Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Nimewapenda saana ,msichoke kutuandalia mazur zaid ,tufurah tuongee umri
Asanteni kwa muendeleze, movie nzuri, hicho kipande cha ndundi kimenichekesha 😂😂😂
Nimependa mshtuo wa daktari
Dah huyu mschana mwenye tatoo mzuri kweli napenda movie zake kweli yan 😍
Tunaoangalia hii movies SAS hivi gonga like tujuwane hapa
Tupo palus naendelea hapa mwanzo nilikuwa bize kidogo. Yani damu nzito kawaendea
Watakoma alivyowaendea na panga nilijuwa wataogopa kwel damu nzito 🤔
Wanywea kama priton
Kamwambia jieshim na wew samtime
Utasikia mtu hivyo hivyo nishavaa taiti
Babu wee pumu wee kapumuliye huko 😂😂😂😂 panya wakijani😂😂watakufa shangaz zako 💕💕💕💕
Amenimaliza
Hahaha aky ameua nimecheka ajabu me naicheki nikiwa Kenya nafurahia sana
Kweli mama ni mama hata afanye madudu gani Hongera bro kwa kumlinda mama
😀😀😀Nawapendajeee rayuu na na Bi mwasiti mko vizuri❤️☑️
Movie nzuri sana nawapenda wote jamani....tunataka movie km hizi love you guy's
Uyo emed twampeda anatubaba
Rayuu na shog ake mko.viziri sna😍😍😍😍😂😂 eti kijuui
Très bon film
Duma nakukubali sana brother 🇫🇷
Jaman mineno ya hemedi hatariii eti nna mipopo huku na huku na wanamashine ndeefuu hizoooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani nimecheka eti mwasiti anamwambia hemedi umenipotezea mda halafu unaniambia hunitaki
😁😁😁😁huruma lkn kumpotezea mda mwenzake
@@marymamntine1909 na uzee ule atoke zake uko
😄😄😄
Aki nimeirudia sana move Tamu sana sijawai ona 🤣🤣🤣🤣🤣 duma
Mbavu zangu mm jamani 😂😂😂😂kumbe maana yakiju nikijuso😉😉😉duhhh
Kama vile nimemuona mume wa Jike Shupa jmn 😂😂😂 au macho yang
Duh MI nilikuwa najiuliza huyu jamaa mbona nimemfananisha kumbe kweli 😂😂😂
@@ummsalyass1096 Hahaha
Hemedy jamaa yangu kwenye hii movie umefery sjaona manjonjo yako,
Wabongo wanajua kuact,sana movie imependeza.
Nawapenda hao wamama Hidaya Njaid na mwenzie wanadeserve hiyo part hawajawahi kosea
Kabisaaa 👌👌
Huyu mama Patrick Kanumba huwa nampenda ❤❤
Waa!eti mbele hakuchez nyuma hakutingishki
Big up guys nice movie i like it 😍😉🥳😘😂
Jamani walh vile move tamu
🤣🤣🤣Eti mi mtu akinikalia sawa naruka nae kimasai kwan mi nmezaa dunia hapa Mwasiti ana nini huyu lakn mama🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Aliye sikiy a hemed km atarogwa gonga like😂
Dokta popote ulipo mungu akusamei🤣🤣🤣et cmmepima cndio
Sitembei na maajuzaa😂😂😂😂😂😂👍
Kazi nzur nduguzangu mlio shiliki
🤣🤣🤣🤣🤣 huyo dokit anavituko jamani
Mwasiti eeee ,una mdomo mrefu Kama pochi ya kichina iliyokosa hela!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅
Hongera movie mzuri sana
mama ni mama hata kama mwehu ila mtoto usi mzalau mama ona leo mwanae amechukia kudharauliwa kwa mama yake
😂😂😂kweli kabisa
wallah dear
🤣🤣 nakwambia kuzaa kuna raha yake
Kweli kabsaa amenifurahisha sana ameonyesha ukomavu
Hidaya njaidi umu ndani umeuwa mama
Mie mwenzenu nampenda Duma
Nlkua naisubiria kwa hamu, Mashaallah nzuri
Hemedi umenichekesha,,, aty zawadi yako chkua upige nayo picha🤣🤣
Mtu akinikalia sawa naruka nae kimasai😀😃😃
Jamani jafari uuuyi Mimi siwesi mwambia niaibu sana
Naipenda sana hii movie uko namafunzo sana
Nimeipenda hy iko gud
Mama kasema mtu akimkalia poa yuaruka nae kimasai 🤣🤣🤣🤣🤣Hana adabu huyo mama kabsa
Mwasiti anadomo atari 😄😄😄😄😂😂😂😂Naceka adi naumia mbavu
Thanks for aploading tuliisubiri kwa hamu,,,ujumbe wangu kwa bro duma pls tuletee msimu wa pili siri ya mtungi niliipenda sanaa tumetuacha njia panda
😂😂 Nacheka wallah movie tamu
😃😃😃hemed kwenye kuchukua majibu😂😂😂
Kwanini Daktari huyo aliwapa matokeo ya vipimo vyao kwa namna hiyo?
