This is not season of prophesying to God's children, but a season of spending time to preach the WORD OF THE TRUTH, HOLINESS AND RIGHTEOUSNESS OF GOD IN THE LIFE OF HIS CHILDREN! JESUS CHRIST IS COMING VERY SOON! STOP ENTERTAINING GOD'S CHILDREN. MANY SOULS ARE DROPPING INTO HELL EVERY SINGLE DAY! WITHOUT HOLINESS AND RIGHTEOUSNESS OF GOD NO MAN WILL SEE GOD HEBREW 12:14 . MAY GOD HELP YOU UNDERSTAND TIME IS NOT IN OUR HANDS. God bless you.
Jama jinsi anavyo dundik yey kamshinda Diamond stegini ivi wanabi wote waliyo kuwa ndan ya bibliy akuna aliy kuwa kam wew lol so jamani acha Mungu akuinuw wew
Ebu mchungaji mtalewa , badili uhubiri wako maana jina kwanza unayo ni mbaya sana hivi utaitwaje Mtalewa maanake unakaa kama unalewa , hebu badili mwenendo ya uhubiri wako, maana unakuwa na wenge mno sana ebu tuliza wenge la kuropoka ofyo na kukaa na waumini kama watoto, tambua kitu kimoja hapo ni madhabahuni si vituko show stage please , ebu badilika wewe mchungaji kwani kichwa chako kinaenda resi sana.
Is this prophecy or divination !!!!! Majivuno kibao...hii inasaidiaje mwenye dhambi kuokoka na kuacha dhambi...watu kuabudu binadamu na kumsifu kama Mungu...Mungu aikumbuke kanisa lake.
hii ni tz ama naota? nyakat za mwisho kila mtu atajiita nabii, simama ulipo usiyumbishwe na manabii wa uongo wa kishirikina wanaotafuta pesa kwa mgongo wa kanisa
Mungu wetu Sisi sio Allah na ukristo na muislam ni vitu viwili tofauti we baki na uislam wako na Allah wako. Na kama hawa wanayofanya sio Yesu alifanya au hakubakini mayo yeye ndie atakayewahukumu. Mnapenda sana kujihesabia haki waislam as if ninyi ni Mungu
JOHN LWEGANWA wewe weeee mtalemwa.taja jina la Yesu sio liiiii losesefa. huna haibu.mungu anakuchekaa akigeuza hasira yake utajisalimisha.zab 2;1-3 Soma
Tukiwaambia Uktisto c dini oooh.....! Hao na wenye mfano wa huyu ni maTP. C unaona anapiga ramli kwa kukuliza tar'/mwaka wa kuzaliwa? Ameongea na majini wake kwa lugha anayoijuwa yeye na mashetani eake wanampa majibu anajifanya ametabiri. Ewe ndg wangu ktk immaani (Muislamu)naww ndg ambae hujabahatika kuwa Muislamu but ni ndg wangu ktk damu (kizazi ) cha Adam tuwe makini saana na tuwaepuke hawa tumfuate na kucha ALLAH (Mungu wa wote hata hao miungu bandia). UISLAMU ndo dini pekee na ya haki. Ukristo ni dini ya kupanga tu wala kwaMungu haijulikani watu wamejibunia nakuita dini ya kikristo. (MATENDO YA MITUME 11:18-20 Ukristo ni jina la kupanga tu lililopangwa na Wapagani wa Antokia )jiulize/uliza huo mnaouita UKRISTO ulianzaje/nani kaleta Ukristo na kwanini/kwa faida ya nani? Vivohivyo jiulize/uliza nani kaleta UISLAMU na kwafaida ya nani? Shetani mjanja anawahamisha hamisha ktk madhehebu kiibao but mpira katika kivuli kilekile cha Ukafiri/Upagani (Ukristo )wakati hakuna dini ijulikanayo/itwayo UKRISTO! Wanania wamegundua Wanaingia ktk Uislamu (dini ya kweli na haki) wale wabishi waojielewa na hawajui kama hawajielewi washakamatwa na shetani bado wanalala ktk UKRISTO au utawasikia "dini ni imani yako, hutoenda mbinguni kwa dini bali kwa kumfuta Yesu" baada kukosa hoja kiukweli anaejiita Mkristo hana dini hivyo wameletewa