PART3:MCHIMBA MADINI AELEZA JINSI ALIVYOMCHINJA MWENZAKE/NILIMKATA SHINGO/PANGA LILIJAA DAMU/MSIBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 192

  • @teddysisty320
    @teddysisty320 4 роки тому +9

    Duh dunia Ina maajabu Sana Asante DM kwa kutuletea matukio yanayohusu maisha tunapata mafundisho ya kuridhika na tulivyo navyo tuache tamaa

  • @kashuradiocles1068
    @kashuradiocles1068 4 роки тому +24

    Finally hakuna aliyenufaika na ile pesa, aiseeee kuna cha kujifunza hapa vijana wenzangu

  • @abdulhalimhumud1917
    @abdulhalimhumud1917 4 роки тому +4

    Mr Facts unatufanya tusubiri sana Mpka najiuliza Vipi tena kaka Yupo bize Au Asante pamoja 💯❤️❤️

  • @aminabhitalio8143
    @aminabhitalio8143 4 роки тому +12

    Mamaake Fred hakuwa mtu wa mchezo mchezo na hamkujua mwenzenu kaaga vp kwao.. all in all mshahara wa dhambi ni mauti

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 роки тому +2

    ,,hadithi nzuri Sana, ngoja niwalike wote ambao mmetangulia

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 4 роки тому +2

    Hii story imenihuzinisha pole Sana . Mama Fred ni mtu special 🤔na nimemuogopa au Kwa lugha nyepesi mama Fred ni mchawi. Mwenyezi Mungu awarehemu Fred na Lameck.

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 роки тому +6

    Yani shetani yuko kazini kuwinda uhai wetu tuombe sana tusije ingia majaribuni pole sana kaka kwa uliyo yaona kumbuka Mungu bado anakuhitaji

  • @mwambakakudji6288
    @mwambakakudji6288 4 роки тому +2

    Kila kitu kinabaki hapa duniani, pesa , gari, manyumba...yani mapendo njoo kitu muhimu.
    Tupendane jameni..love, love ,love it's the answer

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 роки тому +1

    Huu mkasa umenifunza mengii..Watu tunatoka makwetu tumeaga..Tamaaa sio nzuri.

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 4 роки тому +14

    Shetan anafanya kaz kwa spid kubwa,"japo kuna vitu ving vyakuhoji kwa jicho la nyama havileti majibu.Ila kwajicho la rohon hatakama asinge wafanyia kisasi mama Fred nahakika hyo pesa msingeitumia kwa aman damu ya mtu haipotei bule"

  • @munnawwary757
    @munnawwary757 4 роки тому +10

    Mtihan.....unasimulia Kwa hisia Kaka maan umeshawishiwa tu kule Kwa Fred mrudie mung wako tu utakaa vzr in sha Allah

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 4 роки тому +12

    Hapo fredi alikuwa ametunukiwa na jini kule kwa kuchimba madini kwanini fredi alikuwa yy ndio mwenye kufanikiwa kupata hizo mali na mwenzenu hakuwa na roho mboya maana mara yakwanza aliona mulisota nyote kisha akawagaanyia na hizo pia angewagaanyia

  • @babymansouth1164
    @babymansouth1164 4 роки тому

    WwweUmeponea kwakuwa Ukumuua iyoNdio ponayakoooo. SHikamoooo Mamaaa Fred.. Heshima Kwakooo Saluteee mama Shikamoo

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 роки тому +5

    Duuh kweli mtu makini umetuweza...🙋🙋 Sikutegemea itaishia hivyo...

  • @solange-d9f
    @solange-d9f 4 роки тому +1

    Pole sana zidi kumuomba Mungu akurehemu

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +5

    Malipo nihapa hapa duniani Akhera hesabu mama amefaidi pesa jasho yamwanae😭😭😭😭😭lameck alirushiwaa rohoo yakuua yani huyo maza alimtoa kafara pamoja na lamek

  • @Sarah-hl9lr
    @Sarah-hl9lr 4 роки тому +4

    Kumbe izi movie tunaangaliaga zinakuaga true story 🇰🇪

  • @reggyemmanuel9970
    @reggyemmanuel9970 4 роки тому +2

    Tamaa mbaya

  • @babyboss2886
    @babyboss2886 4 роки тому +8

    Daaah, salaleee nmepigia kambi mchana kutwa ila tu wakati nimejipa shughuli davistar anafanya mambo
    Kweli hii nayo inatisha

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 роки тому +4

    Nimtihan sana pole sana hasa kama alikua anamtoa mwanae kwann kamuuwa huyo mungine nayy ndio alopanga mipango

  • @mrboma4343
    @mrboma4343 4 роки тому +5

    Tamaa mbaya jameni..

