Rais Kenyatta amsuta naibu wake William Ruto

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 414

  • @peterwaweru2723
    @peterwaweru2723 2 роки тому +47

    Ya uhuru kumi imeisha, Sasa tuko kwa kumi ya Ruto 💯 Mt Kenya

  • @peterkimani8005
    @peterkimani8005 2 роки тому +12

    Kumi ya uhuru kumi ya Ruto

    • @africanlion3281
      @africanlion3281 2 роки тому

      Dictator Ruto ni wewe una chagua pekoe? V🤔🤔

    • @peterkimani8005
      @peterkimani8005 2 роки тому +1

      @@africanlion3281 ngojea tarehe tisa wewe pea baba kura yako mimi nipee Ruto yangu tuwe draw then tungsten wakenya wengine

    • @peterkimani8005
      @peterkimani8005 2 роки тому

      @@africanlion3281 yale yote tumeshuhundia haina tofauti na udictator

  • @andyandre7814
    @andyandre7814 2 роки тому +1

    His Excellency Mr President Uhuru Muigai Kenyatta

  • @hazeljelimo5995
    @hazeljelimo5995 2 роки тому +10

    Na iyo kupanda juu ya gari Dio ilikufanya ukuwe hapo

  • @emilywangui
    @emilywangui 2 роки тому +13

    Hustler nation 💪 💯 🙌 enda nyumbani Pole pole

    • @phariankhamayi494
      @phariankhamayi494 2 роки тому

      You are dreaming bwana ...kumekucha

    • @giloogilo6589
      @giloogilo6589 2 роки тому

      Hahahahaha bado kisha.ndio mwanzo

    • @africanlion3281
      @africanlion3281 2 роки тому

      Which hustler campaigns with looted millions and choppers???

  • @celineaziri9773
    @celineaziri9773 2 роки тому +1

    Hapoo I'm loving it👍😂

  • @nyaberibarongo
    @nyaberibarongo 2 роки тому +27

    Uhuru go safe Leave horses to battle go home safely

  • @lizjoseph4404
    @lizjoseph4404 2 роки тому +4

    Truth be told uhuruto were doing well before handshake, our president we love you so much but your time is almost over,just let us have a leader of our choice without any pressure

    • @expeditionquran
      @expeditionquran 2 роки тому +1

      gerara here!!!!!

    • @kennedypaul3292
      @kennedypaul3292 2 роки тому

      With goldenberg, Arror and kimwarer, loans? Acha kutuenjoy

    • @lizjoseph4404
      @lizjoseph4404 2 роки тому

      @@kennedypaul3292 if it's about corruption, all of them are corrupt even before uhuruto, saa hii adui wa Dp wanaongea ni kama Ruto ndiye mchafu wengine ni wasafi, untill proven guilty sijui makosa ya Ruto, uhuru anakasirika juu wamejaribu kumharibia Ruto lakini bado watu wanampenda bona hakuchumchagua mtu kama Matiangi au mwengine msafi, tuwaachiwe uhuru wa kumchagua mwenye tunataka

    • @kennedypaul3292
      @kennedypaul3292 2 роки тому

      @@lizjoseph4404 nobody has stopped you from electing your thief. Watu gani wanampenda, only few morons who cannot reason

  • @fredymaswimwita3091
    @fredymaswimwita3091 2 роки тому +9

    Uhuru kweli hamna parmament enemy,, Hustle Nation hiyoooooo

  • @peterngangahsc9945
    @peterngangahsc9945 2 роки тому +13

    Play your card well Mister, acha hasira na chuki, ondoka kiupole, kama kibaki, tunamheshimu...lakini ground tunqkungoja mkiwa na atwoli