katika madhehebu nayo ni ya kubuni/yakupanga (yameanzishwa nahao wenyewe wanaojiita wakristo)Utasikia wakisema wao ni Waroma/Wakatoliki haa mji ulikuwa dini?! Mara mimi Msabato haa cku ya Sabato (pumziko)imrkuwa dini?! Mara Assemble of God nk zoote ktk huo mwamvuli wa Ukristo lkn c dini hizo. Ukimuona mtu anapiga ramli, anapandisha mashetani nakujitia mganga Muislamu huyo c Muislamu bali ni mshirikina anaupaka matope UISLAMU huyo anakufuru/kafiri kwamujibu wa Qur'an. Kunamatendo/makosa mtu humtia ktk UKAFIRI akiyatenda makosa hayo humtia Uislamu wake hata kama anajiita na kung'ang'ania yy ni Muislamu. Shetani ameelewa lugha nyiingi na zaidi unaendelea kuongea kiarabu coz anajuwa dini ya haki ni Uislamu hivyo anatumia lugha ya kiarabu iwerahisi kuwanasua Waislamu awapoteze wajue ni mwezao kumbe ni ADUI mkubwa. Kwa wanaojiita wakristo shetani hana.shida nao sana kashamaliza kazi ya kuwakurisha wameshajipangia dini,wanamwabudu asiekuwa Mungu wamamwiita Yesu ni Mungu na Maria mama wa Mungu! Jini mbaya /shetani mid utaona anampangia masharti ya cku as kutibu na cku za kusali kwa huyo anaejiita Mganga Wa Kiislamu. Jini mzuri haingii mwilini kwa binadamu na wala hamdhuru binadamu labda umchokoze na hata binaadamu hapendi mauzi/kuuziwa/kuchokozwa ukimuizi mtakorofisha/atakujerui. Majini ni viumbe kama binaadamu (sote ni biumbe) Mungu anasema amewaumba majini na bnaadamu ili sote tumuabudu Mungu ila majini wapi majini baadhi waasi kama binadamu hawataki kumcha Mungu hawa ndo msshetani/maibirisi wa kijini au wa kibinadamu. Isomeni Qur'an muilewe mcdangsnywe na ago waganga FEKI wanaojiita Waislamu wanatumia nembo ya Uislamu ilhali wanjua hope MUNGU hapendi wayafanyayo na ameonya kupitia mtume wetu Muhammad na kitabu kitukufu cha Allah Qur'an. Wote wanaomkiuka MUNGU wataingia Motoni. InshaAllah Allah atuongoze ktk Kheri na tufanye jitihada kushikamana na haki (UISLAMU pekee na mamrisho na makatazo yake) mtume Muhammad kapewa Qur'an iwe Mwongozo na Rehema kwa watu wote na duniani kote. Nikawaida ya Shetani/makafiri hawajaanza leo kumpinga MUNGU na mitume wakweli wa MUNGU me bitabu walivyopewa mitume; Zaburi wameipinga, Taurati wameipinga, Injiri wameipinga na Qur'an kitabu cha mwisho wananileta na hata mtume wa meisho alopewa Qur'an hawamtaki wanajiandikia bitabu vyao (vikakusanywa ktk Biblia ambayo hakuna mtume alopewa na Mungu!) Wanajitungia na kujifanya mitume na manabii huu wote ni ushtani/UKAFIRI. "Wamepanda MAGUGU ktk mbegu njema mwenyemasikio na asikie".
Wewe umejazwa kasumba ndio zinazo Kusumbua na inaelekea bado hujajitambua ndio maana unaona dini ni jambo la maana shauri yako kazana kushikilia dini .Mwisho wa dini ni hapa duniani ,pole.
Aliyesema uisilamu ndio ndini ya kweli na haki ni nani.... Si ni binadamu kama wewe tu....acha Mungu awe hakimu mkuu pia nyie waisilamu mna mengi ya kujibu mbele ya Mungu.... Mwajifanya sana kujua....
Kawadanganye wapuuzi wenzio huko shenz type waislamu wenyew washnz tu kazi kuhukumu dini yetu wakati nyie Ndo mabingwa wakutengeneza majini ovyo...kama huamini ni ww usilazmishe watu waamini unachoamini ww mxiew
Mungu akubariki.
