Zenah: Mume wangu hajasoma katiba yangu miaka mbili sasa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 357

  • @eldahwangeshi5271
    @eldahwangeshi5271 4 роки тому +4

    This guys will broke my ribs wan day.....😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @norahkandie3905
    @norahkandie3905 4 роки тому +3

    Hio maombi yenu tosha jameni 😀....love it

  • @eunicewairimu5015
    @eunicewairimu5015 5 років тому +9

    Mako mako kulala juu ya katiba jamani 🙆‍♀️😂.... Team bh locusts zimefika kwenyu

  • @hassanmapenzi6188
    @hassanmapenzi6188 5 років тому +11

    Wakwanza Leo likes zangu hata kumi hapa chini

  • @salomegoogle7207
    @salomegoogle7207 4 роки тому +6

    jalas you make my day 😂😂😂

  • @preciouschebet1014
    @preciouschebet1014 4 роки тому +4

    Jalas you gonna kill me one day 😂😂😂😂😂😂😂

  • @wanjirukarago9308
    @wanjirukarago9308 5 років тому +11

    Jalas😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
    He does not react to any touch ?
    T-Shirt ya matanga 🤣🤣🤣

  • @njoramichael7051
    @njoramichael7051 5 років тому +6

    🤣😂🤣😅 this case was here,now another one 😅🤣😂😂😂🤣, this should be put on wonders of the world 🤣😂😅😂😂, boychild shughulikieni hawa watu 😂😅🤣😅😅😅

  • @princeandalialuke74
    @princeandalialuke74 4 роки тому +1

    Kali sana hiyo..!

  • @faithnyangweso8699
    @faithnyangweso8699 4 роки тому +2

    Jalas aki binguni utaona kweli,ati t-shirt ya marehemu😂😂😂😂

  • @babylotto1359
    @babylotto1359 4 роки тому +2

    Jalas you are hilarious.

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 років тому +12

    Hi I nikuulize mama munaishi nyumba moja na mzee swali nzuri mwakideu.... Hakuna chenga hapo direct unachezwa

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 4 роки тому +1

      Nzisa huyu bwana asha fungulia kwingene

    • @nzisakasau8234
      @nzisakasau8234 4 роки тому +1

      @@RoroRoserororo 🤣🤣🤣kabisa

  • @thesocialintrovertchronicles
    @thesocialintrovertchronicles 5 років тому +3

    T-shirt ya Omo with powerful 😂😂😂😂😂,,,,,aiiiiiih jalas

  • @bettmercy8621
    @bettmercy8621 5 років тому +43

    Once you cheat, it becomes like that... You loose interest on the person you are with

  • @mr.jasonfxsignals4873
    @mr.jasonfxsignals4873 5 років тому +8

    Mm nilifanyianga wangu ivo lakini siku yangu ilipofika shamba nililima mtu akatoka mbio mpaka kwa shower kwanza maji baridi kabisa😂😂😂😂😂😂

  • @jwaitathu
    @jwaitathu 5 років тому +13

    Team Mafisi where are youuuuuuuuuuuu????...This woman need help.🤔🤔🤔🤔🤔

  • @loureenbuluku9992
    @loureenbuluku9992 4 роки тому +9

    Jalas: "it doesn't react to any touch"😅

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 5 років тому +9

    😂😂ati Tshirt inaweza kuwa imeandikwa "ukimwi inauwa"huyu jamaa ana shida

  • @fredrickmuasa3890
    @fredrickmuasa3890 5 років тому +3

    Jalas ameingia kwa alex nyumbani ametoka hali ilivyo....🤣🤣🤣🤣

  • @Girl_Maasai
    @Girl_Maasai 4 роки тому +6

    I suffered the same ,,,but i left. Jamaa alikua anazaa huko nje kuzaa. Nilivumilia hadi nikafika mwisho

    • @antonywanjala4848
      @antonywanjala4848 4 роки тому +1

      Aiiiii..si ungevumilia tu madam...