  • @teresahadara5881
    @teresahadara5881 2 роки тому +1

    I love your speech

  • @janebranner6063
    @janebranner6063 2 роки тому +9

    Ruto my president,

    • @lakhibhangra4
      @lakhibhangra4 2 роки тому

      Hes going ICC

    • @phariankhamayi494
      @phariankhamayi494 2 роки тому

      Wil take him en his goons sigoi very early

    • @gshshzhh5795
      @gshshzhh5795 2 роки тому

      Ww umefanya nn.zaidi ya kufanya Kenya iwe na umaskini yote ni ww wakenya wateseka sababu yako toka uende ukanwe pombe vzr hatukutaki tunamtaka ruto uchumi wazirota Kenya Babu yako ww sikupi kurayangu ww Kenya haikua maskini umeingia ww Kenya imekua maskini yoyote ni ww utanisamee mm kurayangu Kwa ruto shukuru hiyo miaka kumi umejijenga sihaba tunakufa nakama kuku yote ni ww WAKATi wa babaako Kenya ilikua number 1 umeingia ww Kenya haiheshimiwi haitambuliki weeekapumzike bwana tuachie tujaribu Kwa ruto umetuchoshaaaaaaaaaa

  • @lucymumbimuriithi1416
    @lucymumbimuriithi1416 2 роки тому +10

    August tutakutana ndio mtajua nani atajenga

  • @nikkonicholas4541
    @nikkonicholas4541 2 роки тому +12

    Tuko ndani ya Ruto

  • @josphatgjoshuasung9090
    @josphatgjoshuasung9090 2 роки тому +4

    The problem of kenya's that forget what they were prayed for..i always support uhuru God bless u papa ..kuchukiwa n lzma na tena watu huchukia aliyependwa n Mungu

  • @kellyyobaibe4027
    @kellyyobaibe4027 2 роки тому +7

    Uhuru ametuwaste akwende ametuibia pandoras ameinvest ulaya badala awekeze kenya

  • @davidchelal2465
    @davidchelal2465 2 роки тому +10

    what have done first priority was BBI you waste our resources but endelea kutuongezea mafuta bei

  • @jacobguandaru9104
    @jacobguandaru9104 2 роки тому +25

    Rightly so. Ruto has been running his mouth for 5 years straight. No important project or policy can be attributed to him

    • @martinchombo1924
      @martinchombo1924 2 роки тому

      66666666666666665666666666⁶

    • @tukutanechuom3366
      @tukutanechuom3366 2 роки тому

      A - Azimio la kuzimia na mawe
      B - BBI
      C - Coalitions
      E- Elfu sita
      I- IEBC rig for baba
      K- Kemsa ndani ya tumbo
      ya baba and azimio
      M- maandamano
      O- Orengo/omollo bandia
      O- ouru
      P- pesa/contribution/ flower girl kalonzo baba alikula
      R- Rusha mawe ni culture
      hadi KWA soccer 😂
      S- sida bribed na sh. 6K
      T- Teargas
      Y- Y-iguru😂😂😂

    • @tukutanechuom3366
      @tukutanechuom3366 2 роки тому +1

      A deputy does not run policies anywhere in the world. Soma katiba kwanza uache kujiabisha hapa kama ng'ombe 😂 junet admission

    • @jacobguandaru9104
      @jacobguandaru9104 2 роки тому

      I have heard him say several times that he was in charge in the 1st term and that only the handshake slowed him down... what was he doing exactly?

    • @alhajikenya6335
      @alhajikenya6335 2 роки тому +1

      Ruto enriched and stole the first 5yrs. Economic development was zero. Vile uhuru amechukua Io handshake kenya has developed Isipokuwa ni Corona.
      Wanadanganya watu ati uhuru ameleta ufukara na ni Corona imechangia 😂😂

  • @johnietel7806
    @johnietel7806 2 роки тому +1

    That's true my fellow Kenyans Raira for the president

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 2 роки тому +10

    Uko na makasiriko sana mkubwa tulia utakufa na pressure kwani wewe wakati ulikua unafanya siasa ulikua unafanyia juu ya train ama

    • @wanjiruciru6237
      @wanjiruciru6237 2 роки тому +1

      Saa ya kazi ni kazi.Siasa miaka Tano,kwani ni chakula?

    • @werelawrence4686
      @werelawrence4686 2 роки тому +1

      Now let them allow miguna to come back

    • @jamesgathaiya6450
      @jamesgathaiya6450 2 роки тому +1

      @@wanjiruciru6237 yeye alianza siasa lini yake ndo ilikua chakula but ya wengine ni shinda

    • @jamesgathaiya6450
      @jamesgathaiya6450 2 роки тому +1

      @@werelawrence4686 eeeh miguna must come back

    • @phariankhamayi494
      @phariankhamayi494 2 роки тому

      Uhuru is also a human being bwana infact nimvulivu saaana ..thz goons hve been abusing him on daily basis bt yeye hunyamaza ..