Locate me lord in your mercy
Na unaona kweli unlimited Apostle
Nyie timizeni unabii tu Yesu Kristo arudi,tumechoka Upuuzi wenu
Be blessed brother ,you the man of God
Unlimited Apostle Mtalemwa ni mnoma
Kwama huburi haya wengi wataria wataingia jehanam oo yes oo yes ibada gani
Daa! Mungu nisaidie, maana sielewi kabisa nahitaji kuelewa Mungu wangu, naona kizunguzungu
Unabii gani huu
This is not season of prophesying to God's children, but a season of spending time to preach the WORD OF THE TRUTH, HOLINESS AND RIGHTEOUSNESS OF GOD IN THE LIFE OF HIS CHILDREN!
JESUS CHRIST IS COMING VERY SOON!
STOP ENTERTAINING GOD'S CHILDREN. MANY SOULS ARE DROPPING INTO HELL EVERY SINGLE DAY! WITHOUT HOLINESS AND RIGHTEOUSNESS OF GOD NO MAN WILL SEE GOD HEBREW 12:14 . MAY GOD HELP YOU UNDERSTAND TIME IS NOT IN OUR HANDS. God bless you.
Nyakati isi ni nyakati mbaya sana katika imani kila MTU Anaibuka na vituko vike
Last min tutaona kila aina ya wanabii
Mungu anakuona pia atashughulika na wewe
Hapo ulikuwa unapita mbele yangu nilikuwa nachanganyikia baba
Kweli hawa waganga wa kienyeji
😈😈😈😈😀😁😂
Mbeya lini
😅😅😅😅😜😜😜mathayo ni kakaangu jamn Mungu atunusuru tu kwa hili
Pastor mungu akuinue sana wa sana
Hii ni upotoshaji
Yesu mwenyewe abishiwa,atakuwa yeye!!endeleeni kubisha hivyo hivyo,
Mbn profesa inatajwa Sana kuliko jina la yesu
Uwo unabii sio maingiso tu lakin akunakilicho fichika mbele ya bwana itajulikana
Nakupenda bure nabii
nafurahia sanaaa unabii Mungu akuzidishie mnooo
Idiot...mmmmm mwongo huyu
Mafundisho yasasa hivi yanabaliki Zaid ya unabii
Wacha we nabii mumepangana
Nakupenda bure mwana wa nabii Major 1
Mungu anashughulika na nafsi ya ndani ya MTU.
Aisee naona majivuno mengi sana kwa huyu mjinga mpotoshaji
Kabisa hawa watu ni wajinga aje
I pray for God's prophecy in my life.
Thx Chief
Mungu hebu shuka
Dunia kwisha
Yanii hawa.. Ni zaid ya mafarisayo... Wanaharibu imani za watu ...ila sisi tuliojaliwa macho ya rohoni hawatuwez kabisa
Mchezo huo sio mzuri matani Sana kanisani
Kwel aseee utani umezidi sana kwa huyu boya , Hadi akaa kama kachanganyikiwa,
Hope wasikuwa kama wakenya wanalazima watu wapindua midomo mungu wangu
Ecg ni rahaaaaaa had rahaaaaaaaa
Jama jinsi anavyo dundik yey kamshinda Diamond stegini ivi wanabi wote waliyo kuwa ndan ya bibliy akuna aliy kuwa kam wew lol so jamani acha Mungu akuinuw wew
Duh hatare
Lete dawa ya corona acha mbwembwe nyingi sijui miaka sijui boy friend;!! Usenge tu
Watu, tuwe makini jameni.
Ebu mchungaji mtalewa , badili uhubiri wako maana jina kwanza unayo ni mbaya sana hivi utaitwaje Mtalewa maanake unakaa kama unalewa , hebu badili mwenendo ya uhubiri wako, maana unakuwa na wenge mno sana ebu tuliza wenge la kuropoka ofyo na kukaa na waumini kama watoto, tambua kitu kimoja hapo ni madhabahuni si vituko show stage please , ebu badilika wewe mchungaji kwani kichwa chako kinaenda resi sana.
Mti wenye matundaa ndo hupigwaa mawee😭😭😭 why Lord now 😭😭 watu wako wagumu kuelewa 🙏🙏🙏
What is this?????
