Wandani wa rais Ruto wasema watakarabati matokeo ya uchaguzi wa 2027 kuhakikisha ushindi wake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 91

  • @davismaina543
    @davismaina543 6 годин тому +9

    Wameshajua Ruto hawezi shinda

  • @mutwolabraham1242
    @mutwolabraham1242 6 годин тому +14

    This men are drunk with power

  • @Digitek5300
    @Digitek5300 6 годин тому +12

    tunataka iebc kwanza

  • @kilelamniko9678
    @kilelamniko9678 5 годин тому +6

    Yaani ile maandamano Sasa tutapiga, atakimbia kutoka state house mbaya sana

  • @jeremiahnganda6146
    @jeremiahnganda6146 6 годин тому +6

    I doubt if Ruto ever imagined how hot this seat can get.

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 6 годин тому +11

    Oscar NI matako😢😢😢😢😢

  • @kebasomoraraa
    @kebasomoraraa 27 хвилин тому +1

    They have smelt a rat. Things are boiling nicely. Ruto will not reach 2027.

  • @patohpro
    @patohpro 7 годин тому +12

    God has got the power for him to rule one term sio wao wataamua

  • @BrashBrayo-j9z
    @BrashBrayo-j9z 3 години тому

    watajua hawajui ata akiiba labda asiishi Kenya aishi US,2027 my first time to vote no Ruto

  • @martinmwangi4959
    @martinmwangi4959 5 годин тому +4

    Kapsabet people na hope mmesikia
    Hata Sudi asirudi

  • @silvamoz6299
    @silvamoz6299 5 годин тому +1

    Ni sawaa.

  • @leahgithua6728
    @leahgithua6728 3 години тому

    Kwani ruto utafikisha 2027😂,sioni ukifisha hapo

  • @willdonjay2549
    @willdonjay2549 6 годин тому +4

    I hope our courts are watching

    • @beatriceotunga
      @beatriceotunga 5 годин тому

      Yes but they still won't do anything for the people

  • @J1n2891
    @J1n2891 4 години тому

    Venye tunaomba Mungu, mbingu zifunguke utawala wa Mungu utawale hii inchi, wakenya wenzangu tuitane Mbinguni na tumpende mungu, ndio aijuae ya kesho

  • @enockmasinde4753
    @enockmasinde4753 5 годин тому

    Waaaaa kenya wanaota tu siasa

  • @Zwangendaba97
    @Zwangendaba97 5 годин тому +1

    ruto must go

  • @edwinmwangi-yn4wm
    @edwinmwangi-yn4wm 5 годин тому +1

    Mkiimba mtajua kenya ni ya wakenya siyo ya wakalenjin,sudi wewe ni ngombe ya kawainda tu,utanjionea vyenye huyo ruto wenyu mkora tutamcheza,kifo cha nyani kikifika miti yote itateleza,Mark my word.

  • @Power-In-Light
    @Power-In-Light 4 години тому

    The days of the wicked be cut short in Jesus Christ name. God of justice is in control!

  • @mosesluta8563
    @mosesluta8563 5 годин тому

    Wajaribu

  • @jozemwas2299
    @jozemwas2299 5 годин тому +2

    Zile kura zitapingwa atajaribu kuiba ashindwe

  • @lightingtheworld1
    @lightingtheworld1 4 години тому

    Time is ticking..,..

  • @dennismutugi-r4f
    @dennismutugi-r4f 7 годин тому +3

    Maana yake

  • @StephenNgomo-xm5xo
    @StephenNgomo-xm5xo 3 години тому

    Mtajua hamjui ni sisi tutaanua kuiba ni gumu na muache hizo incitement hatuezi kubali kuendelea Ivo na shida hizi. Hamuamini ruto ni One term president??? 😂😂😂😂😂😂😂 Wah...kweli you have sensed defeat

  • @mathekahenri7008
    @mathekahenri7008 5 годин тому +1

    This will be the battle between democracy and barbarism. Kenyans versus their enemies.