  • @EDDY5918
    @EDDY5918 2 роки тому +8

    Hata ukituambia nini kura tunampa Ruto.

  • @davidkitoch6130
    @davidkitoch6130 2 роки тому +5

    Si alijiunga na Raila juzi sasa ni maendeleo gani,you will be handing him on 10/8, jubilee is dead,you chase them!!

  • @nancyflorence6641
    @nancyflorence6641 2 роки тому +1

    Hongera sna uhuru we love you and we will love you more 🙏 be blessed 🙏

  • @lokeredavid9754
    @lokeredavid9754 2 роки тому +9

    KAZI haifanywi Kwa Ulevi afadhali Kwa gari

    • @fredrickwambua2972
      @fredrickwambua2972 2 роки тому

      Drunk Uhuru is more sober than you

    • @lokeredavid9754
      @lokeredavid9754 2 роки тому

      @@fredrickwambua2972 drunken men are not sober that's why women in Central province complained

  • @peterthuku4481
    @peterthuku4481 2 роки тому +8

    Mr President the clock is ticking, and the time is running faster

    • @lakhibhangra4
      @lakhibhangra4 2 роки тому

      Yes...he has finished his two terms..while Ruto is going ICC..

    • @mosbeijackson9759
      @mosbeijackson9759 2 роки тому

      @@lakhibhangra4 ICC Iyo utaionea kwa viusasa boss

  • @ezekielomondi5680
    @ezekielomondi5680 2 роки тому +5

    Tunakubuka ukisema thuraku 💃 thuraku 💃 thuraku kumi 👊 kumi thuraku ruto kumi xaxa Mt Kenya🏘️🏘️🏘️🏘️🏘️🏘️🏘️🏘️🏘️🏘️🏘️🏘️🏘️🏘️🏘️🏘️🏘️🏘️🏘️

  • @isaacmunene9521
    @isaacmunene9521 2 роки тому +10

    Anger and lies won't help. People are set. You also lied when you told us Hon. Raila is a madman.
    You also started early and on top of cars.
    Wacha makasiriko.
    You're known to speak with frustration and anger.

    • @africanlion3281
      @africanlion3281 2 роки тому

      Na ku loot??

    • @johnwambugu6883
      @johnwambugu6883 2 роки тому

      Statues qua manenos just like kenyatta sr conspired with the colonial masters to eliminate the mau mau freedom fighters

    • @corneliusgitonga9700
      @corneliusgitonga9700 2 роки тому +1

      Bona wewe Kama rais unaegemea upande mmoja? Si ukae kando

  • @meshacksang1189
    @meshacksang1189 2 роки тому +15

    God is living and He knows everything about our Nation,,, we can't make decisions without God involvement.
    Ruto anatusiwa zaidi so He is also a good leader

  • @calistookumu7156
    @calistookumu7156 2 роки тому +24

    I love his Excellency whenever he gives his speech

    • @MUNJESHI
      @MUNJESHI 2 роки тому

      Usikue mtu wa kufuata upepo

    • @lizjoseph4404
      @lizjoseph4404 2 роки тому +1

      I loved him but now he's becoming worse, I really miss kibaki, there are some pressure somewhere and we know the reason, Kenyans will decide May God help us

    • @evanskinyanjui8217
      @evanskinyanjui8217 2 роки тому

      @@MUNJESHI Kda

  • @Rebelfarmer1
    @Rebelfarmer1 2 роки тому +9

    For now you are the driver. But watu wengine wote wanaruhusiwa kupiga siasa lakini si Ruto ?? Why ruin a launch of universal health ....bla bla by talking about Ruto....pia wamuongezea hiyo shanga ! Just do clean launch without hiyo siasa ambao we wacheza lakini mwenzako hapana. At the end of the day ... 2013- 2022 belongs to Uhuru Kenyatta ! We can mention others ...DP,babu, matiangi etc but legacy ni yako.

    • @josephinemogere8618
      @josephinemogere8618 2 роки тому

      UKWELI UNAUMA.

