USABATO UMEBOMOLEWA, ELEN G WHITE NI NABII WA UONGO? DANIEL MWANKEMWA VS MWL. IZACK WA NAIROBI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 50

  • @boazackimu3229
    @boazackimu3229 2 дні тому

    Asante sana Mwl. Mwankemwa kwa mafundisho mazuri

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 9 днів тому +1

    Asante sana Mwalimu Daniel, Ellen G White ni nabii wa uongo. Wasabato hawakuzoea kuambiwa ukweli huu, ndiyo maana mnateseka.

  • @JohnNakasala-w1w
    @JohnNakasala-w1w 6 днів тому

    Nyinyi wa sabato Kama mna amini yesu kristo kubali ukweli msiwe kama waslamu

  • @DitramMsemwa
    @DitramMsemwa 9 днів тому

    Hongera mwakemwa umejitoa kweli kweli okoa wasabato wamepotea kweli kweli

  • @selestiniasenga
    @selestiniasenga 9 днів тому

    Wasabato na madhehebu yote duniani sasa basi.Mungu anamiliki Kanisa la Kristo Yesu na kutawala Kifalme Kanisa na Dunia mzima. Kanisa na dunia bila uongozi wa Mungu ni kifooo Amen.

  • @gibsonmomanyi2692
    @gibsonmomanyi2692 7 днів тому

    Soma bibilia mwanzo 2:1-3. Mungu mwenyewe aliagiza na akatoa amri ya inne

  • @StephenMwijage
    @StephenMwijage 5 днів тому

    Ndugu Daniel unasema waongo kumbe wewe ndiye mwongo maana unafundisha kuvunja Amri za Mungu soma Waraka wa kwanza Yohana 2 : 4.

  • @FestusChevai-z3b
    @FestusChevai-z3b 16 годин тому

    Wewe mwakemwa ni mwalimu wa uongo, kwanini unasumbuka nana na kuboromoshwa kwa sabato?wala huwezi kuubiria watu na kufunza watu imani ya kweli .

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 8 днів тому

    Daniel upo vzr, haojamaa wanataka kufundisha kwa kukejili eti hujui wamefeli!!

  • @JohnNakasala-w1w
    @JohnNakasala-w1w 6 днів тому

    Nikiangalia hawa walimu wasabato hawana roho mtakatifu katika neno bali wanamwamini yuyo nabbi wao hellen white

  • @JohnNakasala-w1w
    @JohnNakasala-w1w 6 днів тому

    Huyu mwenye kiti ako upande wawa sabato

  • @joelmairo5229
    @joelmairo5229 5 днів тому

    Mimi nimeishawaambia Mwl Daniel bado sana kuelewa maandiko ya biblia

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 7 днів тому

    Kimeumana😂Hellena kundi moja na Mud wa waislamu😢

  • @sulimankarusi8345
    @sulimankarusi8345 8 днів тому

    Ndacha anawuliza wasabato waungo?

  • @Jesusalmasihi4193
    @Jesusalmasihi4193 7 днів тому

    Hata waganga wanaota ndoto na inatimia

  • @amedesamki425
    @amedesamki425 9 днів тому

    Wewe umepotoka kwa kiwango kikubwa sana maana unafundisha uongo kwamba amri 10 za Mungu zilifutwa pale msalabani

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 7 днів тому +1

    WAKIRISTO POLENI HAMNA IMANI NYOTE MMEPOTEA YESU YESU ACHANE USHIRIKINA NA KUMUABUDU MWANAADM YESU NENDENI KWENYE DINI YA KWELI YA UISLAM MTACHOMWA MOTO WAKIRISTO MKIFA

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 7 днів тому

      Masikini weee hujamjua Yesu upo gizani lkn yeye ni mwema labda atakuokoa, maana hujui unalosema hivyo huna kosa

    • @Jesusalmasihi4193
      @Jesusalmasihi4193 7 днів тому

      We nawe endelea kuabudu majini katika Uislamu ukidhani mungu

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 9 днів тому

    Hata huo Ukristo wenyewe Wote ni wa Uwaongo (Matendo ya Mitume 11 : 25)
    Na hata hao Waandishi wa Biblia wameokoteza ya Mitaani na Kuaema na Kuwaaminisha Watu/Wakristo eti Bublia ni Maneo ya Mungu!! 🙌🤫🙆
    Rejea Luka 1 : 1
    Afu mtu na Akili zako eti uwe/unakuwa Mkristo mweeee...! 🙌

    • @nicodemuswidambe5132
      @nicodemuswidambe5132 9 днів тому

      Unapepo bible huijui. Nyamaza kimya endelea na kitabu chaki usitake tukashifu imani yako.

    • @jacobmaganga3354
      @jacobmaganga3354 8 днів тому

      dini moja ya wakolini wakizungu na nyingine ni ya wakolini wakiarabu wote wakolini tu

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 8 днів тому

    Watu wanaibaje laptop? Aibu!

  • @EndobileHerman
    @EndobileHerman 9 днів тому

    Kumbukumbu la Torati 18 : 22
    Atakaponena nabii kwa jina la Bwana, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena Bwana; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope.

