SOMO: VITA VYA KIROHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 39

  • @HellenicLiamkyle-e2x
    @HellenicLiamkyle-e2x 2 місяці тому

    Bwana yesu asifiwe baba

  • @ayubusamwel5337
    @ayubusamwel5337 Рік тому

    Utukuzwe Ee Mungu uonaye sirini Amen

  • @jastinhaule8379
    @jastinhaule8379 2 роки тому +1

    Asante mungu kwa mafundisho mungu akubariki mtumishi
    Pia naomba direction ya kufika kanisani hapo kwenye huduma

  • @HosianaEzra
    @HosianaEzra 5 місяців тому

    Asanteh baba nmeelewa

  • @gilberttsalwa2934
    @gilberttsalwa2934 Рік тому

    Amen from kenya

  • @Isakalengai
    @Isakalengai 2 місяці тому

    Ameeeeeeeeen

  • @yohanamollel1565
    @yohanamollel1565 3 місяці тому

    Amina

  • @winnedavis
    @winnedavis 3 роки тому +1

    Be blessed Mwl Somo limenifungua

  • @mercywilliam733
    @mercywilliam733 3 роки тому

    Mwl.ana ujasiri wa kiroho. Mungu nikirimie Neema ya baba Yangu.Amen

  • @suzanmgaya7460
    @suzanmgaya7460 4 роки тому +4

    Oooh asante MUNGU nimepata kitu hapa

  • @gloryndosi2479
    @gloryndosi2479 4 роки тому +1

    Mungu akuinui kwa viwango vya juu sanaa mwalimu

  • @margaretmandia8867
    @margaretmandia8867 2 роки тому

    God is so Good. Huyu Dada kapata ushuhuda wake. Kaolewa kafunguliwa, kawekwa huru in Jesus Mighty Name

  • @anithacrispine734
    @anithacrispine734 4 роки тому +1

    Barikiwa Sana maomb yako yananivusha

  • @MtImanueliTvOnlineTz
    @MtImanueliTvOnlineTz 4 роки тому +1

    Mungu akubariki mtumishi kwa mafundisho mazuri

  • @marrymmbando436
    @marrymmbando436 3 роки тому +1

    Hakika Mungu ni mkuu sana, laiti watu wangeelewa hiki mwalimu anafundisha , tusingekuwa hivi tulivyo. Ubarikiwe mpaka ushangae mtu wa Mungu. Mungu akupe unyenyekevu ulufikishe kanisa la Mungu kanani.!

  • @mercywilliam733
    @mercywilliam733 3 роки тому +2

    Amen my Mentor.

  • @annaseth5824
    @annaseth5824 4 роки тому +1

    Nashukuru kwa Neno lililojaa nguvu ya Mungu.Mungu akupe mafunuo zaidi nazaidi

  • @rahimmambea830
    @rahimmambea830 4 роки тому

    Asante Sana mtumishi ubarikiwe mnooo..

  • @renaldleonard5956
    @renaldleonard5956 3 роки тому

    Amen

  • @Williamjamessr
    @Williamjamessr 4 роки тому +2

    Somo zuri sana

  • @heriethmollel8483
    @heriethmollel8483 4 роки тому

    Barikiwa mtumishi wa mungu, kwa somo zuri

  • @michaelladislausbababryna3205
    @michaelladislausbababryna3205 3 роки тому +2

    Glory to God

  • @mercywilliam733
    @mercywilliam733 3 роки тому

    Kumbe Mimi ni mshindi kabla hata sijapigana.......Daaaa!! Asante Yesu maana bila wewe wangalifurahia hali Yangu mbaya..

  • @youthtalent5990
    @youthtalent5990 4 роки тому +2

    Somo ninzuri sana

  • @suzanmgaya7460
    @suzanmgaya7460 4 роки тому +1

    Aiseeeeeee MUNGU azidi kukupaka mafuta ya mafunuo zaidi mtumishi

  • @Williamjamessr
    @Williamjamessr 4 роки тому +2

    Weka no ya kutoa sadaka

    • @naomyjimmy9783
      @naomyjimmy9783 4 роки тому

      Somo zuri sana mwl tunaomba namba za kutuma sadaka .

  • @sharonhumphrey5229
    @sharonhumphrey5229 4 роки тому

    GODbless you mtumishi

  • @sgmtvgodlove8184
    @sgmtvgodlove8184 4 роки тому +1

    Imekuwa Kubwa kuhani wa MUNGU BABA

  • @rahimmambea830
    @rahimmambea830 4 роки тому

    Glory be to God...

  • @micahnjoroge3685
    @micahnjoroge3685 4 місяці тому

    Ni Malaika gani unawatuma? Mahubiri ni manzuri lakini una kasoro. Wewe Huna nguvu ya kuwtuma. Malaika wa Mungu?

  • @suzanmgaya7460
    @suzanmgaya7460 4 роки тому +1

    Hizi ni siri ambazo sijawahi sikia ndio hapa nafunguliwa ufahamu

  • @namnyakilucas9698
    @namnyakilucas9698 4 роки тому

    Mtumishi mm Nmekuja mara mbl ibadani kwasasa npo chuoni naomba maombi kwaajili ya familia yangu. Unisaidie kumuweka baba yangu kwny maombi yako. Mwaka wa tisa hana kazi please

  • @suzanmgaya7460
    @suzanmgaya7460 4 роки тому

    Mh natamani Watanzania na watu wa Arusha wafunguke macho wapate kufaidi neema iliyo juu ya huyu mtumishi

  • @paninaemanuel4240
    @paninaemanuel4240 4 роки тому

    Hili somo nimelipenda natamani kulielewa zaidi, naomba Mtumishi ulirudie tena 👏

  • @rehemamapunda2852
    @rehemamapunda2852 3 роки тому

    Unapatikanawapi mtumishi,ninamatatizo sana.

  • @jastinhaule8379
    @jastinhaule8379 2 роки тому

    Asante mungu kwa mafundisho mungu akubariki mtumishi
    Pia naomba direction ya kufika kanisani hapo kwenye huduma