Ujumbe kwa Rais (Dkt.) William Samoei Ruto.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues.
    #truth #trending #politics #socialmedia #best #education #history #islam

КОМЕНТАРІ • 22

  • @MohamedAli-ng9jg
    @MohamedAli-ng9jg Рік тому +3

    Allah Akulinde, uko sawa kabisa Ndugu...

  • @ashrafbunu2371
    @ashrafbunu2371 Рік тому +2

    We watch from Saudi Arabia,from bajun land

  • @mssellemamin5360
    @mssellemamin5360 Рік тому +1

    MASHALLAH TABARAKALLAH. Nukta ulizo zitaja ni MUHIMU sana na nina Imani kuwa Rais wetu mpendwa atazipata na atazishuhulikiya. HONGERA ndugu ISTAMBUL. MOLA AKUHIFADHI.

  • @ahmedmuminchiif4223
    @ahmedmuminchiif4223 Рік тому +2

    From Washington. Mashallah

  • @user-gx3qv7gr6f
    @user-gx3qv7gr6f Рік тому +1

    MashaAllah Allah barik well saying

  • @coachmohamedmmiji6619
    @coachmohamedmmiji6619 Рік тому +3

    Assalaam aleikum warahmatullahi wabarakatu. Shukran sana brother Stambuli, yaliyo mumo ya mumo.

  • @salimmachila5736
    @salimmachila5736 Рік тому +1

    ❤ sadakta ⭐ star

  • @Saaid-yv6bg
    @Saaid-yv6bg Рік тому +1

    MAASHAALLAH tunakuangalia tukiwa south africa cape town

  • @RecapAI
    @RecapAI Рік тому +1

    Inshallah itamfikia Raisi.

  • @amirhemed2483
    @amirhemed2483 Рік тому +1

    Waaleikum Salaam warahmatullahi wabarakaatuh

  • @leleleafricamusic
    @leleleafricamusic Рік тому +3

    Wazo jema na muhimu sana. Na hakuna wakati Bora kama hivi sasa.

  • @Khalid-mf3iu
    @Khalid-mf3iu Рік тому +2

    Mungu akujaalie umri mwema akuzidishie ujasiri STA watu hawatajua umuhimu wako mpka ile siku utakapo waondokea....twahimizwa kupigania haki zetu bt ni umma mayyit wavivu pia wa kuzipigania....twamuacha STA peke yake ajipasue kifua na ni mtu mzima.....vijana muko wapi

  • @mohammedabdulshakur8162
    @mohammedabdulshakur8162 Рік тому +1

    Ahsant maulaya

  • @Mbarak1
    @Mbarak1 Рік тому +1

    Wewe ni hazina ya waislam na watu wa kenya
    Ahsant maulana

  • @mohamedlalimahazi9932
    @mohamedlalimahazi9932 Рік тому +1

    Ukweli nitamu

  • @OmaliMedia-zv1bs
    @OmaliMedia-zv1bs Рік тому +1

    Msomali ambaye amechukua citizenship wa Marekani hapa. The post of Chief Kadhi should go the Ehlu Sunnah sect ( the real Shafi jurisprudence). It's too risky to be awarded to the fanatcal wahabis.

  • @printmedia1422
    @printmedia1422 Рік тому +1

    Ijtihad haina makosa..
    Mola akujalie muwafaka mkutane na ruto...lakini usiende peke au family yako...lakini wote wawe waswahili ambao mali zao zili ingia kwenye waqf kwa kujua au kuto jua au kutaka

    • @omadal1
      @omadal1 Рік тому

      I need to understand u better what do mean " usiende peke Yako au na family Yako"... May be uko na point muhimu

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  Рік тому +1

      Kwa hakika, nakushukiru kwa maoni yako. Hata hivyo, ushauri wako kuhusu kutokwenda kukutana na Rais nikiwa peke yangu au nikiwa nimeandamana na watu wangu tu si shauri baya. Lakini, subra (upande wako) ni bora zaidi ili uone khatuwa nitakazojaaliwa kuchukuwa wakati utakapofika wa kukutana na Rais. Af’wan.

    • @printmedia1422
      @printmedia1422 Рік тому

      @@omadal1 ushahidi wa mambo yanao husu mujtama kama waswahili wataka hivio...mtu asi dai amekwenda kibinafsi..au ameuza..
      Kuweko kwa bin sadiq na marhum sheikh abdillahi nassir lancaster ili kua jambo zuri sana....ndio khatari ya kiti cha rais..ule upweke ufungua.milango isio julikana...mtu moja ila,awe mtume au katika maimamu wale walio bashiriwa na mtume hai fai...ndio mairani waka tengeza walia ya mafaki...uwakilishi wa judge mmoja,waziri mmoja au wadhifa wa umma,wowote maranyingi uharabi mambo...na ndio walio kwenda bomas waka amua pasiwe na rais...lakini wana,siasa wakatutia hapa tulipo...pahali pabaya ambapo haingii mtu ila awe billionaire....duale ame zungza haya maneno...na washili taka tumfikie ruto tumsihi ajaribu ku rudisha mapenedekezo wa walio kwenda bomas tuwe na mikoa 14 ...kila mkoa uweke 75 kwa.mia.ya rasilmal itoe 25 kwa serekali kuu kupeleka jeshi polici na mahakama...kushinda kwa ruto ni vizuri kwa kuregea bomas....sababu raila na kibaki ndio walio regesha.kiti hiki cha rais kimakosa...kiti.hiki hata lancaster hakikuweko...kili uwa uswahili vibia sana ...ita taka uhodari.mkubwa kuregesha haki za mswahili