SIMANZI na HUZUNI zatanda msibani kwa DIDA SHAIBU tazam DK KUMBUKA amwaga machozi 😭

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 212

  • @mwanaakidaomar4663
    @mwanaakidaomar4663 Місяць тому +27

    Huu msibaa umenigusa sana 😢😢hanijui simjui ila nimeumia mno😪Allah amuepushe na adhabu ya kabr sote njia yetu moja😭😭

    • @fatmahaji7661
      @fatmahaji7661 Місяць тому +2

      Mimi pia😢😢😢😢....Muhimu tumuombee Dua tu

    • @latifabahati-rk5ev
      @latifabahati-rk5ev Місяць тому

      Amin yarabal alamin sote njia yatu moja Leo yy kesho ss

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 Місяць тому +1

      Tumemjua kwenye mitandao. Tulikua tunamuona, tunamckia sauti. Ndio tumemjua. Dr Kumbuka mpaka mimi ameniliza jamani. Nawafatilia kutoka Oman. Huu msiba ni wetu sote kwa kl alieguswa na familia yake yote. Nami natoa pole kwenu nyooote kabisa.😭😭😭😭💔💔💔💔

    • @Esterchacha-jo9mn
      @Esterchacha-jo9mn Місяць тому

      Polen sana

    • @mwanaakidaomar4663
      @mwanaakidaomar4663 Місяць тому

      @@Esterchacha-jo9mn pole kwa sote kipenz

  • @Dil-nawadhFt
    @Dil-nawadhFt Місяць тому +8

    Duh inauma 😭😭San jmn dida Mimi mshabiki wako kutoka oman nakupnd San naumia wenzak jn hatujalal tunakufkiria

  • @SuleimanMohamed-j8v
    @SuleimanMohamed-j8v Місяць тому +7

    Ukiona mwanaume yuwalia jua ameumia Inna lilahi wainna ilahi 😢😢😢

  • @EdnaLameck-m5n
    @EdnaLameck-m5n Місяць тому +20

    Duh! Dr kumbuka umenitoa machozi,,😭umelia kwa uchungu sana😭😭

  • @ZulfaShabani-iw7qq
    @ZulfaShabani-iw7qq Місяць тому +42

    Kama umelia kama mimi ngonga liki

  • @ziadayasin711
    @ziadayasin711 Місяць тому +10

    Innalillah waina lillah rajuuni Allah amsamehe makosa yake Allah amrahamu amrehemu nasi mwenyezimungu atujalie mwisho mwema yaa Allah

  • @OmanSp
    @OmanSp Місяць тому

    Ni kweli inauma Allah amjaalie filjjanna njema na Sisi sote🤲

  • @BalkissMohammad
    @BalkissMohammad Місяць тому +1

    Alhamdulillah innalilaii wainnailayhim rajiun

  • @SitiAbubakar-x6y
    @SitiAbubakar-x6y Місяць тому +1

    Mmh ....tukipata msiba tukumbuke na siku zetu turudi kwa mola wetu kuondokewa kunauma jamani Hadi nimelia Dr. Kwa uchungu analia kwa uchungu mnoo

  • @soragamohd-tk7ev
    @soragamohd-tk7ev Місяць тому

    Pole sn dr kumbuka mungu ampe maisha ya baraza😢😢

  • @SaraphinaJaphet-y9e
    @SaraphinaJaphet-y9e Місяць тому

    Pole dungu jama na marafiki wate mungu ayilaze roho ya marehemu pema peponi amina

  • @PrincessHaga
    @PrincessHaga Місяць тому

    Inalillah wainalillah rajiun 😭 ALLAH akuwekee Mahal pema pepon

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 Місяць тому +5

    Niupendo kiasi fulani ,Ulipendwa Dida nawengi nalazima kunamazuri katiyako ,Mola akalipe mema nawe kwako naakusameh ulipoteleza ,mana hakuna mkamilifu ,ila wewe Allah ,basitusameh viumbewako 😢😢😢 AMIIN ,INNALILLAH WAINNAILAYHI RAJIUUN

  • @ZanariaZahoro
    @ZanariaZahoro Місяць тому +1

    Jamani tujifunzeni kuwa mauti hayana mda,umri,na wala sababu ukifika mda wako unaondoka bila ya kuaga.

