SNAKE BOY | ep 31 | SEASON TWO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • clcr.me/G4nU7w
    Jisajili kwa kutumia hii link kwa tumia PROMO CODE CLAM24 upate bonus hadi 100%
    Follow Me On Instagram
    / clamcris_
    Tiktok:
    / clam_cris
    Facebook:
    www.facebook.c...
    #clamvevo

КОМЕНТАРІ • 2,4 тис.

  • @clamvevo6472
    @clamvevo6472  14 днів тому +6

    Jiunge nami katika Pocket Broker: clcr.me/CLAM2024
    Tumia Promo Code CLAM2024 wakati wa kujiandikisha na upate bonasi maalum kutoka kwangu - +100% hadi amana!

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 Місяць тому +65

    Snake boy inazidi kua ya moto sana umetisha sana clam vevo 🔥🔥🔥💪

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv Місяць тому +505

    Leo nimekuwa wa 283 😅😅 Haya sasa Tuliyoisubiri snake boy kwa hamu gonga like kama tuwape nguvu ndugu zetu🎉🎉🎉🎉🎉

    • @lizard5201
      @lizard5201 Місяць тому

      @@KibweOnlineTv kaka unaonekana una channel kubwa ila hauoni ajabu kusifia kazi za wengine Mungu akuzidishie

    • @FahadAli-ni5eu
      @FahadAli-ni5eu Місяць тому +18

      Nimeangalia page yko unafanya kz nzr sana

    • @fatumamnyenze9696
      @fatumamnyenze9696 Місяць тому +11

      Pia nilichoka kusubiri nko kwa chado 😂😂😂

    • @faithnayla2374
      @faithnayla2374 Місяць тому

      Fayden Anupi subscribe

    • @BonfaceDavid-n8h
      @BonfaceDavid-n8h Місяць тому +6

      Nakubaliana na wew kwa asilimia mia

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 Місяць тому +37

    Ivi mnajua ifikapo 2099 woote humu tutakua tumekufa tujitahidi kufanya ibada 🙏🔥

  • @Naema-x7p
    @Naema-x7p Місяць тому +51

    Mmbea kapata msaidiz 😂😂😂kiparaa na kikono mumenifurIsha leo 😂😂😂😂hao alafu uyu tanu anyoe izo ndevu zinatutishia watazamaji au mnasemaje wadua tujuane kwa ilk 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

    • @user-ew6nq7tr8e
      @user-ew6nq7tr8e Місяць тому

      Anyoe bhn😂

    • @TumsifuMbamba
      @TumsifuMbamba Місяць тому

      😅😅😅😅

    • @jamesmollel
      @jamesmollel Місяць тому

      Ni kwel

    • @Naema-x7p
      @Naema-x7p Місяць тому

      @@user-ew6nq7tr8e umeonaeee yuwatutishia bhana😄😄😄

    • @Naema-x7p
      @Naema-x7p Місяць тому

      @@TumsifuMbamba we uogopi 😄😄😄

  • @rashimikasim2171
    @rashimikasim2171 Місяць тому +52

    Yani nimewahi namba one hongera bro kazi nzuri ila hii movie kali kinoma sema mnachelewa

  • @EmmanuelNorbert-gh7ui
    @EmmanuelNorbert-gh7ui Місяць тому +67

    me naomba clam awake subtitle maan movie hii inatizamwa na watu wengi kutoka mataifa tofauti Big up sana kaka clam

  • @CHYULLUKENYA
    @CHYULLUKENYA Місяць тому +59

    The best movie in East and Central Africa 🇨🇫.....let's gather here men and women, here from kenyaaaaa.....mzigoooooooo

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 Місяць тому +17

    Nalipenda Sanaa hili la ubaya ubwela zinga nakukubali sanaaa😂😂😂😂😂😂💪💪🙏🙏❤❤

  • @MuhimpunduIssa
    @MuhimpunduIssa Місяць тому +57

    Wakwanza from BURUNDI 🎉

  • @hendrypeter6182
    @hendrypeter6182 Місяць тому +85

    Anaependa ako ka biti like kama 100plz kwa biti tamu mwanzo mwishoooooooo

  • @user-yi3kc6sl9u
    @user-yi3kc6sl9u Місяць тому +54

    Jamani...kama unaamini muda wako wa kubarikiwa na kufanikiwa sema Amen!❤

  • @siwemahabanyinawimanzi5995
    @siwemahabanyinawimanzi5995 Місяць тому +40

    Snak boy imekuwa ndefu saana afu inazorota.tunaomba imalizike mtuandalie nyingine.❤❤tunawapenda saana