    • @johnmisiko6045
      @johnmisiko6045 2 роки тому

      The only main development that have seen after Handshake is increase in price of commodities like Fuel and Fertilizer to double price weeeeeeeee my fellow Kenyan.

  • @ericsitati2047
    @ericsitati2047 2 роки тому +6

    It's funny, am from western na sijivunii chochote kutoka kwa serikali yako as you have been consistently doing in other selected regions

    • @johnmisiko6045
      @johnmisiko6045 2 роки тому +1

      what am seeing is just collapsing of the companies which would have improved our living standard.

    • @ericsitati2047
      @ericsitati2047 2 роки тому

      @@johnmisiko6045 true bro

  • @bernardkariuki2615
    @bernardkariuki2615 2 роки тому +7

    Watu wanacheka na uhuru pia alikuwa anafanyia kazi kwa hiyo Gali tu

  • @therealafricana1372
    @therealafricana1372 2 роки тому +24

    I love my President. He calls it as it is

  • @peterwaweru2723
    @peterwaweru2723 2 роки тому +11

    Uhuru will go home very ashamed. Tutapea Ruto 💯 Mt Kenya

  • @abdiabdu7179
    @abdiabdu7179 2 роки тому +9

    So kwa hivo hujui bei za vyakula wazipandisha na bei za electricity .. alafu uwambie nini

  • @elijahmwai5883
    @elijahmwai5883 2 роки тому +3

    Kwani Ruto ndio ako ni kifunguu cha serikali ju kila kitu ni Ruto ..... Sisi tuko na Ruto ndamu

  • @shoshoaaa2176
    @shoshoaaa2176 2 роки тому +1

    Asante sana raisi wangu..
    Wanaongea matope wanadhani kuongoza inji ni mchezo kama kenya mko na amani mshukru mungu sana

  • @felisterspeter4171
    @felisterspeter4171 2 роки тому +10

    Unye maliza mda wako uende na amani kuingie mwingine

  • @lekurilee799
    @lekurilee799 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣kazi haifanywi juu ya gari,..unafanya siasa mchana Hadi usiku 💯💞💞🔥🔥mosmos ngoja

  • @veronicaanitah3887
    @veronicaanitah3887 2 роки тому +9

    Heshimu ruto wewe

  • @sammymacharia2912
    @sammymacharia2912 2 роки тому +8

    a cry baby. behaves like a small baby maliza ukwende

  • @MAYTONES254
    @MAYTONES254 2 роки тому +3

    😂😂😂😂😂uhunye ww sio ule wetu wa kitambo

  • @BenTravelll
    @BenTravelll 2 роки тому +14

    Tunakukumbusha tena kura yako ni moja

  • @teresiawachira1034
    @teresiawachira1034 2 роки тому +15

    I wish Uhuru would one day tell Kenyans what really happened between him and Ruto. Because it has to be something.

    • @africanlion3281
      @africanlion3281 2 роки тому +7

      Read between the lines. One wants development & good legacy & the other looting spree and lies. Can you cope?

    • @amosoluoch9770
      @amosoluoch9770 2 роки тому +1

      Ruto alitongoza bibi yake.

    • @frankchweya7702
      @frankchweya7702 2 роки тому +1

      the guy wanted to impeach him

    • @lokeredavid9754
      @lokeredavid9754 2 роки тому +2

      Ruto realized that uhunye is drunkards

    • @azzoearly9051
      @azzoearly9051 2 роки тому

      @@amosoluoch9770 😂😂😂😂

  • @deusimtewele2301
    @deusimtewele2301 2 роки тому

    Safi sana uhutu Kenyatta ingekuwa Tanzania wanakufungulia kesi ya ugaidi

  • @hillarymuliro3135
    @hillarymuliro3135 2 роки тому +3

    Bomba Sana'a mweshimiwa rais

  • @maureencheps2211
    @maureencheps2211 2 роки тому +11

    This guy sounds so bitter. We don't want projects....