  • @HyasintaMwangamba
    @HyasintaMwangamba Місяць тому +2

    Poleni Sana wasafi tukopamoja kwenye machozi

  • @AminaAmina-cr8jq
    @AminaAmina-cr8jq Місяць тому

    Dida,nakupenda sana nimelia sana mungu akutolee mchanga machonii mm amina kutoka,arusha

  • @fatmamubaraka4093
    @fatmamubaraka4093 Місяць тому

    Mmm himeni huma dokta kumbuka jamani tume kuwa wapweke hudugu wangu dokta kumbuka poleni Sana ndungu zangu daa Mimi Fatma mbalaka said nimeumiya Sana dada yetu kipezi biti Adija shahibu jina la husanihi dida shaibu mwenyezi mungu halaze pema peponi Hina lilahi wanalilahi lajanu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🤲Amina mungu mfunguliye pepo husamee mazambi yake daa ninge pata talifa mapema ningekuja kuzika kisutu poleni Sana ndungu zangu dokta kumbuka umeliza Sana kwababu jmsi mlovyokuwa malafiki mlishikana Sana mpaka kwenye kazi poleni Sana ndungu zangu 😭😭😭😭

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys Місяць тому

    Poleni sana familia mungu awatie nguvu wakati huu mgumu

  • @asiathameer5314
    @asiathameer5314 Місяць тому +13

    Kwan waandishi mna nn mtu mnaona analia bado mnamuwekea maiki ili iweje sasa yaan mnaboa

  • @allyafif
    @allyafif Місяць тому

    Inalilahi wainna illahi rajiun
    Allah ampe kauli thabit
    Awape subra wafiwa wote
    Polen sana

  • @FatumaomaritsumoOmari
    @FatumaomaritsumoOmari Місяць тому

    Innalilah wainnalilah rajhuni mungu ailaze roho yake peponi

  • @foodbae124
    @foodbae124 Місяць тому +5

    Waandishi punguzeni basii mnafanya watu wanashindwa kuomboleza kwa uhuru subirini wapoe kidogo ndio msogeze maiki jmn Khaaa.

  • @AminaSendekwa
    @AminaSendekwa Місяць тому

    Innalilah wainnalilah rajiun pole dr kumbuka ulimzoea mtani mwenzio

  • @Rahema123
    @Rahema123 Місяць тому

    Duh Dr kumbuka pole sana kk 😭😭😭mpango ya mungu akuna mwanadamu hawezae kuipangua pumzika kwa amani kipenzi chetu Dida

  • @jacklinegasper-vi2bw
    @jacklinegasper-vi2bw Місяць тому +6

    Hii video ya dr kumbuka imefanya nimelia sana😢😢😢😢 daah

    • @AshuuuBakari
      @AshuuuBakari Місяць тому

      Alimtoa mbali sana ndio maana kaumia sana yaani nikikimbukahistoria ya kumbuka mpakahapa alipo dida nguvu yk

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 Місяць тому +3

    Kumbuka kwa wasiomfahamu ana huruma sana utu na ubinadamu pole sana kumbuka😢😢😢😢😢

    • @svt3
      @svt3 Місяць тому

      Na Dida ndiyo chanzo cha kumbukakujulikana ila ni vizuri kumbuka alikuwa na mpa Didah mauwa yake akiwa hai na kila mara anathamini mema Didah alimfanyia

  • @AsiaOmari-w8q
    @AsiaOmari-w8q Місяць тому

    Polen ndugu zetu 😢😢😢kz ya allah aina makosa

  • @MatiasMateusAquika-jz1yw
    @MatiasMateusAquika-jz1yw Місяць тому

    Mungu akulaze pema peponi simanzi hitanda Tz poleni sana ndugu naa familia, ila tutakukumbuka kwa wema wako Dida, wassafi atujui tutapa wapi tena shuja kama wewe😭😭😭😭 R.I.P

