@Radio Jambo. Naitwa Remy nipo Tz shabiki mkubwa wa Radio Jambo since 2011. MUNGU awabariki timu nzima ya radio Jambo you are strong ,big ,well , organised and creative radio station for 21 century.
Hawa watoto wasikuhizi wanakula Chips imechomwa na mafuta ya transformer. Damu inakimbia Kama live wire ya stima ya three face - Hawana subra. Wamezoea kudandia tu kama mathree. Anadanganya Hata haoni. Sasa amecheswo. Titus Wa!!!!!
Ni mimi ndio si elewi kiswahili ama shida ya huyu Titus ni nn, haeleweki, huyu mwanaume ndio shida kubwa 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️mm siwezi kuishi na mwanaume kimbelembele kama huyu
Yeah maaan....Titus ni bank na na metrine ni mteja yeah maaan.. by the way c Titus anaongea sana harafu anaitisha pesa ya saloon sijui manguo nini nini...eeeish na metrine akitaka umulipe hiyo mda amekaa nawe...anyway sijui hadi sasa hivi kuna watu ufanya kam we stay hadi kuzaa Watoi bila kujitambulisha kwa both families!!! Yeah maan.. If pple can't afford church wedding,attorney general why can't they do introduction one yeah maan...Tiukiomaga🎵🔊
@Radio Jambo.
Naitwa Remy nipo Tz shabiki mkubwa wa Radio Jambo since 2011.
MUNGU awabariki timu nzima ya radio Jambo you are strong ,big ,well , organised and creative radio station for 21 century.
I'm your Tanzanian fan 🇹🇿
Asante sana Mariam
😂😂😂😂😂😂Aki huyoo man though,kiherehere ndyo mob,apunguze bangi
Thanks
@@samuelmorris585 napenda nafuatilia Sana patanisho kutoka Tz
Tupo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿nacheka km fala😅😅😅😅😅🇴🇲
Ati Titus yes sir ongea na mke wako haro haro baby hi darling morning 😂😂 huyu jamaa is very funny greeting from northern Uganda we love radio jambo
I am from Rwanda I like radio jambo
Wowww
Welcm
Nyasaeee woi hi baby hi Darling morning .
..........mayoooo this kamba guy lazima anatumia ki shash
ghost aki cheka hivyo u record then mnitumie weeuh l need this laughter 🤣 🤣🤣🤣 tafadhali radio jambo
Huyu mwanaume kiherehere...you have made my day😂😂😂😂
That end key,,, na thie akiumgaga🤣🤣🤣🤣, made ma day.
Those two guyz Gd na ghst kila siku they makes ma day i like u guyz biggup i do got some marriage tips and regulationz from u #Radio 📻 Jambo92.7
Gidi tu nataka kuona Titus live kwa show asap... Very funny fella🤣🤣🤣👍
Waah ya Leo imeweza gidi na ghost good job... Herooo baby darling tafuta bibi
😂😂😂😂😂😂 mulei utanimaliza hii kecheko
Please Titus come we marry each other.
I like this kind of Men aki😂😂😂😂😂.Nyumba itakua comedy kila siku
Someone help me get that ringtone
😂😂😂😂aki leo am inlove wth Titus skiza Tune...
Ghai ati "Thiukyumaga....house managers leo sidhani ntapata stress za waiguru 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 my ribs
This made me
I want this ringtone 🤪😊😊😊
Mimi pia
Je uliipata
Wakenya tunapenda baba ,long living rao 😂😂
Very nice congrats kwa kazi nzuri gidi na ghost 👻
The last part is hilarious and the way Gidie has a straight face 🤣🤣🤣🤣 leo umeweza
Kkkkjkkjjjjjjkjjkjjjjkkjjkkjkkjjjjjjjjj
😋😋😋nipate wapi kaa huyu Titus central bank
Gidi: umemaliza
Titus: eeeh
RJ: thiī ūkīūmaga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ghost:😂
Mafans:🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂 that's the best part!
