MOTO TENA KARIAKOO, HOTELI YAUNGUA, KIJANA ANAYESAMBAZA GESI ASIMULIA “GESI IMELIPUKA?”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 137

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 3 роки тому +19

    Mungu tusamehe,sio Hali ya kawaida.

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 роки тому +9

    Subhanallah 😳 subhannallah 😳 Astaghfirullahu laadhwimu hivi kuna. Nini

  • @rehemashaban6858
    @rehemashaban6858 3 роки тому +14

    Mama samia atawelewa Watanzani mwenzie alikua makini na anachukua uwamuzi wa hapo kwa kapo ukiwaonyesha upole inchi itakua shamba la bibi kila kona

  • @mrgeorgeisdory5277
    @mrgeorgeisdory5277 3 роки тому +6

    Mato ni ishara mbaya ishara ya kuteketeza ni ishara ya hadhabu ata kwa shetani kunamoto.... Ndio mana ukifanya mahovu unaambiwa utaendaa Motoni Mungu inusuru Tanzania 🇹🇿

    • @selector728
      @selector728 3 роки тому

      Adhabu sio hadhabu🚮🚮
      Kama Kiswahili ni tatizo basi kausha

    • @mrgeorgeisdory5277
      @mrgeorgeisdory5277 3 роки тому

      @@selector728 umenielewa aua ujanielewaaa....???
      Ilaa ningekausha ningejifunza lini uwa napenda kukosea ili nilekebishwe nijitambue lakini uwa sikosei kwa kutegemea msamaha na sijakuomba unifundishe umejipendekeza mwenyewe kamA uliona hayakuhusu ungekausha pia

  • @demvakenya1876
    @demvakenya1876 3 роки тому +3

    Mambo kama hao hayanishituwi badaa ya mwaka wakiokoka tutasikia ushuhuda kanisani sababu za mwoto huo kama kuna mambo Fulani hayakutimizwa

  • @zubeirsalum128
    @zubeirsalum128 3 роки тому +4

    Hii channel yastahiki pongezi kwa taarifa za uhakika hongereni sana

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 роки тому

    Subhannallah, mtihani

  • @jahddisumba5059
    @jahddisumba5059 3 роки тому

    Hi. ! What the em brought fire over there ,, places gone down Aae risk no .

  • @chimamymamy3792
    @chimamymamy3792 3 роки тому +1

    Mungu tunusuru🙏

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 3 роки тому +5

    Tuendelee kuchekeana,maana saiv ni familia ya makambare kila mtu ana sharubu,mama,baba mpaka watoto,ndo maana mtu anaongea kejeli eti tuhamie Burundi kukimbia tozo za miamala na bado hafanywi chochote

  • @nicholousnick5348
    @nicholousnick5348 3 роки тому +2

    Tuna elekea wapi

  • @mussanganda505
    @mussanganda505 3 роки тому +7

    Siku zake zinahesabika,watanzania tushikamane kipindi hiki kigum cha kumpoteza raisi wetu kipenzi,mh magufuri,

  • @mamajustine5309
    @mamajustine5309 3 роки тому +1

    Mungu utuhurumie

  • @agnesselibariki833
    @agnesselibariki833 3 роки тому +1

    Mizimu ya baba hii Mungu tusamehe huku corona imepamba moto tozo kwa maskini vitu vimependa bei baba tuangalie wanao tuendako siyo salama

  • @aishadjumaphones8877
    @aishadjumaphones8877 3 роки тому

    Pol ni saana

  • @juliusmeshack6572
    @juliusmeshack6572 3 роки тому +2

    Tutakoma turishasahau ujinga Kama huu jpm hafai mala dikiteta wache tuungue

  • @kelsamtv5529
    @kelsamtv5529 3 роки тому

    Poleni

  • @gamgangweesechota3589
    @gamgangweesechota3589 3 роки тому +1

    Jaman Kuna Nini huko?Mungu Mwenyezi tunakuomba ututatulie hili tatizo dah

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 роки тому +3

    Hii ni laan ya Makufuli km hajaf kwa uwezo wa Mungu tujuw kabis walichofany sio sahh