  • @beatricekosgey1747
    @beatricekosgey1747 2 роки тому +7

    Liar finished you go home, you begged ruto to support you saa hii unatumsi kwenda home mlevi

  • @peterngangahsc9945
    @peterngangahsc9945 2 роки тому +11

    Ground tunakungoja sana, ujionee hatujasahau...yako kumi.....mundu muguruki tutikwenda no utwonirie medical yake ati ni muguruki ucio ungi ni mucene

    • @phariankhamayi494
      @phariankhamayi494 2 роки тому

      I pity you guys ... Arab Mashamba Kwisha kamiti waiting for him

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 2 роки тому +1

    Mr President we love you,please switch off you phones and go home just like President Kibaki

  • @sieleclaus4430
    @sieleclaus4430 2 роки тому +13

    We will never mistaken again to chose the father of poverty , enough is enough you and raila made handshake that they bring us poverty and hardships

    • @abdullahifarahmohamed7736
      @abdullahifarahmohamed7736 2 роки тому +3

      Uhuru is here to stay Rao 5th 8August

    • @kennedypaul3292
      @kennedypaul3292 2 роки тому +3

      Baba the 5th

    • @ramadhankakai7303
      @ramadhankakai7303 2 роки тому +4

      if you are poor blame it on yourself not Raila...ni kazi yako gani ama pesa yako gani alichukua??

    • @africanlion3281
      @africanlion3281 2 роки тому +2

      Maybe even you never voted for Uhuru. Don't blame your poverty status on others. Work hard and prosper. Stop lying to yourself.

  • @simongachango7927
    @simongachango7927 2 роки тому

    3:44 macho ya prezzo inatisha 🙌🙌🤣

  • @suzlast4518
    @suzlast4518 2 роки тому +2

    Mr President during 2013 we saw you on top of vans and lorries campaigning UHURUTO yes heavens is a witness let us come close to the Most High Yah and be a truthful people because satan is real and the father of all lies we don't want spirit of liar in future generation we must be a fearful a people who keep promise yes promise.

    • @kevoodongo2698
      @kevoodongo2698 2 роки тому

      Tulikuwa tunawaambia Ruto atageukwa mkakataa now see your life .. 😆 🤣 😂 😄 😀 😅 😆 🤣 😂 😄

  • @johnmweha1023
    @johnmweha1023 2 роки тому +6

    Wacha hasila

  • @suzlast4518
    @suzlast4518 2 роки тому +1

    Calisto because of hand shake nonsense i love his excellency with his speech please, relax your next honest Soul Ruto is the next President and we cannot help it heavens power surpass man power.

  • @mohamedrahoy34
    @mohamedrahoy34 2 роки тому +6

    Mdaganyifu....betrayer....ulianza politics 2018..with raila

    • @phariankhamayi494
      @phariankhamayi494 2 роки тому

      UDA hve something in common ... your thinking capacity is vry vry loooow

    • @milkahwambuinjengambothu6173
      @milkahwambuinjengambothu6173 2 роки тому

      @@phariankhamayi494 let's talk about what this guys have or haven't done in a patriotic and civil way. Kenya ni yetu sisi wote. Let's not tear each like we aren't in one country. May democracy and rule of law in prevail. God bless Kenya
      Nevertheless hustlers all the way

  • @okelloonyango4560
    @okelloonyango4560 2 роки тому +3

    Uhuru is a comedian

  • @osmanodowa7241
    @osmanodowa7241 2 роки тому +1

    yes mr president uhuru kenyatta

  • @dinahmutie134
    @dinahmutie134 2 роки тому +4

    Better uende nyumbani kwa amani

  • @vgeegodseed1720
    @vgeegodseed1720 2 роки тому +1

    Kumi ya Ruto 🇰🇪✅🙏 it's now

  • @Kirimikilea
    @Kirimikilea 2 роки тому +7

    of course ata kupandisha hali ya maisha ni maendeleo

  • @collinskhaoya3446
    @collinskhaoya3446 2 роки тому

    Our president is funny too.... kazi haifanywi juu ya gari ni kwa ofisi.

  • @kingoriloise6682
    @kingoriloise6682 2 роки тому

    Chama yenu ni sawa, endelesheni kifanya kazi but zoo chama initwa Raila project.