  • @josephkimondo1315
    @josephkimondo1315 4 години тому

    Kenya sijui iyo time mnataka watu wakufe wangapi

  • @Timohprezoh
    @Timohprezoh 4 години тому

    Mhakikishe basi kama nyinyi ni wapiga kura, kuna vile mnajisikia sana

  • @Power-In-Light
    @Power-In-Light 4 години тому

    Audi for IEBC chairman

  • @Mr.FocusTrendingUpdates
    @Mr.FocusTrendingUpdates 4 години тому

    Ukweli inauma

  • @JohnNdungu-iz6tf
    @JohnNdungu-iz6tf 6 годин тому +2

    Kiburi

  • @georgemaina-go1gm
    @georgemaina-go1gm 6 годин тому +3

    😂😂😂😂ata wakojoe haiwezekani

    • @GdwnI-f1x
      @GdwnI-f1x 5 годин тому

      Uruke juu, uende kando ruto hadi. 2032. Uhuru na kibaki walikuwa wakilazimisha na inafanyika.

    • @georgemaina-go1gm
      @georgemaina-go1gm 5 годин тому

      @GdwnI-f1x hii ujinga ndiyo tunataka kutoa Kenya

    • @GdwnI-f1x
      @GdwnI-f1x 5 годин тому

      @@georgemaina-go1gm maina, usijali ruto is the president of Kenya, same as Uhuru or Kibaki were, and they ruled with iron fist. Unakumbuka river yala every month? Were you asleep? You couldn't see what's happening? Don't be a hero, of today. Let President rule in peace. Mko na kelele mingi, ama ni vile anafanyia wakenya wengine maendeleo? Tumeshawajua watu wabinafsi na ukabila. Hii ukabila ndio tunataka kuondoa Kenya.

    • @georgemaina-go1gm
      @georgemaina-go1gm 5 годин тому

      Umeanza kua tribal

    • @GdwnI-f1x
      @GdwnI-f1x 4 години тому +1

      @@georgemaina-go1gm hapana ni vile mambo iko.

  • @paparonahtv
    @paparonahtv 2 години тому

    Huyu mtu akuna mtu anampenda ata kidogo

  • @PaulineNyambeki
    @PaulineNyambeki 6 годин тому

    Kazi ya huongo.

  • @Timohprezoh
    @Timohprezoh 4 години тому

    Hazungumzi bungeni lakini ako na kelele mashinani hatuyasahau hii mkuu 😂

  • @joshuaomaya2262
    @joshuaomaya2262 6 годин тому +1

    HAMUFIKIRI KUHUSU WANAICHI YENYU NI WIZI TUU NDIYO IKO KWA AKILI ZENYU NDOGO.

  • @catherinemusyimi8591
    @catherinemusyimi8591 6 годин тому +1

    Rutó watu wako wanakuangusha

  • @charitymwende1362
    @charitymwende1362 4 години тому

    We wait mungu mbele😅

  • @Rehobothjabez
    @Rehobothjabez 5 годин тому

    Kamenika kunuka, miti imeteleza kweli😂. This time ata kura ya kuiba hakuna na mkidhibutu mtang'oka na mizizi. This time is Kenyans against Kalenjins, mtatii.

  • @DANIELODHIAMBO-m8p
    @DANIELODHIAMBO-m8p 3 години тому

    Let them try we reset this country back to default settings

  • @E-learning2025
    @E-learning2025 4 години тому

    My prophesy comes true 😂

  • @kilwakewebi1978
    @kilwakewebi1978 6 годин тому +1

    Kaongo eeeh eeeh

  • @johnmbugua6499
    @johnmbugua6499 6 годин тому +3

    Tupatane kwa debe

  • @faithngigi3899
    @faithngigi3899 5 годин тому

    Ruto you are 0ne term president

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 5 годин тому

    Kwisha 🙆🙆🙆

  • @billclinton9892
    @billclinton9892 6 годин тому +1

    From where i sit if it will take my last breath for him to take the second then it shall not be me

  • @yussufahmed136
    @yussufahmed136 5 годин тому

    Kwanza unda IEBC waoga nyinyi

  • @georgemaina-go1gm
    @georgemaina-go1gm 6 годин тому +1

    Mr dipples ako na mdomo ata yeye ni one term 😂

  • @jefwafikirini
    @jefwafikirini 4 години тому

    Xasa class three drop out anaongea aje mbele ya watu

  • @fredrickmuiva1618
    @fredrickmuiva1618 5 годин тому

    We are the one who vote bure kabisa we will see

  • @ahmadmahmoud6139
    @ahmadmahmoud6139 6 годин тому

    Kweli

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 5 годин тому

    Wizi mnaupanga nje nje!!!