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 3 роки тому +1

    EE MUNGU TUSAMEHE MAHALI TUMEKOSEA TANZANIA TUNAHITAJI NEEMA YAKO BABA TUINDOLEE HILI DHAHMA 🙏🙏🙏😭😭😭😭😭

  • @charleslulandalah9785
    @charleslulandalah9785 3 роки тому +1

    Daaah rungwe😭😭 biashara ya mabasi ni ttz na hili tena

  • @mwantumubakari2304
    @mwantumubakari2304 3 роки тому +8

    Mzimu wa magu umemkataa mama na utawala wake

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 роки тому +4

    Wacha tuendelee kuisoma namba mbele kwa mbele walishatuambia wenye ccm yao 🙌🙌🙌

    • @bebykichuna808
      @bebykichuna808 3 роки тому

      Jamanii kwani vp tena mbn mambo mengi

    • @boyochu1308
      @boyochu1308 3 роки тому

      Huwa Cna Chama lakini sasa hapo CCM imehusika vipi? Tujifunze kufikiria kwanza jamani

  • @mohammedmbarouk7711
    @mohammedmbarouk7711 3 роки тому +1

    Kisha mnasema inchi hii ina amani!!!!ukinambia "Amani"yule mtot wa karume hapo nakuelew,ila si hii amani ya utulivu

  • @magrethpoulpoul8585
    @magrethpoulpoul8585 3 роки тому +3

    Naon saiv tz imekuwa Iraq 😥😥😥

  • @bintjasirbintjasir4175
    @bintjasirbintjasir4175 3 роки тому +3

    سبحنا الله يا رب

  • @gredsonsanga8811
    @gredsonsanga8811 3 роки тому

    Polen xan

  • @nilansaid2927
    @nilansaid2927 3 роки тому +2

    Hili libibi limejaa laana nuksi na mikosi tupu

    • @omanabcd9249
      @omanabcd9249 3 роки тому +1

      Limeshiriki dhambi yakuuwa hilo

  • @gloryandrew9428
    @gloryandrew9428 3 роки тому

    Tuombee tu mungu atuepushe na haya

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 роки тому

    Jaman kuna shida gani? Tanzania yetu?

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 3 роки тому

    THE BIGGEST BOSS NASRI

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 3 роки тому

    SUBHANNA LLAH alhamdulillah ALLAH AKBAR

  • @manjaruu679
    @manjaruu679 3 роки тому +4

    Gesi ina utaratibu wake ukisha funga gesi unatakiwa usiwashe kwanza kama ni gesi lakini kama ni umeme TANESCO wajichunguze maana ni nchi nzima

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 роки тому

      Inategemea sio gesi zote

    • @manjaruu679
      @manjaruu679 3 роки тому

      @@aminatanzanya7475 jua unavyo jua ola kuwa na tahadhari

    • @nellywizz9631
      @nellywizz9631 3 роки тому

      @@aminatanzanya7475 ges za kuwaka zina utofaut upi?

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 роки тому

      @@nellywizz9631 huku nilip gesi tofaut na tz

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 3 роки тому +1

      Shida ya shirika la umeme Tanzania wakitaka kukata umeme hawasemi kwa usalama wanatakiwa watangaze watakata umeme kuanzia saa fulani mpaka saa fulani na kuwataadhalisha watu wazime switch pamoja na vifaa vyote vinavyotumia umeme ila Tanesco wanazima na kurudisha umeme kwa wakati wake ilihali wanajua umeme ukikatwa unarudi na nguvu kitu kinachosababisha vifaa vishindwe kubeba umeme unaokuja mkubwa ambao unaweza sababisha vitu kulipuka

  • @charlesathuman6228
    @charlesathuman6228 3 роки тому +3

    Tanesco kwakwel mnazngua leo mmekata umeme Kama mara mbili na hamtaoi taarifa

  • @mohammedmbarouk7711
    @mohammedmbarouk7711 3 роки тому +1

    Na bado yajayo yanafurahisha,Christian Church Movement oyeeeee

  • @charlesduncanm196
    @charlesduncanm196 3 роки тому

    Atakufa kama kuku green screen yeye diamond ,take mauti Kuma huko

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 роки тому

    SubhanAllh

  • @iddyramathan4507
    @iddyramathan4507 3 роки тому

    Ndio nini😕😕😕

  • @jemamissai2059
    @jemamissai2059 3 роки тому

    Jamani Daar es Salam kunanini huko

  • @rehemavictor2769
    @rehemavictor2769 3 роки тому

    Nabado tutaongea mengi tu

  • @MussaPhilipo-rd2qk
    @MussaPhilipo-rd2qk 7 місяців тому

    Kumbukumbu zanguu

  • @markethan1899
    @markethan1899 3 роки тому +3

    Dar punguzeni dhambi

  • @fatumakassim64
    @fatumakassim64 3 роки тому +3

    Duuh mama anakosi kweli kila Siku majanga jmn

    • @fettyabiola1389
      @fettyabiola1389 3 роки тому

      Mama ako au vip?