ahaha
Hahahahahahaha.... Titus 🤣🤣🤣
Gidi hawa wanaume wanasema Fulani dió ameniharibia Bibi waambie wa style up shida ni Wao Wao
The ending...my goodness sijawai cheka ivo😂😂😂
😂😂😂🙈🙈🙈🙈Gidi hapo kwa kukula fare mbona unatoboa siri yawa😂😂😂😂utafanya tunyimwe fare
😂😂😂😂😂😂hello baby darling morning...😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Waaah gidi ni mkali
Gidi wewe ni mkali, but Titus be serious jameni, ndoa sio mchezo.
Heroo heroo baby high darling
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣heroo
Titus utangoja sana.............pesa irudi
Mwanaume adai pesa zake.mbona kz alivyokuwa amtumia alikuwa ataka Nani agaramike kumuhudumia
Titus love his wife😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒she doesn't love him back ...Titus ajipange
Hawa watoto wasikuhizi wanakula Chips imechomwa na mafuta ya transformer. Damu inakimbia Kama live wire ya stima ya three face - Hawana subra. Wamezoea kudandia tu kama mathree. Anadanganya Hata haoni. Sasa amecheswo. Titus Wa!!!!!
Hello beiby hae darling, morning 😄😂😄😂
Gidi wapi unganishow pliz,,ama utaleta wale wamepatana na kufanya harusi
It's the kicheko for me
Mimi ni fun wenu kutoka migori frequency gani juu siwapati tafadhali
🤣 🤣 🤣 Titus uko na kiherehere haki, hello baby darling
I agree totally with u
Wewe ukidai pesa na wewe vile ulitumtumia two years umemlipa nn, shame on u Titus
Ako sawa
Wow huyu jamaa ana utoto sana ni Judith kutoka malindi
Ghost please kicheko inanimaliza🤣🤣🤣
Woyiiiii eti hi babe....babe,hi darling wacha niende kwa choo kwanza yaaaaaah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ghost......
😂😂😂😂😂😂😂 hi baby hi darling 😂😂😂😂kenya mtanimaliza adi nguvu za kiume
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@christinesumba9075 😁😁🤣🤣
@@ellahpraiser9714 😁🤣🤣
Yani nimecheka kama mjinga
Waaaah Bibi zenu gidi na ghost huwa wanafurahia sana ,aisee nyiii watu mna roho ya dhahabu ,my role models
wako poa
Gid hii ni patanisho ama ni comedi?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Waaaaah skiza tu 😂😂😂😂🤸😂🤸😂 ikiff up 😁😁
Mungu anawaona
Hello hi baby hi darling wish I watched the same day 😂😂😂😂😂
Dondosha like hapa walio patana wote kwenye kipindi Cha patanisho wakutane siku mojaa wa shereke na kutoa shukrani ya kusema thanks tu
Mtanimaliza jamani hii kali itabidi uwapeleke wanaume wingine kuwafundisha kuongea 😂😂😂😂😂
Huyo Dem mkora bat utapata tu mtu isijali ya kuku nayai bat ya mungu n mengi
Come and stay hio sio ndowa ni uzinifu
Nomaaaaaaaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndume zingine 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🤣waaah
ghost aki l love hio kicheko yako
But Huyu Mwanaume ako nakierelere sana anataka arudishuwe garama alinunulia bibi nguo Whts this😷💆💆
Aki gidi si uwa mwaskia Mambo 🤣🤣
Titus hiyo haraka yako itakuumiza kuwa mpole plz. Uko na kiherehere sana hata gidi hakuelewi jamani
Ghost mbinguni utaionea VIU sasa 😁😁😁😁
This was fun to watch and listen 😂
sikiza kicheko patanisho kicheko si mtatuua yawa
😂😂😂😂😂😂😂😂hapo kwa haroo baby haroo darling😂😂😂😂😂😂😂😂karibu nibingirike chini😂😂😂😂jamaa yuko na mambio🙈😂😂😂
acha tu hahhhahahaha
Mi nmeisha yangu yote😂😂😂😂
Weeeeh🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Niokotwe chini ya meza😂😂😂😂😂😂
@@ladylovermisspretty1009 😂😂😂😂😂😂polepole isigonge kichwa😂😂😂
😂😂😂 Leo Mumenimaliza.
