Huyu Salimu nimempenda. ndugu si vizuri sana kuleta mtu mwenye kukubali tu kwenye mdahalo. Lazima kuwepo baadhi ya waliosoma kisawasawa. Jazbah Haitumiki kwenye debates Kama hizi
Huyu ali karanja ni limbukeni tu muongo ajabu kwanza allah ni Mungu feki ,alafu allah sio ni wengi quran 16:63 inasema walahi sisi mwenyezi Mungu tumekutuma kumaanisha ni wengi allah sio Mungu ni miungu
Let's subscribe.. Tufikishe mbali sheikh yetu
MASHA ALLAH Ustadh Ali Karanja MUNGU Akuzidishie Elimu Amin Amin Amin
Salam Aleikum Shukraan Kwa Kazi Hii Ya Dawaah ALLAH Awalipe Kila La KHEERI Duniani Na Kesho Akheera
Ali indugu na angali kutoka America una fanya kazi muzuri ya mungu mansha Allah
Inalilahi wainaillihi rajiun. Huyu pastor, ni walewakubaranganisha mafunzo. Anajaribu kuificha Haki. Na Haki haifichiki. Allah atuongoze. Amiin
Masha-Allah viongozi wetu
SAFI!
Keep up the he good work Ustad!
MashAllah ustadh wataelewa thuu wachungaji kw ujanja wao ....maana wafuasi wao wanasilimu kila uchao
Huyu Salimu nimempenda. ndugu si vizuri sana kuleta mtu mwenye kukubali tu kwenye mdahalo. Lazima kuwepo baadhi ya waliosoma kisawasawa. Jazbah Haitumiki kwenye debates Kama hizi
Masha Allah Ustaz
MashaAllah. Great job Allah barik
Jesus Christ is powerhouse. God is supreme
Wakwanza mwenyewe Leo
Huyu ali karanja ni limbukeni tu muongo ajabu kwanza allah ni Mungu feki ,alafu allah sio ni wengi quran 16:63 inasema walahi sisi mwenyezi Mungu tumekutuma kumaanisha ni wengi allah sio Mungu ni miungu
,,😂😂😂
Tafta mwalimu akufunze
Wewe hujui kitu na kufundishwa hutaki unujfanya mjuwaji sana na hakuna unacho jua bali ni ushindani ngoja ufunzwe maadiko sawasawa
MashAllah
Alifanywa Lana akulaniwa
Wa kristo wanajiita wakristo lakini wengi wao hawajui bibilia na sijui mbona hawataka kusoma bibilia shida iko wapi
Ma Shaa Allah
Wewe ulipata pastor ambaye hajui kitu
Ustadh Ali...hio speed yako ni ngori...weee...Ma Shaa Allah ...pastor ametii
Mashaallah ❤❤❤
Ali Karanja kiboko.
Dacha Yuko wap hapa...?
Mnatangaza Iman ya majini..
Qr 72.1-14 wachaneni na Imani ya mashetani
😂😂😂 pole kama hujui kuja nkufunze
Poa sana
Maashaallah ustadh Ali
...hawa watu wa kuharibu mihadhara msiwape mic.midude kama hii ndio inafanya watu wanajiua kwa njaa huko Kilifi.eti anajua Mazinge, muongo mkubwa!
Ali vaanga kanzu
Ilikua kumoto 😂😂😂
MashaAllah
Anayo 😅
Kristo Wa mwisho point less
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyo wa mwisho ndohao wanaoharibu mikutano mana hana hoja makelele tu
Kumbe nawewe umeona hilo hhhhhhh kelele tupu hana points
part 2 ya hii iko wapi?
Wagalatia 3_11-14
Pastor pointless Nkt!!!too bad
😂😂😂😂too bad
MashaAllah
Mashaallah❤❤
Mashaallah
MashaAllah