si mchungaji ni shoga acheni kutumia vibaya jina mchungaji, mwanapinduzi ni shoga Kama shoga wengine tu

    • @juliusnyangindu3744
      @juliusnyangindu3744 24 дні тому +1

      😮

  • @MarthaKawinga
    @MarthaKawinga 25 днів тому +10

    Elewa likizo ni kupumzika na familia aseme ili ugundue nini

  • @uzimameditv8148
    @uzimameditv8148 25 днів тому +16

    Dalili ya Askofu au Mchungaji ambaye Roho wa Mungu amemuacha na pepo au jini linafanya kazi ndani yake ni kama huyu. 1wafal 22:22-23

    • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
      @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 25 днів тому +5

      Nimecheka kwa sauti
      hamna Mchungaji humo

    • @uzimameditv8148
      @uzimameditv8148 25 днів тому +2

      @@SmilingBulldogPuppy-nb9ur Amina

    • @NixonJohnson-r4m
      @NixonJohnson-r4m 25 днів тому +5

      Ukisema kweli tz unaonekana unapepo

    • @uziasinkamba7380
      @uziasinkamba7380 24 дні тому +1

      Hakika naomba waTz tushikama tulipige hili jini kwa nguvu zote futahilo .Tumechoka kuwa vumilia mlio beba roho ya kuzimu,kisa wivu tu,Alivyo makonda hatamjibu neno kwasababu anajuwa wito wake.

    • @reginaldmapunda6702
      @reginaldmapunda6702 24 дні тому

      Mungu hawafichi wanafiki na dalili ndio hizo. Uchungaji wa mchongo.

  • @christinamselle4490
    @christinamselle4490 22 дні тому +1

    Mchungaji upo sawa ila saa nyingine si sawa kuweka mambo wazi ukiwa nje ya ofisi. Kumbuka kuna mambo ya kiusalama binafsi mchungaji. Timuombee MUNGU aendelee na kazi ya kulijenga Taifa. Nafurahi kama amerudi akiwa salama mengine sina haja nayo kiukweli 🙏

  • @Aronchai-yt3bq
    @Aronchai-yt3bq 25 днів тому +6

    Wewe lini ulitangaza mambo yako? We ni mtumishi uwe na busara, wala huna uwezo wa kumuombea mtu jiombee wewe kwanza maana hekima ya mungu haiko ndani yako, akuage wewe ni mkewe,

  • @uziasinkamba7380
    @uziasinkamba7380 24 дні тому +5

    Acha maneno ya hovyo kwa makonda unapambana na Mungu bila kujitambua..Nimkuu gani wa mkoa alie kuaga wewe .nauliimwambia nani kwamba lisu kaenda huko .vuwa hiyo kola unachafua hali ya hewa.

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 24 дні тому +6

    Sijawah kusikia mkuu wa mkoa yeyote akapata likizo akawaaga wananchi wa mkoa wake sijawahi kusikia.kwanini makonda aage?

    • @AzimioTemba
      @AzimioTemba 24 дні тому +1

      Ni kweli hujawahi Hata kusikia uzushi mtandaoni kama ilivyotokea kwa Makonda ndio maana wenye Akili Timamu tunataka Makonda mwenyewe ASEME ili kujibu na kuponya mkanganyiko wetu, vinginevyo atakua s YEYE bali kile tunachokiona SASA ni KIVULI chake tuu. Ni MTU gani asiejali hisia za wapendwa wake????

  • @Aronchai-yt3bq
    @Aronchai-yt3bq 25 днів тому +6

    Huna upendo wowote ni mnafiki wewe, akikuaga ulitaka ujue ili iweje, we ndo mtoto,

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 25 днів тому +12

    Mbona wakuu wa mikoa wengine
    Hawauliziwi wala kutafutwa?
    Wala wananchi hawana habari nao?
    Kwanini ni makonda kunanini ndani yake?
    Waulizeni watanzania hasa wakazi wa arusha
    Mtapata jibu sahihi lakini sio huyu mchungaji
    Analake jambo

    • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
      @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 25 днів тому +2

      Paul CHRISTIAN makonda ni Mtumishi wa JEHOVAH MUNGU

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 25 днів тому

      Kuna mwenye akili apo juu kesha kujibu kwamba tatizo la makonda alisha sema anawindwa

    • @tibbsminja2575
      @tibbsminja2575 24 дні тому

      Huyu Bashite alitengeneza drama yake tusidanganyane huu ni upuuzi hasa kwa mtumishi wa umma! Ya nini kutaka publicity. Na wewe mmhojiaji unahoji ujinga.
      Kuweni na ustaarabu wq maswqli yenu huu unaonyesha uchawa Upoyoyo! Hii nchi sio ya mtu fulani! TanAnia inatakiwa kubadilika lakini kwa watu viongozi wa Aina hii ndio wqnatupeleka Burundi!!

