MashaAllah masheikhe wetu Allah awabariki muzidi kufundisha dini ya haki mbele ya Allah ni uisilamu Allah wazidishieni kila kheir na umri mrefu inshaAllah amiin
Sheikh Yusuf Leo umenitoe machozi unavyo simulia kiswa cha mtume wetu kipenzi SAW Kwa miujiza yake Leo wakiristo wakawa hawamuamini ambae ndie mtu atakae tuombea shifaa siku ya kiama ambapo mitume yote watashindwa kumkabili ALLAH SWT 😭😭😭 swalluh Alaa nnabi 😭😭
 4:154 - Na tukanyanyua mlima juu yao kwa kufanya agano nao. Na tukawaambia: Ingilieni mlangoni kwa unyenyekevu. Na tukawaambia: Msiivunje Siku ya Sabato (Jumaa mosi). Na tukachukua kwao ahadi iliyo madhubuti.
Mjuzi.  2:116 - Na ati wanasema: Mwenyezi Mungu ana mwana. Subhanahu! Ametakasika na hayo. Bali vyote viliomo mbinguni na duniani ni vyake. Vyote vinamt'ii Yeye.
Sheikh Yusuf Leo umenitoe machozi unavyo simulia kiswa cha mtume wetu kipenzi SAW Kwa miujiza yake Leo wakiristo wakawa hawamuamini ambae ndie mtu atakae tuombea shifaa siku ya kiama ambapo mitume yote watashindwa kumkabili ALLAH SWT 😭😭😭 swalluh Alaa nnabi 😭😭
Waambie mungu ni mmoja
tu
Keep going bro
Mashallah jazakallah kheir
Amin sote
kazi nzuri masheikh Allah awahifadhi
Amin sote
Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
Amin
Mzee kaja kucheza
Shukrani zote ni kwa Allah kwa neema ya Uislamu.
Alhamudulillah
Masha'Allah, ujumbe umefika.
MashaAllah masheikhe wetu Allah awabariki muzidi kufundisha dini ya haki mbele ya Allah ni uisilamu Allah wazidishieni kila kheir na umri mrefu inshaAllah amiin
Amin sote
Mashaa Allah
Mashallah Allah 💕
MashaAllah tabarkallah!
Amin sote
Assalam alleykum. Hapo ujumbe umefika kaka zangu💪
Waleikum Salam warahmatullahi
Sheikh Yusuf Leo umenitoe machozi unavyo simulia kiswa cha mtume wetu kipenzi SAW Kwa miujiza yake Leo wakiristo wakawa hawamuamini ambae ndie mtu atakae tuombea shifaa siku ya kiama ambapo mitume yote watashindwa kumkabili ALLAH SWT 😭😭😭 swalluh Alaa nnabi 😭😭
Yusuf uko sawa kabisa MashaAllah
Alhamudulillah
اللهم صلي علي محمد وال محمد
Shekh yusuf wantu kama hawo unawapa dozi yanguvu
Masha Allah
Sawa dozi kayipata mgaratiya mkubwa
MashaAllah

4:154 - Na tukanyanyua mlima juu yao kwa kufanya agano nao. Na tukawaambia: Ingilieni mlangoni kwa unyenyekevu. Na tukawaambia: Msiivunje Siku ya Sabato (Jumaa mosi). Na tukachukua kwao ahadi iliyo madhubuti.
Sabato ya wayahudi. Kutoka 31:12
Mjuzi.

2:116 - Na ati wanasema: Mwenyezi Mungu ana mwana. Subhanahu! Ametakasika na hayo. Bali vyote viliomo mbinguni na duniani ni vyake. Vyote vinamt'ii Yeye.
Uta amini je kuran mgaratia
MashaAllah MashaAllah Mashelhk wetu kwakazi nzuri Allah hawalinde na vijicho
Amin sote

2:117 - Yeye ndiye Muumba wa mbingu na ardhi pasina ruwaza; na anapo taka jambo basi huliambia tu: Kuwa! Nalo huwa.
4:82 - Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangeli kuta ndani yake khitilafu nyingi
Najuakitabu chenu kinaruhusu msemeuongo ila muogopeni MUNGU kwanini mnaongopa someniayamzielewe msiongopee mtu
Toa Ushahidi?
Andiko lanyumbani usimsumbuwe mzee
Maa shaa Allah