  • @Jamal-yl5he
    @Jamal-yl5he 2 роки тому +2

    kuna uongo fulani hapa😂😂

  • @peterkamanda3285
    @peterkamanda3285 2 роки тому +1

    Uhuru 👏👏👏👏

  • @charlesmuriungi4547
    @charlesmuriungi4547 2 роки тому +3

    Mr. Yu hav nailed it 👌 Hiyo shezi ni mdomo tu juu ya Gari kutoka asubuhi hadi jioni. Sungui express.

    • @lokeredavid9754
      @lokeredavid9754 2 роки тому

      Heri juu ya gari kuliko mlevi ambaye anataka kukatalia kiti

    • @Brian-bo4bz
      @Brian-bo4bz 2 роки тому

      Acheni kukula propaganda watu wazima bana...atabaki kwa kitu gani kwani Kenya Haina katiba...tumieni akili zenu acha kuamini kila kitu unaskia kwa tv

  • @wamboicecil9286
    @wamboicecil9286 2 роки тому +9

    kwani raila afanyi siasa . ulimkata ruto unataka afanye nn na umemnyima mamlaka .... umerogwa

  • @MaganasMedia
    @MaganasMedia 2 роки тому +1

    *yes Uhuru will go but I tell you Ruto won't be the next President*

    • @tukutanechuom3366
      @tukutanechuom3366 2 роки тому

      A - Azimio la kuzimia na mawe
      B - BBI
      C - Coalitions
      E- Elfu sita
      I- IEBC rig for baba
      K- Kemsa ndani ya tumbo
      ya baba and azimio
      M- maandamano
      O- Orengo/omollo bandia
      O- ouru
      P- pesa/contribution/ flower girl kalonzo baba alikula
      R- Rusha mawe ni culture
      hadi KWA soccer 😂
      S- sida bribed na sh. 6K
      T- Teargas
      Y- Y-iguru😂😂😂

  • @thomasmarende2445
    @thomasmarende2445 2 роки тому +7

    Kwani ku launch huu mradi ,ulikuwa ni manifestos ya kuingilia Ruto tena.burekabisa!

    • @phariankhamayi494
      @phariankhamayi494 2 роки тому

      Uhuru amewavulia Kwa MDA Sana nanii ..wacha afungue roho

    • @hagaitina7645
      @hagaitina7645 2 роки тому

      @@phariankhamayi494 Aende afunguliwe bibi take roho, we still remember kumira kumira

    • @tukutanechuom3366
      @tukutanechuom3366 2 роки тому

      @@phariankhamayi494 A - Azimio la kuzimia na mawe
      B - BBI
      C - Coalitions
      E- Elfu sita
      I- IEBC rig for baba
      K- Kemsa ndani ya tumbo
      ya baba and azimio
      M- maandamano
      O- Orengo/omollo bandia
      O- ouru
      P- pesa/contribution/ flower girl kalonzo baba alikula
      R- Rusha mawe ni culture
      hadi KWA soccer 😂
      S- sida bribed na sh. 6K
      T- Teargas
      Y- Y-iguru😂😂😂

    • @dokiwin7654
      @dokiwin7654 2 роки тому

      ruto tosha

  • @brendamasaa373
    @brendamasaa373 2 роки тому +4

    Kwahivyo unajuwa kumefanyika vibaya tukiwa na ww.

  • @4BMTV_254
    @4BMTV_254 2 роки тому +2

    Raila ni project Yako kama wewe na moi

  • @godfreymwangi1379
    @godfreymwangi1379 2 роки тому +5

    Don't support any one but let the people choose lk the way we choosed u with all our love remember even Laila anaweza kukugeuka akiikalia

    • @marymwai4072
      @marymwai4072 2 роки тому

      My brother, hii machngu tuko nayo nini mbaya. Surely.

  • @MUNJESHI
    @MUNJESHI 2 роки тому +1

    And this is where the the THEME OF BETRAYAL comes in ......

  • @danielkaruga7770
    @danielkaruga7770 2 роки тому +2

    apart from slapping us with high Taxes, what else has he done, mbure kabisa! Mlevi!

  • @hagaitina7645
    @hagaitina7645 2 роки тому +3

    Kimundu kimuguruki, I as still fresh as kumira kumira

  • @levisfundi8772
    @levisfundi8772 2 роки тому +2

    As u agreed, kumi kuni, acha makasiriko

  • @Emmanuel967-c2m
    @Emmanuel967-c2m 2 роки тому +3

    Huyu murathe anasema nini sasa?! Bangi tupu!

