ANGA LA KIMATAIFA SIMBA SIO KINYONGE HATUA YA MAKUNDI/ REKODI ZAO CAF HIZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • KWENYE anga la kimataifa Simba katika mechi za hatua ya makundi ambazo walicheza hivi karibuni wakiwa nyumbani rekodi zinaonesha kuwa hawakuwa wanyone walikuwa wakipeta katika nyakati ngumu.
    Licha ya rekodi kuwa upande wao bado haina maana kwamba kete yao ijayo itachezwa kwa rekodi dhidi ya Al Ahli Tripoli dakika 90 zitaamua nani atakuwa nani Uwanja wa Mkapa, Septemba 22.

КОМЕНТАРІ •