Magodi ze don - Ghalama |official video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 90

  • @msomezsaid
    @msomezsaid 3 місяці тому +1

    pamoja sanaaaa, lupoja masebu, kaka unajuaa sanaaa ❤️❤️umehangaikaa zaman sanaaa mwishoee umetoboaa mimi shabiki ako

  • @JonasMuhamedy
    @JonasMuhamedy Місяць тому +1

    Daah magodi umejitaidi sana kwenyekaz zako uwakumbuke madenca wako unawavarisha nguo za kiheshima mpaka naenjoy ninapo watazama

  • @PaulCharles-ox9pg
    @PaulCharles-ox9pg Рік тому +2

    Sana kaka magodi nikiwa dar nakufatilia sana mm kama kinana wa kanda ya ziwa nawakilisha bokixngi

  • @JosephRobert-oz4cz
    @JosephRobert-oz4cz 8 місяців тому +1

    Saf sana magod nakukubar san❤❤❤❤

  • @moshimasomba1598
    @moshimasomba1598 Рік тому +3

    Wambie tuupoo ee tupoo

  • @wamoyothenumberone4356
    @wamoyothenumberone4356 Рік тому +1

    Basukuma tole Dar tolesukelaa jamwatoofaaa, hiyoo bitii,nomaa

  • @ChristopherYussuf-r3g
    @ChristopherYussuf-r3g Місяць тому +1

    Kaka nakusikia had Zanzibar we hatar sana kaka mtoto wa jua lolo shinu ya kela

  • @KelvinAmos-ow7pf
    @KelvinAmos-ow7pf 6 місяців тому +1

    Very good magodi the Doni mwambie ukweli blother

  • @JackSimela-tw9oz
    @JackSimela-tw9oz 4 місяці тому +1

    Nakubali family 👏👏👏

  • @SarahMpianjo
    @SarahMpianjo 7 місяців тому +1

    Hongera pia kwa wimbo mzr kaka angu

  • @MasanjaLuhunja
    @MasanjaLuhunja Рік тому

    Magodi huu WIMBO sijaupenda na nikama unajishushia heshima tu , bahati yuko mbali sana ko mkipitwa muwe mnakubali matokeo tu so majungu ya ovyo tu.

    • @MagodiZedon-fd7jt
      @MagodiZedon-fd7jt Рік тому

      Usilolijua litakuumiza kichwa ACHA heshima ishuke kbsa

  • @tari642
    @tari642 Рік тому +1

    Mmmmh hadi hz nyimbo zina majungu

  • @ShabaniShabaniTv-dp5xq
    @ShabaniShabaniTv-dp5xq 3 місяці тому +1

    Kweli kaka

  • @wamoyothenumberone4356
    @wamoyothenumberone4356 Рік тому +2

    Ila mi umenikosea sana,msanii Wang bahati bugalama

  • @RashidShariff-lk3gd
    @RashidShariff-lk3gd Рік тому

    Kazi nzuri saaana Kaka mkubwaa by dizo wamachale umetisha na mkemia katisha

  • @HadijaFumbwe
    @HadijaFumbwe 9 місяців тому +1

    Nakupenda Kaka angu

  • @LemboNdege
    @LemboNdege Місяць тому +1

    Achen bifuu haiwapendez

  • @ManotiMabanza
    @ManotiMabanza 10 місяців тому

    Narusha jiwe juu. Litakaro mpata bac. Anakichwa kikubwa nipo Moro town. Boss. Wang

  • @simeozacharia5261
    @simeozacharia5261 6 місяців тому +2

    Wewe kama umeshindwa kuimba acha bahati haimbagi nyimbo za kutusi mtu,kwanza huwenzi kumfikia bahati hata kidogo bwana anaimba nyimbo fluu ujumbe wewe na hilo lisaut lako kwenda huko

  • @ntugwamasanja-lz6of
    @ntugwamasanja-lz6of Рік тому

    Mr .naona wimbo unapenya moto moto .