Is this prophecy or divination !!!!! Majivuno kibao...hii inasaidiaje mwenye dhambi kuokoka na kuacha dhambi...watu kuabudu binadamu na kumsifu kama Mungu...Mungu aikumbuke kanisa lake.
Bibiliya ikasema ivi watu wanaangamiy kwakukosa maharifa sikiy jinsi anavyo jiita eti chef oh my god
I only believe in God
My chiiiiiiieeeeeeffff apostleeeeee!!
Mnasema sio nabiii,mbna sasa hamtoi manabii mnaowakubali ninyi ili nasisi tuwachunguze?
Ndo ulivyoo wokovu wa Mungu waupendwi sku zotee kama Yesu mwenyewe walimkataa sembesuu huyu😭😭
Naona km mapicha picha
et anajisikia katabili,, wanajisikiaga
Wakati wa mwisho manabii watakuwa wengi but wale wakweru mtawajua na matendo yao please watoto wa Mungu jihazalini juu ya wanabii
Muongo Sana
Ata mnachekesha kweli 😂
ni shidaaa!!
Naona wachungaj wa naijelia wamehamia tanzania ss mwendo wa kudanc
Peter nakubaliana nanyi nakuwakubali
Wajinga ndio waliwao
Emeeen
Wewe mchungaji ombea watu please Wacha kurendarenda hapo , unamhoji mtu mmoja Hadi wengine wanaboheka aseee
Do it man of God Chief Apostle
Huyu nabii namfahamu
Tupe sifa zake
True the 😈 has blinded many,,only God can open this people's eyes.
Salome Ngas 😅😅😅exactly
MUNGU MUNGU WANGU
Aiiiiìi,I doubt ,hii no church,Aki jokes
hii ni tz ama naota? nyakat za mwisho kila mtu atajiita nabii, simama ulipo usiyumbishwe na manabii wa uongo wa kishirikina wanaotafuta pesa kwa mgongo wa kanisa
From Kenya...kwani hii ni upuuzi uliyo juu
ni Freemason mia kwa mia
Hapo unajifanya unatoa unabii huku unabahatisha TU, mbona unahigiza mchungaji aseee
Hii ni kama comedy
Hii engine iliyofungwa ndani ya Huyu jamaa ni hatari imebeba vitu vingi
Yesu alihubili nenolamungu nakuponya kwanenolamungu kuagua nistaili ya waganga wajadi vp ww nimgangawajadi?
Mbona ni sifa tu sioni cha kumtukuza mungu APA?
Kwel aseee ndugu hapo ni sifa TU anaendelea Hamna kitu bana
Chief
Angalau watu mna amka
Wewee MWONGO mungu anakuwona
10G++++++
NYIE MNAOKOMENT UJINGA KWANI MMEITWA HUMU
The soldier of Jesus Christ himself Chief Apostle at work Iyeee power.
I love u Chief wa watu
.idont belive this mjanja wewe
MY CHIEEEEEEEF APOSTLEEEEEEE............
My Dady ma Dady
Back to the sender
Yesu alikuja kutafuta na kuokoa kichopotea siyo kufanya mazingaimbwe!!!!! Mpokee Yesu kwanza
Mm najua comment za watu hazikuzui kufanya yale uliyokusudiwa kufanya
Mutabaki kudaganywa soma maandiko haya utayaona watakuja kwa ibaada mbaya soma neno LA mungu
Allah ndo ametutaka tuwe Waislamu nuie nani amewtaka muwe Wakriso?! Ukristo nijina lakupangwa na Wapagani . MATENDO YA MITUME 11: 18-2O Hivi mpagani awapangie dini?!
Daimond
Aonywa
Mungu wetu Sisi sio Allah na ukristo na muislam ni vitu viwili tofauti we baki na uislam wako na Allah wako. Na kama hawa wanayofanya sio Yesu alifanya au hakubakini mayo yeye ndie atakayewahukumu. Mnapenda sana kujihesabia haki waislam as if ninyi ni Mungu
Ni wajinga tu ndio wanaingia kwa kanisa hili unabii gani huuu
Yaani unabii karate
Hata sijui
Siyo hivyo ndugu, kila mmoja na utumishi wake si Unajua mwili una viungo vingi.? Je. Mkundu utayaambia matako yaondoke.? kuwa na akili
Tulia wenzako wapate prophecy
Kama huna lakusema unyamaze kwani kwamungu hakuna raha
Riding people to hell
Wanaangamia kwa kukosa maarifa..inaonyesha wazi jinsi uongo ulivyo but still kuna watu wanaamin
Mungu tusaidie
Iv wale wamazingaombwe waliendaga wapi..!!??