    • @faridaessa7844
      @faridaessa7844 3 роки тому +4

      @@fettyabiola1389 umeonaeeeh yaani bora aachie tu madaraka

    • @fettyabiola1389
      @fettyabiola1389 3 роки тому

      @@faridaessa7844 who?

    • @fettyabiola1389
      @fettyabiola1389 3 роки тому +1

      Kwaiyo mamb yanayosababishwa na watu wenyew au mungu tu akiketa mitihan imekuwa anamikosi, na ugumu wa maisha yenu pia mkosi wake au, plz watu, watanzaniaaa badiliken, hivi kwenye watu wanokumbw na majanga dunian munaisabika nyinyi, na ao walopita mshahesab yalitokea mangap makubwa walipokuwepo madarakani. Mmh hatar

    • @hawamabira1499
      @hawamabira1499 3 роки тому

      Ana mkosi kwel kwel!

  • @nuruheartaman3466
    @nuruheartaman3466 3 роки тому

    Hatar

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 3 роки тому +1

    Ila aloleta gesi aulizwe mara mbili mbili........😳

  • @yusuphfute5013
    @yusuphfute5013 3 роки тому +3

    Yani sikuizi umeme unakatika katika hata haieleweki Mala wasumbue kununua LUKU da#r. I. P magufuli

  • @AliMohamed-hd2rg
    @AliMohamed-hd2rg 3 роки тому

    Huu mwaka huu aisee.. Tuwe makini

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 3 роки тому +5

    LAANA HII NA BADO
    HAMKUTAKIWA KUMUUA YULE MTUME

  • @jafarsalumu6030
    @jafarsalumu6030 3 роки тому

    Mambo mazuri hayo yapo tz tu

  • @clintonwalter1511
    @clintonwalter1511 3 роки тому +1

    Jamani kariakoo kuna nini????

    • @aishadjumaphones8877
      @aishadjumaphones8877 3 роки тому

      Utakuta ni mwijaku akakwenda unguza eti wa musingizie mond.etiniwivu jukiba iko na kiwanja uko kariakoo wwe subili tu utasikia H maman akitowa izo habali

  • @mariamateo9051
    @mariamateo9051 3 роки тому +1

    Kweli nimeamini mwezi wa Saba sio mwezi mzuri

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 3 роки тому

    Mmmmh huyo alietaka kuruka inaonekana ni mpenzi wa movie za blu cee lee

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 3 роки тому +2

    Kinachomuua tembo ni pembe zake.Open your eyes .Fungula masho.Funukulshi mihuu.We will never know with the woman's.

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 3 роки тому

    Mungu wangu,kwasasa nimoto kila upande utakao.geuka,corona hamna tena

  • @emiliaalyhibraimo6367
    @emiliaalyhibraimo6367 3 роки тому +1

    Uchumi wa kati bada ya muda mfupi tutakua uchumi wa o

  • @asmamwinyi871
    @asmamwinyi871 3 роки тому

    Umeme siku izi wana uzima na kuwasha

  • @luciasteven6441
    @luciasteven6441 3 роки тому +4

    KAMA KULIKUW NA WACHEPUKAJI HUMO😂😂😂...NAHISI WALIIKUMBUKA SWALA YA TOBAA

    • @annahpsimon1156
      @annahpsimon1156 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣Jamn

    • @olivamarunda8318
      @olivamarunda8318 3 роки тому

      . Lucas imenifanya nicheke huku nawaza nn kinafuatia baada ya ajali Za moto sijui walivaa barakoa hahaaa sio mazuri Ila Mungu tusaidie

    • @florakabadoelkana6764
      @florakabadoelkana6764 3 роки тому

      Lucia wewe

    • @evababy7348
      @evababy7348 3 роки тому

      yaan numecheka daaah watu mnawaza jmn khaaaaaaaaah 😜😀😜😜😜

  • @khadijahassan1844
    @khadijahassan1844 3 роки тому +2

    Wa Tanzania tusiwe wanafki wakati magufuli yupo kulikua na matetemeko kila mara mlisema anamkosi saiv mnamkumbuka ????