  • @peternjoroge9209
    @peternjoroge9209 2 роки тому

    Thank you Mr president.
    We shall vote for Baba

  • @zanabzanab
    @zanabzanab 2 роки тому

    mueshimiwa wacha kuona giza ukajiendea haja kwa nyumba😢kimbuka Ruto alisimama na ww kwa udi na uvumba

  • @alicewairimu1818
    @alicewairimu1818 2 роки тому +3

    Uhuru you were helped to cross the river by Ruto then now your shoving him into the river.

  • @zakariamohamed1763
    @zakariamohamed1763 2 роки тому +2

    Mlevi is very angry today. Leo bars are not open?

  • @phariankhamayi494
    @phariankhamayi494 2 роки тому +2

    You hve quite for soo long Mr president...fungua roho

  • @afrikanstarstar3651
    @afrikanstarstar3651 2 роки тому +5

    Hapo Sawa 👍👍

    • @tukutanechuom3366
      @tukutanechuom3366 2 роки тому

      A - Azimio la kuzimia na mawe
      B - BBI
      C - Coalitions
      E- Elfu sita
      I- IEBC rig for baba
      K- Kemsa ndani ya tumbo
      ya baba and azimio
      M- maandamano
      O- Orengo/omollo bandia
      O- ouru
      P- pesa/contribution/ flower girl kalonzo baba alikula
      R- Rusha mawe ni culture
      hadi KWA soccer 😂
      S- sida bribed na sh. 6K
      T- Teargas
      Y- Y-iguru😂😂😂

  • @paulkanyari7806
    @paulkanyari7806 2 роки тому +1

    Hii hasira niyanni? Jameni tuwe na marithiano tunjege nchi yetu

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 роки тому +2

    Sawa rais

  • @princessemmy8183
    @princessemmy8183 2 роки тому +5

    Ruto, Utajua haujui Ngojea unaenda nyumbani mapema sugoi express wheelbarrow yake itambeba Hadi sugoi 😂😂😂😂😂😂😂

    • @joycewanjiru2202
      @joycewanjiru2202 2 роки тому

      Poleni rakini munategemea kuibiwa jura poleni

    • @princessemmy8183
      @princessemmy8183 2 роки тому

      @@joycewanjiru2202 jinyonge na wembe nugu hii🖕

    • @charlesrachier5444
      @charlesrachier5444 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣

    • @dokiwin7654
      @dokiwin7654 2 роки тому

      @@princessemmy8183 UDA tutawajengea Choo bondo

    • @belinder5292
      @belinder5292 2 роки тому

      @@joycewanjiru2202 jura ndo nini tena🤣🤣🤣🤣 effects of UDA
      Mtateseka Hadi mshangae

  • @kiplangatcpeter6446
    @kiplangatcpeter6446 2 роки тому +1

    Enyewe watu wa kamnywezo hawataki mkristo ata mkiwa pamoja na mko marafiki akuambie itisha kitu utasikia anasema kama ameitisha soda ajilipie😷😷

  • @jamespeter5060
    @jamespeter5060 2 роки тому +4

    Sijawai kupigia Kura lakini nakupenda bure

    • @phariankhamayi494
      @phariankhamayi494 2 роки тому +1

      For the 1st tym hata Mimi nimekuja Kum like Sana my president .. waambie infact washafilisika hawana handout s tena

    • @victoryegon6953
      @victoryegon6953 2 роки тому +2

      Juu anasupport rails lakini mtarukwa brathée

    • @dokiwin7654
      @dokiwin7654 2 роки тому +1

      siku hizi hakuna corruption juu odm imedanganywa tukopamoja mtarukwa hadi exzoster itumwe bondo juu Ya breakout ya kujihalia na Hawana choo

  • @hellenmaiyo2516
    @hellenmaiyo2516 2 роки тому +2

    Usitudanganye prezoo,uchumi ni mbaya,sisi wananchi tumeumia,hatuna pesa bei ya chakula hiko juu sana,unaongea sana juu haufinyiki,ulizaliwa katikati ya blueband na mkate,lakini dp anatangatanga kwa sababu anaelewa shida zetu.inchi imesambaratika,hakuna kazi vijana wanateseka,big4 ulikomesha,uliwacha kazi yenye wakenya walikupea ukaenda opposition.Kwa hivyo prezoo,hatutaki projects yako tena.