    • @mwanamisitenga1158
      @mwanamisitenga1158 4 роки тому

      Mama alifred ni mtu mshirikina akujali ata mwanawe alijali pesa na kisasi

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 роки тому +6

    Mhh kama ni kweli ,yaani mama fredy kumbe yeye ndio chanzo cha yote hayo,hivi hizi pesa zitatupeleka wapi jamani,umuue mwanao ili iweje utakuwa na raha gani na hizo pesa baada ya kutenda hayo.

    • @bluebrown5566
      @bluebrown5566 4 роки тому +2

      Kulingana na hio story ilivoisha tunaona kama mamake analipiza kisasi kwa njia ile ile walivommuua mwanae. Yeye kasamehewa kwa ajili hakushirikiana na yule mwingina Bali kaadhibiwa kwakumwangalia mwenzake akiuwawa. Nadhani yule mama alimfanya mwanawe kupata bahati madini yale kiushirikina kwa ajili alikua anamtegemea lakini walipomuua hawakujua taama imewapeleka pabaya.

    • @vaghoghontweki9827
      @vaghoghontweki9827 4 роки тому +1

      Mm napata wsws huenda ata Fred alkwa jini

    • @erickmoses6395
      @erickmoses6395 4 роки тому +2

      Inaonekana hawa walitumwa kichawi kutafuta hiyo mali na hao wawili waliokufa ni kama kafara ya hiyo mali...mchawi kumtoa mwanae Kama kafara sio tatizo tunasikia hapa kila siku. Na ndio maana ni Fred pekee aliyekuwa na bahati ya kupata Mali. Haya mambo yapo...Ni vile nawaza tu

  • @upendomatinya6851
    @upendomatinya6851 4 роки тому

    Daaa stori inasikitisha sana na inaogopesha mno, kiukweli nimejifunza kitu, hongera sana kaka Davista

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 4 роки тому +4

    Daa hatari sana,,,pamoja #MTU MAKINI#

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 4 роки тому +2

    Story imalizie vizur mwamba hyu anastory nzito tupe part 4

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 роки тому +5

    Kwaiyo hata police hawakuenda kweli nikishirikina

  • @rukiabari9431
    @rukiabari9431 4 роки тому

    Mungu anakupenda sana mrudie yy

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 4 роки тому +6

    Khaaaaa😳😳😳mama kajilipiza kisasi 🙆‍♀️

  • @stellastanley630
    @stellastanley630 4 роки тому

    Yule mama fred aliwatumia kweli kishirikina ila pole sana kakaangu ulipitia mambo mazito sana mrudie mola wako inshaalah utakuwa sawa.

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 4 роки тому +6

    Mama Freddy hatari kweli

  • @zenaimamu9105
    @zenaimamu9105 4 роки тому

    Jamani tamaa mbaya.mungu tupe roho ya kinaya na tule jasho letu.pole kaka Sasa rudi kwamola wako atakusamehe

  • @evamkumbwa1739
    @evamkumbwa1739 4 роки тому +4

    Safi sana aliwanyoosha mbuz nyie

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 роки тому +3

    Kwa kweli damu ya mtu ni kitu kengine kibaya, ila mtu kufikia kuuwa binadamu mwenzako bac ww lazima uwe unapata mauzauza flani tu

  • @jonassilvester4325
    @jonassilvester4325 4 роки тому +5

    Hii story nyoko sana mamae

    • @abuumwichumu5520
      @abuumwichumu5520 4 роки тому +1

      Jonas Silvester 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣si mchezo hata kama imetungwa bas kajitahid

  • @amaradiombera2198
    @amaradiombera2198 4 роки тому +4

    Wapi kabisa mim nakosa neno

  • @florachuwa301
    @florachuwa301 4 роки тому +5

    Ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga....

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 4 роки тому +4

    Million 50 zenyewe za tanzania heri zingekua za kenya na bado sio kwa kumtoa roho mwenzenu

  • @shukridjibril6848
    @shukridjibril6848 4 роки тому +5

    RIP Freddy😔🌹

  • @emmyyohana9316
    @emmyyohana9316 4 роки тому +6

    Yani kila siku naweka vocha kwa ajili yako davistar,naikubali k weli channel yako.

  • @swaifasaid1742
    @swaifasaid1742 4 роки тому

    duh jaman tujifunzen .dhulma mbaya sana tujitahid kuridhika na cha halal anachotupa mungu

  • @paulinasamia7354
    @paulinasamia7354 4 роки тому

    Hii sitor naipenda sana mwendelezo jamani nairundia kuisikiliza

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 роки тому +2

    Nimeamini ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga. Mama ni mchawi na ndie yy alie muua mwanae lameki kapewa roho ya mauti. Uyo mama amemtoa mwanae kafara iko chumba mlicho ingizwa freddy ndo yupo umo kama msukule. Mama kapata faida kaua lameki na freddy na ela juu

  • @linkreuben5804
    @linkreuben5804 4 роки тому +1

    Vijana wenzangu Okokeni, YESU anamsaada mkubwa sana katika Maisha. Wachawi hawaangalii Sura ya mtu; anaua hata mtoto aliyemzaa!!

