William Yilima WEWE NI BABA YANGU {official Video}

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 90

  • @winniehumble1493
    @winniehumble1493 Рік тому +1

    Ahsante Mungu kwa kuwa hujawai niacha🙏

  • @CyrusCyruskipchirchir-gk6jp
    @CyrusCyruskipchirchir-gk6jp 7 місяців тому +2

    I love your songs so much 🎉🎉🎉🎉

  • @DoreenAmimo
    @DoreenAmimo 3 місяці тому +2

    the people l love most they will lieve me but god will never live or abandon me hes has always been with me thank you lord you are my strengh

  • @margretkafedha930
    @margretkafedha930 Рік тому +2

    Amen ubarikiwe mtumishi nice song❤❤❤❤

  • @WemaBeatrice-yi2gt
    @WemaBeatrice-yi2gt 9 місяців тому +1

    Baba yangu😊😊

  • @GedeoNdayikengurukiye
    @GedeoNdayikengurukiye 7 місяців тому +1

    William napenda nyimbo zako❤❤❤❤❤❤

  • @LenadFesto
    @LenadFesto Рік тому +1

    Mungu azidi. Kukubaliki nyimbo zinatia mguvu

  • @sylviacilly6572
    @sylviacilly6572 Рік тому +2

    Nimetoa machozi niliposikiza huu wimbo asante Mungu kwa wema wako

  • @viviankitum1563
    @viviankitum1563 7 місяців тому +1

    This gonna be my testimony too ... even if God doesn't give you what you prayed for, He still remains to be God No matter what

  • @emanuelkitiku690
    @emanuelkitiku690 2 місяці тому

    Amina wewe ni baba yangu
    Haujawahi niacha Amina

  • @marymasesemusic3802
    @marymasesemusic3802 Рік тому +1

    Emen wewe ni Baba yangu

  • @Princemijele
    @Princemijele 4 місяці тому +1

    Jehova is our dad

  • @lucyziri4960
    @lucyziri4960 Рік тому

    Yes God..haujawainiacha tangu kuzaliwa...

  • @MusaMwanaindi
    @MusaMwanaindi Рік тому

    Nimeguswa na niwajibu wangu kurdi kwa mungu

  • @millicentmuia5652
    @millicentmuia5652 Рік тому

    MUNGU Ni Baba awezi kutuacha siku zote

  • @LarenLawrence-lw1lu
    @LarenLawrence-lw1lu Рік тому +1

    Tuzidi kuzonga na yeye baba wetu ,❤️❤️🔥🔥 William Yilima gospels ministries 🙏🤲

  • @nellyakinyi6392
    @nellyakinyi6392 Рік тому

    Ooooh halleluyah 😢😢umenitoa mbali dady

  • @hilarytowett6738
    @hilarytowett6738 Рік тому

    Pokea zalamu kutoka kenya.mungu wa mbinguni akubariki sana bro

  • @CentrineNasimiyu-v5j
    @CentrineNasimiyu-v5j 8 місяців тому +2

    Eman wewe ni baba Yangu

  • @abbasniyongabo2539
    @abbasniyongabo2539 Рік тому +2

    Nayiona inataka ije😊😊😊😊

  • @michaelkamtupe1970
    @michaelkamtupe1970 Рік тому +7

    Wimbo Huu Unanipa nguvu Za kusonga mbeleeee hakika wewe ni Baba

  • @anneeregae-in7tr
    @anneeregae-in7tr Рік тому +1

    Hakika Mungu ni baba mkuu

  • @selphinebulinda3302
    @selphinebulinda3302 Рік тому +1

    Indeed God you have never left me, you have always been on my side all the days of my life....thank you God 🙏🙏

  • @LillianYatundu-yh2cn
    @LillianYatundu-yh2cn Рік тому

    Ameeeeeen. Baba yangu wa milele na kupenda saana🙏

    • @emilysang9686
      @emilysang9686 Рік тому

      Kweli wewe ni baba yangu, barikiwa sana William.Nyimbo zako ni za baraka.❤❤❤

  • @SharonMagero
    @SharonMagero Рік тому +1

    Kwa kweli mungu n baba yangu

  • @Harisonwaswa
    @Harisonwaswa Рік тому

    God bless you great singer am highly humble to meet you at Nzoia sugar in Bungoma County pele Healing Center under Bishop Edward Fundi

  • @lucypaulo9238
    @lucypaulo9238 Рік тому +3

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @jennylopez285
    @jennylopez285 Рік тому

    Wow,,,I'm blessed.