    • @lutegomakoyeluhahula361
      @lutegomakoyeluhahula361 24 дні тому

      Wewe umevurugua.hujaongea maoni yako,ndio mwanzo unaanza kutukana wenzio. Hata hivo wewe binafsi una record ngapi utuonyeshe za likizo za wakuu wa serkari? Na huyu mpuuzi mwenzio anadai makonda anaishi kwa Kodi zenu,inamaana makonda analipwa bila ya kazi? Na yeye akiwa likizo huwa anamtangazia Nani? Au ndio kizungu tunasema,ISHINDO ISAMIJA BANYI?. nenda umwambie huyu mjinga mwenzio kuwa,likizo la mutu ni sawa na falagha ya mutu binafsi. Pumbavu unataka akutangazie,ili ufanyeje,au ili iweje?​@@tibbsminja2575

    • @sophiemsuya6507
      @sophiemsuya6507 23 дні тому

      Inategemea na tabia ya mtu. Kama unapenda kurusha taarifa zako kila mara, watu watakutafuta. Hao wengine huwa hawajionyeshi hata wangefanya kwa viwango vya juu wala hawapendi kuandikwa andikwa kwa sababu wanaamini wameaminiwa na serikali na wanachokifanya ni sahihi kwa jamii wanayoitumikia.

  • @enockfunke7502
    @enockfunke7502 25 днів тому +4

    Askofu gani wa nature yako kuongea mambo ya hovyo kama hayo mtumishi kuwa likizo not necessarily @ mtu kujuwa ispokuwa mwajiri

  • @elinurukitomali6008
    @elinurukitomali6008 24 дні тому +1

    Hacha siasa..mbn mikoa mingine wakiondoka hakuna watu wanawatafuta...Mungu kamtambulisha Mr. Makonda kwa Tanzania hadi sasa wapo mikoa wanatamani aende mikoa mingine. Ww mchungaji nenda huko kadanganye watu wakupe sadaka

  • @user-bc4tt3bw7l
    @user-bc4tt3bw7l 25 днів тому +7

    Mchungaji nilikuwa nakupenda sana na nilikiwa nakuelewa sana ila umenishanga kwa ili la makonda unakosea utakialibia ata chama chako jitakafali

  • @gracendaro
    @gracendaro 22 дні тому +1

    Sema kweli Baba

  • @prophetjohnmasso186
    @prophetjohnmasso186 25 днів тому +8

    Pole sana umeacha kazi yako umekuwa mwana siasa ona sasa unaongea ujinga

  • @gracejoseph3351
    @gracejoseph3351 25 днів тому +8

    Kwani hapo tatizo ni la Makonda au ni la hao wanafukunyua yasiyowahusu? Imeandikwa wapi kwamba lazima mtu utangaze uwepo wako likizoni?

    • @reginaldmapunda6702
      @reginaldmapunda6702 24 дні тому

      @@gracejoseph3351 Ndugu yangu nchi hii imejsa wasomi wasio elimika na zamani taasisi za dini zilikuwa zimejaa watu wenye hekima, budara ,subira na ucha Mungu , lakini leo hii hakuna tofauti kati ya watu wa vijiweni na viongozi wa dini. Yaani viongoxi wengi wa dini wamekengeuka na kuingia ktk. uchawa wa kisiasa na utafutaji pesa kuliko ufalme wabingu. Tuwasombee tu msamaha kwa Mungu awasamehe kwa sababu hawajui watendalo. Nyumba za ibada ziimegeuka kuwa ni majukwaa ya kisiasa na mitambo ya kutengenexa pesa. Katika hali ya namna hii ni vigumu watanzania kuwa na hofu ya Mungu ambayo ndio ingetuokoa na maovu yote. LIKIZO YA MTU SIO SIRI LAKINI PIA SIO TANGAZO AMBALO KILA MTU ANATAKIWA AJUE HATA UNAPOPUMZIKIA AU ANACHOFANYA WAKATI WA LIKIZO YAKE. Ukiona mchungaji hajui hata hili elewa kuwa tumekwisha kwa sababu wapo wengi mno hapa Tanzania. Wamemwacha shetani wanaiandama Serikali.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 21 день тому