  • @Nyandakatoro
    @Nyandakatoro Рік тому

    Kazi zuri sana brother magodi

  • @SarahJohn-h9w
    @SarahJohn-h9w 10 місяців тому

    ❤❤❤ moto sana magodi

  • @PaschalEmilian-hm9kr
    @PaschalEmilian-hm9kr Рік тому

    nakukubali Sana magodi hujawaigi kukosea kaka

  • @LucasBahati-r4i
    @LucasBahati-r4i Рік тому

    Hivo doo kushindwa kazi

  • @AbelLazaro-y4p
    @AbelLazaro-y4p Рік тому

    Uko vizuri sana kwakwel unajua kuwalenga watu, pamoja magodi the best my music, shank yuo brother, me from dr kariakoo 🏋️‍♂️🏋️‍♀️

    • @MagodiZedon-fd7jt
      @MagodiZedon-fd7jt Рік тому +1

      Ahsate kiongozi

    • @Maleyboy
      @Maleyboy 11 місяців тому

      ​@@MagodiZedon-fd7jthiv kaka mkubwa nyimbo yako ya Magaji iko video kwel?

  • @Barakacomedian.
    @Barakacomedian. Рік тому

    Mwanangu uko good Sana ni Mimi hapa baraka commedy

  • @KasaiBoyTv
    @KasaiBoyTv Рік тому

    Nakuona Kakubilo Finest

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂😂kiunochangu magodi Kama Ile nyimbo ya maninaa miss tomorro simiyu enjoy asili musukuma nikiwa far salamu😢😢😢😂😂😂❤❤

  • @kingjaymusic53
    @kingjaymusic53 Рік тому

    Kanda ya ziwa stand up 💪💪

  • @PaulNigo-yq5ps
    @PaulNigo-yq5ps Рік тому

    Magod piga KAZI tunahitaji kaz zako ss shabiki zako

  • @ShijaKagoke-oc2zu
    @ShijaKagoke-oc2zu Рік тому

    Safi Ngoma kali

  • @suleimanbuta3217
    @suleimanbuta3217 Рік тому

    Piga kazi kaka mishabiki wako sana

  • @NyandaNzilantuzu
    @NyandaNzilantuzu Рік тому

    Kaz y whk kutoka kw magd z done

  • @PaulNigo-yq5ps
    @PaulNigo-yq5ps Рік тому +1

    Naaziogope kwel hizo garama

  • @ErnestHojja
    @ErnestHojja 10 місяців тому

    Bado sana kinjana kutoka bugarama kukufikia

  • @japhetsahani7121
    @japhetsahani7121 Рік тому

    tunataka msanii Kama huyu saf Sana magod ze don

  • @wamoyothenumberone4356
    @wamoyothenumberone4356 Рік тому

    Aleyobeebetoofaa elebitiiiyee sukelaaagaa

  • @PaulJames-m8j
    @PaulJames-m8j 9 місяців тому +1

    Kaka achana na maneno ya watu kikubwa pg kz ukifata maneno ya watu utapotea bule tu

  • @MagembeZingo
    @MagembeZingo Рік тому

    PGA kaz kaka mm mshabk wako masunga nkwabi kutoka mwamwenge ntuzu

  • @KenejoRunyili
    @KenejoRunyili 6 місяців тому +1

    Nyamasome
    3:06 3:07 3:09

  • @ManyakendaElias-td9ej
    @ManyakendaElias-td9ej 10 місяців тому

    We magod umepigaje hapo,,😂😂😂

  • @misarabawiliamnyanda
    @misarabawiliamnyanda 11 місяців тому

    Mdogo wangu,binadamu tumeumbwa hivyo kikubwa aminia kazi yako.😊

    • @MagodiZedon-fd7jt
      @MagodiZedon-fd7jt 11 місяців тому

      Ahsate kaka mtu wa nje hawezi kujua ila napita katikati ya moto kikubwa muniombee tu

    • @Maleyboy
      @Maleyboy 11 місяців тому

      Kaka piga kaz tuko pamoja mashabik zako yeye anakuita eti kichaa mala saut yako mbaya ila bahat Mungu amusamehe alikuchafua Sana