    • @Girl_Maasai
      @Girl_Maasai 4 роки тому

      @@antonywanjala4848 nilikua nimevumilia kwa muda mrefu

    • @antonywanjala4848
      @antonywanjala4848 4 роки тому

      @@Girl_Maasai but hope now wherever you're is stable....

    • @ahmedvenkeri1861
      @ahmedvenkeri1861 3 роки тому

      Haki pole hope umepata mtu

    • @Girl_Maasai
      @Girl_Maasai 3 роки тому

      @@ahmedvenkeri1861 am ok bado sijapata but i hope soon

  • @caroline3442
    @caroline3442 5 років тому

    Waah! Hii nayo ni kali

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 років тому +14

    🤣🤣🤣🤣Maombi imetembea Malaika WA bed room shuka🤣🤣🤣🤣🤣halleluyah

  • @johnnjuguna8132
    @johnnjuguna8132 4 роки тому +3

    This is paining me now😢😢 am now sad😰

  • @zkylieh204
    @zkylieh204 5 років тому +1

    Hii kudoz ju ya katiba mungu saidia

  • @collobabaone
    @collobabaone 4 роки тому

    wangu ana lala na tisho ya jik

  • @denniskipruto313
    @denniskipruto313 4 роки тому +1

    Unalala juu yah katiba😂

  • @yonesyones4810
    @yonesyones4810 5 років тому +4

    ,😂😂🔥🔥 team 974 mpo

    • @sam-px7ur
      @sam-px7ur 5 років тому +1

      Tupo🤣🤣🤣🤣🤣🤣pia ss hatusomi katiba 2yrs🤣🤣🤣🤣

    • @shickyshickys9502
      @shickyshickys9502 5 років тому

      Niko hapa wacha niendelee kuambiwa jibii dhale ruhe🤣🤣🤣

  • @charlesrachier5444
    @charlesrachier5444 5 років тому +1

    Jalas +49 hapa eti kulala na stocking kichwani na t.shirt ya omo ama marehemu duuuh 1🤔🤣🤣🤣

  • @puritykarimi6113
    @puritykarimi6113 4 роки тому +1

    These things are real..was in a rlshp for 7months without sex nkimuliza anajam anasema we are not ready for it..its bad .I had to quit😥😥😥😥😥😥😥

  • @lydiahmbithe6563
    @lydiahmbithe6563 4 роки тому

    Jalas unanimaliza

  • @prudenceolunga6141
    @prudenceolunga6141 4 роки тому

    Oh guys I have friends who I thought could understand ur English subtitles 😨Yani sema kuboeka!

  • @monyivam9821
    @monyivam9821 5 років тому

    Ghai hii imazidi wah

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 4 роки тому

    Bibi angejipodoa ajue asipojitahidi Bwana atawachwa.ata uki lala uchi bwana wengine anakuna ata na uchafu ya bibi mwingine nyumbani akuoyenshe yeye ameshiba .the things women go thru 🙏🔥💥

  • @elvisdamvo1511
    @elvisdamvo1511 5 років тому +2

    Hehe wah kuna noma hapa

  • @edwinkipngetich493
    @edwinkipngetich493 4 роки тому +3

    Mungu ashuke kwa bed room immediately....

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 5 років тому +2

    Jalas akalala 444 Aka musukuma huko. wacha na mimi niongeze kama mgunia yamakaa. Duuuu hatari kwa usalama🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦.

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 5 років тому +3

    Analala na T-shirt ya campaign akisoma katiba anaona MCA anachoka😂😂😂

    • @verah9259
      @verah9259 4 роки тому +1

      😂😂😂😂

  • @BestAmazonReviews723
    @BestAmazonReviews723 4 роки тому +2

    the problem is the guy,guy is the problem🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @brendaatieno5122
    @brendaatieno5122 5 років тому +2

    Please God save this marriage aky aleki na jalas please fanyeni maombi ,hapa kunauchawi ya Hali juu

  • @ramseyjones9471
    @ramseyjones9471 4 роки тому

    Hahaha daktari Jalas surely.. ati "ama unalala na t-shirt ya matanga iko na picha ya marehemu kwa kifua"..