      Makonda hajasema lolote ni Watu

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 25 днів тому +4

    Huyu akapimwe mkojo 😅

  • @bakarirajabu3783
    @bakarirajabu3783 25 днів тому +5

    Askof mweu huyo kwani wakuu wa mikoa Ni wangapi mpaka makonda tu si muhulize wengine

  • @zaitunalfan7727
    @zaitunalfan7727 24 дні тому +4

    Hakuna mchungaji hapo ulisema watu wabebe mapanga na visu

  • @deogratiashaule8958
    @deogratiashaule8958 25 днів тому +7

    Huna jipya mchungaji, nyamaza

  • @AbdumanMlunga
    @AbdumanMlunga 25 днів тому +7

    Mchungaji tafakar maneno yko kabla ya kusema,hauko sawa

    • @rashidissa5887
      @rashidissa5887 24 дні тому

      Kwani wapi mchungaji kenda ovyo? Wengine hebu wekeni ukereketwa wa ovyo pembeni. Kwa nini tusijue Makonda, mtumishi wa umma, alikuwa wapi!

    • @enockmkeba1035
      @enockmkeba1035 22 дні тому

      Itakusaidia nn

  • @user-id9pe9jj1u
    @user-id9pe9jj1u 25 днів тому +5

    Kwel inabidi Kila mtu afanye kazi zake kama ni mchungaji fanya uchungaji mambo ya siasa acha nayo,Kwan nilazima mtu akipata likizo aite wahandishi wa habari ayo ni mambo ya kiofisi na pia ni moja wapo yakulinda Siri za ofisi,pia RAS aliongea makonda Yuko likizo lakini mchungaji umeongea na ndani bila kujitafakali

  • @user-yi8pe8zz1t
    @user-yi8pe8zz1t 25 днів тому +4

    Wewe ukiendaga kwenu unamuagaga Nani sema za ukweli,ujue hata makonda Ni mtumishi wa Mungu,isipokuwa BWANA amewatofautishia wizara tuu,wewe Ni Nani hata ukaseme makonda Ni mwigizaji,Kwa hiyo Na wewe hujatumwa Na Mungu hapo unatuigizia tuu,mbona hatujamwona mheshimiwa akifanya bongo movie,Rudi msalabani mapemaaaa Kama hauigizi apo

    • @pueblo148
      @pueblo148 24 дні тому

      Hivi unajua maana ya itumishi wa umma?
      Kilaza wewe.jinga kabisa

    • @AcheckMbagwa-m9m
      @AcheckMbagwa-m9m 24 дні тому

      Askofu Ivi mkuu Wa mkoa umeuliza Kwa boss wake mama Samia Amekwambia hakuaga jee unajua mimi nafkili Raisi Alikuwa na talifa ndiyomaana hajaongea chochote. Mwana mapinduzi namkubali sana Ila swla la makonda nimejisikia kukuchukia sana na mkoa hujamkabi wewe Amekabiziwa na Raisi ndiyo maana boss wake alimuweka mwenezi Wa chama Tena mkuu Wa mkoa na ninyi mnaotaka atangaze ndiyo wabaya sana ninyi mjue mmfuatilie Kwa Nia isiyo

    • @user-yi8pe8zz1t
      @user-yi8pe8zz1t 24 дні тому

      @@pueblo148 ukipona tutamtukuza Mungu tuu Amna mwingine,Wala ww hujahisika kwenye kumuumba mheshimiwa makonda,

    • @hamdincatalonia3272
      @hamdincatalonia3272 24 дні тому

      @@pueblo148Kwan shida yenu nini aliemuachia ofis mbona alisha sema yuko likizo! Au Niayenu aijatimia!

