DOSA: PACOME WA MSIMU ULIOPITA SIYO HUYU, AMESHUKA KIWANGO, UGOMVI WA PACOME NA GAMONDI UISHE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • PACOME WA MSIMU ULIOPITA SIYO HUYU, AMESHUKA KIWANGO, UGOMVI WA PACOME NA GAMONDI UISHE

КОМЕНТАРІ • 7

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 12 годин тому

    Dosa acha maneno yako yanga Bora daima mbele ilove u yanga

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 13 годин тому

    Dosa mm shabik wa Simba kindaki ndaki lkn kiukwel nakupenda ww msema kwel,,,kuanzia leo nakutangaza lasm kati ya wale utopolo wawil wenye akil aliowataja manara na mm nimekuongeza leo 😂😂😂😂😂big up bro

  • @MassareMustapha
    @MassareMustapha 14 годин тому

    Dosa wemkweli sana katika mashabik wauto ❤❤❤❤❤❤❤

  • @VeroM-rd9qw
    @VeroM-rd9qw 14 годин тому

    Kweli Bado umenena baba wajitahid

  • @HamisiKaunga
    @HamisiKaunga 11 годин тому

    Kaka dosa huo unaitwa mpira kuna siku mpira unakata wewe hujui acha maneno yako ya kushusha viwango wachezaji huyo pacome hachezi peke yake,yanga itaendelea kuwakanda tena kwenye tanuri la moto,Niko pale

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 15 годин тому

    Dosa unajichanganya, kama unakybali Bacelona ilifungwa unachoshangaa Yanga kufunga magoli machache ni nini? Zimechezwa mechi nne tu bado 26 na tuna magoli sawa tu na timu zilizo cheza mechi nyingi wewe wasiwasi wako ni nini? Kwani record na statistics zinatofauti gani ? Umejaliwa makelele tu lakini point zako ni dhaifu.

  • @FosterBwalya-rh9lh
    @FosterBwalya-rh9lh 11 годин тому

    Na wewe dosa wa mwaka Jana sio dosa wa Leo kila jambo nawakati wake