  • @wanjirukarago9308
    @wanjirukarago9308 5 років тому +9

    There's been a similar case hapa pia Kwa hii hospitali ya milele but hio ilikua ni mpango wa Kando alikua ameharibu Mzee and she even confessed.

  • @khamismasaai5307
    @khamismasaai5307 5 років тому +2

    😂😂😂 ati malaika wa bed room ashuke duh kunatatizo hapo huyo mzee anagonga nje Sana

    • @defencelmwazoka1884
      @defencelmwazoka1884 4 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣woooiiiiiiii........ati T_shirt yenye unalala nayo ni gani 🤣🤣🤣🤣hapo mumenimaliza Aki

  • @jenniffermumo6327
    @jenniffermumo6327 2 роки тому

    Shirt ya pic ha ya marehemu jameni

  • @najibali9074
    @najibali9074 5 років тому

    Daktari mwenye

  • @fl0rencemutuku40
    @fl0rencemutuku40 5 років тому +1

    Hata nilikua nimeuliza Leo mguu ni gani Leo wacha nitume 👂

  • @isaacnyamasege9569
    @isaacnyamasege9569 4 роки тому +7

    The guy is sick bana, jalas advice the lady to take him to see doctor

  • @kaosaomari5888
    @kaosaomari5888 4 роки тому +1

    That Lady is good let her Advice her Husband waende kwa daktari ...Huyo jamaa amefungwa.

  • @internet_fun
    @internet_fun 4 роки тому +1

    There are people who lose interest iyo design but they are very few

  • @neshn4733
    @neshn4733 4 роки тому

    Mwanaume nikujisahaulisha......🤪🤪🤪

  • @kevinwachira4617
    @kevinwachira4617 5 років тому +1

    Hapo game draw kila mtu ako na mpango wa kando Bibi na bwana kwahivyo walee tu mtoto katiba wasome kule wanapata Raha mpaka ile siku akili zao zitarudi juu wote wawili ni wazimu 🤣🤣🤣🤣

    • @eunicewairimu5015
      @eunicewairimu5015 5 років тому +1

      😅🤣😅Yenyewe nikama Hawana akili timamu wote

  • @fatmamacharia3593
    @fatmamacharia3593 5 років тому +12

    I can't live without Pekejeng 1 month in same house how
    Better nitoke Sasa nikatafte mme ama niishe single,
    Sorry to say this after giving bath 1 months najipata nikipata na ma feeling na peyana Kati....

  • @kevinmacharia5113
    @kevinmacharia5113 4 роки тому +2

    Hapo kwa kulala fofofo ni noma bt kulose interest na mtu I can relate. Ata iguzwe haiamki bt ukienda kwingine iko tu sawa.

  • @aneymaalim704
    @aneymaalim704 3 роки тому

    Mahamjamati hawa wana mambo

  • @joanmuthoni6708
    @joanmuthoni6708 4 роки тому +5

    This women I know with saying
    Ask me

  • @stellaloves9879
    @stellaloves9879 5 років тому +1

    Kumbe hii dryspell iko mpaka Kenya

    • @sharondavis9379
      @sharondavis9379 5 років тому

      🤣🤣🤣🤣🤣wanasaidia watu 2ko inje

    • @stellaloves9879
      @stellaloves9879 5 років тому

      @@sharondavis9379 hii noma yani uko Kenya na wakosa Twa Twa.. Sisi tutasemaje ambao tuko prisson