  • @khadijaIdrissah
    @khadijaIdrissah Місяць тому +1

    Simjui lakini imeniua sna yan roho inauma😢😢😢

  • @salmakirundu2076
    @salmakirundu2076 Місяць тому

    Allah qmfanyie wepesi ktk safari yake yarrab

  • @halimashaban3858
    @halimashaban3858 Місяць тому +3

    Ila waandish wa habar same time hamna akili mtu analia unamsogezea maiki aongee dah 😢😢😢

    • @PaulinaMasaka
      @PaulinaMasaka Місяць тому +1

      Mitandao inaleta ulimbukeni mbaya sana sasa wapo msibani au kazini

    • @NageMsuya
      @NageMsuya Місяць тому

      Jmn na nyie oneni. Yan mpk nimekacrika

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 Місяць тому

    Nyieee huu msiba unauma jamanii😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @saraheunice8661
    @saraheunice8661 Місяць тому

    Kutokea kenya ila msiba wa dida umeniuma sana na pia nimejifunza kuwa ..I can die anytime no matter what .

  • @SamouOman
    @SamouOman Місяць тому

    duh huy baba kaniliza mno lala salama dada dida tuko nyuma yako🙏😭

  • @biommy6700
    @biommy6700 Місяць тому

    Allah amrehemu pema penye wema ln Shaa llah,, mi mwenyewe si amini eeeh kifo weee

  • @HappnessMiribo-jw8pb
    @HappnessMiribo-jw8pb Місяць тому

    Mungu awatienguvu ndugu wote polenisa😅😅😅😅😅😅

  • @mwanamisichuma5280
    @mwanamisichuma5280 Місяць тому +1

    Innallillah wainnaillah rajiun Allah awape subrah ndugu Zetu kipindi hiki kigumu Allah atujaalie mwisho mwema Yarrabi

  • @FridanyoniFridanyoni
    @FridanyoniFridanyoni Місяць тому

    Daaaa dk kumbuka nami umeniliza sana kwa uchungu

  • @comm611
    @comm611 Місяць тому

    pole. sana namsiba. njo njiya ya sisi ote

  • @kichefuchefu2382
    @kichefuchefu2382 Місяць тому

    Mwenyew kaniliza sana wakati namuona tuuuuuu wasafi

  • @MinahMbega
    @MinahMbega Місяць тому

    😢😢😢 Dida umetuumiza jaman eeeh Mungu mpokee na mpumzishe kwa amani

  • @ChristopherChristian-rx5rv
    @ChristopherChristian-rx5rv Місяць тому

    Duu nimejikuta natoa machoz ya uchungu sna Rip Dida

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و Місяць тому

    Allah amsamehe makosa yake wallah dida nirikua njui nirikua sabiki yake wa vipindi vyake wallah nimeumia kuskia kaiaga dunia sisi wote tutarejea kwa mwenyezi mungu pumzika kwamani Dida tutakukumbuka

  • @AshuraHassan-w3s
    @AshuraHassan-w3s Місяць тому +1

    Kumbuka unaniliza na mm jmn dah Allah ampokee kwa mikono m2 Ameen

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f Місяць тому

    From 🇧🇮 mpaka ni melia 😭😭dida alikuwa mtu wa watu

  • @aminamzuri9933
    @aminamzuri9933 Місяць тому

    Hiv watangazaji wehu wenzake wanalia yy kaweka mike mmmh

  • @KuluthumShujaiLiumba
    @KuluthumShujaiLiumba Місяць тому

    pole.kwa.msiba.Allah.ampe.kaur.sabit

  • @SalmaNguzo-h6h
    @SalmaNguzo-h6h Місяць тому

    Pole kumbuka 😭😭

  • @dynachriss5126
    @dynachriss5126 Місяць тому

    Sasa huyo mwandishk mwenzake analia ye anamuwekea mike mdomoni hiyo sheria kweli jmm🤔