Titus mwezi umepatwa
Gidi yawa mbona unaguza story ya kukula fare? Wuuuuuuwiiiii 🙆🙆🙆
Gidi wanakulaga sana fare hawa wadada😀😀🇹🇿
Single me! Marriage isn't a competition
"Ebu sasa jaribu" for me😂😂😂
Ni mimi ndio si elewi kiswahili ama shida ya huyu Titus ni nn, haeleweki, huyu mwanaume ndio shida kubwa 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️mm siwezi kuishi na mwanaume kimbelembele kama huyu
Kwani wee uko na kazi
Apo kwenye mbelembele ndio umenifanya nicheke kifara jaman
Huyu mwanaume ni Kiherehere sana
Punguza ya ya"hey darling sweetheart "
The ending got me 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
likes hapa
Hahahaha yani gidi na ghost mnaweza ambia mtu aende akikauka😂😂😂😂
Yeah maaan....Titus ni bank na na metrine ni mteja yeah maaan.. by the way c Titus anaongea sana harafu anaitisha pesa ya saloon sijui manguo nini nini...eeeish na metrine akitaka umulipe hiyo mda amekaa nawe...anyway sijui hadi sasa hivi kuna watu ufanya kam we stay hadi kuzaa Watoi bila kujitambulisha kwa both families!!! Yeah maan.. If pple can't afford church wedding,attorney general why can't they do introduction one yeah maan...Tiukiomaga🎵🔊
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hae baby hae darling 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wah hapo kwa hello baby hello darling 😂😂😂 karibu nianguke chini 😂😂😂😂 Titus uko na kiherehere yawaa
Huyu jamaa ako kiherehere sana!
Hey Hello baby during mutaniulia Gidi na Ghost simu kwaaaaaa😂😃😂😃😂😃
Noma sana
Woooiii herrrrooo baby herooo darling 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haaaaaa😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
..Gidi.kindly kuwa mpole kwa boychaud
Hello baby high dearling
Good work
Hiyo pupa na mbiyo ya Titus ya kisungura ndiyo imefanya Metrine ametoroka... Kasuku.
Sasa wewe unaropoka sana na haujaenda hata kujitambulisha kwao nkt uko na ufala wewe Titus
The best patanisho ever 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Central bank🤣🤣🤣bro unachezwa!
Wanaume wahuku kenya wananishinda tabia unaishije na na mtoto wawenyewe hujui kwao
Yah yaaah!!!!
Baby baby darling 🤣🤣🤣🤣🤣🤣aki mapenzi wewe🤣🤣🤣🤣🤣aiya
Nimekwama hapo kwa central bank,,,,😂😂😂huyu ghost atanmalza siku moja
Gid alimchomea akachanuka
Aki mm nakufa pi Titus n kabila gani
Ni mganda
Titus utaniua jameni ety manguo via tu nkt uuuwi waa
The end 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hio ndio tatizo yakuwekana ukimchoka mwenzio ukitoka unatoka tuu
Gidi unachomea hety central bank...😂😂😂mwanaume kelele anayo mingi ajitume kwa kina msichana
Nataka kazi gidi ya kucheka na gost🤣🤣🤣
Gidi umechoma na huyo jamaa yawa Sasa mmetoboa siri ya fare Sasa nitapewa fare kweli
Wanawake sijui nan aliwaloga
😂 😂 😂 Gidi hujamwambia poa, ati thie ukiumaga