  • @kennedymboya7859
    @kennedymboya7859 Рік тому

    Amina mtumishi mbarikiwa Sana

  • @EuniceNjeri-dg4be
    @EuniceNjeri-dg4be 9 місяців тому

    The blessings of God be oupn yuo😊

  • @hamisihassan8060
    @hamisihassan8060 Рік тому +1

    Bwana Yesu asifiwe wapendwa wa Mungu..Ahsante mchungaji kwa nyimbo nzuri ya kutia moyo..Abarikiwe kila mmoja anayesikiliza nyimbo hii katika jina la Yesu Kristo mwana wa Mungu aishie milele..

  • @johnmizunguofficial
    @johnmizunguofficial Рік тому

    Hakaki mara ya kwanza kuusiia Wimbo huu nililia sana MUNGU AKUBARIKI SAANA KAKA yangu

  • @gabriellastborn254
    @gabriellastborn254 Рік тому

    Watching from GPG AFRÍCA group 🎉🎉🎉 Mungu hawezi kuacha walio wake

  • @geoffreytheprincemwimbaji9343
    @geoffreytheprincemwimbaji9343 Рік тому +1

    GPG AFRICA REPLYING
    WALE TUMEFIKA WAPI LIKES .. NICE SONG

  • @EstherNaliaka-k7s
    @EstherNaliaka-k7s Рік тому

    Ubarikiwe mtumishi🙏🙏

  • @marymonicah9522
    @marymonicah9522 Рік тому +3

    So blessing song, more grace,.. Wew Ni baba yangu Mungu usiniache

  • @nikorausnchinga8203
    @nikorausnchinga8203 Рік тому +1

    Ubalikiwe kweli ni baba yangu🎉❤

  • @jumachango
    @jumachango Рік тому

    Wow more grace.... hakika huu wimbo unanibariki sana nakunitia nguvu

  • @violetyumelo
    @violetyumelo Рік тому

    Wewe ni Baba yangu Jehovah hujawahi niacha tangu kuzaliwa🙏🙏🙏 Ubarikiwe my pastor My daddy

  • @eunicenyaboke86
    @eunicenyaboke86 Рік тому +3

    Sitachoka kusubiri 😊

  • @rhodahwambulwa6213
    @rhodahwambulwa6213 Рік тому

    Amen wimbo huu umenipa tumaini be blessed man of God

  • @JkoR-kp9nv
    @JkoR-kp9nv Рік тому

    Nyimbo zako unibariki tuu sana na tunitia moyo🙏🙏

  • @isayajoseph254
    @isayajoseph254 Рік тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi Kwa wimbo mzuri sana

  • @emanuelsinkonde
    @emanuelsinkonde Рік тому

    Amina mtumishi ubarikiwe Sana Naomba nifanye kazi na wewe hata nyimbo 1

  • @faithkingoo4276
    @faithkingoo4276 Рік тому +2

    So blessing this wat keeps mi always.WEWE NI BABA YANGU

  • @brendawamalwa4749
    @brendawamalwa4749 Рік тому +3

    Nyimbo zako zanitia Moyo ❤

  • @yunispatrick8613
    @yunispatrick8613 Рік тому +1

    Huwa nainuliwa sana na huu wimbo, Glory be to God,More Grace Man of God 🙏 🙏

    • @william-yilima
      @william-yilima  Рік тому

      Asante, utukufu kwa baba yetu wà mbinguni

    • @william-yilima
      @william-yilima  Рік тому

      Amina sana Wana WA Mungu,asanteni kwa comments zenu

    • @yunispatrick8613
      @yunispatrick8613 Рік тому

      @@william-yilima nyimbo zako zote huwa zinanisongesha karibu zaidi na utukufu wa Mwenyezi Mungu 🙏🙏,Neema ikutoshe siku zote unapoeneza injili yake 🙏🙏

  • @imeldangei2016
    @imeldangei2016 Рік тому

    Thank you for recognizing us,Karibu tena G7 Wonders hotel.