    • @user-mh3zi3sx3i
      @user-mh3zi3sx3i Місяць тому +1

      Kweli kabisa

    • @dangomc_niger
      @dangomc_niger 22 дні тому

      sahihi

    • @EdisonLucas-uh1uh
      @EdisonLucas-uh1uh 21 день тому

      Kwel tunafatilia had tunachk

    • @Ishermoreogfd9un
      @Ishermoreogfd9un 21 день тому

      😢Na inapoteza maana ya kuitwa snake boy instead inakua Kama ni hadithi nyingine kabisa...Hadi tunaloose interest tunaangalia tu kimazoea Sasa🙌

  • @kelvinachoki289
    @kelvinachoki289 Місяць тому +50

    Nàpenda kufwatilia kipindi hichi Sana ❤❤ila clam changamka Baba usiwe mnyonge sana😅😊...wapi like za wakenya plz🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥💯

  • @albinhohasla7531
    @albinhohasla7531 Місяць тому +204

    Huuuuh yani tunasubiri hadi tuna anza kuisahau aisee ila acha tu like tu ❤❤❤❤Kenya 🇰🇪 Tanzania 🇹🇿, Uganda 🇺🇬 burundi 🇧🇮 Rwanda 🇷🇼 Somalia 🇸🇴 Sudan 🇸🇩 Ethiopia 🇪🇹 CONGO 🇨🇩 ♥

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 Місяць тому +45

    Anaye amini VEVO anatunyanyasa kijinsia na movie yake mpaka anatupotezea radha ya hii movie like zenu hapa 😢 alfu mje tumchambe ajirekebishe

    • @user-mx5rf1db1j
      @user-mx5rf1db1j Місяць тому +1

      yaniii anatunyanyasa sana

    • @AgnathaJackson
      @AgnathaJackson Місяць тому +2

      Kiukweli hadi nakosa amani kwa sababu ya hii movie

    • @shivobs4485
      @shivobs4485 Місяць тому

      Sijui anatuchukuliaje huyu mwamba ​@@user-mx5rf1db1j

    • @shivobs4485
      @shivobs4485 Місяць тому +3

      ​@@AgnathaJacksonanaona haitoshi na anatuwekea matangazo kabisa

    • @EmmyMo
      @EmmyMo Місяць тому

      😂😂😂😂😂jmnii

  • @SadickSalum
    @SadickSalum Місяць тому +27

    Hii muvi mnachelewa sana kupost mnatunyima uhondo ninyi achen hizoooooooooooo😢😢

  • @user-yh8eo9nr4p
    @user-yh8eo9nr4p Місяць тому +28

    Kama hapa kuna mutu kamu sikiya zinga akiongea,,, ameka te ko landa nga kotoyo nako boma ye from Congo naomba like zangu jamani🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @japhetthoya
    @japhetthoya Місяць тому +6

    Wow...... This is more than a movie..... Ila msikawie Sana kutoa next part please... Following from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @nkurikiyearodiedavid6255
    @nkurikiyearodiedavid6255 Місяць тому +39

    Hii movie Ina wambea,halafu mimba zote hakuna inayozaliwa,mkijitahidiii anazaliwa na kufa 😂😂😂 anyway ninawapenda sana ,Niko hapa Bujumbura 🇧🇮 Burundi

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili Місяць тому +22

    ❤❤❤

  • @DambweRama
    @DambweRama Місяць тому +19

    TULIO SIKIA UBAYA UBWELA.Tu like hapa😂😂😂

  • @gracebakunzi2399
    @gracebakunzi2399 Місяць тому +12

    Zinga ameongea lingala luga ya congo DRC.
    Mwana mboka boni???