Hahahahahahah. Mtu akinikalia sawa. Naruka nae kamasai😂🤣😂🤣😂
🤣🤣🤣🤣🤣👍
Hahahahaaaaaa
Wamemshika simba makalio lazima watafunwe🤣🤣🤣
😂😂😂
Genius hiyo Kwiyo Huyo Shabani Mwenyewe anamjua Mama Yake na Amemzoea.Kibaya Chako Babuuu na Mama ni Mama tuuu hakuna Kama Yeye.
Umeona baya baya lako zuri la mwenzio💕💕
@@alexiamruu7581 ndo hivyo
Hemedy kwenye move hii umetisha dem mkali hatali
Safi sana mmewez wchzaji
Wow Kazi nzuri sana
Mtu mzima ovyooooo,, alafu mama jieshim
Nimecheka yngu yote 😂😂🤣ucmthimbe mrembo kachimbe shangazi zko
Duma yuko vizuri kuliko gabo
Hemed hongera na team yako
Hii movie inavituko sana hahaha ninacheka mm
haaahaaaa mama shabani anataka kumuendea jafar ngende
Me mtoto wangu ww wale sio wtoto wngu umetisha
Mwasiti mama lao 😂😂😂😂nimecheka sana
Haaaa kumbe modomo una kakinya bada ya kuona panga 🤣🤣
Kwenda kupima damu kwaogopewa Ata kama mtu bikra lazima kuogopa 😂
Ata sijui kwann alaf inakuwa
Shabani yuampenda na kumjali mamake, lakini mama nae kakosa Ata aibu Sana, yaani acha tu yuamkosea mwanae
Maajuza wamepewa yao😂😂 uso umewashuka
Baby mwanasiti mbona wamuonea kakangu asilete uchuro atakufa shangazile he he hee mutaacha hizo mashangingj
Nimejikuta nacheka mpaka nimelala
Ahahahahahahha hemedy unatak kukimbia majib jmn
Kafanye kazi shabani umlee mama
Hahahaaa nmecheka sana eti tukapime halafu twende bichi halaf tutafuata majibu haloo
Kipara. Nazani unanifahamu sinaga tabia za umbea umbea. Naijuwa hiyo😂
Mungeleta muendelezo part 3 na 4 nikaona hao ma sharobaro walivyo rogwa na kuchizika 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
uyu mama noma 😃😃😃
Nice moved jmn
😆😆😆😆😆😆Mbele akuchezi wala nyuma akutingishiki mama weeee 😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂movie kalii sana
Jmn movie tamu haina mwendelezo❤❤
🤣🤣🤣🤣🤣panya wa kijani
Nice movie jaman
Shkran kwa mafunzo mazuri
Kamati ya ugomvi 😅😅😅😅😅
wa mama wa hivi wapo wengi tu mtaani eti wananionea wivu sababu mm mzuri 🤣🤣🤣
Wa kwanzaa
Hongereni....mmee mmee ....mko sw 🤣🤣🤣
DOCTOR UTAUWA WATU NA PRESHA HAHAHAAAHAHAHAHA
Swagga za hemed nimezikubali jamsn duuuh!
😂😂😂😂😂😂👍jmn huhuhuhuhuhu nimecheka kisenge
😂 😂 😂 😂 😂 Nimecheka mbaka nimelia mwenyewe 😂 😂
Jmn mashangaz tuna tabu kila kitu shangaz yako😂😂😂😂
Hongeren kwa mafundisho mazur
Hii movie ni kali sana
😂😂dactar hii aina yako ya utoaji majibu sjaipenda ndo nn kushtuana hivi😂😂
Mashallah hongereni
Huyu dokita angemaliz kunipa majib na kumchinja kbs😂😂😂
Mudi iyoooo kwiyooo🙌🙌
Wembamba tuna taabu jmn... Kufananishwa na kila kiumbe
hahaha kwl jmn
😂😂😂😂mara miguu kama fito za genge,mara kama minyoo,yaani tafrani
wa kwanza
Kwani mnawaza nn amamumeathirika kwa malaya
Mbele akuchezi wala nyuma akutingishiki😅😅 wana maneno hawa wamama..
Mama ni mama kwakweli
ni noma mov kalii
😂😂😂akuna kipengele kigumu Kama kuchukua majibu kwa wanaume jamn khaaa😂😂😂
Hemedy uyo mama atakuroga kweli ujue 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Mupo vizuri