Mwanangu Dada Zari, usisahau kutoa ahsante nyingi kwa watu wote tuliopiga magoti mbele ZAKE MUNGU MWENYEZI kumlilia ili atoe njia ya mtoto Warda kupatikana katika hali yoyote aliyomo. Ahsante.
Asante Yesu kwa kupatikana kwa mtoto warda sifa na utukufu tunazirudisha kwako. Hakuna aliekuwa mkamilifu katika hii dunia. Tunajifunza kutokana na makosa.
Shukulan sana kwa Allah kutuwezesha kumpata mtoto akiwa salama Alhamdullah Allah tudhidi kumuabudu kwa kila wakati inshallah❤❤❤❤❤❤SHUKLAN REDIO YETU KWA MISAADA HIO ALLAH AWALIPE KILA LA KHER INSHALLAH
Hyu mtoto malaya tu km malaya wengne kwann aambiwe lete m halafu akaitupe,halafu hilo swala la kuokota cm kaongo hako kalipewa namba na bwana ako,kaongo malelezo nimeyasoma vzr,binafs naona mwalimu wema mm alikuwa na mapungufu lkn sio ya kufanya mbk yeye aondoke
sio tatizo wazazi kutengana dadaa makosa ni ya mama mm niko na wanangu na nawalea mwenyewe sina msada wa baba yao ela alhamdulilah sitaki mchezo na wanangu na wanasoma sitegemei baba na siwezi kumpatia mtu tu mwanangu
Namuomba huyu mtoto akae kwangu niko na watoto wangu pamoja na mke wangu nitampenda kama mtoto wangu pia upande wa michango ya shule wataweza lipa moja kwa moja shule imeniuma sana
Asante Mungu kupatikan kwa uyu bint anaonekan bint anabusara na Hekima ila changamoto alizopitia ndizo zilimfanya akimbie Kuna mengi kapitia ukisikiliza kuanzia kwa majiran wa mwl wema kunavingi
Sasa dada Zari na familia ya Warda tafathali murekebishi kauli yakwamba tunawashuru wa TANZANIA kwa msaada wenu. Niju yakwamba tuko wengi ambao si wa Tanzania ambao tuko na roho yakusaidiya wala ambao tayari wanesha saidia kwa msakata wa WARDA❤. Sindiyo watu wa MUNGU?. Ni mimi hapa Norway but original kutoka Zambia
Kweli kabisa maana alikuwa anamuamin mwalimu kupita kias na mtoto aliliona ilo ndo maana jakurud kwao......wakae nae vzr tu mtoto atawaambia mengi aliyopitia kwa uyo mwalimu
@@zulfahaji91siyo kumchoka nikwel mama warda alimuamin sana ndo mana huyo mtoto aliona mama atanirudisha na mateso yangeongezeka na hujui ni kashfa gani alizokuwa anapewa
Yaaani nikimfikiria Warda Jinsi Alivyokuwa Anaeleza Tumbo la Uzazi limeniuma Sana Mtoto Alikuwa Anateseka kwa Mwalimu na Mtoto number ya Mama Yake Anayo Na Anaijuwa Ila Kama Alivyosema Kama Anajuwa Wangemrudisha Kukekule kwa Mwalimu Na Mwalimu Ana Makosa Na Mtoto Wa Watu Yarabb Mwisho nimalizie mtoto wa Mwenziyo ni Wako Yarrab Pole Sana Warda Tutajitahidi ili Urudi Shule
Alhamdulilah tunamshukuru Allah Warda kapatikana ila kuhusu mama Warda Kuolewa sio dhambi jamani, matatizo umfika Mja yoyote yule hata kama asingeolewa kama kumfika warda yangemfika tu, yote ayo ni sababu tu
Jiweke wewe nafasi ya warda, baba na mama yako wapo hai lakini hukai nao unaenda kukaa na mtu asije ndugu yako. Maisha unayoishi ni ya manyanyaso na vipigo je ungevumilia mpk wapi? Kwa nini usikae na wazazi wako je wewe una kasoro au waxazi hawakutaki? Warda amekuwa na sintofahamu kibao na umri ni mdogo
Ila Zari hukuwa na haja ya kumuelezea huyo mama ameolewa na wanaume wa ngapi unamuabisha mwanamke mwenzio. kuna maswali mengine inabidi ujifunze na unaonekana una hasira za haraka . Wewe kama mwandishi wa habari inabidi ujue jinsi ya kuongea na watu. Warda kapatikana ndio jambo jema. Tumshukuru Mungu . Hata nyie mmeshaona huyo mwalimu ni kichwa ngumu. Inaelekea kweli wazazi walifanya party yao ila kwa sababu huyo mwalimu alikuwa anawasaidia wakawa wanaogopa kumface. Nakupa hongera kwa kulisimamia hili jambo mpaka likafanikiwa .