  • @orestsanga6294
    @orestsanga6294 7 днів тому

    Mamilioni ya watu wanaongia katika ulimwengu wa kuisoma biblia na kuipenda biblia kwasababu ya Ellen G. White
    Walimu kama Daniel ni walimu wanaowaandaa watu kuyapinga mafundisho ya biblia na biblia yenyewe.

  • @JohnNakasala-w1w
    @JohnNakasala-w1w 6 днів тому

    Je mbona yuyo nabi hakusema unavyosema we?

  • @FredrickNyangweso
    @FredrickNyangweso 8 днів тому

    wewe simulizi zone tv ni mjinga sana hautowi ukweli kazi ni kuandika uongo kama huyo mjinga wako anaitwa mwakemwa shezi sana

  • @selestiniasenga
    @selestiniasenga 9 днів тому

    Wasato amkeni, la sivyo mnakufaaaa.

  • @cleopajaneck4559
    @cleopajaneck4559 9 днів тому

    Mafundisho yako wakati mwingine nachoka kukufatilia maana uongo ni mwingi au huelewi maana si kila mtu amepewa karama sawa sasa lengo lako ni lipi? Unafundisha je umejiridhisha kabla ya kuyatenda hayo? Roho akusaidie uweze kuelewa zaidi yalio silini kama huelewi jambo kuwa mpole kwanza. Lielewe neno SASA kiundani ndipo uendelee na hayo huwa navutwa kukusikiliza ila wakati mwingine usemayo ni kama huyajui au unashindwa kuyaelewa vema unayotuelimisha

  • @DitramMsemwa
    @DitramMsemwa 9 днів тому

    Ellen white ameuwa roho za watu wengi okoa mwakemwa

  • @mojakatundu
    @mojakatundu 9 днів тому

    Daniel imekuaje tena😂

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 9 днів тому

      Inshaallah ni Dalili na lshara za Kukaribia Kusilimu/Kuwa Muislamu, ameshaanza Kuiona Kweli na Haki (Uislamu) Mashaallah.

  • @YussuphKansela-l4j
    @YussuphKansela-l4j 6 днів тому

    Ukiona mtu amecoment matusi ujue hafuatilii midahalo.

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 8 днів тому

    Hao watuwenyekujitukuza nawanaojiitamanabii walikuwa naMungu? wakoupande gani wa bibilia? au naowataandika bibiliayao ya matapeli nashetani wao?maan as bi ilia iliishafungwa nahakunakuongezeakitu walakupunguzakitu hatakama wataandikabibilia bandia hiyo itakuwa kwa ajili ya wapotovu wa wokovu.

  • @MwasabuniSuleiman
    @MwasabuniSuleiman 8 днів тому

    Ellen, wewe na Paulo nyote ni manabii wa uongo.bwana yesu aliwaambia watu wake ombeni siku ya mwisho wa dunia isiwe siku ya baridi wala Sabato,jumapili hakuna

  • @BeduaImidi-lh4xf
    @BeduaImidi-lh4xf 9 днів тому

    Makafiri wawili mnapingana kweli kweli yani mnaumana nyinyi wenyewe ongereni kwakuzoofisha ukafiri wenu

    • @EugenieSumaili
      @EugenieSumaili 9 днів тому

      Acha kujizima data ndugu ata kwenu kuwa Islamic Kuna makundi makundi uniambie Kwanini wa Shhia na Suni awawezi kusali kwa pamoja na Wote Mnamuamini Mhamadi ?

    • @EugenieSumaili
      @EugenieSumaili 9 днів тому

      Tunawajua vizuri sana ,wakristo kwa wakristo wakibebana wahache Wataelewana tu wewe Aikuhusu 😂😂😂 wende ushugulikie Wa Suni na Shia ya wakristo tuachie sisi wakristo

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 9 днів тому

      ​@@EugenieSumaili😂😂😂 Yaani eti Vipofu wanaelekezana Nja 🙌🤫🙆

    • @nicodemuswidambe5132
      @nicodemuswidambe5132 8 днів тому

      Mwache huyo chz kafiri yeye kwenyewe! ​@@EugenieSumaili

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 7 днів тому

      Yesu yupo mbinguni na atakuja kuhukumu ulimwengu, ila mud yupo kaburini na vijana wake huwa wanamswalia ili awake papa msamaha kwa Yesu

  • @timothykirimi4799
    @timothykirimi4799 5 днів тому

    wewe mwankemwa ndio nabii wa uongo wa kipindi chetu maana hata maandiko huyaelewi

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 9 днів тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 upuuzi mtupu

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 8 днів тому

    They are talking alots from out of nothing.

  • @nanguniMtaita-hz4zt
    @nanguniMtaita-hz4zt 8 днів тому

    Ewe Daniel, unayasoma maandiko kama unavyotaka wewe, lakini hujui lolote. Upumbavu mno. Fundisha mkeo na wajinga wenzio hayo uyashuhudiayo.

    • @nicodemuswidambe5132
      @nicodemuswidambe5132 8 днів тому

      Si tunakuona kuwa wewe ndo mjinga humjui kristo.

    • @Eliasimoniaswile
      @Eliasimoniaswile 5 днів тому

      Kafa maji mwankemwa nano wa kumuokoa,,, akasome neno vzuriii