  • @PST.Bennie
    @PST.Bennie Рік тому

    Hakika huyu Baba asaidiaya sana

  • @SelestineNamwano
    @SelestineNamwano Рік тому +2

    God🎉🎉🎉🎉bless you🙏🙏

  • @marywanyama2216
    @marywanyama2216 Рік тому

    Kweli mungu ni mwaminifu kwetu akuna siku ameniwacha kwenye shida na kwa raha uko nami hakika imekumbusha mbali apo mungu amenitowa

  • @NeemaHhayuma
    @NeemaHhayuma 10 місяців тому

    Mungu afungue milango zaidi kwako mtumishi William Yilima

  • @periskaara1940
    @periskaara1940 Рік тому +3

    Ooh this one is soo good🙌

  • @leonkangu2850
    @leonkangu2850 Рік тому +1

    Amen amen amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu.

  • @phoebe9196
    @phoebe9196 Рік тому +2

    Amen

  • @Zahra-i5h6k
    @Zahra-i5h6k 9 місяців тому +1

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @musawillison
    @musawillison Рік тому

    Safi sanaaaa

  • @cynthiajoyce4574
    @cynthiajoyce4574 Рік тому

    God blessed you

  • @Elishaponde
    @Elishaponde Рік тому

    unanibariki sana kka

  • @eliascharles6414
    @eliascharles6414 Рік тому

    Amen wiliam

  • @Zahra-i5h6k
    @Zahra-i5h6k 11 місяців тому +1

    Amen 🙏

  • @KINGVANOMUSIQ
    @KINGVANOMUSIQ Рік тому

    Kerp pushing

  • @TatoTato-y7d
    @TatoTato-y7d Рік тому

    Ameen Ameen 🙏🙏

  • @michaelkamtupe1970
    @michaelkamtupe1970 Рік тому +6

    WEWE NI BABA YANGU. TUNASUBIRI KWA HAMU KUBWA SANA HII VIDEOS HAKIKA NAJUWA KUPITIA WIMBO HUU WAGOJWA WATAPONA 🙏

  • @esthermiheso3789
    @esthermiheso3789 Рік тому +1

    Amen 🙏🙏🙏 be blessed

  • @hawaalbalushi6189
    @hawaalbalushi6189 Рік тому +1

    Amen🙏Amen❤️❤️🙌🙌🙏🙏❤️❤️

  • @hellenkianira8287
    @hellenkianira8287 Рік тому

    Amen 🇧🇪🙏🙏🙏

  • @paulineaule1755
    @paulineaule1755 Рік тому

    Amen 🙏 be blessed

  • @pamj9v
    @pamj9v Рік тому +1

    Amen amen 🙏🙏🙏❤

  • @MercyJepkemboi-kj9bh
    @MercyJepkemboi-kj9bh Рік тому

    Amen🇰🇪🇰🇪

  • @CatherineMuthoni-g1o
    @CatherineMuthoni-g1o Рік тому

    Jesus

  • @Kevinkipyego224
    @Kevinkipyego224 Рік тому

    Highly motivated song

  • @EverlynMwavi
    @EverlynMwavi 24 дні тому

    ❤❤

  • @anitalumumba5443
    @anitalumumba5443 Рік тому

    Barikiwa mtumishi

  • @maurinemukolwe8541
    @maurinemukolwe8541 Рік тому +1

    Amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @namukurubrenda5101
    @namukurubrenda5101 Рік тому

    Amen Amen 🙏🙏🙏

  • @carolinejbaile817
    @carolinejbaile817 Рік тому

    Amen

  • @nyamburagachagu8317
    @nyamburagachagu8317 Рік тому +1

    Amen

  • @jenipherkasaine2133
    @jenipherkasaine2133 Рік тому

    Amen

  • @JoelKemei-g8z
    @JoelKemei-g8z Рік тому

    Amen