MAHUSIANO YA WAZAZI YANAVYO ATHIRI WATOTO | YATOSHA JANGWANI | BI. DEBORA URIO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Karibu kufuatilia mfululizo wa masomo mbalimbali katika mkutano unaorushwa mbashara kutoka katika kanisa la Waadventista wa Sabato Nyahanga - Kahama, huku neno kuu la #mahubiri haya likiwa ni #YATOSHA JANGWANI, kuanzia tarehe 11/05 - 02/06 kila siku saa 11:00 - 02:00 jioni, usipange kukosa huku masomo ya Afya ya akili, Masomo ya Watoto, Masomo ya Uchumba, mahusiano, ndoa na Malezi pamoja na Mafundisho makuu yatafundishwa.
    WAHUDUMU
    PR. MAGULILO MWAKALONGE - MAFUNDISHO MAKUU
    BI. DEBORA URIO - FAMILIA
    DR. PASCAL KANG'IRIA - AFYA YA AKILI
    ELD. DANIEL BULENGELA - MAFUNDISHO YA WATOTO
    #suasdachurch #atapekahamanetevent2024 #yatoshajangwani #sdachurch #Wazazi #malezi #sdasermon#afyayaakili #mahusiano #sda #family #live #livestream #livestreaming
    Follow us on Instagram, Twitter and Facebook as SUA SDA CHURCH
    Subscribe for More Information
    Call : +255 756 846 870

КОМЕНТАРІ • 4

  • @GLORYMOSES-mp6xe
    @GLORYMOSES-mp6xe 3 місяці тому +1

    Asante sana Mama yetu Bi. Debora hakika Mungu atusaidie kuelewa na kulea na kutunza familia zetu🙏

  • @mitumeChoir
    @mitumeChoir 9 днів тому

    Hakika nimebarikiwa na hili fundisho Mungu akubariki sana

  • @user-yr3sp7kb2d
    @user-yr3sp7kb2d 2 місяці тому +1

    Bwana akubariki sana mpendwa nadhidi kubarikiw.

  • @HELENPHILIPO-dd8vo
    @HELENPHILIPO-dd8vo 3 місяці тому +1

    Nabarikiwa sana na huyu mama jaman