Kweli kabisa wazazi ndio wana sababu matatizo ya watoto .hata kama ni umasikini kwani nyinyi wazazi muna kula nini hata mtu akawa hawazi kumlisha mwanae,au umpeleke mwanao afanyishwe kazi upate pesa kupitia mwanao
Mtangazaji ni kweli umefanya bidii sana kumpata Warda. Hongera kwako, watangazaji wenzako na waTanzania wote . Ila unawahukumu sana familia, unaendeleza chuki ndani ya moyo wa Warda. Pia jitahidi kuto kuuliza maswali ongozi (leading questions). Maswali ya namna hii yanamlazimisha mtu kujibu vile utakavyo wewe
Yaan nimependa global kwa ajili yako da Zari wew siyo tu mtangazaji bali kuna kitu Mungu kaweka ndani yako ubarikiwe zaidi na zaidi
Mwanangu Dada Zari, usisahau kutoa ahsante nyingi kwa watu wote tuliopiga magoti mbele ZAKE MUNGU MWENYEZI kumlilia ili atoe njia ya mtoto Warda kupatikana katika hali yoyote aliyomo. Ahsante.
Y
It's done andwe uughgyuo
Sana Yani nilikuwa naomba mungu muda wote
Hiyo asante inawahusisha wote. Lakini pia watu wamaombi hawaamini katika asante humwachia Mungu
mwalimu wema mtoto alikuwa anakusaidia kazi na bado unamnyanyasa huna hata shukran
Niko kenya hongera sana dada kwa kupambana kumtafuta huyo mwenetu❤
Mama warda hata ndugu yako usimuamini maisha ya sasa hivi yamebadirika binadam wa sasa si wema. Na alhamdulillah kwa kupatikana warda
Yule jini wema alisema yuko kwabwana mungu ampe lakumpa mwalimu wema
Hahaaa jini
Wanao fata kipindi hiki sio watanzania peke Mimi niko Johannesburg ila mu Burundi wa Rumonge nimemfatilia warda Mdaa mrefu
mimi nipo kenya nimefatilia toka mwanzo
Hongereni sana
Mimi pia nipo Iraq
Mimi nipo Canada 🇨🇦
Mimi nipo Israel
Asante Yesu kwa kupatikana kwa mtoto warda sifa na utukufu tunazirudisha kwako. Hakuna aliekuwa mkamilifu katika hii dunia. Tunajifunza kutokana na makosa.
Hawa wazazi hawajuwa hawajali mtt wao kapata mateso bila ya msada wao zari mungu akueke akuzidishie imani mungu akulinde
Huyo mtoto ana machungu mengi sana moyon,, anashindwa kujielezea kwakuogopa laka ako na maumivu makali
Asante sana Mungu, asante sana Global TV Warda kuwapatikana
Hakika MUNGU unajibu Maombi Asante Mungu kwa kuifuta familia hii machozi naumeilejeshea furaha keakupatikana mtoto Warda 🙏🙏
Alhamdulillah kwa kweli
Dada Zari Asante sana na hongera kwa mtoto walda kupatikana
Asante pia Global tuko pamoja tunawapenda❤❤ tunashukuru Alhamdulillah tumefurahi Warda ikipatikana
Glory to God🙏🙏Mungu awabariki saaaanaaa Global na wa Tanzania kwa ushirikiano wenu mpk Warda kupatikana 🙏🙏🙏🙏🙏
Mwalimu WEMA mwalimu WEMA njaaa mbayaa
Jamani bi shamsa yuko wapi
Mashaallah Allah karimu warida amepatikana Yuko mzima Alhmdulillah amepitia mazito ila Yuko hai
Alhamdulillah nilikua nasubir kwa hamu sana kusikia maelezo kwa kina
Yaan Zaria kipindi chenu kimejuwa kuniliza😢😢 Mungu Awabariki globo tv❤❤
Alhamdulillah namshkuru Mungu kumpata Warda wetu Inshaallah atupe wepesi yarabi
Alhamdulilah eee MWENYEZIMUNGU tunakushukuru
Asante Mungu kwa kumpigania mtoto mpaka amepatikana 🙏🙏
Pongezi nyingi ziwafikie Global hamkukata tamaa pamoja na maigizo yote mliyoyapata kwa watu feki bado mlikomaa Mungu awatie nguvu zaidi🥰🙏🙏
Tumshukuru Mungu MTOTO kapatikana jamani...