    • @Brian-bo4bz
      @Brian-bo4bz 2 роки тому

      Big 4 alikomesha na hapo alikua analaunch universal health coverage which is one of big 4 agenda...Wacha kula propaganda ya mtu amekuweka hapo na kumsifu...ata useme uhuru ni mbaya usiseme ruto ni malaika kwani hatujui ruto...mbweha ata avae ngozi ya kondoo anabaki kuwa mbweha

  • @MUNJESHI
    @MUNJESHI 2 роки тому +1

    In short ,uhuru anasema kitaibiwa wapende wasipende .....mzee .jomo kenyatta raudi naona akivote

  • @64aaa
    @64aaa 2 роки тому +7

    👏👏👏👏♥️🇰🇪👊

  • @emanuelmuya5118
    @emanuelmuya5118 2 роки тому

    Very interesting

  • @Bishofu
    @Bishofu 2 роки тому +2

    Yako imeisha ruto yake sasa

  • @briant5685
    @briant5685 2 роки тому +1

    mliishi kutukana ruto kama amenyamaza sasa ameanza kuongea wanjohi ameanza kucatch,thii ukiumaga

  • @jameskeffanganga493
    @jameskeffanganga493 2 роки тому

    Even we ned 50+1 and the 1+ is 4 your keep my President

  • @mutundimwita8755
    @mutundimwita8755 2 роки тому

    My friend rutooooooooo toshaaaaaaaaàaa

  • @peterachira2116
    @peterachira2116 2 роки тому

    Mr president uko sawa, tuko nyuma yako babaa

  • @dokiwin7654
    @dokiwin7654 2 роки тому +7

    umesaliti Mt kenya to bondo hatukutaki joho alikuwa anakutusi kama wewe ni kijana yake. we keep our promises 10/10. kutoka msalimiane na mganga hujawai onekana kanisani.

    • @werelawrence4686
      @werelawrence4686 2 роки тому

      Azimio is better

    • @phariankhamayi494
      @phariankhamayi494 2 роки тому

      Wewe Baki hapo ukibweka ..ulitaka umepeleke kanisani!!!??🤔

    • @dokiwin7654
      @dokiwin7654 2 роки тому +1

      @@phariankhamayi494 wewe ni mganga pia ngombe wewe

    • @dokiwin7654
      @dokiwin7654 2 роки тому

      @@werelawrence4686 Azimio in bondo not kenya

    • @belinder5292
      @belinder5292 2 роки тому

      Tulia broo🤣🤣hujui ata maisha yako inaenda wapi ......mtashangaa

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 2 роки тому

    Kanzi na vijana ziko wapi misharaya ulisema utaogeza ziko wapi miudo Binu kufugua viwada viko wapi kupa UA uchumi viko wapi kuboresha elim iko wapi hosipitali madawa kuwakikisha yako bei ya Chini iko wapi ulipanua barabara ulikua hapo nijia ya mteremko Kula pesa SASA unatuwambia nini umefaya Aruna macha wa kenya

  • @dukeofkisii
    @dukeofkisii 2 роки тому +5

    We can agree the second term was much better, more developments, reduced scandals despite Covid-19 outbreak. Can't be compared with the consistent looting in the first term... Uhuruto failed, uhururaila did something. Whoever will win the next election should focus on peace, reconciliation and trigger more development

    • @lokeredavid9754
      @lokeredavid9754 2 роки тому +1

      Looting is order of the day remember molasses plant and mumias sugar was looted by Raila through kidero

    • @peterchepkwony5584
      @peterchepkwony5584 2 роки тому

      Kamsa billionaires nayee

    • @lizjoseph4404
      @lizjoseph4404 2 роки тому +1

      Uhuraila was the worst looting even patients money, the gap between reach and poor is becoming big life is difficult for many Kenyans, things need to be balanced we need development and and at the same time food on the table how I wish we had strong opposition things would have been different now they are deviding Kenya more than before handshake was only to unit two tribes as if they are the only tribes in Kenya,