  • @yonassngonye3759
    @yonassngonye3759 25 днів тому +5

    RAS alitoa taarifa yuko likizo ulitaka nani aseme ili mumuamini uzushi wenu ni ufedhuli mtupu

  • @HappinessOpanga
    @HappinessOpanga 18 днів тому

    Sio Rahisi kama unavyofikiria,, halijakukuta ndo maana unaongea, Mwache Makonda apumzike ili atafakari mambo ya msingi,,Mengine tunamwachia Mungu,,Usitake kujua kila kitu,

  • @user-pn9yv3un2h
    @user-pn9yv3un2h 25 днів тому +2

    Kweli makonda amekosea Bila kufafanua hili JAMBO, kwasababu tulifikia MAHALI kulaumu serikali zinaonekana ni drama

  • @deusdedith
    @deusdedith 25 днів тому +4

    Ambie kila mtu ili wabaya wake wamfatilie

  • @AidaRaphael
    @AidaRaphael 21 день тому

    Kweli kabisa Aseeme Alikua wapi???? Inamaaana Makonda hujui wamepata shida kiasi gaanii!!! Mhuuuu!!!! Makonda semaa

  • @mkombozifreshoil
    @mkombozifreshoil 25 днів тому +1

    Laaah nimecheka sana, Mhe. Kajua kucheza na akili za watu.

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 25 днів тому +6

    Kwaiyo Paul CHRISTIAN makonda Asiende likizo mbona hujitambui nyie
    Makonda Hamumuwezi nyie

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 25 днів тому +2

    Kila jambo lililoko ngizani hatalikafichwa jicho la mungu anaona na kila jambo litafichuliwa tuuu

  • @SurprisedCamel-ow6md9
    @SurprisedCamel-ow6md9 25 днів тому +3

    Hacha ujinga bb muache makonda wetu

  • @sadikimgaza6777
    @sadikimgaza6777 25 днів тому +4

    Huyo askofu mwehu anaongea nn kwani walionbea c mitandao sasa yeye.imsaidie nn na ajuwe nn

  • @rosejoel-nh8hu
    @rosejoel-nh8hu 25 днів тому +3

    Tujifunze kucontrol vinywa vyetu, "siokila Mbwa anaekubwekea lazima uchukuwe jiwe umlenge" Tafakar

  • @user-jk3qx3dt6c
    @user-jk3qx3dt6c 21 день тому

    Hakuna kiongozi wa dini hapo zaidi ya mkereketwa.

  • @FaustaJobi
    @FaustaJobi 23 дні тому

    Tunashukulu mungu kwakuwaameludi makonda polebaba

  • @mwajohari4385
    @mwajohari4385 24 дні тому +2

    Sio lazima ujue kila kitu chake,,,makonda kama viongozi wengine,,, hawezi sema kila jambo lake,,si lazma kusema eti nimepata likizo heee

  • @SanziNzige
    @SanziNzige 24 дні тому +2

    Makonda NI mtumishi wa selekari NI mkuu wa mkoa NI MTU maaarufu watu wanampenda.siyo MTU MTU tuu.ni Kama raisi .alipo lazima WANANCHI wajue.siyo eti mapumziko asiseme why.jiulizeni ukwrli ubaki kuwa ukweli tuu

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 22 дні тому

    Haya mavazi ya kujifanya wanavaa wachungaji ni kama petrol kwenye ulimwengu wa adhanu za Mungu.

  • @GermanaPaul
    @GermanaPaul 25 днів тому +3

    Huyu mchungaji vipi??kwa wote tunaenda likizo tunatangaza aisee

  • @cosmasmilanzi7117
    @cosmasmilanzi7117 23 дні тому

    MITHALI 10:19 "Katika wingi wa maneno hapakos kuwa na maovu.Bali yeye azuiaye midomo yake hufanya akili."

  • @JeremiahKaliwa-h1w
    @JeremiahKaliwa-h1w 22 дні тому

    Mtumishi uko sawa ukimya unazidi sana Tanzania tumefikia pabaya kama viongozi wanajificha JE wewe raia wa kawaida ambaye hata mgambo huna.