Ndiyo huyo sasa
ndo hawa
Ndo hawa wamerudi ki vingine
Umenikumbusha mbali sana tuliyokuwa tunadanganywa tukiwa primary na wamazingaombwe 😃😃😃
Amen
Hapa hakuna Apostle ni brain washed pple na madrama mob chief oooiii
Sijuwi chochote
Back to the sender
From America naitaji number za huyu mchungaji nikamtembelee 👈
The number is on top .
OSTAZ CLASSIC +255 766 365042
@@pastor_mashimothank you
Wewe mjungachi uogo wako .utakupereka kwa moto sema ukweri mungu anarundi ,edereya tu na uogo siku inakucha. Utazema yote
Like father like son
Veronika Shija ubarikiwe mtumishi
Veronika
kweli bado sijakujua vizuri chief...your too much
Poweeeeeeeeeeeeeeeeeer
Siku za mwisho Manabii Kama Hawa lazima watokee.sasa hapa yesu hatajwi.
et chief
my Chief your too much ooo,
JOHN LWEGANWA wewe
weeee
mtalemwa.taja jina la Yesu sio liiiii losesefa. huna haibu.mungu anakuchekaa akigeuza hasira yake utajisalimisha.zab 2;1-3 Soma
Oooh yesss
Tukiwaambia Uktisto c dini oooh.....! Hao na wenye mfano wa huyu ni maTP. C unaona anapiga ramli kwa kukuliza tar'/mwaka wa kuzaliwa? Ameongea na majini wake kwa lugha anayoijuwa yeye na mashetani eake wanampa majibu anajifanya ametabiri. Ewe ndg wangu ktk immaani (Muislamu)naww ndg ambae hujabahatika kuwa Muislamu but ni ndg wangu ktk damu (kizazi ) cha Adam tuwe makini saana na tuwaepuke hawa tumfuate na kucha ALLAH (Mungu wa wote hata hao miungu bandia). UISLAMU ndo dini pekee na ya haki. Ukristo ni dini ya kupanga tu wala kwaMungu haijulikani watu wamejibunia nakuita dini ya kikristo. (MATENDO YA MITUME 11:18-20 Ukristo ni jina la kupanga tu lililopangwa na Wapagani wa Antokia )jiulize/uliza huo mnaouita UKRISTO ulianzaje/nani kaleta Ukristo na kwanini/kwa faida ya nani? Vivohivyo jiulize/uliza nani kaleta UISLAMU na kwafaida ya nani? Shetani mjanja anawahamisha hamisha ktk madhehebu kiibao but mpira katika kivuli kilekile cha Ukafiri/Upagani (Ukristo )wakati hakuna dini ijulikanayo/itwayo UKRISTO! Wanania wamegundua Wanaingia ktk Uislamu (dini ya kweli na haki) wale wabishi waojielewa na hawajui kama hawajielewi washakamatwa na shetani bado wanalala ktk UKRISTO au utawasikia "dini ni imani yako, hutoenda mbinguni kwa dini bali kwa kumfuta Yesu" baada kukosa hoja kiukweli anaejiita Mkristo hana dini hivyo wameletewa katika madhehebu nayo ni ya kubuni/yakupanga (yameanzishwa nahao wenyewe wanaojiita wakristo)Utasikia wakisema wao ni Waroma/Wakatoliki haa mji
ulikuwa dini?! Mara mimi Msabato haa cku ya Sabato (pumziko)imrkuwa dini?! Mara Assemble of God nk zoote ktk huo mwamvuli wa Ukristo lkn c dini hizo. Ukimuona mtu anapiga ramli, anapandisha mashetani nakujitia mganga Muislamu huyo c Muislamu bali ni mshirikina anaupaka matope UISLAMU huyo anakufuru/kafiri kwamujibu wa Qur'an. Kunamatendo/makosa mtu humtia ktk UKAFIRI akiyatenda makosa hayo humtia Uislamu wake hata kama anajiita na kung'ang'ania yy ni Muislamu. Shetani ameelewa lugha nyiingi na zaidi unaendelea