    • @Rehemamussa-f6c
      @Rehemamussa-f6c 9 місяців тому

      we achananae2 by lugwisha *star*

  • @novatusmtaki8556
    @novatusmtaki8556 10 місяців тому

    Mbona kama kaanza na moto, any ways ngoja tuone

  • @mageletz
    @mageletz Рік тому

    Ume amua kazi kaka

  • @MwanaDiana
    @MwanaDiana Рік тому

    Kimeumana tena magod na bahati huku,😂😂😂 game hili bila kiki zakuchamba wasanii weng saana watapotea😂😂😂

  • @gervasanthony3749
    @gervasanthony3749 Рік тому +1

    Kazi nzuri KINYONGA,Nisaidie namba yako

  • @suleimanbuta3217
    @suleimanbuta3217 Рік тому +2

    Kaka jitahidi ila ukitaka kumjibu mtu jibu kwa kwa staili nyingine isionekane kwamba wewe ndiye unawachokoza

  • @MagodiZedon-fd7jt
    @MagodiZedon-fd7jt Рік тому

    Wapi mashabiki zangu twende pamoja na ghalama

    • @japhetsahani7121
      @japhetsahani7121 Рік тому

      mm nlkuwa mshabiki wa bahati bhugalama ila kwa Sasa nmehamia kwa magod ze don magod ze don piga kazi kabisa mungu akubariki magod ze don was a pure talent from god love this song from Rwanda

    • @MagodiZedon-fd7jt
      @MagodiZedon-fd7jt Рік тому

      Tuko pamoja

    • @japhetsahani7121
      @japhetsahani7121 Рік тому

      @@MagodiZedon-fd7jt sawa mkuu magod anakipaji kbc Tena Sana

    • @willsontigiti8363
      @willsontigiti8363 Рік тому

      @@japhetsahani7121 tupo mukuu kaka yake red pepeta

    • @Jameskakola
      @Jameskakola Рік тому

      hakuna kitu hapo umeshidwa kuimba nyimbo za ujumbe umefer kabisa😂😂😂😂😂😂

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 Рік тому

    Safi

  • @MichaelJohn-ep2dw
    @MichaelJohn-ep2dw Рік тому +1

    Amna kilaki2 ndo kukosa nyimbo ya kuiba unaimba vitu ambavyo havina mana kabsa hujui kutangulia so kufka chapa kaz achana na majungu kaka

  • @musasamwel5544
    @musasamwel5544 Рік тому

    Bahati uko wapi rafk angu wa bhugalama

  • @mjukuuhotelitv7736
    @mjukuuhotelitv7736 10 місяців тому

    Sijaielewa ata umeimba nini

  • @MagodiZedon-fd7jt
    @MagodiZedon-fd7jt Рік тому +1

    Nashukru sana Kwa sapoti yenu wadau wangu

    • @Maleyboy
      @Maleyboy Рік тому

      Kaka mkubwa Mungu akurinde Sana kaz nzur

    • @JumaKombo-ob7tv
      @JumaKombo-ob7tv 10 місяців тому

      Imba unavojuwa Lakin kwa bugalama bado sana

    • @NjileWanjile
      @NjileWanjile 6 місяців тому

      Kakaangu mm nipo singidaa kikubwa chapa kaz

    • @NjileWanjile
      @NjileWanjile 6 місяців тому

      Kaka ukiona mtu kakujibu hovioo kushaa mana yeye unampa Kiki by njile wa njile singida msanii mwenzako

    • @MWENDESHAKALIKALI
      @MWENDESHAKALIKALI 10 днів тому

      Hello brother heshima sana

  • @lucasbusagala4033
    @lucasbusagala4033 Рік тому

    Moja yangu leo

  • @gananajulius7489
    @gananajulius7489 9 місяців тому

    Anajitahd

  • @JumamgemamatogoloMatogol-de8gx

    Kwanini anatuonyesha dole la kati🖕kwaio mpaka mashabiki tunaomwangalia anatutusi

    • @massanja21
      @massanja21 Рік тому

      😂😂😂😂😂bado hujasema

    • @MagodiZedon-fd7jt
      @MagodiZedon-fd7jt Рік тому

      Na atasema tuko pamoja wadau wangu😂😂😂😂😂