  • @marywarioba1901
    @marywarioba1901 Місяць тому

    Kuastaa niadhabu mtu anaumia bado maiki zinaelekezwa kwake sijui watu wana roho gani

  • @SaumuShaima
    @SaumuShaima Місяць тому

    😭😭😭😭😭😭jamani uhuu msiba umegusa kila mut

  • @KhadijaAmeir-b4h
    @KhadijaAmeir-b4h Місяць тому +1

    Allah amsameh makosa yake nasisi atujaalie mwiho mwema amiin

  • @FatumaJuma-x1o
    @FatumaJuma-x1o Місяць тому

    Mungu amlaze mahali pema peponi amin

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 Місяць тому

    Msiombolezr vibaya hivyo muombeeni duwa

  • @FghFgh-r7h
    @FghFgh-r7h Місяць тому

    Sote ndo njia allah ampe kauli sabiti 😭😭

  • @Merrynjiu
    @Merrynjiu Місяць тому

    Jamani msiba mzito huu dida kipenzi chawatu poleni Sana tumwombee Kwa mwenyezi mungu

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 Місяць тому

    Nilikua nampenda saana Dida. Alikua mtu wa matani saana. Na mcheshi jamani. Ametuachia pengi kubwa saana. Na ametutoka ghafla saana. Namuomba ALLAH amsamehe madhambi yake. Na amlaze mahali pema peponi🤲😭💔

  • @giftyeliasy8112
    @giftyeliasy8112 Місяць тому

    Media za bongo ifike mahala mjitambue kuhoji watu wakiwa wanalia halaf mnawauliza eti msiba umewagusaje au umeipokeaje mnakichaa au ni nini?
    Hamuwez subir watu wakatulia ndo wahojiwe

  • @BiubwaAljahadhmy
    @BiubwaAljahadhmy Місяць тому

    Pole sana kumbuka 😢 .

  • @rizikimwero1767
    @rizikimwero1767 Місяць тому

    Poleni sana family 😢😢😢😢

  • @mvitaali8608
    @mvitaali8608 Місяць тому

    Inallillah wainaallayh rajuuna mola ampe safar yaheri AMIINA

  • @Asha-z3i1d
    @Asha-z3i1d Місяць тому

    😮lakin hawa wandishi wahabari hata siwaelewi mm..yaani mtu analia lakin wanasukuma maiki tu hapo 🤔😢

  • @ZaiSavageDibalaSavage-er8df
    @ZaiSavageDibalaSavage-er8df Місяць тому

    Innalillah wannalillah Rajiun🥹😭🤍🙏Mbeleyake Nyuma Yetu

  • @SarahCharles-oc6bz
    @SarahCharles-oc6bz Місяць тому

    Walio busy kurekodi ni mbwa wote

  • @JosefinaReuben
    @JosefinaReuben Місяць тому

    Pole kumbuka umeniliza mpaka mimi

  • @hamissahamissa105
    @hamissahamissa105 Місяць тому

    Inaumeza kwakweli 😭😭😭😭😭😭

  • @AngelinaFrancis-l1e
    @AngelinaFrancis-l1e Місяць тому

    Jaman inauma sana 😭😭😭😭

  • @SalomeDavidi
    @SalomeDavidi Місяць тому +2

    Eemwenyezi mungu mungu mpunguzie adhabu ya kaburi kipenzi chetu. Baba umetoa bwana umetwaa jina lako lihimidiwe

  • @AishaMwarabu
    @AishaMwarabu Місяць тому +1

    Ila sis binadamu skitu jamani tuishikeaupendo 😢

  • @MarthaAlly-y7s
    @MarthaAlly-y7s Місяць тому

    Nimelia sana jamani huyu dada atatuliza sana niko omana ningekuwepo ningeeenda

  • @DorkasMtega
    @DorkasMtega Місяць тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭 Dida jamani umetutoka

  • @AbiaWilliam-s1s
    @AbiaWilliam-s1s Місяць тому

    Pole kaka 😢😢😢

  • @hamissahamissa105
    @hamissahamissa105 Місяць тому

    Pole sana kumbuka 😭😭😭😭😭😭

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 Місяць тому

    Alooo wacheni kuposti picha zake ambazo ajavaa kwa staraah. Sasa hivi yupo mbele ya haki...kwa hiyo muombeni dua msitilue uzito.