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 Місяць тому +5

    Uyo Dada kama ni bikra kweli basi namie ni bikra aya team furus team WiFi team kupambana nawapenda mno naomba tusalimiane 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

    • @vicentshija
      @vicentshija Місяць тому

      We zainabu wewe😅😅😅

    • @zainaabdallah809
      @zainaabdallah809 Місяць тому

      @@vicentshija 🤣🤣🤣 ninayo kweli ninamiaka 6 Oman sijaupata naamini bikra imerudi🤣🤣🤣🤣

    • @shahidumaulidi9721
      @shahidumaulidi9721 14 днів тому

      mmmh 😂😂😂 umenifanya mpaka nimecheka kwa sauti kubwa hahaha we kiboko​@@zainaabdallah809

  • @puritymusidoke9481
    @puritymusidoke9481 Місяць тому +19

    Wow atleast I have watched the long awaited episode, following from Kenya 🇰🇪

  • @ShipiniMwarabu
    @ShipiniMwarabu Місяць тому +16

    naza mutu ya liboso Lelo Congo drc

  • @ahmadbelier3160
    @ahmadbelier3160 Місяць тому +73

    Watu wa Burundi Bujumbura 🇧🇮 tujuane kwa kubonyeza like hapa✔️ Ila huwa wanakawiza😢

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 Місяць тому +6

    Asante clam vevo Yajayo yanafurahisha kk Mungu akubark ili uzid kutpa burudan

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 Місяць тому +3

    Kila unaeangalia filamu hii mungu akubariki ukawe na maisha marefu sana❤❤

  • @DelarioTz
    @DelarioTz Місяць тому +37

    Clam vevo,leo nmekua wa kwanza kutoka kenya

  • @user-ux1ts9wr2e
    @user-ux1ts9wr2e Місяць тому +27

    Bongo movie jamah inaiirudisha kabisa. From Moz🇲🇿

  • @rude_killer93
    @rude_killer93 Місяць тому +32

    Wa kwanza from Pemba naomba like

  • @ousmanemajeshi0094
    @ousmanemajeshi0094 Місяць тому +7

    Huwa Namsubiri Mwanangu Mwakatobe 2 Na hajawahi Niangusha 😂😂😂 UBAYA UBWELA 😅😅

  • @HamidaHamisi-l5p
    @HamidaHamisi-l5p Місяць тому +2

    Clam mnaweka Giza sana hata kama uwalisia umezidi sasa hatuoni hata sura zenu zaidi ya sauti maombi yangu mrekebishe usiku kusiwe Giza sana tunapata tabu kuwaona jaman

  • @joshuanicky45
    @joshuanicky45 Місяць тому +134

    Subira hubuta heri nimesubiri mwishowe imetoka wapi like za clam vevo wadau😂😂

  • @Sky_Tv-24
    @Sky_Tv-24 Місяць тому +36

    Kama umekua hapa week mzima kama mimi ukigojea snake boy EP 31 gonga like ❤

  • @millicentluvai1652
    @millicentluvai1652 Місяць тому +79

    woow finally,,,wa2 wangu wa 🇰🇪c mpite mki kiss comment

  • @AndrewKatabuhaga-pv6dg
    @AndrewKatabuhaga-pv6dg Місяць тому +4

    Zinga Fala Sanaa, et ubaya ubwela😂😂😂😂😂😂😂

  • @wilfredroberttv841
    @wilfredroberttv841 Місяць тому +6

    Kama umemsikia zinga akisema ubaya ubwela nipe Tano 😂😂

  • @KeziaLucas-x7d
    @KeziaLucas-x7d Місяць тому +27

    Jamn Zumba ni Malaya sana😂😂😂

  • @bableey192
    @bableey192 Місяць тому +31

    UBAYA UBWELA ndani ya snake Boy 😂🙌🏽

  • @user-dz4vl7wm5n
    @user-dz4vl7wm5n Місяць тому +30

    Kutoka Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Leo imekuwa ya kwanza

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 Місяць тому +3

    UBAYA UBWELA ❤❤❤🎉🎉 TEAM CLAM VEVO NGUVU MOJA

  • @mungwetv945
    @mungwetv945 Місяць тому +5

    Snake boy naombeni like zenu please msizingue jamani mimi ni nyoka kweli kweli

  • @Harun_kiba
    @Harun_kiba Місяць тому +14

    Kitu mzuri lazima iwe na matayarisho Bora finally snake boy is out 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @IssaAbility
    @IssaAbility Місяць тому +31

