Keep this series going aisee it’s interesting Changanyeni lugha wala msiogope maana kiswahili hakina baadhi ya maneno yanayoendana na baadhi ya hizi fani, Asiyeelewa aende carrymastory akapate udaku wa kiswahili huku watuache.
Tanzanian watching from the US. Keep it up. Don't be phased by the few comments asking to stick with one language. Wengi tunaelewa pande zote mbili. Keep it up.
We usually assume kwamba mtu akijiajiri ameshatoka. Kumbe kuna so many sad stories and unreported depression cases. It's important to note kwamba: kujiajiri si jambo la kila mtu, others were meant to be employed #Resilience #UnuKingamkono
Wewe utakuwa chawa siyo mtu sahihi,hata sisi tunaelewa kingereza vizuri ila hawa wana boa angalia interview aliyefanya na yule CEO wa sns,yule jamaa very talented alikuwa anaikwepa sana hii ishu ya kuchanganya views kwa kuchanganya lugha too much
@@NeemaDaud-z4p fredi sikuile alitoka na bonge la somo la sales and marketing yeye mwenyewe alishangaa maana hakuwai kutizama vitu kwa upande mwingine. Kama lile swala la mauzo na matangazo,jamaa alimwelekeza vizuri kabisa mpaka fredi akashanga😅😅...!mi nadhani hawa jamaa wanafanya kazi kubwa sana ya kutuletea content zilizoshiba madini..alafu kuna technical terms ya vitu ni ngumu kuziweka kiswahili,isitoshe hao wazee ni wanyamwezi tuishi nao
Hivi hichi kipindi ni Cha wanaojifanya wanajua lugha mbona ucheki bob mwingi,ongeeni kiswahili au kingereza tujue sio kuleta u first year katika umri huo
Keep this series going aisee it’s interesting
Changanyeni lugha wala msiogope maana kiswahili hakina baadhi ya maneno yanayoendana na baadhi ya hizi fani,
Asiyeelewa aende carrymastory akapate udaku wa kiswahili huku watuache.
Tanzanian watching from the US. Keep it up. Don't be phased by the few comments asking to stick with one language. Wengi tunaelewa pande zote mbili. Keep it up.
Ongeani kiswahili kwa kiasi kikubwa ili kila mtanzania haweze kuelewa kwa urahis zaid ni ushaur tu ila kipindi ni kizuri
We usually assume kwamba mtu akijiajiri ameshatoka. Kumbe kuna so many sad stories and unreported depression cases. It's important to note kwamba: kujiajiri si jambo la kila mtu, others were meant to be employed
#Resilience
#UnuKingamkono
G.O.A.T 💎
Ni kweli kabisa
Noma sana but punguza Kizungu kidg kaka hhh kuna mda mnaniacha kidg but kitu kizuri 👍 mna nafatilia zote kitu pow Unafnya ✅
Nathani lugha inawachanganya watizamaji wengi sana and yet watu sahihi tunaenjoy mno na kujifunza pia
Wewe utakuwa chawa siyo mtu sahihi,hata sisi tunaelewa kingereza vizuri ila hawa wana boa angalia interview aliyefanya na yule CEO wa sns,yule jamaa very talented alikuwa anaikwepa sana hii ishu ya kuchanganya views kwa kuchanganya lugha too much
@@NeemaDaud-z4p fredi sikuile alitoka na bonge la somo la sales and marketing yeye mwenyewe alishangaa maana hakuwai kutizama vitu kwa upande mwingine. Kama lile swala la mauzo na matangazo,jamaa alimwelekeza vizuri kabisa mpaka fredi akashanga😅😅...!mi nadhani hawa jamaa wanafanya kazi kubwa sana ya kutuletea content zilizoshiba madini..alafu kuna technical terms ya vitu ni ngumu kuziweka kiswahili,isitoshe hao wazee ni wanyamwezi tuishi nao
🤣🤣🤣🤣@@NeemaDaud-z4p
❤
sound like the @sky wa sns
Punguzeni mbwembwe za kizungu cku hizi hadi tusosoma tuna smartphone na tunapenda mnachofanya kaka
Ukiona hivyo ujue wewe sio mlengwa, hama tu!
Cjajuwa km wamelenga watu maalum ila nahic wamejisahau tu km wapo tz au wanataka sabscriber wa ulaya wapate pesa zaid
Hivi hichi kipindi ni Cha wanaojifanya wanajua lugha mbona ucheki bob mwingi,ongeeni kiswahili au kingereza tujue sio kuleta u first year katika umri huo
Hawashauriki
😅😂😂
😂 iyo inakujaga yenyewe2 kuampole, chill & enjoy the milk🥛.