  • @esterchalamila2868
    @esterchalamila2868 22 дні тому

    Alichoongea Mchungaji ni sawa kwakuwa tulikuwa tukimtafuta karibu mwezi. Sasa kuongea sana kunaharibu maana alichomaanisha ni alivyoonekana angetokea kwa wananchi kusema alikuwa wapi kwakuwa mitandao na wananchi tumekuwa tukimtafuta bila mafanikio. Hadi nyimbo zikaimbwa na Maombi yakaombwa sasa angetuambia alikuwa wap kabla ya kwnda Airport. Ndicho nilichomuelewa huyu Mtumishi.

  • @hawakazimoto2949
    @hawakazimoto2949 25 днів тому +2

    Kwani wakuu Wa mikoa wengine Huwa wanatangaza wakienda likizo? UJUE wewe kwani ndo umempa ukuu Wa mkoa? Acheni ujinga kumsakama makonda jamani mbona viherehere? Atoe ufafanuzi eti kwani umemuajiri wewe ujinga acheni ...

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 25 днів тому +5

    Mbona RAS alisema kuwa yuko Likizo. Mbona Wapumbavu nyie hasa huyu Mtumishi wa mchongo aka feki.

    • @aminimushi6945
      @aminimushi6945 24 дні тому

      Wewe unajua taratibu za likizo?sheria inasemaje kuhusu likizo?RC huyu alianza lini kazi mpaka achukue hiyo likizo?tuache kukanyaga sheria za utumishi.

  • @TeleziaSimbeye-fm3zw
    @TeleziaSimbeye-fm3zw 22 дні тому

    Uko sahihi sana hata mi sijapenda kabisa sijui hawa viongozi hawataki tuwaombee!!!??

  • @dr.peterlombiso7686
    @dr.peterlombiso7686 24 дні тому

    Ni kweli kweli kabisaa, kwasababu alisema mwenyewe kuna watu walitaka kumuua, walipewa pesa.

  • @RashidTwaha-dm8zz
    @RashidTwaha-dm8zz 24 дні тому

    Lazima Kuna tatizo hii nchi yetu tunaijua wenyewe tusiwe wanafiq kumbukeni Kuna taarifa tulipata za makamu wa raisi tumshukuru mungu kwamba karudi tumuombee Kwa mungu azidi kuwa naujasiri lazima atakuwa alikuwa amewekwa kikaangoni nchi yetu tunaijua wenyewe

  • @priscillawilliam3603
    @priscillawilliam3603 24 дні тому +2

    Wewe askofu acha mazungumzo yasio kuhusu akuage wewe.angalia yanayo kuhusu aibu ya kidini. Hana sababu ya kutangaza privet life yake

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 25 днів тому +3

    Makonda anatisha mtake mstake

  • @uzimameditv8148
    @uzimameditv8148 25 днів тому +3

    Wakati umesha muita jini huo si unafiki

  • @zaitunalfan7727
    @zaitunalfan7727 24 дні тому +2

    Akuage we ni mke wake

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 25 днів тому +2

    Ulimombea nani akapona mwache King makonda apige kaz

  • @Joanes-g5z
    @Joanes-g5z 24 дні тому

    Acha kudhalilisha uchungaji, bora uchane na uchungaji, nenda kwenye siasa,

  • @gabrielmachotta5193
    @gabrielmachotta5193 24 дні тому +2

    Mchungaji mwanamapinduzi umesema ukweli 🎉❤

  • @joycealbart805
    @joycealbart805 25 днів тому +2

    Mchungaji wewe sio mchungaji kamili unakitu ndani yake naona ulifurahia.makonda hapotee lakini dini na siasa vinaendanaje?

  • @MsombaNiku
    @MsombaNiku 25 днів тому +2

    Apelekwe milembe huyo mzee

  • @user-tv9tm7cp9g
    @user-tv9tm7cp9g 24 дні тому +2

    Kumbe wewe ni mpuuzi,aliye sema kupewa sumu ni nani si nyiye anamakosa gani

  • @SaidOmary-fd3bj
    @SaidOmary-fd3bj 24 дні тому +1

    TATIZO LA HUYU MCHUNGAJI LIPO KTK KUFIKIRIA KABLA YA KUSEMA.
    (HIVI YULE KAIMU SI KASEMA MAKONDA YUKO LIKIZI)
    SS UNATAKA NN

  • @charlesSomeke
    @charlesSomeke 24 дні тому

    Hivi nimepewa likizo nikaamua kufunga siku 30 lazima nitangazee yaani ni jinsi gani makonda alivyo star