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 Місяць тому +2

    Innalilah wainnailyh raajiuun 😢😢😢😢

  • @rukiaathman7811
    @rukiaathman7811 Місяць тому

    Inna lillah wa Inna ilayhi raji'un 😭😭💔 Allah amjalie kauli dhabithi🤲

  • @FelisiaMonyo
    @FelisiaMonyo Місяць тому

    Mungu awatie nguvu

  • @LucyDaniel-s3k
    @LucyDaniel-s3k Місяць тому +1

    Sote waja wa mwenyenzi mungu na kwake tutarejea

  • @stevenjoshua5866
    @stevenjoshua5866 Місяць тому

    Ila
    Bongo bwana mtuanalia kuna msenge nyuma anarecod daah

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr Місяць тому

    Inalilahi wainalilai lajun pole sana wote ndugu na wapenz wa Dida

  • @aminakassim21
    @aminakassim21 Місяць тому

    Dah safar yetu n moja😭😭

  • @nancynancy4362
    @nancynancy4362 Місяць тому

    Pole Sana 😢😢😢😢😢

  • @RosemaryLema-qp2df
    @RosemaryLema-qp2df Місяць тому

    Msiba unauma jmn😢😢

  • @SarahMbise-vt7jg
    @SarahMbise-vt7jg Місяць тому

    Dhaa pumzika kwaamani😭😭😭😭

  • @AliNgao-r3j
    @AliNgao-r3j Місяць тому

    INNA LILAHI WAINA ILEHI RAJIUUN

  • @Halima-us7nd
    @Halima-us7nd Місяць тому

    Inalilah waina ilah raajiuni Allaah akupe kauli thabiti

  • @أبوشريحابنمهدي
    @أبوشريحابنمهدي Місяць тому

    Huko kulia hivo ni kumuongezea adhabu haifai kulia kwa malalamiko na maombelezo

  • @mishkizur3205
    @mishkizur3205 Місяць тому

    yaan wana habar mtu analia bdo mnasongesha camera yarrab

  • @AbdlrahmanNahdy
    @AbdlrahmanNahdy Місяць тому

    waandishi hivi hamna akili timamu mnatama hata maiti mkamuhoji looo hamna haya

  • @habibamura5255
    @habibamura5255 Місяць тому

    Innalilah waina Lillah rajuuni😢😢😢

  • @StevenGiven
    @StevenGiven Місяць тому

    Nimelia uwiii

  • @jamilanassor6975
    @jamilanassor6975 Місяць тому

    Poleni sana ndohat 2:12 ma

  • @AngerJohn-n5u
    @AngerJohn-n5u Місяць тому

    Dah inauma sana jaman

  • @marywarioba1901
    @marywarioba1901 Місяць тому

    Haya maumivu sijui yataisha kweli

  • @vinanimwinyi3163
    @vinanimwinyi3163 Місяць тому

    Innalillah wainna ilayhi rajiun Allah amjalie kauli thabit asamehe dhambi zke za siri na dhahiri

  • @farahali6041
    @farahali6041 Місяць тому +1

    Kumbuka umeniliza sanaaa

  • @FunnyBirdwingButterfly-rp5rb
    @FunnyBirdwingButterfly-rp5rb Місяць тому

    Dr kumbuka umelia kwa uchungu mpaka umenitoa machoz

  • @AshuraRamadhan-h7x
    @AshuraRamadhan-h7x Місяць тому

    Pole sana 💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭

  • @SharifaRamadhani-dw2ik
    @SharifaRamadhani-dw2ik Місяць тому

    Poleni sana 😢😢😢

  • @zubeidahkhanji8238
    @zubeidahkhanji8238 Місяць тому

    Ila dunia ya saiv , mtu ana majonzi yake mmekalia kurecod tu sijui tumekuaje tunakosa huruma kbsa