Mungu ni mwema mama warda kwa mm nasema hukujua tuu ila mwlim wema sio mtu mzuri wengi tuu wanakaa na watu baki huyo anaroho mbaya tuu
Shukulan sana kwa Allah kutuwezesha kumpata mtoto akiwa salama Alhamdullah Allah tudhidi kumuabudu kwa kila wakati inshallah❤❤❤❤❤❤SHUKLAN REDIO YETU KWA MISAADA HIO ALLAH AWALIPE KILA LA KHER INSHALLAH
Huyu mtoto ameathirika sana kiakili anahitaji kuwekwa karibu
Tunampa mingu utukifu wake kwakupatikana kwa warda asante mungu
Dada zai ahsanteni sana kwa kazi Yako yenu Mungu awabariki
Asante MUNGU mtoto amepatikana. Ila turudi nyuma. KULEA MTOTO WA MTU NI KAZI SANA. MENGI YATAONGELEWA ANAYEJUA NI MUNGU. NDY MLIPA WA YOTE.
zari tab una roho ya kipekee Mungu akuongoze popote ulipo
Hyu mtoto malaya tu km malaya wengne kwann aambiwe lete m halafu akaitupe,halafu hilo swala la kuokota cm kaongo hako kalipewa namba na bwana ako,kaongo malelezo nimeyasoma vzr,binafs naona mwalimu wema mm alikuwa na mapungufu lkn sio ya kufanya mbk yeye aondoke
WALDA anajielezea vizuri sana 😢❤
Dada zari mungu akupe maisha marefu ebu muangalie huyo warda jamani anamachungu mengi moyonii ila anaogopa kusema
Zari Allah akulipe sana wafanyakazi wezio ote na kamera mani wote❤❤ ote nawapenda kwa ajili ya Allah
Wasing tamaa bora utu kuliko kitu
Dada zari nakupenda sana
Alhamdulillah mtoto kaniliza hyu😢😢😢 jaman kwanza Pole kwa wazazi wake lakn tunashukr kapatikana
Tumekusamehe warda umeniliza hapo unapoomba msamaha😭😭😭😭😭😭
Mtoto hana tatizo hata mm KILA siku kipigo. Naondoka. Khaaa
Mwalimu wema kama aloyatenda kwa warda nayeye jazaa itarudi kwa watoto wake
Mungu asante nimefuatilia sana kutoka kenya. Kwa kweli hata mimi nimefurahi sana warda akiwa hai
Hapo ni kumuomba Mungu atukuzie vizazi vyetu salama lakini watoto kama watoto ni mtihani mpaka uzae na ulee wakue ndo utajua tusimalize maneno
AHSANTE sana allah kwa kutufuta machozi
Asante mungu watu tumelia sana nakuomba sana lkn mungu hakika amejibu majibu ya watanzania
UCHUKIENI UMASIKINI. Alhamdu lillahyi mtoto ame patikana ila kuna darasa kubwa sana kupitia hili..
Allah we protect you InshaAllah warda ❤❤❤❤
Alhamdhulilah kwa kupatikana twamshukuru mungu wanaglobal nyote mungu atawalipa inshallah
Kuachana sio tatizo tatizo ni kutwa kupiga simu marakwa mara
sio tatizo wazazi kutengana dadaa makosa ni ya mama mm niko na wanangu na nawalea mwenyewe sina msada wa baba yao ela alhamdulilah sitaki mchezo na wanangu na wanasoma sitegemei baba na siwezi kumpatia mtu tu mwanangu
Mungu ni mwema
Je pesa alizotapeli mwalimu wema atazirudisha ? Zile za bording alizokua anatumiwa na wazaz wa warda ?