  • @DicksonJaphet-fq7ov
    @DicksonJaphet-fq7ov 24 дні тому

    Uko sahihi mtumishi 👍

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 24 дні тому

    SASA WATU WOTE WAWE WANATANGAZA WANAENDA LIKIZO KAZI ITAFANYIKA SAA NGAPI
    MAKONDA BIG UP BORA ULIKAA KIMYA KIONGOZI

  • @HappinessOpanga
    @HappinessOpanga 18 днів тому

    Subiria wakati utaongea,,Mwache mtoto wa mwanaume mwenzio ,usimchoshe

  • @frednyangwechi774
    @frednyangwechi774 23 дні тому

    Hiyo sio kazi ya askofu kabisa

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 25 днів тому +2

    Ulitaka akuage wewe mwache makonda wetu tunampenda akuambie wewe ni. Nani? Fanya yako

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 25 днів тому +1

    Mbali ya Askofu Mimi mwenyewe binafsi simwelewi Fulani kwanini asituambie alikuwa wapi tujue ukweli kwani likinzo ni shida kwani kupewa sumu tujunze bc tujue ? Chadema haziwenzi furahia mtu kupata shida hapana Mimi Sina chama ila nataka kujua alikuwa wapi jamani nchi hii ni ngumu aisee duh hamna shida sikupenda hiyo anavyonyamanza kwani tuliingia magotini na mungu akatenda miujinza unachezea sumu Nini au likinzo wai

  • @user-yi8pe8zz1t
    @user-yi8pe8zz1t 25 днів тому +2

    Hapa Pana shida ya afya ya akili,tunakuombea upone Sisi jamani, mbona wewe Ndiyo unaleta drama sasa,kweli kimya Ni jibu la mjinga, hongera makonda Kwa likizo njema, Na kurudi Salama kazini,

  • @williumgeofrey9587
    @williumgeofrey9587 23 дні тому

    Hahahaha hahahaha hili lichungaji bwege kabisa, halina hoja ya msingi. Kwanza tangu zamani halimtaki Makonda. Limechukia kusikia Makonda amerudi.

  • @sadikimgaza6777
    @sadikimgaza6777 25 днів тому +2

    Wewe mchungaji mwehu wewe buns la kuongea

  • @vincentmwaya6910
    @vincentmwaya6910 23 дні тому

    Tanzania tuna mikoa mingi sana lkn kwann kila cku makonda?? Au kwakuwa amekuwa mwandishi wa habari

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 23 дні тому

    Mh huyu mchungaji naye magufuli aliposema alipewa sumu mlifanyaje muache mtu afanye anachokifikilia kama unanita ya oumuombea mtu mungu anasikia kwa vyovyote vile

  • @juliusnyangindu3744
    @juliusnyangindu3744 24 дні тому

    Mchungaji anachemka kwenye friji likizo ni maisha binafsi na itifaki yake iko kwa mteuzi wake. Nadhani makonda aendelee tu na kazi. Isipokuwa wale waliomzushia watengue kauli zao. Mchungaji anamwita makonda mtoto hapana yeye na wenzake waliokutwa wanazusha hawajakomaa kabisa. Aendelee kunyamaza ili wateseke zaidi

  • @ZawadyKaoneka
    @ZawadyKaoneka 24 дні тому

    Makonda mimi huwa simkubali utoto mwingi sana

  • @obeidmbahimwangwa6951
    @obeidmbahimwangwa6951 24 дні тому

    Tuachane na mambo ya kipumbavu na tuangalie mambo ya msingi kama kupata Katiba mpya kuliko haya tunayajadili hayatusaidii kitu

  • @AnnaNgobola-pm7fz
    @AnnaNgobola-pm7fz 23 дні тому

    Kwa ni wakuu wa mikoa wangapi wanaaga na huuuvumj ulimisha zaidi na wengi wasiomtakia mema labda muwaulize wale waliosema kapewa sumu hao mdiò waseme kukomesha umbea

  • @agustinofhoty5985
    @agustinofhoty5985 22 дні тому

    Huyu si mchungaji huyu ni mwana siasa kwani aage maana si watu wote ni wazuri kwake acha uchungaji ufanye siasa

  • @mtemiagribusiness-rr2hl
    @mtemiagribusiness-rr2hl 24 дні тому

    kwa upande fulani uko sawa

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 24 дні тому

    Kweli kabisa mputi,alileta taharuki sana.