  • @paulinasamia7354
    @paulinasamia7354 4 роки тому +1

    Mm Fred ni noma mwendelezo jamani

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 4 роки тому +1

    Mimi nilijaribu kutafakari kitu gani kilichomtuma Lameck kutaka kumuua Freddie ilhali aliwagawia Ile hela ya kwanza bila shida. Na akawa ahidi pia hii hela ya pili atawagawia bila shida. Ujasiri wa kumkata shingo hivyo ulitoka wapi?. Hata nayeye aliona malipo. Lakini mamake Freddie pia sio mama mzuri aliyachangia. Sasa ashapata hela na ale. Kaka ingia kanisani kwa maombi utubu dhambi zako..na umrudie Mungu wako..atakuokoa na atakusamehe.

  • @faidhirashidi1354
    @faidhirashidi1354 4 роки тому +3

    ukisoma comment jau😅😅😅 comment zinamaliza utamu wa mbeleee

  • @sherrymamakeboiz2256
    @sherrymamakeboiz2256 4 роки тому +8

    Money!money!Money!source of evil.....😢😢😢😢😢😢

  • @ramadhanbashir8484
    @ramadhanbashir8484 4 роки тому +3

    Sio mchezo ,balaa tupu,mashetani na kazi zao,tujikinge kwa jina la mungu ktk kila kitu tunachoanza kukifanya.

  • @naomiakoth2958
    @naomiakoth2958 4 роки тому +7

    😢😢😢😢 so sad in deed it's so painful

  • @emmanelly6864
    @emmanelly6864 4 роки тому +4

    Nakosa words yani, mamake mtu mzazi?😲😲

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +2

    Mafanikio yanakuja pale unapotia nia nakujituma kihalali yani nyinyi mlikuwa hamjui hayo kumbe mama fred sio kidogo alikuwa akiona mbali onasasa mnaenda mjini kutesa kwazamu mkajikuta mko kwamama fred chezea sima lkn sio damu yamtu mana hailali

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 4 роки тому +7

    Utajir unakuja taratibu baada ya uwekezaji wa muda. Utajir wa tamaa sio mzur.

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 роки тому +2

    Uchawi upooo😀😀😀😀😀

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому +1

    Pole kwayote kakaangu

  • @aminaismail4221
    @aminaismail4221 4 роки тому +1

    Huyo mamake fred ndio kapamga mpango mzima hata fred ni njama yake aonekana ni mchawi mkubwa davistar hongera twajifunza mengi

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 роки тому +1

    Subhannallah

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 4 роки тому +4

    Mama Fred aliwaweza

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 4 роки тому +2

    Tamaa mbaya i sey ridhika na ulicho nacho

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 роки тому +2

    Do Kuishi kwingi kuonamangi pesa MBAYA sana jamani 💔😭😭

  • @ethanuk9437
    @ethanuk9437 4 роки тому +8

    Ehehh mmelala hapa nyie watu

  • @jasminegabriel4247
    @jasminegabriel4247 4 роки тому +3

    Dah leo ume tuweka sana mzee

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 роки тому +3

    mtangazaji davista damu ya mwana adam sio mchezooo.

  • @mashaeliazer7433
    @mashaeliazer7433 4 роки тому +2

    Aisee

  • @damarismbatia2029
    @damarismbatia2029 4 роки тому +3

    Ndo maana Freddy alikua ana bahati ya kupata gold. Vitu Kwa ground uwa different 🤷🇰🇪

  • @sarahyvonne4580
    @sarahyvonne4580 4 роки тому

    Nikweli kabisa huyu kaka anasema kitu kilimvaa lameki,nakubaliana nae,sikuizi dunia nihatari sana,ata mm yame wai nikuta,yani roho fulani inakuingia tu,ilikukamilisha malengo ya mtu,lakini kaka mungu yupo,angalia hii video itakusaidia sana,part 1to11,z👉MIAKA 990,KATIKA UFALME WA GIZA,,ANGALIA UTABARIKIWA SANA,NA PIA UPEANE MAISHA YAKO KWA YESU WAISRAEL,MWANA WA MUNGU KWA DAMU YAKE ITAKUWEKA HURU,TAFUTA KANISA LAKWELI MAANA MAKANISA MENGI NI MATAPELI TU,USIFE MOYO KAKA BE BLESSED

  • @hamphreymlelwa289
    @hamphreymlelwa289 4 роки тому +1

    Kwa kwel pesa zitatuua sana tunashukuru davistamata kwa mafunzo!!