Kama ushirikiano alipopotea Warda hajatowa vipi atarudisha pesa😂😂
Pole sana Warda Nimeumia sana mwanangu kwa mapito uliyopitia
Namuomba huyu mtoto akae kwangu niko na watoto wangu pamoja na mke wangu nitampenda kama mtoto wangu pia upande wa michango ya shule wataweza lipa moja kwa moja shule imeniuma sana
Mungu akubariki sana
mh saiz awawez kumtoa mtoto uyo saiz
Sizan km huyo mama atakubal jinsi alivo hangaika ivo pia mm namshaur akae tu na mwanae
Ni ngumu sana chamuhimu ni kumsaidia akiwa uko uko kwao kwa msaaada wowote utakaomfaa
Kiukwel mungu awalip kwa wema wenu
Asante Mungu kupatikan kwa uyu bint anaonekan bint anabusara na Hekima ila changamoto alizopitia ndizo zilimfanya akimbie Kuna mengi kapitia ukisikiliza kuanzia kwa majiran wa mwl wema kunavingi
Kwakweli ❤
kabisa kabisa
Tabia njema ni hidaya na hio ndio iliwapa watu wengi huruma Kwa kupotea kwake Kwa wanao mfahamu 😢Bora amepatkana mzima Alhamdhulillah
Asante Mungu kwa warda
Polee warda. Tunamshukuru mungu kukupata ukiwa mzima
Mashallah zari upo vizuri mungu akuweke inshaallah mungu mukubwa
Sasa dada Zari na familia ya Warda tafathali murekebishi kauli yakwamba tunawashuru wa TANZANIA kwa msaada wenu. Niju yakwamba tuko wengi ambao si wa Tanzania ambao tuko na roho yakusaidiya wala ambao tayari wanesha saidia kwa msakata wa WARDA❤. Sindiyo watu wa MUNGU?. Ni mimi hapa Norway but original kutoka Zambia
Kwakweli
Ninamfano wa mtoto kama huyu kwenye jamii yangu
Pole sana warda kiukweli wanapitia magumu sana
Kweli mama warda kwaakili zake agemrudisha kwa wema
Kweli kabisa maana alikuwa anamuamin mwalimu kupita kias na mtoto aliliona ilo ndo maana jakurud kwao......wakae nae vzr tu mtoto atawaambia mengi aliyopitia kwa uyo mwalimu
Mbona umemchoka mama wa watu
@@zulfahaji91siyo kumchoka nikwel mama warda alimuamin sana ndo mana huyo mtoto aliona mama atanirudisha na mateso yangeongezeka na hujui ni kashfa gani alizokuwa anapewa
Asante sana na nyie bila nyie tusonge yajua❤
Alhamdulillah yaa rabby Kwa hili.
Mwenyezi mungu ndio kila kitu
Mashaallah mtoto mzur
Mashallah kweli umelelewa kimaadili
Mpole sana
Ni kweli kabisa lakini huyo mwl mbona rafiki huko studio?
Kwakwel huyo mwalimu anamatatizo ndio mana hata kukaa nyumba moja hakuweza
umeona anahama hama sana anatatizo huyo 😮
Maalimu Wema alikuwa headteacher akaondolewa na kuwa wa kawaida
Maalimu Mwema ana matatizo Wizara ya Elimu imchunguze kwa kina
Huyu mtoto hana makosa hana haja hata ya kuomba msamaha. Hata ingekuwa ni mimi ningetoroka. Unafanya house garl na vipigo vinakuhusu kila ukikosea
Mimi yalinikuta hayo lakini Niliokolewa na baba angu mdogo baada kukuta Hali sio nzuri nyumbani
Nakupenda Zali hadi naumwa umejitoa uhai wako hatujui tuu
kweli kabisa alimtafuta kwa moyo mmoja. Maa shaa Allah zari ana roho safi
Yaaani nikimfikiria Warda Jinsi Alivyokuwa Anaeleza Tumbo la Uzazi limeniuma Sana Mtoto Alikuwa Anateseka kwa Mwalimu na Mtoto number ya Mama Yake Anayo Na Anaijuwa Ila Kama Alivyosema Kama Anajuwa Wangemrudisha Kukekule kwa Mwalimu Na Mwalimu Ana Makosa Na Mtoto Wa Watu Yarabb Mwisho nimalizie mtoto wa Mwenziyo ni Wako Yarrab Pole Sana Warda Tutajitahidi ili Urudi Shule
Mwalimu Wema pole sana na jaribu ulilo pata inaonekana ni jinsi gani ulivyojitoa kwa huyo mtoto Mungu atakulipa wema huzaa lawama
Mungu atukinde na majanga
jamani nimelia sana
Hivi wazazi kuachana au kutengana, n.k. je, ni sababu tosha inayo waondeolea majukumu (primarily responsibility) yao juu ya watoto waliowazaa..?
Tunamshukuru mungu Warda amepatikana .ila kwann kavaa hiyo barakoa?