    • @blessedironladie9927
      @blessedironladie9927 5 років тому

      Wenye tuko rehab ndio tuongee si mtu ako Kenya,

    • @sharondavis9379
      @sharondavis9379 5 років тому

      @@stellaloves9879 wajamani 2natoshana 2 vile 2mefungiwa dani

  • @fauzsky5399
    @fauzsky5399 4 роки тому

    Siku mwaambia na mtaste🤣🤣😜🤪

  • @ellescarface2135
    @ellescarface2135 5 років тому +3

    Tshirt ya omo 🤣🤣🤣

  • @levindalolalola7255
    @levindalolalola7255 5 років тому +1

    Malaika wa bed room 🤣shuka

  • @hawamussah2370
    @hawamussah2370 4 роки тому +3

    Malaika ya bedroom 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @oscarobuyu2688
    @oscarobuyu2688 4 роки тому +3

    Kulala juu ya katiba ni kosa la jinai huyu jamaa anafaa apelekwe Hague
    Mzee Kibor take him for special classes

  • @sabinamuhanda9903
    @sabinamuhanda9903 5 років тому +2

    Mako mako mako mako mako😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣

  • @ferdinandmuleka4591
    @ferdinandmuleka4591 3 роки тому

    Just

  • @Esty1248
    @Esty1248 5 років тому

    Hayo ni mapepo 😂😂😂😂, ishindwe 😂😂😂😂😂Malaika wa bedroom ashuke

  • @benardpaul1271
    @benardpaul1271 4 роки тому

    Mnipe number yake Mimi nisome hio Katiba afulahi

  • @nyagemijunior8560
    @nyagemijunior8560 5 років тому +1

    😂🤣😅😂Jalas Ati t-shirt ya matanga

  • @be_usherseif4396
    @be_usherseif4396 5 років тому +5

    Inakaa huyo jamaa c kupenda kwake, nikama kufungwa amefungwa juu alihanya bibi ya wenyewe, myopinionthuough.

    • @rmmulei8531
      @rmmulei8531 4 роки тому

      @ True nikufungwa watu awajui aya mambo yapo cz c kawaida io walai unalala juu ya bbi

  • @Jane-uw9ow
    @Jane-uw9ow 4 роки тому

    I better stay Single than to have such Person, 1yr and Half yrs Noway .mimi huyo hatapitia dirishani hata sio kwa mlango.

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 5 років тому

    😂😂ghaiii this is serious aki malaika wa bedroom washuke kwa hii ndoa mayooooo

    • @danniskariuki1685
      @danniskariuki1685 4 роки тому

      Am just singing.......🙏🙏🙏 suffering children are safe in your arms there's none like you..shukababa

  • @joywamburas
    @joywamburas 5 років тому +1

    Tshirt ya matanga😂🤣🤣

  • @emilymuthoni3776
    @emilymuthoni3776 5 років тому +1

    huyo ata c eti ako holiday nizaidi 2 years🙆🙆🙆 inauma sana

    • @eunicewairimu5015
      @eunicewairimu5015 5 років тому

      Ako vacation na baecation nje ya ndoa 🤣mungu WA goat wives tembea Sasa

    • @emilymuthoni3776
      @emilymuthoni3776 4 роки тому

      @@eunicewairimu5015 bt inauma sana mum ahk wanaume

  • @bernice.m.1356
    @bernice.m.1356 5 років тому

    😂 😂 😂 😂 Ni maombi anahitaji

  • @nathanieldennis5461
    @nathanieldennis5461 4 роки тому

    It is very wrong to joke with food while people are dying out of hunger

  • @rabut.j.1829
    @rabut.j.1829 5 років тому +4

    Hapa malaika wa bedroom ashuke kweli afanye makekez🤣🤣🤣🙏💯

  • @monicamichael8119
    @monicamichael8119 4 роки тому

    😭😭wanaume

  • @andersonclark1837
    @andersonclark1837 5 років тому

    Daktari Jalas huyo bwana ako na Immaculate Karanja kama wewe

  • @njugzamerican4598
    @njugzamerican4598 4 роки тому

    huyo asoma katiba zingine

  • @wanyonyisimiyu3078
    @wanyonyisimiyu3078 4 роки тому +7

    Wote wawili weende kwa daktari wa kudeal na hali ya kisasa(family).kuna hormones ya kiume ikishuka kiwango chake kwa mwili basi hawezi kupata erection;they are called tetestrone hormones. There's aremidy for it mwanaume akipimwa

  • @fergusonmuendo2514
    @fergusonmuendo2514 4 роки тому

    Ety husiposoma Katiba in 3 days unaexpand kila Place...
    Noma hio....