    Wa kwanźa mm kutoka Zanzibar

  • @DelachanceKiza
    @DelachanceKiza Місяць тому +18

    Wakwanza toka 🇧🇮 nipeni hâta moja ndugu zangu

  • @IssaMangala
    @IssaMangala Місяць тому +2

    Ameka ata ko Landa nga côté Oyo Nako Boma ye 🇨🇩 si tu es fier d'être congolais 🇨🇩 laisser un poil de liké ❤️ Iyi sinema Ina Enda Mbali Sasa 🇨🇩🇹🇿 ongera team Nzima

  • @user-ju9qw7ik9c
    @user-ju9qw7ik9c 29 днів тому +2

    Kazi nzuri sana Mr. Clam vevo🎉

  • @RaimamomedSaidi-wz1yu
    @RaimamomedSaidi-wz1yu Місяць тому +19

    Mtu ukiwa mzuri nimtihan,na ukiwa mmbaya pia ni mtihan 😢yan uzur wahuyo dada umemfanya aazibike kimapenzi kila mfalme analala naye 😮hivi niupendo au ndio huo mtihan?🎉🎉🎉🎉 Kazi nzur hongeren sana

  • @HassanCoyo
    @HassanCoyo Місяць тому +42

    KITU BILA KUNIOMBA ❤❤❤ clam VEVO unajua

  • @SelemaniIddy-nc1nf
    @SelemaniIddy-nc1nf Місяць тому +20

    Daaah hii.move ninzuri lakini wanafeli kitu kimoja wanachelewesha kazi sijuw tatizo nn sema fresh tutazidi kuwa karbu na chanel yako ya clam vevo ❤❤❤❤the I

  • @hemedmgomi4450
    @hemedmgomi4450 Місяць тому +2

    Dah!!!! Nmecheke xna
    Yan uyo kikono na kipala dah!!!!😂😂😂😂
    Wemetisha
    Kama m2 furan iv uku mtaan kwe2

  • @pillynaya
    @pillynaya Місяць тому +2

    hao wambea ndo wananikosha zaidi😂😂😂😂 so kwa kuwahiyana huko

  • @uzungupoint
    @uzungupoint Місяць тому +21

    Clam vevo hongera kwa kutupa simulizi nzuri hii, naomba ufahamu kuwa kuna parody linajiita jina lako linakula views za kutosha na watu wamechukizwa sana. Tafadhali, litatueni hili.

  • @JamaliUssene-di1qm
    @JamaliUssene-di1qm Місяць тому +18

    Nawakuba sana nawafuatilua mpaka mwisho ipisod

  • @zuhurahamadi9361
    @zuhurahamadi9361 Місяць тому +14

    Snake boy inazid kuwa 🔥🔥🙌
    Hongera san Clam vevo

  • @EspoirSamy-st5le
    @EspoirSamy-st5le 29 днів тому +2

    Zinga mkongo 🎉🎉 liki1000 APA kama uko mkongo

  • @wawerudavid_k254
    @wawerudavid_k254 Місяць тому +4

    Yaani huku ni kuomba tu like 😂, badala ya kumpongeza Clam na team yake kwa hii series😂😂💔

  • @user-wi1jb8mb7o
    @user-wi1jb8mb7o Місяць тому +22

    Msituchereweshee muendelezo tunawaomba sana mashabiki zenu skuiz mbacherewesha sana

  • @lizard5201
    @lizard5201 Місяць тому +89

    Nipo chonjo tunafwatilia vevo sijui shida nn mmechelewa hv ila much respect team kubwa❤❤ mm ni wapili lakn mtu wa tano ananizidi like😂😂😂

    • @filibethluena
      @filibethluena Місяць тому +1

      Nachojua Kuna kifo Cha Mzee m1 kati ya wale walioigiza

    • @angelraphael4500
      @angelraphael4500 Місяць тому

      Hee 😢

    • @willykijanaa
      @willykijanaa Місяць тому

      ​@@filibethluenaUliyahulia wapi mwenetu hayo au umekuwa KIPARA na SENGO na wewe😂😂😂

    • @jennygabriel9253
      @jennygabriel9253 Місяць тому

      @@filibethluena hatimaye kipara wa kwnye cmnt umepatkana😅😅😅

    • @AishaJafari-sh4pe
      @AishaJafari-sh4pe Місяць тому

      😂😂😂😂😂​@@jennygabriel9253

  • @SusanChidodo
    @SusanChidodo Місяць тому +33

    Aliegunduaga zumba kabaka Kim gonga like ..

