Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Una moyo wa utu kwa binadamu unafaa kuigwa katika jamii harmnize mungu akuzidishie baraka tunazipenda sana ngoma zako upo juu!!!!!!!!!!
Nice Movement @harmonize @youngkiller @shilole @dizzimonline 😊💪👋👋👋
Hongera sana hamonize
Masha Allah aki mola akuzidshie kipaj naakufungulie milango yake yabaraka pia akugawie neema zake naakupe umri mrefu kwa kujtoa kwako insha Allah
harmonize!!! ma best artist from wcb.. i swear once a day u 'll be among international artist from Tanzania after Diamond platnumz√√simbaaa
And he is imagine
Hapo umeonesha kuwa hivyo ndivyo msanii anatakiwa kuwa kioo cha jamii ili wengine wajitazame kwako naamini Mungu atajaza pale ulipopungukiwa, ubarikiwe sana, mbarikiwe sana wote watatu na kazi zenu zifanikiwe
Very good msodoki & harmonize mungu yu pamoja nanyi mbarikiwe sana!!!!
Mungu awabariki saana... Ila nashangaa mtu Ana dislike
Babylon Lonboy labda hawajui nini maana yake mwe!! pengine wameelewa ndio kupenda zaidi 😁
mashaallah mungu akuongoze kwenye njia hiyo hiyo
Hongera harmonize kwa kujituma huko
harmonize mung azidi kuwa bariki
hongera kwa kufkia hatua hyo mung akuzidishie pale ulipo toa
hongera sana harmonize
God bless you more than
Mungu atakuzidishia malipo yako ya mbele.
kumbe mchopa alikua mtangazaji man leo maneja wa aliekua anamhoji,noma sana.
Yap hapo safi sana sana sana
Big up utu kwanza
mungu azid kuinua kaz yako bro n wachache wenye moyo kama huo
Mungu aendelee kukutia nguvu
safi Sana Mungu awabariki
Allah azidi kukupa uwezo
Mungu akuongoze
azah ally mh
Big up kaka mungu atakusiamai kwenye kz zako inshallah
Queen cash madam Amiin
mungu akuzidishie kaka
safi sana broo
God bless you harmonize ❤️️🙏
mungu akubariki braza
Allah awazidishie hmnzr
harmonize kp up gd
good sanaa
mashaallah mungu awabariki
Hongera
Jeshi👍👍 unafanya mema endreya
safi
verry good...
Asante sana konde
WCB
akuna kama WCB
Pamoja sana wakunyumba
Mtangazaji leo meneja wake duh chopa
Nani ameona meneja wake wa sasa ndie mwandishi wa maojiano aya
Chopa alikuwa atamaniki duu
kitu cha mfano tuwe na uruma
daaah umependeza kuwa shekheeeee
Una moyo wa utu kwa binadamu unafaa kuigwa katika jamii harmnize mungu akuzidishie baraka tunazipenda sana ngoma zako upo juu!!!!!!!!!!
Nice Movement @harmonize @youngkiller @shilole @dizzimonline 😊💪👋👋👋
Hongera sana hamonize
Masha Allah aki mola akuzidshie kipaj naakufungulie milango yake yabaraka pia akugawie neema zake naakupe umri mrefu kwa kujtoa kwako insha Allah
harmonize!!! ma best artist from wcb.. i swear once a day u 'll be among international artist from Tanzania after Diamond platnumz√√simbaaa
And he is imagine
Hapo umeonesha kuwa hivyo ndivyo msanii anatakiwa kuwa kioo cha jamii ili wengine wajitazame kwako naamini Mungu atajaza pale ulipopungukiwa, ubarikiwe sana, mbarikiwe sana wote watatu na kazi zenu zifanikiwe
Very good msodoki & harmonize mungu yu pamoja nanyi mbarikiwe sana!!!!
Mungu awabariki saana... Ila nashangaa mtu Ana dislike
Babylon Lonboy labda hawajui nini maana yake mwe!!
pengine wameelewa ndio kupenda zaidi 😁
mashaallah mungu akuongoze kwenye njia hiyo hiyo
Hongera harmonize kwa kujituma huko
harmonize mung azidi kuwa bariki
hongera kwa kufkia hatua hyo mung akuzidishie pale ulipo toa
hongera sana harmonize
God bless you more than
Mungu atakuzidishia malipo yako ya mbele.
kumbe mchopa alikua mtangazaji man leo maneja wa aliekua anamhoji,noma sana.
Yap hapo safi sana sana sana
Big up utu kwanza
mungu azid kuinua kaz yako bro n wachache wenye moyo kama huo
Mungu aendelee kukutia nguvu
safi Sana Mungu awabariki
Allah azidi kukupa uwezo
Mungu akuongoze
azah ally mh
Big up kaka mungu atakusiamai kwenye kz zako inshallah
Queen cash madam
Amiin