  • @towettcheptoo3047
    @towettcheptoo3047 5 років тому

    Waaa,,naeza resist katiba but sio nikiwa na chali bed...finger fuck itembee eeeiiish......

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 5 років тому +1

    Theeeeeeeeen.....!!

  • @King-Jack-ryan
    @King-Jack-ryan 5 років тому

    😂😂😂😂😂😂 mm nimekwama hapo pa kusuma akaanguka huko heyi 🙆🙆🙆🙆

  • @youngyayoo2805
    @youngyayoo2805 5 років тому

    Sema ulijifungua mtoto kijana,,,si mtoto boy

  • @willywilson3442
    @willywilson3442 5 років тому

    Eti malaika wa bedroom🤣🤣🤣

  • @thesinaimounthospital6670
    @thesinaimounthospital6670 5 років тому +2

    10:01 TISHIRT YA OMMO WITH POWERFOAM

  • @emaesthermuchiri7995
    @emaesthermuchiri7995 5 років тому

    Jalasi...daktari kamili..

  • @bimaisarankamia4153
    @bimaisarankamia4153 4 роки тому

    Nyumba. Zinamambo mengi Sana.

  • @shannizbunei2173
    @shannizbunei2173 5 років тому +1

    😂😂😂😂Theeen

  • @judgedions3755
    @judgedions3755 5 років тому

    Mpango wa kando amemfunga ,jajaruka mama

  • @edwinogola3589
    @edwinogola3589 4 роки тому +3

    Jalas Sometimes be serious and real

  • @puritychogoro
    @puritychogoro 4 роки тому +1

    Yaitwa ndoa!!!!

  • @robertshuggy1104
    @robertshuggy1104 4 роки тому

    Ati

  • @entoroboyamama2239
    @entoroboyamama2239 4 роки тому

    Team hamam ambia uyo mwana mke avumilie coz hata sisi huku gulf tumevumilia hata miaka 5 bila kusomwa katiba

  • @bonjourkevin3304
    @bonjourkevin3304 5 років тому +3

    🤣🤣🤣🤣 aii wanaume wengine mlizaliwa aje 🤔🤔 kama dryspell inanipiga week moja naona ni miaka kumi imeisha zii🏃🏃 awekwe kwa maombi bila kula kitu maji tu🙆

  • @marygaspary199
    @marygaspary199 4 роки тому +1

    Nipe huyo mwanaume mi sipendi wasoma katiba wa kila siku, nataka wa mwaka mara moja !

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 5 років тому

    🌝🌝🌝😘😘🌞🌞🌞

  • @maloudah65
    @maloudah65 5 років тому +1

    Zenah ashasema amecheza nje na mnataka pigia mumewe jameni

  • @حسامالعنزي-ش2ع
    @حسامالعنزي-ش2ع 4 роки тому

    Pray 4 your husband pengine amefungwa

    • @rizikimwanyae9490
      @rizikimwanyae9490 4 роки тому

      Nadhani pia nimaombi tu cz hiyo ya kulala wakati akisoma katiba sio ya kawaida

  • @MartinezzJT
    @MartinezzJT 5 років тому +4

    Nimejitolea kusupply mugomberro for one year to that household for free 😄😄😄

  • @agnesladasha5641
    @agnesladasha5641 5 років тому

    Mungu ashuke qwa bedroom sasa

  • @elizalyz8595
    @elizalyz8595 5 років тому

    Huyu jamaa anacheza nje sana mpaka kwake anashindwa