    • @joymasak
      @joymasak 28 днів тому +1

      Ni yenyee maa anajihic xn

  • @bashirlingardbwo6866
    @bashirlingardbwo6866 Місяць тому +2

    Mke w mtukufu ana upwiru anatka miti (welcome Kenya🇰🇪)

  • @aganzeroger
    @aganzeroger Місяць тому +2

    Mwakatobe akomi deko nabiso 😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩mabete🎉🎉🎉

  • @SumailAbdala-lf3ii
    @SumailAbdala-lf3ii Місяць тому +45

    Wakwanza leo toka Moçambique Palma 🇲🇿🎉

  • @MohamediKalanje
    @MohamediKalanje Місяць тому +22

    Mwakatobe mpuuzi sana et ubaya ubwela

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 Місяць тому +56

    Wa kwanza team strong mko wapi 🇸🇦🇰🇪♥️💞💞💞💞💞💞 Genz hoyeeeeeeeeee team strong hoyeeeeeeeeee Niko Riyadh apa 😢😢like please 🙏😊

  • @wassisindani7993
    @wassisindani7993 Місяць тому +2

    Na furahiii Sanaa kwakutuheshimishaa Sisi wakonkomaniiii kWalugaa yetuu ya Congo DRC. Lingala,, Asante zinga

  • @sarahnjeri-tz8eu
    @sarahnjeri-tz8eu Місяць тому +3

    Wangapi tulijiongelesha vile hii tamthlia imeishia mahali pa kuenjoy zaidi😂😂😂 Clamvevo kazi safi sana 🎉🎉🎉

  • @levispaulnthesi6990
    @levispaulnthesi6990 Місяць тому +21

    Leo niko ndani ya top ten nipeni na likes Nairobi Kenya 🎉❤

  • @saidihysn2212
    @saidihysn2212 Місяць тому +44

    Tunataka kuona pambano la Zinga na Clam vevo wengi siwaelewi hata kidogo lakn Clam na Mwakatobe waigizaji waziri

  • @eliaselly915
    @eliaselly915 Місяць тому +18

    Good movie nawapenda sana team clam vevo
    Elias elly from Burundi 🇧🇮🇧🇮

  • @ErnestoSaideRafaelSaideRafael
    @ErnestoSaideRafaelSaideRafael Місяць тому +5

    Clam anazidi anaka mda muingui alafo analusha to mojamoja angalau ukiwa unatulushia mbili basi ❤❤❤❤

  • @anthonylukala3637
    @anthonylukala3637 Місяць тому +1

    Jamani tusikae kwa kumba like tu tunahitaji mawaiza kuhusu hii series wana chelewa sna weak mbili hatuoni kitu daaah sio poa

  • @wakasimadiatz
    @wakasimadiatz Місяць тому +7

    Mimi sitaki lik wala chochote ispokua nilitaka niombe kwa clam naomba kwaniaba wa mashabiki wako wote kwamba mnaichelewesha sana bas mngejaribu angalau bas kwa wiki mkatoa season mbili maana tunachoka na kuisuburia hadi tunakata tamaa, kwa niaba ya mashabiki niseme asante

  • @user-cu9mo3rf4t
    @user-cu9mo3rf4t Місяць тому +35

    Mimi wa pili leo nataka like za wa Congo vraiment

  • @dyloke
    @dyloke Місяць тому +71

    Aujui mimi ni wangapi ila naomba support like yako

  • @wizzyscopy-j8q
    @wizzyscopy-j8q Місяць тому +2

    😂😂💥💥clam we mnyamaaaaa sema unachelewesha kaz 2napata shid fans wakooo sema sikupingiiiii

  • @Elkapmuadi
    @Elkapmuadi Місяць тому +3

    Onngera sana kwakuingiza luga ya kwetu dr congo 🇨🇩,nasepeli makasi koyoka bandeko nanga bozo promouvoir lokota na biso.

