Kwan siku zote hao wa congo walikua wapi kutumia hizo ndege au hiyo mizinga au Congo awana ndege za kivita hadi wajekusubir Uganda ndo wajeku watetea congo aibu kweli inchi kubwa lakini amna cha maana ni ujinga tu
KIUKWELI nakubaliana na wewe mimi ni Mkongo na bado najiuliza juu ya hili nini kinaendelea na FARDC ni nini kazi ya FARDC FARDC inapaswa kutunza yote haya kwa madhumuni yetu ya heshima
@@djbonfigkby kaka jeshi la congo ni jeshi haina uzalendo ni jeshi iliaribika tangu kabila hawakuwa na huruma ya inchi jeshi la congo ni jeshi iliaribika kwa rushwa asilimia 8% kwa asilimia 10% sasa jeshi laku linda raia ikifikia na hiyo namna wafikiria inchi itakombolewa na kina nani?
@@nyembomajidi3027 sio kweli, tatizo lajeshi la Congo sio rushwa ila limechanganywa Sana na jeshi la kinyarwanda(infiltre~ kwa kimombo) tangu raisi Joseph aingiye madarakani na kufanya muchangano wajeshi akiwachukuwa wa hasi wa zamani wa RCD ya bwana Azarias walio wa kitusi tangu apo jeshi la Congo likakosa nguvu sababu kila wapangacho maaduwi wanajulishwa mbio
Ingenious kiswahili wazeee ndio maaana waasi wanawasumbua kwa sababu hamjataka kujifunza kiswahili
Piga kazi,majeshi hoyeee!! Na mjitahidi kuwasaka!! Wameitesa sana congo hao waasi
Hongera sana Afrika kwa ushirika huu
Great move
I love this union
Adf ni waasi ni lazima wapigwe vizuri. Kundi lao lilikiri mahauji ya watu Kampala.
Safi sana safisha kila sehem
Uganda inasaidia Congo kabisa
I like this union, it must be like this,
We both need peace.
Du courage à vous 🇨🇮
Sawa kabisaa wamalizeni washenzi haoo
Hongereni jesi lenye maarifa kwamuungano wenu pigeni wapinga amaani wanuse harufu ya kibiriti
It is very well solders
Piga piga mpaka kieleweke
Danh hatar
eza mawa mingi
Kwan siku zote hao wa congo walikua wapi kutumia hizo ndege au hiyo mizinga au Congo awana ndege za kivita hadi wajekusubir Uganda ndo wajeku watetea congo aibu kweli inchi kubwa lakini amna cha maana ni ujinga tu
KIUKWELI nakubaliana na wewe mimi ni Mkongo na bado najiuliza juu ya hili nini kinaendelea na FARDC ni nini kazi ya FARDC FARDC inapaswa kutunza yote haya kwa madhumuni yetu ya heshima
Jibu ni.Kabila ex rais munyarwanda kmmke ndyo ame piganisha kuweka airforce yote mbali na operation za ku maliza vita.
@@djbonfigkby kaka jeshi la congo ni jeshi haina uzalendo ni jeshi iliaribika tangu kabila hawakuwa na huruma ya inchi jeshi la congo ni jeshi iliaribika kwa rushwa asilimia 8% kwa asilimia 10% sasa jeshi laku linda raia ikifikia na hiyo namna wafikiria inchi itakombolewa na kina nani?
@@nyembomajidi3027 sio kweli, tatizo lajeshi la Congo sio rushwa ila limechanganywa Sana na jeshi la kinyarwanda(infiltre~ kwa kimombo) tangu raisi Joseph aingiye madarakani na kufanya muchangano wajeshi akiwachukuwa wa hasi wa zamani wa RCD ya bwana Azarias walio wa kitusi tangu apo jeshi la Congo likakosa nguvu sababu kila wapangacho maaduwi wanajulishwa mbio
@@patrickmulamboruhurumba4639 very true 👍
I feel sorry for congo People but it's Museveni Uganda presido behind those , mind he is ruling Congo indirectly if you know you know.
Don't mislead people with your biased minds
Comedy. Congo iko na jeshi kubwa tena liko na nguvu, mais affaibli. Banayuwa kitu banafuwata mu Kongo.
Wanakuja kuwasaidia hawafati kitu Ndugu Uwimana.
Jamboogerrasanawajechiwetupingachezizaungandatafutamupakakielewekewapateadabu