WAZANZIBARI SI WA KULALA NA NJAA - SHEIKH ABEID KARUM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 28

  • @alimussa2655
    @alimussa2655 5 років тому +4

    Hatokei wala hatotokea rais kama wewe afrika nzima mwenyez mungu akulaze mahala pema peponi amiin

  • @mdungikhamis2096
    @mdungikhamis2096 5 років тому +3

    Mna comment gani nyinyi ongeeni vitu vyamana ili atae soma aweze like zanzibar tunajinyanyasa wenyewe tu sisi hatuna umoja ndio tunasota tu

  • @howardally8330
    @howardally8330 6 років тому +2

    Mpaka dunia itaisha hii hatotokezea raisi kama marehemu karume Mungu akusamehe makosa yako ishi kwa amani kwenye nyumba yako ya milele

    • @AA-yr7sr
      @AA-yr7sr 5 років тому

      Amiin Ya Rabbi Aalamin Ya Rabbi

  • @Roberto32222
    @Roberto32222 5 місяців тому

    Happy Karume Day 2024

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 Рік тому

    Very good

  • @mundhirsalum1062
    @mundhirsalum1062 6 років тому

    Wazanzibari gani anazungumza maana mie sielewi elewi ivii .

  • @alimussa2655
    @alimussa2655 5 років тому +3

    Kufa kwako tu mzee wetu mwenyez mungu akulaze mahala pema peponi basi msiba kwa wazanzibar wote aah chema hakidumu tumebaki na viongozi maslahi tu

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 Рік тому

      Na huyo kaiuza nchi ya zanzibari kwa maslaha yake madaraka baba akawa chini ya utawala wa nyerere huyo hana lake zanzibari ilikuwa NA uhuru wake kamili kutoka ungereza

  • @issahajiday4398
    @issahajiday4398 5 років тому

    Mdungi hamisi ...ndie alie comment ukweli.

  • @wolframchikomo8873
    @wolframchikomo8873 5 років тому +3

    Ama kweli MTU AKIFA ANAKUFA NA MAWAZO YAKE NA MAONO YAKE YOTE. Mzee Karume historia itakukumbuka na Watanzania tunakumiss na kukumbuka sana na tutaendelea kukuenzi. Pumzika kwa amani tutaonana siku ya Kiyama

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 6 років тому +2

    Wewe na seif sharif ndio wazalendo.
    Walobakia wizi tu nawauwaji na nyerere wao.

  • @mbarakndurya6106
    @mbarakndurya6106 6 років тому

    Endeleeni kuota. Zanzibari ilichukuliwa na waAfrika baada ya kumtoa mwarabu mdhalimu aliyeiongoza kwa Miaka Mia mbili. Ndoto ni kufkiria ya kwamba waAfrika waliowengi wataachilia nchi irudi kwa mweupe. Afrika hoyee

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Sasa ni koloni ya aina nyegine emetawaliwa NA wakrsto wa tanganika zanzibari haina mamlaka wala haijulikani duniani wala haina kiti katika umoja wa mataifa wala haina mabalozi duniani kama ilivyo kua zamani waarbu hao unayo wasema ni wmezaliwa pemba hapo hapo bali hata mababu yao walizaliwa zanzibari ni wanainchi wala hawana uhusiano NA oman wmeshatawanyika kila nchi peke yake toka zamani basi nyingi wazanzibari mnapenda kutawaliwa NA mpaka leo mnomba uhuru kila mahala NA hamtapata kwa sababu hiyo mtihani kutoka kwa mungu kwa ile mauaji makubwa elishtusha ulimwengu kwa hio hamstahili kupata uhuru

  • @mudimuhamad3324
    @mudimuhamad3324 7 років тому

    we mwehu ni ukomotoni unampeleka ww wenajijua kama wapeponi

  • @adilhaj6719
    @adilhaj6719 5 років тому

    Aaah daahhh ww ndo ulokuwa kiongoz .yaan saaiv naona tafran tuu ya maisha

  • @inuyashasgirlsmao5084
    @inuyashasgirlsmao5084 7 років тому

    muaji. mbakaji.kaa motoni...

    • @tunuamidu1058
      @tunuamidu1058 7 років тому

      usiseme hivyo kakeeee

    • @destiny4life439
      @destiny4life439 6 років тому

      we pengine mzinzi msengenenyj muongo huna hak ya kuhukum

    • @truthspeaker2062
      @truthspeaker2062 5 років тому

      Shika adabu yako

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 Рік тому

      @@tunuamidu1058 lmeiuza zanzibari kwa maslaha ya kiti ni muaji tu anastahili eliyompata kapoteza uhuru wazanzibari akaleta utawala wa nyerere