BALAA LA RAIS WA TLS (MWABUKUSI) MBELE YA RAIS SAMIA NA SPIKA TULIA, ATEMA CHECHE UTEKAJI BILA WOGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

КОМЕНТАРІ • 22

  • @danielkanso
    @danielkanso 4 дні тому

    Big up mzee wetu wa kusimamia haki

  • @magrethsengati2564
    @magrethsengati2564 6 днів тому +1

    Safi sana mwabukusi point zimeeleweka🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @VITUSPROTUS-wh4mn
    @VITUSPROTUS-wh4mn 6 днів тому +1

    Mwabukusi kwa confidence uliyonayo unadeserve kbs kuwa national president. Congratulation🎉

  • @EmmanuelyMwankusye
    @EmmanuelyMwankusye 4 дні тому

    Jamaa kapoa sana yale tulio tegemea kutoka kwake kiukweli hayapo tena. Katiba mpya ,Tume huru ya uchaguzi ajagusia hata kdgo

  • @TeamJONGOO
    @TeamJONGOO 4 дні тому

    Huyu naye anazingua mbn hajakazia katika tendo la utekaji

  • @FintanMkeshi
    @FintanMkeshi 6 днів тому +6

    Hakupaswa kua rais wa wanasheria anapaswa kua rais wa nchi

  • @mossessimon6572
    @mossessimon6572 6 днів тому

    Yuko vizuri sana jamaa

  • @WachunyaTebeka
    @WachunyaTebeka 6 днів тому

    ALMIGHTY Akubaliki sana Mwambukusi wewe jasiri sana na unazungumza kwa fact sana.

  • @MustaphaSeleman-z7c
    @MustaphaSeleman-z7c 5 днів тому

    Alf bikubw kamuelew sana😂😂

  • @gabrielmahala9848
    @gabrielmahala9848 6 днів тому +1

    Umelamba asali hukuzungumzia katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

  • @HajiMwita-x4t
    @HajiMwita-x4t 5 днів тому

    Hoja nzito

  • @Mwafrika2021
    @Mwafrika2021 6 днів тому +2

    Mwabukusi wewe ni kiboko, unafaa kuwa Rais wa nchi

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 6 днів тому

    Kutowa elimu kwa uma ni bora sababu wengi hatujuwi na kufata hakizetu na kusababisha unyonyaji na ubadhirifu wa aina mbalimbali .

  • @msokainno
    @msokainno 6 днів тому

    huyu sio Mwambukusi kabla ya TLS

  • @johnstonemasabile4620
    @johnstonemasabile4620 6 днів тому

    Hiliii jamaaa lichapeee kaziiii baaadae liwe likuuu la nchi

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 5 днів тому

    Katiba mpya

  • @msokainno
    @msokainno 6 днів тому

    huyu ndio anatakiwa awe mgombea kupitia chadema

  • @BichongolaInvestment
    @BichongolaInvestment 6 днів тому

    HOTUBA NZURI SANA

  • @BahatiJoseph-p7s
    @BahatiJoseph-p7s 6 днів тому

    Duuuu mwamba unajua kuwasemea watanzania na tls wenzako hio ndio maana halisi ya muwakilishi

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 6 днів тому +2

    Unashindwaje kuwa fluent unaposoma hotuba mbele ya wageni wazito kama Rais ndugu Mwabukusi? Usomaji wako unakatakata kama vile uko kwenye low frequency na ni kama umeandikiwa tu hiyo hotuba bila kwanza kuipitia kabla kuja kuisoma!

    • @priscakomba6798
      @priscakomba6798 6 днів тому +2

      Una shidah Binafsi na jamaa huyu maana hoja yako ni mfu kabiisa