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 роки тому +5

    Endeeleni kuchagua ccm

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 роки тому

      Haaaaaaa ndowanachoma

    • @mzalendomzalendo2567
      @mzalendomzalendo2567 3 роки тому +1

      Na mbowe naye nimuuwaji sasa sijui mtamchagua nani

    • @olivamarunda8318
      @olivamarunda8318 3 роки тому +1

      Kwani ccm ndio wanaoguza hawapo wafanya biashara ambao Ni CCM hapo daah mawazo kgando

    • @المهلهلالحراصي
      @المهلهلالحراصي 3 роки тому +1

      Mbona sijaona kataja ccm au husikii vizur wewe nae ccm.inahusikaje hapo

    • @alfoncejohn2104
      @alfoncejohn2104 3 роки тому

      Kwani hata hao c walikuwa CCM? Umepata mgao nn.? CCM,CHADEMA,NCCR ,NK
      NI kitu kimoja sababu ni TAIFA moja ila tuangalie nia na madhumuni ya chama.
      Mtoto amekuwa kwa baba na mama kanyimwa pesa au kafukuzwa Mara as baba mchawi. Ungesema tsngu mwanxo basi.
      Ndio siasa zetu

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 3 роки тому +1

    Gorofa lazma liwe na ngazi za dharura

  • @sankofaman4112
    @sankofaman4112 3 роки тому

    Hii hoteli ni ya mzee wa ubwabwa?

    • @kingswebe3251
      @kingswebe3251 3 роки тому +1

      hapana, huyu ni mmiliki wa kampuni ya mabasi ya rungwe express ni mtu wa mbeya wilaya ya rungwe

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 3 роки тому

      @@kingswebe3251 aliekuwa Mkuu wa majenshi zamani mwamnyange kanunua nyingine pale sinza Africa Sana ilikuwa Inaitwa KING D Sasa Inaitwa Rungwe hotel.

    • @kingswebe3251
      @kingswebe3251 3 роки тому

      @@MtuSafi sasa hii inaitwa rungwe palace

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 3 роки тому +1

      @@kingswebe3251 wanabadirishaga majina kwaajili Ya TRA kama unavyoona Super Feo na Serou zote za mtu mmoja ila wanafanya Hvo sababu ya tozo la TRA linakuwa kubwa.

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 3 роки тому

      @@kingswebe3251 upo sahihi hii ni ya mmliki wa mabasi ya rungwe niliwahi lala on time baada ya promo zake za discount Kwenye gari

  • @emiliaalyhibraimo6367
    @emiliaalyhibraimo6367 3 роки тому

    Hawezi kuijelezea huyu

    • @boyochu1308
      @boyochu1308 3 роки тому

      Kaeleze wewe mwanakuyaweza

  • @milliamkenga9213
    @milliamkenga9213 3 роки тому

    Mm

  • @magrethbenjamin4969
    @magrethbenjamin4969 3 роки тому

    Wanakaa wahind au

    • @kingnicky2568
      @kingnicky2568 3 роки тому

      Nop acha ujinga m nna kaa jiran na sio mhind ntake radhi

    • @kingnicky2568
      @kingnicky2568 3 роки тому

      Nop acha ujinga m nna kaa jiran na sio mhind ntake radhi

    • @magrethbenjamin4969
      @magrethbenjamin4969 3 роки тому

      @@kingnicky2568 why

  • @judithkatoto3316
    @judithkatoto3316 3 роки тому

    Akamatwe huy kaka aloleta gas's aulizweeee

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 3 роки тому +2

    KWELI UHURU BILA SHERIA NI FUJO. MKUU NDIO MMEMTOA MNALETA MATAAHIRA HAO POA TU .

  • @Mohamedkasim2
    @Mohamedkasim2 3 роки тому

    🤭🤭🤭🤭

  • @jhfgbn87hshswj17
    @jhfgbn87hshswj17 3 роки тому +1

    Mkudu wewe kwani ccm ndoimechoma

  • @jahddisumba5059
    @jahddisumba5059 3 роки тому

    Hi. ! What the em brought fire over there ,, places gone down Aae risk no .