  • @hawakazimoto2949
    @hawakazimoto2949 25 днів тому +2

    Unaongea ujinga mtupu huna lolote. Hovyo sana

  • @obeidmbahimwangwa6951
    @obeidmbahimwangwa6951 24 дні тому

    Hata hawa Waandishi wenyewe ni shida kutafuta habari km hizi badala ya kuweka habari za maana kuliko hili la Bwana Makonda

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 24 дні тому

    Tz mambumbumbu sana Ivyo Makonda alikuwa wakuwachezea akili ivyo, Philipo Mpango alifanya ujinga huohuo makonda kaiga tulichotakiwa wananchi kuwapuuzia hao vinyago wanaotafuta kiki za kipumbavu kama hizo.

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 23 дні тому

    Biblia yangu ina kurasa 1219 ndiyo inamalizia ufunuo wa yohana sura ya 22. Kuna mambo mengi napaswa kuyasoma, kujifunza, kuyatafakari, na kuyafanyia kazi, kwenye maisha yangu kama mtumishi na kutumikia watu ktk haya mengi yanayonikabili. Hivi watumishi wengine mnashughulika na nini humu duniani kwa kupoteza muda na mambo ya wengine? Aisee hii hukumu ya Mungu iliyo mbele yetu INATISHA SANA!

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 24 дні тому +1

    Kuma la mama yako mzazi, wewe si ulisema Makonda hafai?? Kuma wewe akuage wewe unaemuombea mabaya???

  • @ndabarinzesamuel9333
    @ndabarinzesamuel9333 24 дні тому

    Wewe unayejiita mchungaji na siasa , Makonda si mwanao kujuwa mahali anapokwenda atakayekuambiya anapokwenda ni mke wako sababu una mamlaka ya muuliza aendapo si Makonda mwanaume kama wewe.

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 24 дні тому

    Mtumishi zingatia utaratibu wa kiutumishi. Navyema uwe naakiba ya maneno.

  • @richardchawenda5938
    @richardchawenda5938 24 дні тому

    tumekosa kazi za kufanya

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 25 днів тому +3

    Kachunge mbuzi paka wewe

  • @neemasanga5333
    @neemasanga5333 23 дні тому

    HUYU BABA APELEJWE MILEMBE
    SIYO MZIMA KABISAA.

  • @teddyjohn4109
    @teddyjohn4109 24 дні тому

    Acha maneno

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 24 дні тому

    Mimi ni mpenzi sana sana wa Makonda lakini hapa hakututendea HAKI na ametuumiza sana.

  • @fellytemba9064
    @fellytemba9064 22 дні тому

    😮😮😮😮

  • @barnabaspamba7053
    @barnabaspamba7053 24 дні тому

    Huyo siyo mchungaji na hana upako wowote anasema maneno hayo kawasiliana nae?

  • @josephchaba6007
    @josephchaba6007 23 дні тому

    Unataka aseme alikuwa wapi ili iweje chadema ndio mlianzisha hili kwamba kapewa sumu

  • @dr.peterlombiso7686
    @dr.peterlombiso7686 24 дні тому

    Hakuna mfanowe(Makonda)❤ ndiyo maana mchungaji anasema hayo, Makonda ni king of kings, RC wa ajabu. Achane kumponda Mchungaji

  • @g.karathaofficial666
    @g.karathaofficial666 24 дні тому +1

    Mtumishi wa Uma ni nyara ya serikali 😂😂😂😂😂

  • @pendomtobela5238
    @pendomtobela5238 25 днів тому +2

    mchungaji umevaa nguo yakubana kwakweli

  • @enockmkeba1035
    @enockmkeba1035 22 дні тому

    Achen makonda afanye kaz

  • @user-jc8cv1ri1v
    @user-jc8cv1ri1v 24 дні тому

    Unasema maneno ya watoto

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 24 дні тому

    Huyu ni mchungaji kama anavyoitwa au kujiita na watu wengi ? Sina shinda ya huyu mchungaji anamfuatilia sana Makonda.Nimtu ambaye anaonekana kuwa na chuki zake.

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 25 днів тому +2

    Kuma wewe mchungaji kachunge mbuzi mwana siasa huyu