Wacha mungu aitwe mungu nimwjifunza kitu hapo ila sifa zimrudie mungu amewafuta machozi familia🙏🙏
Wao ni wazembe tu hata angekuwa pamoja wa shukuru wamemkuta hai mtt mdogo kateseka sana hawakujali
Machoz nimelia Sana jamani watoto zetu
Mwanaizaya huyo mwalim wema alie kataa kutoa ushirikiano na kumsingizia mtoto yupo kwa bwana
Alhamdulilah tunamshukuru Allah Warda kapatikana ila kuhusu mama Warda Kuolewa sio dhambi jamani, matatizo umfika Mja yoyote yule hata kama asingeolewa kama kumfika warda yangemfika tu, yote ayo ni sababu tu
hao wanomlaumu hawaishi na waume !!
Maskin aliona wazazi wamenitelekeza Kwa mtu asiekua ndugu yangu Bora nitokomee to pole Warda
Waliontubza pia wapenwet kiasi cha shukrani. Cha shukrani.
Alhmdulillah nimekufarahia Sana kusikia hii Habar ya bint warda
Mungu ata
Muongoza
Jamani huyu mtoto asiyependa kuonywa
Jiweke wewe nafasi ya warda, baba na mama yako wapo hai lakini hukai nao unaenda kukaa na mtu asije ndugu yako. Maisha unayoishi ni ya manyanyaso na vipigo je ungevumilia mpk wapi? Kwa nini usikae na wazazi wako je wewe una kasoro au waxazi hawakutaki? Warda amekuwa na sintofahamu kibao na umri ni mdogo
Pole kwa mtihani SAKINA. ❤❤❤❤
Congratulations Global 👏👏👏👏👏🌹🌹🌹 Well Done 👍🏽 👌🏽 💯 Huyu Mama 😢💔 👎🏽👊🏽 God Forgive you! 🤷🏽 😢
Yote Kwa yote mtoto Warda alipitia mateso Kwa muda huu wote ambao anatafutwa eeh Yesu naomba Neema tuweze kulea watoto wetu😢
Muombe Mungu wa yesu usimuombe yesu kwani yesu yupo huko kwa Mungu Muumba !!
Mwalimu wema mungu amshushie mvua yamawe
😁😁😁😁
😂😂😂😂😂😂😂 wew nawew
Wee 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Ni kweli wazee wawili wakitengana watoto wanapata makezi mabaya.
Sofy angekuwa karbu na mdogo wake hata mdogo wake angekimbilia kwake
Ila Zari hukuwa na haja ya kumuelezea huyo mama ameolewa na wanaume wa ngapi unamuabisha mwanamke mwenzio. kuna maswali mengine inabidi ujifunze na unaonekana una hasira za haraka . Wewe kama mwandishi wa habari inabidi ujue jinsi ya kuongea na watu. Warda kapatikana ndio jambo jema. Tumshukuru Mungu . Hata nyie mmeshaona huyo mwalimu ni kichwa ngumu. Inaelekea kweli wazazi walifanya party yao ila kwa sababu huyo mwalimu alikuwa anawasaidia wakawa wanaogopa kumface. Nakupa hongera kwa kulisimamia hili jambo mpaka likafanikiwa .
Ni kweli mimi nilijisikia vibaya sana kwa swali lile...
Ni kweli kabisa, hata mimi sijapenda
Kweli kabisa mahusiano ya wazazi hayana maana kuuaweka hadharani kamuaibisha huyó mama kabisa
Mtihani mahusiano ya waxazi sio sababu imepangwa tu
Ilibidi Amuulize Ili Ajuwe Maisha Ya Mama Yapo Vp hajakosea My
Sasa mpeleke kwa baba yake akakutane na mama wakambo siatatoroka tena hii kazi😢😢😢kubwa
Zari umepambama sana kwa ajili ya warda Allan akulipe
Hello globol hamjambo nyote mungu azidi kuwalipa wema nawapenda nyote
Kweli kabisa wazazi ndio wana sababu matatizo ya watoto .hata kama ni umasikini kwani nyinyi wazazi muna kula nini hata mtu akawa hawazi kumlisha mwanae,au umpeleke mwanao afanyishwe kazi upate pesa kupitia mwanao
Zari katk vitu unavyofanya Leo upo sawa kabsa Hawa pia ndugu wanakesi ya kujibu haiwezekani miaka 2 bila kumuona mtoto safi sana kazi nzuri zari
ushauru mwingine asi ended shule ya boarding,ili afatiliwe vir nmna ana fuatilia zaidi❤
asntenin kwa soma maonyi yangu