    • @HidayaUpendo
      @HidayaUpendo Місяць тому

      😆😆😆😆😆 jogoo apandi mtungiii

  • @anualhemed6808
    @anualhemed6808 Місяць тому +17

    Halafu mnachelewa sana halafu mnaweka dakika chake sana

  • @Lion_Boy
    @Lion_Boy Місяць тому +26

    Wa kwanza toka congo 🇨🇩, likes please

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 Місяць тому +156

    Ambao tunaokubali Series SNAKE..BOY...tujuane kwa like japo kuwa inacheelewa kutoka....😂😂😂❤❤❤

  • @DjelitoLumuna
    @DjelitoLumuna 27 днів тому +1

    Nimefurahi kwa luga Ya kongo ❤❤❤

  • @seifzayumba
    @seifzayumba Місяць тому +2

    Ndio maan naipenda hii move ❤❤❤❤

  • @NGOMA_MUSIC1
    @NGOMA_MUSIC1 Місяць тому +10

    🇨🇩🇨🇩 t'es vraiment méchant mec félicitations Clam un jour je voulais te voir au Congo mon frater 🇨🇩

  • @andrewcb9045
    @andrewcb9045 Місяць тому +6

    Comment number 131 ni mimi kutoka kenya...kweli clam kenya 🇰🇪 Twakupendaa

  • @Carlos_furaha
    @Carlos_furaha Місяць тому +22

    Kaz inaendelea !! 🎉🎉Leo nimewah like kwa clam na kasoso 👍👍

  • @OmaryHame-i2j
    @OmaryHame-i2j 22 дні тому +1

    UBAYA UBWELA...nakubal #Mwakatobe

  • @user-gv6iz2wd6d
    @user-gv6iz2wd6d Місяць тому +3

    Kizaz mkuu❤❤❤❤❤

  • @DPShabani
    @DPShabani Місяць тому +9

    Clam vevo bwana mambo yako yanatisha kweli, endelea baba tuko nyuma yako tu.

  • @DIRECTORJOHN435
    @DIRECTORJOHN435 Місяць тому +11

    Tunashukuru Mungu kwa kupata ep 31❤❤❤

  • @SuhailKhan-p2i
    @SuhailKhan-p2i Місяць тому +25

    Sidhan Kama Mnasikiliza Maoni ya VIWERS wenu.. Mnailaza sana hii tamthilia. Inafika wakat watu tunakosa hamu ya kuifatilia tena...plz zingatieni Maoni ya Watu

  • @user-bp6gm6un1t
    @user-bp6gm6un1t Місяць тому

    Clam vevo gonga vyuma baba maaana huuu moto 🔥 nomaaa
    Sema jaribu kuachia vitu mapema brother please. ❤ support toka SOUTAFRICA

  • @user-no9hg9kr6v
    @user-no9hg9kr6v 2 дні тому +1

    Mpaka snake boy Kuna UBAYA UBWERA 😂😂

  • @yuleflexboy494
    @yuleflexboy494 Місяць тому +27

    Wa kwanza leo kutoka Cape town

  • @AishaAbdallah-lm4ic
    @AishaAbdallah-lm4ic Місяць тому +10

    Waa Uko vzr clam vevo.....Wanisho from Qatar 🇶🇦

  • @StevenMakanja
    @StevenMakanja Місяць тому +13

    Duuu hatimae wametowa baada ya kusubili mda mrefu❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @bulimwenguichinge7431
    @bulimwenguichinge7431 Місяць тому +1

    Tuna kukubali. Ila picha zako zinachukuwa muda mrefu kutoka. Hivyo utapoteza baathi ya waamgaliaji kuto tazama zingine picha zako. Baadaye ya hii kuisha.
    Jitaidi kubadilika. Ni feston toka MAREKANI.

  • @meresianaunami8337
    @meresianaunami8337 29 днів тому +2

    Nmependa kipara alvyopata mmbea zaid yke😂😂

  • @TitusMwange
    @TitusMwange Місяць тому +13

    VEVO na team yako nzima mnanifurahisha sana