Kristu nimefurahishwa na msamaha ulioutoa Mhashamu Baba Askofu wetu Ubarikiwe sana Kijana Emmanuel nikupongeze kwa ujasiri mkubwa ulionao Pia nikupe Hongera kwa kumlingania Mungu ,inaonyesha dhahiri unalipenda sana daraja takatifu nakuomba usikate tamaa kwani naamini kuwa Mungu ana njia nyingi sana ili uweze umfikie usikate tamaa endelea kumtumikia ipo siku atakupa kile unachostahili
@@bernardjohn8788 sikashifu dini yenu tena tumeambiwa nyie ni watu wa karibu zaid kuliko dini zingne,mnaposikia meneno yalotoremshwa kwa mtume muhammad macho yenu hutokwa na machozi pale mnapoijua haki
Mungu ni mwema sana tunamshukru Mungu Kwa msamaha huo ulio utoa Baba
Thank You Papaa!!!🙏 Mungu amsaidie kijana Emmanuel kwanza ajitambue anataka nn na apate msaada.
Kristu nimefurahishwa na msamaha ulioutoa Mhashamu Baba Askofu wetu
Ubarikiwe sana
Kijana Emmanuel nikupongeze kwa ujasiri mkubwa ulionao
Pia nikupe Hongera kwa kumlingania Mungu ,inaonyesha dhahiri unalipenda sana daraja takatifu nakuomba usikate tamaa kwani naamini kuwa Mungu ana njia nyingi sana ili uweze umfikie usikate tamaa endelea kumtumikia ipo siku atakupa kile unachostahili
Namfahamu kijana uyu ni mtu safi sana
Hakikaa huu niwitoo wa dhati ,japo kuwa amekosea njia alioitumia .ila tunakupongeza Sana Mhashamu Baba askofu kwa hekima ya dhati
Hongera baba nkwande kwa ktoa msamaha kwa hy kijana mungu akizidishie hekima ktk maisha yako baba!
Hongera sana baba Askofu Renatus kwa tendo kubwa la MSAMAHA.
Daah baba askofu ww kweli ni mtu wa mungu kwelikweli, kwa msamaha.
hongera sana baba Askofu Renatus, Mungu azidi kukulinda kwenye wito wako
Duuh niliumia nilposkia akiomba radh lakin baada ya maelezo ya Mh Baba Askofu kazi ipo kwakweli...
Jambo jema mmemsamehe kwani ndiyo asili ya Kanisa..
Ahsante kwa Msamaha
Mungu Atusamehe bure
Amefanyaje
Swali la kujiuliza ni je kanzu na mkanda mweusi alitoa wapi?
Atacama amemsameekwani mwizi
Bora ungesimulia ningeelewa lkn sasa umeweka clip hataieleweki
Lina shida mpaka mavini,ha'fu linaleta Fujo.Lifungweee.Nataka kujua hela xatoka wapi?mbwakoko.
Duh
Am proud to be Muslim
Uko proud kwa kwenda motoni
@@thepresidenttobe5481 Ipo siku utakuja kuujua ukweli nahiyo siku wakat roho yko inatolewa
Nenda huko huku hapakuhusu ni kwetu ss makafiri
So what?
@@bernardjohn8788 sikashifu dini yenu tena tumeambiwa nyie ni watu wa karibu zaid kuliko dini zingne,mnaposikia meneno yalotoremshwa kwa mtume muhammad macho yenu hutokwa na machozi pale mnapoijua haki
Huo utakuwa uwongo,tu,mbona mnawaficha sura,pia wahusika mnao hapohapo ndani
Ujue mahojiano ni ya Radio Mbiu sio TV.
Pili, hio video fupi pengine ni mtu alichukua bila mpangilio.
Hakuna aliyefichwa sura hapo ndugu, huyo anayeonekana kwenye kipande cha video aliyevaa kanzu nyeupe ndio mtuhumiwa mwenyewe.
Frater ndo nini?
Ni wanafunzi wa upadre
@@tawiso_online_tv. oh ahsante
uongo mtupu mbona wamekiri kumjuaa kabla
Sikiliza sauti ya askofu
Unamwambia nani maneno ayo
Dogo ajitafute tena,huo sio wito wake.
Tandikeni jambaxi hilo,lingewexa kuuwa wenxake kwa kuleta majambaxi.