kuongea kiarabu coz anajuwa dini ya haki ni Uislamu hivyo anatumia lugha ya kiarabu iwerahisi kuwanasua Waislamu awapoteze wajue ni mwezao kumbe ni ADUI mkubwa. Kwa wanaojiita wakristo shetani hana.shida nao sana kashamaliza kazi ya kuwakurisha wameshajipangia dini,wanamwabudu asiekuwa Mungu wamamwiita Yesu ni Mungu na Maria mama wa Mungu! Jini mbaya /shetani mid utaona anampangia masharti ya cku as kutibu na cku za kusali kwa huyo anaejiita Mganga Wa Kiislamu. Jini mzuri haingii mwilini kwa binadamu na wala hamdhuru binadamu labda umchokoze na hata binaadamu hapendi mauzi/kuuziwa/kuchokozwa ukimuizi mtakorofisha/atakujerui. Majini ni viumbe kama binaadamu (sote ni biumbe) Mungu anasema amewaumba majini na bnaadamu ili sote tumuabudu Mungu ila majini wapi majini baadhi waasi kama binadamu hawataki kumcha Mungu hawa ndo msshetani/maibirisi wa kijini au wa kibinadamu. Isomeni Qur'an muilewe mcdangsnywe na ago waganga FEKI wanaojiita Waislamu wanatumia nembo ya Uislamu ilhali wanjua hope MUNGU hapendi wayafanyayo na ameonya kupitia mtume wetu Muhammad na kitabu kitukufu cha Allah Qur'an. Wote wanaomkiuka MUNGU wataingia Motoni. InshaAllah Allah atuongoze ktk Kheri na tufanye jitihada kushikamana na haki (UISLAMU pekee na mamrisho na makatazo yake) mtume Muhammad kapewa Qur'an iwe Mwongozo na Rehema kwa watu wote na duniani kote. Nikawaida ya Shetani/makafiri hawajaanza leo kumpinga MUNGU na mitume wakweli wa MUNGU me bitabu walivyopewa mitume; Zaburi wameipinga, Taurati wameipinga, Injiri wameipinga na Qur'an kitabu cha mwisho wananileta na hata mtume wa meisho alopewa Qur'an hawamtaki wanajiandikia bitabu vyao (vikakusanywa ktk Biblia ambayo hakuna mtume alopewa na Mungu!) Wanajitungia na kujifanya mitume na manabii huu wote ni ushtani/UKAFIRI. "Wamepanda MAGUGU ktk mbegu njema mwenyemasikio na asikie".
Wewe umejazwa kasumba ndio zinazo Kusumbua na inaelekea bado hujajitambua ndio maana unaona dini ni jambo la maana shauri yako kazana kushikilia dini .Mwisho wa dini ni hapa duniani ,pole.
Aliyesema uisilamu ndio ndini ya kweli na haki ni nani.... Si ni binadamu kama wewe tu....acha Mungu awe hakimu mkuu pia nyie waisilamu mna mengi ya kujibu mbele ya Mungu.... Mwajifanya sana kujua....
jambo usilo kujua ni usiku wa giza
Na mbaya zaidi pale hujui na hujijui kama hujui ndo kiza kinazidi kuwa kinene na kupotea/kupotezwa uendako!!
Kawadanganye wapuuzi wenzio huko shenz type waislamu wenyew washnz tu kazi kuhukumu dini yetu wakati nyie Ndo mabingwa wakutengeneza majini ovyo...kama huamini ni ww usilazmishe watu waamini unachoamini ww mxiew
Ata manabii wamo ata wachungaji waamo miujiza yao fake .. this is a fake pastor
This is total brainwashing
Powerful
Stupid
lack of education
Ujinga tyu hakuna hata jina la yesu kristo
10G+
Nakumbuka alinipa kitambaa chake kikafanya miujiza mkubwa sana
Prophesie son of Major
Because your too much dad
Your too much Chief son of Major provovo