  • @kagoripeter9800
    @kagoripeter9800 4 години тому

    Let them dare to rig

  • @HillaryKoech-pk2se
    @HillaryKoech-pk2se 5 годин тому

    Apo sasa... kibaki alikarabati in 2007, uhuru Kenyatta akakarabati in 2013, and 2017... tulizeni boli Mambo Bado

  • @mr.innovator3470
    @mr.innovator3470 5 годин тому

    It is too early to start politicking. Kenya kwisha are in panic mode. They are angry that the ground is hostile and that they are not going to win.

  • @mohammedkiplagat
    @mohammedkiplagat 5 годин тому

    Akuna kitu kama iyo nyumbani my friend

  • @SheeMaryam.M
    @SheeMaryam.M 6 годин тому +4

    Everything has a starting point, ata amekuwa rais wa kwanza kutimua dp wake , amekuwa wa kwanza ku adubt watoto, he's the first to be voted by his citizens as a corrupted leader in the world na atakuwa wa Kwanza kuwa one term president.. na hakuna katiba imesema lazima lazima term 2 so wasituletee

  • @zakayomwamba7475
    @zakayomwamba7475 5 годин тому

    With Baba out of political scene their plan might succeed.The current oppositionists can't unleash sufficient terror to deter Ruto's scheme.

  • @shemmutuku1943
    @shemmutuku1943 5 годин тому

    Kukarabati?

  • @Wekeaudi-hc3cp
    @Wekeaudi-hc3cp 4 години тому

    Eti one term, two term, three term where?

  • @ahmadmahmoud6139
    @ahmadmahmoud6139 6 годин тому

    rais ukubali usikubali utapiga 15 inshallah chakula kimejaa mitaani akina walaji wataumia sana

  • @kadzitsacharo1465
    @kadzitsacharo1465 6 годин тому

    Mybe uibee

  • @zakayomwamba7475
    @zakayomwamba7475 5 годин тому

    That explains why they want the veteran trouble maker Baba to be outside the country.

  • @kk.spirit
    @kk.spirit 4 години тому

    I doubt God wants any good for this country if Sudi's will ever happens

  • @Bru-q3r
    @Bru-q3r 5 годин тому

    Ruto thought presidency is a holiday; all he does is complain.

  • @ClintonAmianda-o2z
    @ClintonAmianda-o2z 6 годин тому

    Kama unadai pistol niambie coz vile tunaona😢

    • @GdwnI-f1x
      @GdwnI-f1x 5 годин тому

      Wachakutishia president na bunduki wewe mijinga.

  • @anwarabdi4955
    @anwarabdi4955 6 годин тому

    Kwanza hawataki kuweka IEBC ili ikifika election wasongeshe mbele ruto ametuona wajinga kabisa

  • @anwarabdi4955
    @anwarabdi4955 6 годин тому

    My friends ile kiburi wako nayo hawataamini 2027

  • @djvitex948
    @djvitex948 6 годин тому

    Kinyitii

  • @fredrickmuiva1618
    @fredrickmuiva1618 5 годин тому

    Sakaja nonsense

  • @trendz_2548
    @trendz_2548 5 годин тому

    Washamuuza tumejua ataiba

  • @noahmutuainteriors1462
    @noahmutuainteriors1462 6 годин тому +1

    Ruto ten strong

    • @walteralulu8483
      @walteralulu8483 5 годин тому

      Kenya imesimama juu ya Kaongo😂😂. Anafaa aende kenya tusonge mbele

  • @iddsadi831
    @iddsadi831 5 годин тому

    Niliwaambia if we want to take Kenya back we have to topple the political class,

  • @RobertKamuri
    @RobertKamuri 6 годин тому +1

    Are you sure zakayo will finish this first time

  • @mohammedkiplagat
    @mohammedkiplagat 5 годин тому +2

    Akuna kitu kama iyo nyumbani my friend