Majambazi 3 Wauawa Barabara Kuu Ya Mombasa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2014
  • Washukiwa watatu wa ujambazi waliuawa na polisi usiku wa kuamkia leo kwenye barabara kuu ya kuelekea Mombasa. Washukiwa hao wanadaiwa kuwa miongoni mwa genge la majamabzi 6 waliokuwa wameteka nyara basi la abiria lililokuwa likelekea Githurai. Tukio hili limejiri saa chache tu baada ya kikao cha maafisa wakuu wa usalama hapa jijini Nairobi waliowataka wahudumu wote wa matatu kuhakikisha wamewakagua abiria wanaoabiri magari yao.

КОМЕНТАРІ • 10

  • @marywambui519
    @marywambui519 4 роки тому +3

    Mungu ambariki jamaa alive hatarisha maisha yake kupitia ndirishani na kupiga ripoti kwa polisi ili kuokoa maisha ya wenzake

  • @iminzaiminza5813
    @iminzaiminza5813 5 років тому +2

    I like your English sir👍

  • @iminzaiminza5813
    @iminzaiminza5813 5 років тому +2

    Mnaniogopesha kusafiri usiku😬😬😬😬😬

  • @chaxyibra4858
    @chaxyibra4858 4 роки тому

    We nawe kaa hujui kuongea kizungu bora unymaze to...waongea English na hujui...kujilazisha to...kubli una jua kiswahili to...mmmh bas wachekesha ak wooie

  • @amashamsauge5686
    @amashamsauge5686 4 роки тому

    Maka

  • @binttsulu647
    @binttsulu647 5 років тому

    yaani huyu amekunywa sanaa

  • @chelseaktbffh2510
    @chelseaktbffh2510 9 років тому +2

    was up man...Go home you're already drunk,,,