  • @emmaraphael5982
    @emmaraphael5982 4 роки тому +2

    Inasikitisha san tena inatisha na hiv mmekaa gizani had naogopa

  • @munnawwary757
    @munnawwary757 4 роки тому +3

    Nimewah leo hhhh

  • @hamidibrahim5369
    @hamidibrahim5369 4 роки тому

    Mama Fred mchawi, ametoa kafara Fred ndo apate Mali....... dunia mtihani.
    Hii story perfect for a movie🤔

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 роки тому +3

    Yani nimeshinda naitafuta hii shokraan

  • @kashuradiocles1068
    @kashuradiocles1068 4 роки тому +4

    Nipo tena

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 роки тому +3

    On top ✌️

  • @semkudfamily9222
    @semkudfamily9222 4 роки тому +3

    Waooh😍

  • @timothmbaga2590
    @timothmbaga2590 4 роки тому

    Mmh kweli tamaa mbaya

  • @aminahassan4498
    @aminahassan4498 4 роки тому

    mmmh aiseee

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 4 роки тому +1

    Katika story zote #davistar hii ni kali mno😪inamajibu mengi sio tu ati walitumwa kishirikina ili pesa zile zifike mikononi mwa huyo mama

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 роки тому +2

    Poleni kwa msiba watanzania wenzangu😭..Mimi nna fluu hatari😕...tuendelee kujifunza..👩‍💻

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 4 роки тому

      Pole sana Bitte!

    • @beatricekweka6683
      @beatricekweka6683 4 роки тому

      @@Fm-MornStar2014 Asanteee sana

    • @deusdeodavid5360
      @deusdeodavid5360 4 роки тому +1

      Jifukize mavi ya punda makavu nimazuri sn kwa kuponya fluu

    • @beatricekweka6683
      @beatricekweka6683 4 роки тому

      @@deusdeodavid5360 Ntayapata wapi sasa..napiga nyungu zetu tu zakawaida..😊

    • @deusdeodavid5360
      @deusdeodavid5360 4 роки тому +1

      @@beatricekweka6683 basi jitahidi Mungu atakuponya

  • @jonassilvester4325
    @jonassilvester4325 4 роки тому +3

    Aisee damuyamtu nzito Sana he

  • @priscalameck8700
    @priscalameck8700 4 роки тому +3

    Daah

  • @Sarah-hl9lr
    @Sarah-hl9lr 4 роки тому +1

    Am sure yule mwanamke pia alipitia yake... Davista kama ungempata uyo dada stori ingebamba sana

  • @mwidadiabdalla3564
    @mwidadiabdalla3564 4 роки тому +3

    Pamoja nimewahi leo

  • @mariamukingazi3668
    @mariamukingazi3668 4 роки тому +1

    Naomben namba za mama fredi

  • @Wamikogo
    @Wamikogo 4 роки тому +3

    Davista embu koment japo kidogo nikupe MTU wa story huku

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 3 роки тому

    Tamaa mbaya sana 😭😭😭😪😪😪🙏🙏

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 4 роки тому +5

    Mshahara wa dhambi ni mauti

  • @lissapoul5227
    @lissapoul5227 4 роки тому +4

    Daaah😭

  • @halimamangala6731
    @halimamangala6731 4 роки тому +2

    Hey I'm late today😃😃😃😃

  • @bxrkeshorts738
    @bxrkeshorts738 4 роки тому +5

    Wa kwanza Leo 🤾‍♀️

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 роки тому +3

    Waa sad story

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 роки тому +2

    Hoiiiii apo chacha

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому +1

    Aisee huluma yako ndo imekufikixha hapa mzee ungekuwa na roho kama ya Lameck ungeenda na maji

  • @mokadesniper1591
    @mokadesniper1591 4 роки тому +2

    Nomaaaa xana

  • @pettiecranwel7588
    @pettiecranwel7588 4 роки тому +1

    Nakukubali sanaaaa davistar🔥

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 роки тому +3

    Huu mziki tena sound

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 4 роки тому

    Pesa inastory za kutisha sana

  • @zaimahamed3375
    @zaimahamed3375 4 роки тому

    actually its like a movie

  • @dottonuru4673
    @dottonuru4673 4 роки тому

    Mh!! Jaman bora hata mngeongea na fred angewapa hata milion kumikumi zingewasaidia, mama hakutaka kuwapeleka kwenye sheria aliwahukum mwenyewe

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 роки тому +3

    Hukuwa na ubaya kaka ishi hivyo hivyo dunia inamengi kaka

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 роки тому +3

    Yani nikiona nimewahi nakuta watu mshawahi

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 4 роки тому +1

    Dah pesa imevunja utu